Amen,,nimeinuliwa sana kupitia mafundisho yako,,pia ninazidi kukua kiroho ninapo kusikiliza, isitoshe imani yangu inazidi kupanda kwa njia za ajabu,,,God bless you the man of God,,from Kenya.
@susanmariithi74658 ай бұрын
Amen am receiving the world of God from Kenya pastor you have made my life change in a special way I can't tell
@phyllisnanjlawafula4438 ай бұрын
God bless you man of God. Nabarikiwa sana kwa mafundisho nikiwa saudia arabia
@jerubetjoan208 ай бұрын
Kwa kufuatilia mahubiri yako pastor nimeona mkono wa Mungu, Mungu akubariki na akuinue zaidi
@Marie-AnneSenge2 ай бұрын
Nafunzwa kabisa kabisa, napokea kwa jina la Yesu❤Amina.
@ZawadiBruno4 ай бұрын
Namshikru mungu kwa Nemo la kunibadilisha katika viwango HIV
@Maua-y2c8 ай бұрын
Nimebarikwa sana na mafunzo yko pastor kutoka, 🇰🇪🇸🇦🙏🙏
@joselynenizi94752 ай бұрын
Asante mtumishi wa Mungu neno la Mungu alilo ripitisha kinywani mwako hakika limebadilisha maisha yangu jina lake Mungu ritukuzwe milele na milele Amina
@CatherineMwangi-m5e5 ай бұрын
Totally am blessed by your ministry. Am now growing inner me.
@RachelVugutsa8 ай бұрын
Amen,I hope one day Mungu atanipa ushuhuda wa kusema katika haya mazibao chini ya pastor George mukabwa
@YusufuMkungu7 ай бұрын
Mungu akubariki sana pastor
@neemakenga44887 ай бұрын
Aminaa barikiwa xna mtumishi
@shshygibb22364 ай бұрын
Good Morning Prophet Niko salama sana Namshukuru Mungu ni Mwema....walai mafundisho hayo unayofundisha...kwangu sio mafundisho....bali...True True Truthfulness pure ....True Prophecy ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤wooooooooow......Naomba kutoa Sadaka tujenge Hekalu la Mungu❤❤❤❤❤❤❤oye Niederoesterreich...St poelten ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@youngtone43337 ай бұрын
Naomba mungu anijali kipawa km chako
@leticialubala97215 ай бұрын
Namshukuru sana Mungu kwa kukuleta duniani na umekuwa baraka sana kwa kanisa la Kristo.
@rebecasteven5757 ай бұрын
Amen barikiwe sana Man of God
@glorykimaro56208 ай бұрын
Amen Nakua KIROHO Sana Mungu nisaidie na Malaika zako Amen
@emmanuelmukubwa92008 ай бұрын
Amen nashukuru Mungu kwa mafundisho yako Pastor, Nakufatilia kutoka Kenya Kakamega na nashuku wewe Pastor unatoka kwetu. Be blessed
@kelvinsewando10038 ай бұрын
Asante Sana unafundisha mambo ya MAANA Sana ambavyo wakristo wengi hatuvijui, barikiwa sana
@LydiaNasimiyu-h1n8 ай бұрын
Kwa hakika huu uchumbe ni waku barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu
@LydiaNasimiyu-h1n8 ай бұрын
God bless you psrt
@zenamgalula28287 ай бұрын
Amen,barikiwa Sana mtumishi wa Mungu
@NeemaMgaya-ez9un7 ай бұрын
Amina mtumish wako naguswa Na huduma yako
@MonicahJemutai8 ай бұрын
Amen pastor nimeinuliwa sana kiroho from Kenya.
@LydiaNasimiyu-h1n5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ nice message
@emmanueltungu-r2j8 ай бұрын
Ameen nimeinuliwa nimepokea Baraka zangu kwa jina la Yesu. Ameen.
@basilisapuka53218 ай бұрын
Asante Yesu kwa zawadi ya mtumishi wako Pastor George, Ubarikiwe sana kwani napata neema kwa mafundisho yako ya kila siku kutoka Italia.
@LydiaNasimiyu-h1n5 ай бұрын
Glory be to God
@SusanWangeci-m5i8 ай бұрын
Barikiwa sana pasta nafuatili nikiwa Kenya.
@EliaoleshengEa-pv8fu8 ай бұрын
Napenda sauti yako nzito kiasi na kunyoosha maneno sana inanifanya nikuelewe bila kusikiliza mara2. Barikiwa sana.
@AgnesNjeri-vi9kw7 ай бұрын
Wow the teaching is blessing my life
@LeahDavid-vb4br8 ай бұрын
Mungu akutunze mtumishi wa Mungu,umenipa kitu cha thamani sana,sana.
@NannyNanny-fo9yh8 ай бұрын
Amen,nabarikiwa sana na kuinuliwa na mafundisho Yako,nko Kenya
@jameskyumbu69598 ай бұрын
Neno nzuri la kujenga imani.
@JoyceGunda8 ай бұрын
Nimebarikiwa sana
@elizachilewa90658 ай бұрын
Nimefunguliwa mambo mengi kupitia mafundisho yako. Nabarikiwa sana
@PerisMbeche8 ай бұрын
God bless you so much Pastor Kwa mafundisho Yako nimeinuliwa sana kiroho kutoka Kenya
@gloryshiletiwa91258 ай бұрын
Barikiwa Baba kwa somo zuri
@LydiaNasimiyu-h1n8 ай бұрын
Ameeeeeen ameeeeeen
@shshygibb22364 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤oooh My Goodness oooh My Goodness unavichekedho pia kumbe....But ukweli pure .....simple as that❤❤❤❤❤❤❤❤😂oye True Prophet on the planet😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤Pastor Prophet George Mukabwa maubiri Yako haya ya Leo waaa yanapeana Kanda zote pande zote...kuanzia mashariki .to Magharibi....ukweli ukweli ukwelii . Baba Mtakatifu Embeneza...aendelee kukubariki❤❤❤❤❤❤❤True Prophecy from Prophet Padtor George Mukabwa ❤❤❤❤❤oye Niederoesterreich St poelten ❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉😂
@jacklinegodfrey29688 ай бұрын
Amina ubarikiwe sana mchungji Mungu akubariki najifunza mambo mengi sana ya kiroho. unanikuza sana kiroho
@LinetyNdenge8 ай бұрын
Amen mtumishi wa mungu
@carolineouma86608 ай бұрын
Mungu akubariki Sana unatubari Sana.
@AreliliaMunuo8 ай бұрын
Nimebarikiwa na somo Pastor nawafuatilia toka Malawi
@elizabetharafumin80878 ай бұрын
Asante pastor kweli imeniweka huru
@JoyceGunda8 ай бұрын
Nimejifunza mambo mazuri sana ya huduma ya malaika
@danielymwakalambile60958 ай бұрын
Amen naamini Mungu atatenda kwangu
@annatoliraphael16868 ай бұрын
Amen Mtumishi 🙏
@JoséKazonza8 ай бұрын
Ameeeeeeen je suis très édifiant avec cette parole Que Dieu vous bénisse pasteur 🎉
@yvettembavu93068 ай бұрын
Amen Amen Pasteur ninashukuru
@allenharrison45848 ай бұрын
Ameen Pastor nimebarikiwa na mafundisho
@isayafrancis98258 ай бұрын
Nabarikiwa sana na mahubiri yako pastor
@GodwinSimion8 ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu
@LydiaNasimiyu-h1n8 ай бұрын
Uyo ni roho wa Mungu ananena akiwa ndani Yako Kwa hakika sio wewe
@jameskyumbu69598 ай бұрын
Too much blessing be blessed again and again pastor.
@jameskyumbu69598 ай бұрын
From Kenya.
@totoshagileon-38 ай бұрын
Amen amen,am blessed,be blessed pastor 📛🙏🙏
@naseeralbishi47268 ай бұрын
Amen asante kwa mafundisho yako pastor
@magrethmkemwa92878 ай бұрын
Mungu anisaidie
@emmilynato64538 ай бұрын
Yani nabarikiwa sana
@Catherinewafula-ht2oq8 ай бұрын
From kenya
@Catherinewafula-ht2oq8 ай бұрын
Nabarikiwa Sana mung u azidi kukuinua
@DorryMnande8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂 Glory glory this the word of God❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@rumariletimba75858 ай бұрын
Amen, God bless you Man of God
@wawerusgremo71198 ай бұрын
Thanks God hear my humble prayers
@Paulo-wo2yy8 ай бұрын
Amina sana
@PraxyMakhulo8 ай бұрын
Amen 🔥🔥🔥
@EsterJimmy-o5j8 ай бұрын
Amen pastor
@ulderonyango8 ай бұрын
Waa I have learned alot
@andjelaabonga71378 ай бұрын
Tunashukuru kwa huduma zenu zote lakini muwe munatuingiza nasisi tunahomba msahada wamahombi kwenye huduma nasisi tuliko mnje asant mbarikiwe
@dianamahundi44648 ай бұрын
Ameen
@tumainichanya32688 ай бұрын
Amen, Amen,Amen.
@Justinakalogeza8 ай бұрын
Asante
@pedypedi59298 ай бұрын
Bitter truthfulness
@MaslinNelima8 ай бұрын
Amen amen
@Jenitojess6 ай бұрын
Kiswahili inanichanganya upande wa vitabu, please subtitles will help a lot, thank you Pastor
@tumainichanya32688 ай бұрын
Baba unatufundisha na kutufanyia tufurahi ujue unatustory flani unatoa unatufurahisha Sana,Yani nikiwa naisikiliza mafundisho yako huwa sipendi hata cm yoyote ipigwe mpaka nimalize Somo
@HusseinaRizwan8 ай бұрын
Father I need your help my husband doesn't care for me he only loves the second wife it's me ester hussaina
@preciousbuberwa98178 ай бұрын
Naomba Kujua Fungu la kumi tunatuma Kwenye namba hizo hizo??? naomba majibu