HUBA JUMANNE TAREHE 22 OCT 2024 FULL VIDEO MAISHA MAGIC BONGO

  Рет қаралды 11,546

Mhesh Media

Mhesh Media

Күн бұрын

Tuma ujumbe kwa WhatsApp ili kupata muendelezo kwq magroup yetu👇👇
wa.me/qr/WBKT5...
WhatsApp number +254 798799033

Пікірлер: 278
@Mheshmedia
@Mheshmedia 2 сағат бұрын
Tuma ujumbe kwa WhatsApp ili kupata muendelezo kwq magroup yetu👇👇 wa.me/qr/WBKT5DCVMI7OO1 WhatsApp number +254 798799033
@Mheshmedia
@Mheshmedia Сағат бұрын
Video zinabaniwa hapa KZbin siwezi tuma kila siku,,Msipitwe na muendelezo wa huba kesho..WhatsApp hii number niwaunge kwa magroup ya tamthilia zote za Azam na Magic Bongo +254 798799033 🇰🇪
@ManawshAbdullah-sp7io
@ManawshAbdullah-sp7io Сағат бұрын
Hi
@Mheshmedia
@Mheshmedia Сағат бұрын
@@ManawshAbdullah-sp7io hello
@AminaMaisha-vd6mf
@AminaMaisha-vd6mf 29 минут бұрын
Ss huba ninzur kwakweli ❤❤🇰🇪
@SalamaA-x6k
@SalamaA-x6k 2 сағат бұрын
Napenda sana tima na Devi wakiwa nafuraha na.wakiwa pamoja nawapenda sanaa❤❤
@Mheshmedia
@Mheshmedia Сағат бұрын
Video zinabaniwa hapa KZbin siwezi tuma kila siku,,Msipitwe na muendelezo wa huba kesho..WhatsApp hii number niwaunge kwa magroup ya tamthilia zote za Azam na Magic Bongo +254 798799033 🇰🇪
@paschalikatabazi
@paschalikatabazi Сағат бұрын
Pamoja sana❤
@Awlo-g6d
@Awlo-g6d 57 минут бұрын
Namiss kuona yakub na Monika ❤❤❤❤
@Hot_rod-lies
@Hot_rod-lies 39 минут бұрын
JB hujapendiza kuwa hevo mpanda gazia hushuka poli JB wangu
@elvinakalu6991
@elvinakalu6991 2 сағат бұрын
Tima na Dev wamependezana kweli❤❤
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 2 сағат бұрын
Kiukweli Devi n'a Tina mnapendezana❤❤🎉
@Mheshmedia
@Mheshmedia Сағат бұрын
Video zinabaniwa hapa KZbin siwezi tuma kila siku,,Msipitwe na muendelezo wa huba kesho..WhatsApp hii number niwaunge kwa magroup ya tamthilia zote za Azam na Magic Bongo +254 798799033 🇰🇪
@barnabasmarsel3876
@barnabasmarsel3876 Сағат бұрын
Noma sana🎉😂
@NeemaElisante-zd2dt
@NeemaElisante-zd2dt 2 сағат бұрын
Wameonesha wengine walivyopatwa na majanga na maisha Yao kubadilika like JB kibibi na wengine so it's interesting huba is good now
@TheresiaAndrea-hv9dg
@TheresiaAndrea-hv9dg 2 сағат бұрын
Yaani hadi raha. Maisha yamegeuka mgongo mbele kifua nyuma.
@NshimireWilermine
@NshimireWilermine 2 сағат бұрын
Ndio movie inaanza
@fatmatraashidu8522
@fatmatraashidu8522 2 сағат бұрын
Upuuzi Mtupu director Kazinguwa huyu Tena Kazinguwa Hasaa kaishiwa amalize huu Upumbavu
@MwajumShaban
@MwajumShaban 2 сағат бұрын
😂😂😂​@@TheresiaAndrea-hv9dg
@MwajumShaban
@MwajumShaban 2 сағат бұрын
​@Nshi😂😂😂kabsa bado ndio kwanza inaanza mireWilermine
@Busweluhardware
@Busweluhardware Сағат бұрын
Mm kwakweli naham nimuone nicole alivo pigika kijijin 😂😂😂😂😂😂😂😂
@ElilumbaElibariki
@ElilumbaElibariki Сағат бұрын
😂😂😂
@WinnyMurutu
@WinnyMurutu 24 минут бұрын
😂😂 Mimi pia
@EnockBusungu-ky6rz
@EnockBusungu-ky6rz Сағат бұрын
Kibibi ana miguu mizuli sana
@CarolineImbwaga
@CarolineImbwaga Сағат бұрын
Mm nachanganya watu
@beachboyscrew8987
@beachboyscrew8987 Сағат бұрын
Kibibi mwehu gani ana kope😅 aaah asante dada umetuweza ss
@dynahjohnnie7112
@dynahjohnnie7112 38 минут бұрын
Sasa kope si alikua nazo ijumaa ilopita jmn kabla hajawa mwehu😂😂 alivotok makaburin
@JaneAdabu
@JaneAdabu Сағат бұрын
Kama Huba ndo hivi Bora mfikie tuu conclusion tujue moja, Yani Amna mvuto Tena😏😏😏
@khadijaacute
@khadijaacute Сағат бұрын
Jamn hivi hii move huwa haiishii man niya zamn mno😊😊😊itaish lini assee
@Mheshmedia
@Mheshmedia Сағат бұрын
@@khadijaacute Video zinabaniwa hapa KZbin siwezi tuma kila siku,,Msipitwe na muendelezo wa huba kesho..WhatsApp hii number niwaunge kwa magroup ya tamthilia zote za Azam na Magic Bongo +254 798799033 🇰🇪
@ClaudineMyanda
@ClaudineMyanda Сағат бұрын
Sasahivi nakaribia kuwa na watoto wa 3😂😂
@Lucy-v3y
@Lucy-v3y Сағат бұрын
Devi na tima nawapenda ak
@EvaBaya-f5q
@EvaBaya-f5q Сағат бұрын
Siangalii huba tena😂😂😂pumbavu sana
@LightnessMbunga
@LightnessMbunga 2 сағат бұрын
Kibibi you have played😍 it is not easy😢
@Mheshmedia
@Mheshmedia Сағат бұрын
Video zinabaniwa hapa KZbin siwezi tuma kila siku,,Msipitwe na muendelezo wa huba kesho..WhatsApp hii number niwaunge kwa magroup ya tamthilia zote za Azam na Magic Bongo +254 798799033 🇰🇪
@elizabethmahenzo7220
@elizabethmahenzo7220 Сағат бұрын
❤❤❤❤
@RithaSwai-b3v
@RithaSwai-b3v Сағат бұрын
Jamani mm cjahielewa huba Nini kimetokea😅😅😅😅
@Mheshmedia
@Mheshmedia Сағат бұрын
Video zinabaniwa hapa KZbin siwezi tuma kila siku,,Msipitwe na muendelezo wa huba kesho..WhatsApp hii number niwaunge kwa magroup ya tamthilia zote za Azam na Magic Bongo +254 798799033 🇰🇪
@SamiaLamama-zf6hk
@SamiaLamama-zf6hk 2 сағат бұрын
Maisha bhana kubadilika ni segond kutafuta utajil ni kazi ngum sana su birahisi Ila kutoka kwenye utajili kuingia kwenye ufukara ni seconde polen sana. Usiombe ikakukuta ndo utaamibi kama hiyi ishu ya huba ipo
@alendavedpatrick1651
@alendavedpatrick1651 Сағат бұрын
Upuuzi mumefanya sana yaani hamueleweki mumeharibu kirakitu siangariii tena
@AnastaziaMartin-u2s
@AnastaziaMartin-u2s Сағат бұрын
Mbona nzuri TU ,angalia utaielewa baadae
@شاميمشاميم-ر9ت
@شاميمشاميم-ر9ت 2 сағат бұрын
Jamani devi na tima kwakweli wanifurahisha sana kwa upendo wenu ❤❤❤❤❤nawapenda sana
@lovegirls3713
@lovegirls3713 56 минут бұрын
❤❤🎉🎉🎉
@Mheshmedia
@Mheshmedia 53 минут бұрын
Video zinabaniwa hapa KZbin siwezi tuma kila siku,,Msipitwe na muendelezo wa huba kesho..WhatsApp hii number niwaunge kwa magroup ya tamthilia zote za Azam na Magic Bongo +254 798799033 🇰🇪
@jubaidamiss2409
@jubaidamiss2409 2 сағат бұрын
Next ❤❤❤❤❤🎉🎉
@Mheshmedia
@Mheshmedia Сағат бұрын
Video zinabaniwa hapa KZbin siwezi tuma kila siku,,Msipitwe na muendelezo wa huba kesho..WhatsApp hii number niwaunge kwa magroup ya tamthilia zote za Azam na Magic Bongo +254 798799033 🇰🇪
@DommyAbasy-cn5nc
@DommyAbasy-cn5nc Сағат бұрын
kibibi what! Is Happened 🙆🙆
@faridampimbi9118
@faridampimbi9118 2 сағат бұрын
Jaman tima ana kasura katam
@Mheshmedia
@Mheshmedia Сағат бұрын
Video zinabaniwa hapa KZbin siwezi tuma kila siku,,Msipitwe na muendelezo wa huba kesho..WhatsApp hii number niwaunge kwa magroup ya tamthilia zote za Azam na Magic Bongo +254 798799033 🇰🇪
@ChristineKadzo-hf4uq
@ChristineKadzo-hf4uq Сағат бұрын
Jamen mm mbona mm sielewi hii hubs si MTU anifungue macho
@VerdianaNgonyani
@VerdianaNgonyani Сағат бұрын
Kwan hii huba imekuaje jamani
@saumunassor1507
@saumunassor1507 2 сағат бұрын
Acheni zenu hiii pambe mno 😂😂,, I like it 😅
@Mheshmedia
@Mheshmedia Сағат бұрын
Video zinabaniwa hapa KZbin siwezi tuma kila siku,,Msipitwe na muendelezo wa huba kesho..WhatsApp hii number niwaunge kwa magroup ya tamthilia zote za Azam na Magic Bongo +254 798799033 🇰🇪
@hidayachanga4774
@hidayachanga4774 Сағат бұрын
Au ndo inakwenda kuisha😊
@priscakibona8296
@priscakibona8296 Сағат бұрын
Huba can run someone crazy
@Mheshmedia
@Mheshmedia Сағат бұрын
Video zinabaniwa hapa KZbin siwezi tuma kila siku,,Msipitwe na muendelezo wa huba kesho..WhatsApp hii number niwaunge kwa magroup ya tamthilia zote za Azam na Magic Bongo +254 798799033 🇰🇪
@RozPeter-s5z
@RozPeter-s5z Сағат бұрын
Nimeipenda JB na kibibi wanavyoteseka maan walikuwa wanajiona wao ndo wao!!!
@rahmasalim5252
@rahmasalim5252 Сағат бұрын
Pengine hata ni ndoto😂😂😂
@Mheshmedia
@Mheshmedia Сағат бұрын
@@RozPeter-s5z Video zinabaniwa hapa KZbin siwezi tuma kila siku,,Msipitwe na muendelezo wa huba kesho..WhatsApp hii number niwaunge kwa magroup ya tamthilia zote za Azam na Magic Bongo +254 798799033 🇰🇪
@yustinabayo5974
@yustinabayo5974 2 сағат бұрын
🤣🤣🤣🤣 hatuelewii kumbe wengii yanii nipo nacheka mwenyewee🤣🤣🤣
@MwasitiOmmary
@MwasitiOmmary 2 сағат бұрын
Hadi mm😂www
@TatuAlli
@TatuAlli Сағат бұрын
Yn mnatuchanganya sana sio vzr yn ctaki kufatilia huba tena mnatuboa bwana
@MgeniSalim
@MgeniSalim 2 сағат бұрын
Duh walipatwa nin
@MwactyPatrick-dk4ls
@MwactyPatrick-dk4ls 2 сағат бұрын
Ila huba mlichotufanyia😫👋mm kuangalia tena huba mniite mbwa tena mimi nipoteze bando kisa huba apana acha nibaki kwa jua kali t walahi khaaaa yaan jua kali wanakera ila huba n too much😢
@MaryWisdom-is7cf
@MaryWisdom-is7cf 2 сағат бұрын
Mimi ata sielewi jmn nini kinaendelea
@arafatahir5848
@arafatahir5848 2 сағат бұрын
Wote wapuuz
@fatmatraashidu8522
@fatmatraashidu8522 2 сағат бұрын
Asante Sana , Upumbavu kabisaaaa huu
@DominicaDamianTuseko
@DominicaDamianTuseko 48 минут бұрын
Sasa kibibi kuzungukazunguka ndio nini alitakiwa aujue ubaya aliowatendea wenzake .aelewe sasa mkimrusha Akili siopoa jamani
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 2 сағат бұрын
Nami sielewi hii huba ya leo ebu acheni utani😂😂😂😂😂😂😂😂 anae elewa aniambie plz😢
@wangagirl3508
@wangagirl3508 2 сағат бұрын
Haya mimi nko hapa nikuchanue😂😂 tumeingia kwa season 2 to maisha mpya sasa 😂😂episode 2 upo kila kituu kimebadilika
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 2 сағат бұрын
@@wangagirl3508 ila duh sio kwa kibibi kukosa makao na Kuwa kichaa😂😂😂😂😂😂
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 2 сағат бұрын
@@wangagirl3508 Asante mwaya Jana nilipitwa Naona Niko Dunia nyengine😂😂😂😂😂
@wangagirl3508
@wangagirl3508 Сағат бұрын
@@zahraabdul9652 nakwambia kibibi anafa hivyo mapaka kukosa mtoto 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@wangagirl3508
@wangagirl3508 Сағат бұрын
@@zahraabdul9652 usijali dadangu❤️❤️❤️
@bettyfuraha4796
@bettyfuraha4796 2 сағат бұрын
JB nomaa
@Mheshmedia
@Mheshmedia Сағат бұрын
Video zinabaniwa hapa KZbin siwezi tuma kila siku,,Msipitwe na muendelezo wa huba kesho..WhatsApp hii number niwaunge kwa magroup ya tamthilia zote za Azam na Magic Bongo +254 798799033 🇰🇪
@shakilasharifa9
@shakilasharifa9 2 сағат бұрын
Jb kimempata nini Tena ulipendea hela utajua hujui
@OvidiadafilomenaBentocristovao
@OvidiadafilomenaBentocristovao 18 минут бұрын
Kwani uyo dada ni Jenifer wa kanumba?
@evodyurassa1358
@evodyurassa1358 51 минут бұрын
sidi anakunbuk hel bdo😢
@WandoPaul
@WandoPaul 3 сағат бұрын
Kwani hii huba ya lini😂😂
@أمنعمان-س4د
@أمنعمان-س4د 2 сағат бұрын
hii ni baada ya mazishi ilipita miezi mitatu ikavuruga
@AlvetaNestory
@AlvetaNestory 2 сағат бұрын
Happy karudi ushahilin
@wangagirl3508
@wangagirl3508 2 сағат бұрын
😂😂😂😂nakwambia amerudii kwa matapishii yake
@AsmaAyoub-n1k
@AsmaAyoub-n1k 3 сағат бұрын
Wafwatiaji kwaumaki tupo twaelewa kinachoendelea au vip
@AblaAdam
@AblaAdam 2 сағат бұрын
Ndiyo tunaendelea kuelewa mbona ya Jana ilielewesha baada ya miaka 3 ndiyo mambo yakageuka
@DorcusMulokozi
@DorcusMulokozi Сағат бұрын
​@@AblaAdammiezi 3 sio miaka dear
@EngelLameck-nz5nk
@EngelLameck-nz5nk 2 сағат бұрын
Kimbunga Kilicho pita kwenye huba ni kikali balaa 😅😅😅Hali ni mbaya sana
@MaAa-qq1sq
@MaAa-qq1sq 2 сағат бұрын
😂😂😂😂kimbuka kidogo😂😂
@Mheshmedia
@Mheshmedia Сағат бұрын
Video zinabaniwa hapa KZbin siwezi tuma kila siku,,Msipitwe na muendelezo wa huba kesho..WhatsApp hii number niwaunge kwa magroup ya tamthilia zote za Azam na Magic Bongo +254 798799033 🇰🇪
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 58 минут бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@elvinakalu6991
@elvinakalu6991 Сағат бұрын
Sidi kitakuramba 😂😂😂😂
@MsAggie5
@MsAggie5 Минут бұрын
Napenda sana anayopitia, mtu mzima hovyoooo
@RuthCharles-u4j
@RuthCharles-u4j Сағат бұрын
Hii huba vipi
@Mheshmedia
@Mheshmedia Сағат бұрын
Video zinabaniwa hapa KZbin siwezi tuma kila siku,,Msipitwe na muendelezo wa huba kesho..WhatsApp hii number niwaunge kwa magroup ya tamthilia zote za Azam na Magic Bongo +254 798799033 🇰🇪
@magdalenamchau708
@magdalenamchau708 2 сағат бұрын
Huba imekua kma isidingo😅
@mwaminishakalili4120
@mwaminishakalili4120 3 сағат бұрын
Jamani sasa inakuaje ?jamani ??? Nini kinaendelea kwenye huba ??????
@Busweluhardware
@Busweluhardware 2 сағат бұрын
Mpaka useme😂😂😂😂😂
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 2 сағат бұрын
😂😂😂mi mbona naelewa taratibu tulia utaelewa
@wangagirl3508
@wangagirl3508 2 сағат бұрын
Hello huba imeisha kwa episode 2 maisha lzm ibadilike😂😂nadani kufikia hapo mumenielewa
@shemsa_salum
@shemsa_salum 2 сағат бұрын
😂😂😂😂
@Mheshmedia
@Mheshmedia Сағат бұрын
Video zinabaniwa hapa KZbin siwezi tuma kila siku,,Msipitwe na muendelezo wa huba kesho..WhatsApp hii number niwaunge kwa magroup ya tamthilia zote za Azam na Magic Bongo +254 798799033 🇰🇪
@AminaTsofa
@AminaTsofa Сағат бұрын
Mtu akifilisika hafilisika hivi. Mwanzo hatukuona vile chidi alishikwa na hatujua nini kilitokea kwa kibibi au kwa JB ndio wawe hivyo. Hapa mumetucheza baana 😢
@KhadijaTwaha-z3t
@KhadijaTwaha-z3t 2 сағат бұрын
Huba bana.yaani miezi mitatu ndo chidi haelewi kitu😅😅😅😅
@Maymuna-wc8lz
@Maymuna-wc8lz 2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@wangagirl3508
@wangagirl3508 2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂
@gloryjimson9831
@gloryjimson9831 Сағат бұрын
Miaka au miezi
@Maymuna-wc8lz
@Maymuna-wc8lz Сағат бұрын
@@gloryjimson9831 miezi 3
@MwanaidyNassoro-s5d
@MwanaidyNassoro-s5d Сағат бұрын
Kwan kibibi amekuwaje jaman 😮 mwenye kujua anifahamishe please 🙏
@barnabasmarsel3876
@barnabasmarsel3876 Сағат бұрын
Hakuna anaejua mana wote ni mashahidi na imekuwa ghafla🙌
@AminaMgenzi
@AminaMgenzi 3 сағат бұрын
Aby na nelly waowane tu maana akli zao 😂😂😂
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 3 сағат бұрын
Mke nature Mbona Hao Walisha Owana hahahahhah kinamlamba Nelly penda penda
@dianageorge-wm2pt
@dianageorge-wm2pt 3 сағат бұрын
We ni mgeni wa hii tamthilia et
@BintHassan-o1y
@BintHassan-o1y 3 сағат бұрын
Yuwamaanisha kuoana ni real life❤
@LucyCornery
@LucyCornery 3 сағат бұрын
@@dianageorge-wm2pt😂😂😂😂😂
@MarianNdunde
@MarianNdunde 2 сағат бұрын
😂😂😂😂
@rahmasalim5252
@rahmasalim5252 Сағат бұрын
Next week wote watakua matajiri jb na kibibi walah ntahama huba😂😂😂
@ashamjeni292
@ashamjeni292 Сағат бұрын
😂😂😂😂😂kibibi ywaniumiza mbavu
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 2 сағат бұрын
Ebu muniambie nini chaendelea kwa huba 👀👀👀 ama naota
@ArafaAlly-jy1df
@ArafaAlly-jy1df 2 сағат бұрын
Kwakweli me mwenyewe sielewi
@NurahMummy
@NurahMummy Сағат бұрын
Kibibii😅😅😅
@Mheshmedia
@Mheshmedia Сағат бұрын
Video zinabaniwa hapa KZbin siwezi tuma kila siku,,Msipitwe na muendelezo wa huba kesho..WhatsApp hii number niwaunge kwa magroup ya tamthilia zote za Azam na Magic Bongo +254 798799033 🇰🇪
@AbigailDama
@AbigailDama 50 минут бұрын
Mbona mumeturudisha nyuma hivi🤔🤔🤔☹️☹️☹️
@WinnyMurutu
@WinnyMurutu 22 минут бұрын
Baada ya miezi mitatu sio nyuma bali ni mbele
@WemaWaksoniKatina
@WemaWaksoniKatina 2 сағат бұрын
Mhh jamani Huba mbona inaenda kas sana
@Maria-l4h3q
@Maria-l4h3q Сағат бұрын
Monica na Fabrizio wako wapi
@lizmilessmiles5280
@lizmilessmiles5280 2 сағат бұрын
Wange tuonyesha vile maisha ilivyo badilika,fei yuko wapo,monica,fabrizo na kashauro.yani kulienda aje hadi jb akawa tena haongei na nelly.
@Mheshmedia
@Mheshmedia Сағат бұрын
Video zinabaniwa hapa KZbin siwezi tuma kila siku,,Msipitwe na muendelezo wa huba kesho..WhatsApp hii number niwaunge kwa magroup ya tamthilia zote za Azam na Magic Bongo +254 798799033 🇰🇪
@MirrymirryMirrymirry-b8o
@MirrymirryMirrymirry-b8o 2 сағат бұрын
Kibib kimemlamba jeur lote kwishney
@SmilingPanther-uw7sz
@SmilingPanther-uw7sz 3 сағат бұрын
Jaman mm sijaelew imekuwaj
@sharifamahamudu182
@sharifamahamudu182 Сағат бұрын
Mbona sielew
@aishaomar9621
@aishaomar9621 2 сағат бұрын
Hku kulikoni jamani SI mtuelezee😂😂😂😂😂
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂
@aishaomar9621
@aishaomar9621 2 сағат бұрын
@@zahraabdul9652 naulizia maana mmbo shagalabagala Huba wanaiboesha mara leo jb n tajiri mara maskini n hatujui kuliendaje 🤣🤣
@Ubahalpha
@Ubahalpha 2 сағат бұрын
😂😂😂
@ShatuMnyama
@ShatuMnyama Сағат бұрын
Hii huba ni movie au ni dunia mana ni miaka sasa bado inasonga tu
@Beb-r9v
@Beb-r9v Сағат бұрын
😂😂
@khadijaacute
@khadijaacute Сағат бұрын
​​@@Beb-r9vkwakwery move Ina miaka takribani 17😂😂
@JaneAdabu
@JaneAdabu Сағат бұрын
Kwani Huba mnakwama wapi Yani mambo tafrani😏😏
@RithaSwai-b3v
@RithaSwai-b3v Сағат бұрын
Kiukweli huba unatuchanganya ndio ss
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa Сағат бұрын
Yaan ata kweny maisha ya uhalisia hakna kitu kam hicho 😂😂😂😂 wamezid
@annastaziaemmanuel8664
@annastaziaemmanuel8664 2 сағат бұрын
Mimi cjaelewa ni nn kimewasibu mwenye kuelewa anisaidie kunielewesha plz
@rebeccamayo911
@rebeccamayo911 Сағат бұрын
Me mwenyew sielew
@leilaahamad8989
@leilaahamad8989 2 сағат бұрын
Huba nmewaelewa tima na devi wako vzuri cos wanamapenz ya kweli
@NeemaGeorge-t1u
@NeemaGeorge-t1u 2 сағат бұрын
Huba wote masikin kasoro tim na devi lakin nishaon ukitenda wem utalipwa wem
@MaryKimbusu-r1v
@MaryKimbusu-r1v 34 минут бұрын
Sas Happy wawatu alimfanyia nan ubaya
@TatuWazil-wp3tq
@TatuWazil-wp3tq 2 сағат бұрын
Ata sielew jamn huba imekuwaje
@Maymuna-wc8lz
@Maymuna-wc8lz 2 сағат бұрын
Kwahyo mtu Akikaa Baada ya Miezi 3 huwa Anasahau😂😂😂😂 Ila Chidy
@rahmahamad5005
@rahmahamad5005 Сағат бұрын
Kibibi kawa mwizi😅😅😅😅😅
@roswitaexavery3378
@roswitaexavery3378 2 сағат бұрын
Huu niusenge sielewi kabisa
@fatmatraashidu8522
@fatmatraashidu8522 2 сағат бұрын
Tena Usenge haswaa
@bettymuks7072
@bettymuks7072 2 сағат бұрын
Am very sure Monica ndo anamiliki nyumba ya Kibibi kwa sasa😅
@mwajumaallyally23
@mwajumaallyally23 2 сағат бұрын
😂😂😂
@margrethmbalinga8338
@margrethmbalinga8338 Сағат бұрын
Kuigiza huku😂😂 jmn kibibi
@Mheshmedia
@Mheshmedia Сағат бұрын
Video zinabaniwa hapa KZbin siwezi tuma kila siku,,Msipitwe na muendelezo wa huba kesho..WhatsApp hii number niwaunge kwa magroup ya tamthilia zote za Azam na Magic Bongo +254 798799033 🇰🇪
@NeemaGeorge-t1u
@NeemaGeorge-t1u 2 сағат бұрын
Nelyy ana mimb au
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 3 сағат бұрын
Kumbe Mhesh media bado ipo😂😂
@Mheshmedia
@Mheshmedia Сағат бұрын
😅😅bado tupo tena saana
@Mheshmedia
@Mheshmedia Сағат бұрын
Video zinabaniwa hapa KZbin siwezi tuma kila siku,,Msipitwe na muendelezo wa huba kesho..WhatsApp hii number niwaunge kwa magroup ya tamthilia zote za Azam na Magic Bongo +254 798799033 🇰🇪
@IreneLwambo2021
@IreneLwambo2021 2 сағат бұрын
Tulotoka kwenye Kwenye komboa familia na kuja huku tujuane
@شاميمشاميم-ر9ت
@شاميمشاميم-ر9ت 2 сағат бұрын
Sidi vipi maisha yamekupiga ee😂😂😂😂
@HawaaRajab-jf2pt
@HawaaRajab-jf2pt 2 сағат бұрын
Ikiukweli Mimi hata sielewi kabisa
@Marmar-xh3rx
@Marmar-xh3rx 2 сағат бұрын
Huyu JB kwenda kijijini sio issue Tunajua mizim huwa inamramba kofi moja anadondokea kijijin😂 Chid kutoelew ni kwasababu alifungwa na kibibi et kamuulia mtoto sasa karud watu ni maskin haelew Happy nae alikuwa na mali za JB zote zimeyeyuka, kwa kibibi ndo sielew ila nahis ni laana ya watu alowaua
@wangagirl3508
@wangagirl3508 2 сағат бұрын
Kibibi na jb bwanae😂😂😂maisha ndio imewapiga mbaya sanaa na sidiii😂😂😂😂😂😂
@Busweluhardware
@Busweluhardware Сағат бұрын
Maisha imewashenyeta😂😂😂😂😂😂
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 Сағат бұрын
Kibibi kawa kicha 😅😅😅
@fatmatraashidu8522
@fatmatraashidu8522 2 сағат бұрын
Jamaniii hivi Director wa Huba kama kaishiwa si angeimalizaa tuu hii Ushenzii,ni nini hiki kimekuwa!?! Khaaaaaaaaaaaaaaa 🤨🤨🤨
@WinfridaChinji
@WinfridaChinji 2 сағат бұрын
Kabisa
@Nuru9568
@Nuru9568 2 сағат бұрын
Mashokolo magen haya😂toka jana sielew chochote😂
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 2 сағат бұрын
Kheri umeona Jana me hiyo ya Jana sijaona kutokana na uchovu😢
@MwanaHussein-s2n
@MwanaHussein-s2n 3 сағат бұрын
24..seven😢
@Mheshmedia
@Mheshmedia Сағат бұрын
Video zinabaniwa hapa KZbin siwezi tuma kila siku,,Msipitwe na muendelezo wa huba kesho..WhatsApp hii number niwaunge kwa magroup ya tamthilia zote za Azam na Magic Bongo +254 798799033 🇰🇪
@KeaSaid-q5u
@KeaSaid-q5u Сағат бұрын
Kwani nimetoka jela kuona huba ilipofika?😂
@SalinaSherono
@SalinaSherono Сағат бұрын
Hizi ndio gani tena hata sihelewi jamani aki huba hii poa kbsa
@ممال-ن8ظ
@ممال-ن8ظ 2 сағат бұрын
Huku kwaendelea nn jamani sielewi
@MwanaHussein-s2n
@MwanaHussein-s2n 3 сағат бұрын
Kwani kimbunga gani kimeipiga huba mbona sielew 😰
@pendolema2743
@pendolema2743 2 сағат бұрын
Yani imekuwa gafla sanaa
@MwanaHussein-s2n
@MwanaHussein-s2n 2 сағат бұрын
@@pendolema2743 yaani naona mapic Pic tyuuu
@فراحهكينيا
@فراحهكينيا 2 сағат бұрын
Ssa hii huba inaenda mbele au inarud nyuma🤷‍♂️
@PrantWayde-ym1ex
@PrantWayde-ym1ex Сағат бұрын
24 seven?? Au sijasikia vizur
@gloryjimson9831
@gloryjimson9831 Сағат бұрын
Masaa 24 siku 7 za wiki
@MwasitiOmmary
@MwasitiOmmary 2 сағат бұрын
Kibibi ndio nini😂😂😂😂
@geraldmwangira.4978
@geraldmwangira.4978 3 сағат бұрын
Abigail amemchoka Nelly anataka aombe talaka.
@maryswai490
@maryswai490 2 сағат бұрын
Fabrizo n monika???
@JacklineDavid-nz3fn
@JacklineDavid-nz3fn 2 сағат бұрын
Huba wote wamekuwa masikin😅😅😅
@zulfajamal3166
@zulfajamal3166 2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 nimecheka mpk nimelia
@Star-f4c
@Star-f4c Сағат бұрын
Mi mbna Kibibi simwelewi ndo kachizi ama
FULL:BINTI  MASIKINI ALIYEPENDWA NA TAJIRI|BAADAE IKAGUNDULIKA HIKI
14:35
MOVIE KWA KISWAHILI
Рет қаралды 7 М.
Mimi S01Ep31 (TV Series)
25:22
Elizabeth Michael
Рет қаралды 657
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 13 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 79 МЛН
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 94 МЛН
VITUKO VYA KWENYE DALADALA (EP1)
11:33
Steve Mweusi
Рет қаралды 36 М.
MKOBA WA MAMA Episode [ 4 ]  {S2 }  Tradition & Love story
22:20
TANU PLUS+
Рет қаралды 12 М.
HOUSE GIRL EP 39  | S3 | LOVE STORY 💞💕
21:28
BUSATI TV
Рет қаралды 24 М.
Это самый страшный парк в мире
0:19
Beastwyn
Рет қаралды 2,1 МЛН
Курьеры в шоке от заказов 😂 #сериал #топ
0:37
Топ по Ивановым
Рет қаралды 3,2 МЛН
Siblings compete
0:20
Adhemz
Рет қаралды 31 МЛН