Nabarikiwa sana ila wengine ni wakatoriki ni bora usiongee kuhusu dini
@GraceKassana7 ай бұрын
Mungu akubariki Pastar. Tunapokea hapa Kigali.
@ChristineMusyoki-d6z6 ай бұрын
Asante
@irenemwenda63746 ай бұрын
Nafuatilia sana na na barikiwa mtumishi wa mungu ubarikiwe. Sana
@lilianmbeyu6 ай бұрын
sijutii mda wangu kukusikiliza pastor umenipa hatua,nangojea kurudi na ushuhuda kwa platform hii
@jerubetjoan207 ай бұрын
Mafunzo mazuri kabisa, mtu ukifuatilia maisha yako itakuwa rahisi. Mtumishi Naomba number yako currently in gulf.
@Patience7637 ай бұрын
Amina amina mtumishi wa MUNGU nisaidieni na mimi kujazwa na Roho mtakatifu
@nancygathoni23917 ай бұрын
Follower from Kenya
@yvettembavu93067 ай бұрын
Anen Amen tunashukuru kwa mafundisho mazuri sana,yani ivi Pasteur ni family yote tunakufata wa mbali na karibu,siku moja Mungu akitujaliya tuta Fata ibada uko Tanzania
@lilianshivinah-w1n6 ай бұрын
Glory to God hallelujah
@happiness_7137 ай бұрын
Hakika wema nazo fadhili zitanifuata mm, siku zote za maisha yangu....
@gilbertwanje7 ай бұрын
Amina🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@LydiaKimaro7 ай бұрын
Amen Amen Mtumishi.
@KissaMwakatumbula-uo5te7 ай бұрын
Naomba maombi Mdogo wangu ameomba KAZI zaidi ya mwaka hajapata Naomba MAOMBI
@florencenshimi93537 ай бұрын
Amen. Mungu akubariki sana. Kila ninapokusikiliza nazidi kujitambua.
@haruonharounkithinji5747 ай бұрын
Niko Kenya nafuatilia maumbiri yAko mungu akubariki
@elimikamariki28206 ай бұрын
Nisaidie pastor nami ninene mara plz
@flowersofthelilly98657 ай бұрын
Amen. Very helpful
@Edinahnyaboke-b9o7 ай бұрын
Asate mutumishi wa mungu mafundisho mazuri 🙏🙏
@cerecere57587 ай бұрын
Nimekuona😅
@matildakilufi77397 ай бұрын
Amina 🙏 🙏
@RachelVugutsa7 ай бұрын
Natamani nisaidiwe nijanzwe nijue kuomba kwa lugha from Kenya
@JudithNinah-lr2wz7 ай бұрын
Thanks for the word of God, more bless and wisdom from kenya
@AlkaAlkk-ih5hy7 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu asante mafundisho mazuri, yamebadilisha maisha yangu, naomba number ya matoleo. From Kenya. Twapata shida sana ya kutuma zaka .
@Judith-mw4ys7 ай бұрын
Amen amen and amen 🙌🙏
@Daniella2497 ай бұрын
Amen Amen
@ChristineMusyoki-d6z6 ай бұрын
Pastor nikumbuke kwa maombi
@GraceKivolwe7 ай бұрын
Aminaa
@ElizabethMusyoka-xr4er7 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@cerecere57587 ай бұрын
Amen amen 🙏🙏
@andjelaabonga71377 ай бұрын
Namimi Nahomba msahada wamahombi tafadhali pamoja Namber ya Whasatup asant
@FrolahWillison7 ай бұрын
❤
@YusufuMkungu6 ай бұрын
Baba Mungu akubariki sana kwa masomo yako yananiinua sana
@naomitheobald1257 ай бұрын
Jamani Tunaomba no ya huduma tupate huduma ya vitabu.
@LydiaKimaro7 ай бұрын
Asante Niko kenya nahitaji namba ya what's up pls
@ChristineMusyoki-d6z6 ай бұрын
Niombee wokovu
@graceoyoo34187 ай бұрын
Naomba namba ya wtsap nami nijiunge
@matimfuko6412 ай бұрын
Naomba namba yenu ya wassap nijiunge kwenye grupu yenu ya maombi.
@ShukranKaristo6 ай бұрын
Naitwa mchungaji Petro nipo sumbawanga naitaji namba ya WhatsApp ninashida ya kujiunga kwenye taasis ya jrc Yani kufungua kanisa hilo
@SimaelNgendakuriyo7 ай бұрын
Najiunga nikiwa zambia
@kasokakutemba5617 ай бұрын
Naomba namba. Ya whatssap niko apa america
@savzai7 ай бұрын
Amen, naomba namba ya Whatsapp group Nami nijiunge nipo kenya