MY BIRTH STORY 💙 2024
20:56
Күн бұрын
USICHUJE JUISI TENA!!
2:12
3 ай бұрын
UGALI MTAMU WA SOYA ! Mapishi
4:13
WE HAVE GOOD NEW'S ❤️ 2024
13:43
Пікірлер
@Judy-qh8bj
@Judy-qh8bj 12 минут бұрын
Hongera sana 👏😍
@Mirrachy571
@Mirrachy571 Сағат бұрын
Hello Ika❤… with CS, please rest, rest, rest mama! Don’t stand for too long and ukilala lalia mgongo sana! Orelse kichwa kitakutesa
@zaitunijuma8710
@zaitunijuma8710 2 сағат бұрын
Yimi yamiii😊
@jemimahmunyoki4603
@jemimahmunyoki4603 4 сағат бұрын
thankx tunasoma catering hapa
@RaniyahAnwar
@RaniyahAnwar 4 сағат бұрын
He's so cute Ma shaa Allah congratulations are in order ❤
@cecylianzowa8918
@cecylianzowa8918 5 сағат бұрын
Proteins(peanut butter,almonds,cashew nuts)pumpkins seeds do magic I was overloaded an mpk my baby is named chibonge
@nasraemmanuel
@nasraemmanuel 6 сағат бұрын
Hongera sana kipenz umeniletea mkwe wng mungu amtunzie
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 7 сағат бұрын
Black pepper husaidia sana kuongeza maziwa, jitahidi kuweka kwenye vyakula vya moto kama uji au supu.
@sachymassy
@sachymassy 13 сағат бұрын
hongera sana ika❤❤❤
@asiyasultan-q8j
@asiyasultan-q8j 15 сағат бұрын
dad unapatikan wat maan natak kuj kununuwa
@CharifaRachidi
@CharifaRachidi 16 сағат бұрын
Mbona najikuta natabasamu tabasamu tu
@CharifaRachidi
@CharifaRachidi 16 сағат бұрын
Ashaijua harufu yako uyo
@DevothaCharles-zj7jr
@DevothaCharles-zj7jr 17 сағат бұрын
Yn dad unafundisha vzur
@nesseniftyjoseph5686
@nesseniftyjoseph5686 17 сағат бұрын
Hi Ika, huge congratulations, the happiness is biiig indeed. I sawa a video in utube that a new born baby is not to be exposed to the light, how do you find that?
@SalomeFrank713
@SalomeFrank713 17 сағат бұрын
Wow Kuna kaa felling Fulani ivi mtoto akilala unamwangalia Kila saa km kaamka ❤❤❤
@divahcruz
@divahcruz 20 сағат бұрын
hongera jirani , upumzike sasa kipenzi
@monicamaprecious
@monicamaprecious 20 сағат бұрын
Cocoa helps with the milk, cocoa na hot drinks.. you put enough cocoa, yaani ishike kabsa.. it will really help.. alaf don't stress about it, try to relax. Congratulations 🎉
@margaretnslfstylemotivational
@margaretnslfstylemotivational 20 сағат бұрын
❤ ❤ ❤🎉🎉
@SifaJasitin
@SifaJasitin 22 сағат бұрын
Kukupenda tu ndo najua Ika wangu ❤❤❤❤❤❤❤❤
@gloriachasama1060
@gloriachasama1060 23 сағат бұрын
Beautiful family 😊❤❤❤,
@catherinenjoki3693
@catherinenjoki3693 23 сағат бұрын
Hi dear u need to rest get help kama wewe niwa Cs u need atleast 6weeks of rest atherwise utaumiza kidonda
@VictoriaZakaria-d3n
@VictoriaZakaria-d3n Күн бұрын
Ameshajua mikono Yako
@sarahwilson586
@sarahwilson586 Күн бұрын
💞💞💞💞💞💞💞😘
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 Күн бұрын
Anapenda mikono huyo 😀❤❤🇹🇿
@farajapaul6662
@farajapaul6662 Күн бұрын
Kazana kumuweka mtoto kwenye ziwa, Na kazana kula na kunywa vitu vya majimaji maziwa yataongezeka tu.
@veronicahaule8845
@veronicahaule8845 Күн бұрын
Hongera sana mamy kwakulea baby boy ❤
@alisterlexter1115
@alisterlexter1115 Күн бұрын
I wish nije kumsalimia mtoto🥹🫶🏻❤️🇹🇿
@georginakemboi1576
@georginakemboi1576 Күн бұрын
Wangu n 2months,first time huwa n ngumu
@NuruZebedayombise-ie5zb
@NuruZebedayombise-ie5zb Күн бұрын
Nimefurahi sana
@donnahcyldion4609
@donnahcyldion4609 Күн бұрын
❤❤❤❤
@NasraShabani-o2u
@NasraShabani-o2u 2 күн бұрын
Lazima kutumia maziwa fresh
@neemajohn-p2d
@neemajohn-p2d 2 күн бұрын
Asante
@SamiaRajab-f2b
@SamiaRajab-f2b 3 күн бұрын
Acante kutuletea mapishi❤❤❤
@SaumuKasembe
@SaumuKasembe 3 күн бұрын
Hongera mwaya
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 3 күн бұрын
Aaaaaaaw mashaAllah ❤️😍God is good🎉 CONGRATULATIONS 🎊 👏 God bless 🙌 May he grow in good health;and be your reason to smile when nothing else works. May he be your pride and pillar of strength. May he grow up to love;respect and honor his parents. 🙏 🙏 🙏 🙏
@BeatriceMzava-g3n
@BeatriceMzava-g3n 3 күн бұрын
Asante kwa mapishi haya. Kesho najaribu kidogo Mayai mawlili nione
@MagdalenaNengo
@MagdalenaNengo 3 күн бұрын
Mungu Akubariki kesho namupikia mume wangu ngoja na watoto wafunge shule waje niwapokie walizoea chips yai tu kumbe na chips tambi ipoooo!!!!!?🙏
@faximaahmed-l4n
@faximaahmed-l4n 3 күн бұрын
Wewe ni kabila gani uni ambie kama wewe ni orimo uni ambie
@MariamIbrahim-v4r
@MariamIbrahim-v4r 3 күн бұрын
Ni nzuri nimejifunza kitu hapo
@melinafesto5686
@melinafesto5686 3 күн бұрын
Hongera❤
@catherinemwanyigu2299
@catherinemwanyigu2299 4 күн бұрын
Waoooh hongera sana dada Ika🎉
@azizahassan-we7jk
@azizahassan-we7jk 4 күн бұрын
🎉🎉❤
@BeatriceMunyone
@BeatriceMunyone 4 күн бұрын
Ni bei gan na ina ujazo gan
@zaitunilyimo9012
@zaitunilyimo9012 4 күн бұрын
Congratulations
@zaitunilyimo9012
@zaitunilyimo9012 4 күн бұрын
Sijui kwa nini siku ya kujifungua unachoka sana nakumbuka mimi siku niliyoenda hospital hiyo siku nilikuwa nimechoka sana sanaa hadi nililala mapema ila saa saba tiiii nikaambiwa mamy am coming 😊
@ikamalle
@ikamalle 4 күн бұрын
Yaaaanii 😂😂
@flavrutaihwa5950
@flavrutaihwa5950 4 күн бұрын
Hongera sana kipenzi ❤❤
@NifferMollel
@NifferMollel 4 күн бұрын
Nineielewa nitajaribu
@fatumarebecca2943
@fatumarebecca2943 4 күн бұрын
Congratulations 🎉
@MariamuDaudi-h1t
@MariamuDaudi-h1t 5 күн бұрын
Nimependa mapishi yako
@happynesslaurance6448
@happynesslaurance6448 5 күн бұрын
Bless you ❤