HUKU NDIO NILIPATA KAZI NIKATOKA BONGO NIKAJA MAREKANI/NYUMBA NYINGI WATU HAWAKAI WANAKUJA SUMMER TU

  Рет қаралды 9,289

Black Singapore

Black Singapore

Күн бұрын

Пікірлер: 59
@julianmsele3880
@julianmsele3880 5 ай бұрын
tupe raman mzee mbn kama hufunguk vizur
@pablomnyama
@pablomnyama 6 ай бұрын
Duuh ww umesha kuwa boss bro hiyo pesa unayo piga sio poa salutee
@BlaiseNdayongeje-wk6uj
@BlaiseNdayongeje-wk6uj 3 ай бұрын
Niko Nawe toka kamenge Burundi 🇧🇮🇧🇮
@BlaiseNdayongeje-wk6uj
@BlaiseNdayongeje-wk6uj 3 ай бұрын
Tupe micongo mzee
@nassibhassanali5082
@nassibhassanali5082 Ай бұрын
Raman sasa mkali wangu
@binabeid3980
@binabeid3980 4 ай бұрын
Hongera sn Askari wng umeupiga mwinyi sn hapo be up❤
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 6 ай бұрын
Dah pazuri kama green city mbeya
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 6 ай бұрын
Hapo kuzuri kuishi kuliko kwenye jiji katikati. Mazingira yametulia vizuri
@BlaiseNdayongeje-wk6uj
@BlaiseNdayongeje-wk6uj 3 ай бұрын
Tupe link ya iyo website yakutafuta kazi boss 🙏🙏
@aronindibalema4964
@aronindibalema4964 6 ай бұрын
Mbona kagera nyumba kama izo kibao tu vijijini kasoro lami
@chantalmanariyo8850
@chantalmanariyo8850 6 ай бұрын
Ok,sasa wanakula nini hapo sioni hata kakitu kakula !! Hamna soko!?
@ShooAmani
@ShooAmani 2 күн бұрын
Manyumba ya mbao yanaungua ndio maana mji ule umeteketea dhambi nyingi watubu
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 6 ай бұрын
Nikwambie kitu ndugu yangu,fanya jambo tukukumbuke daima ,jambo lenyewe jivunie japo kuwapa watu michongo ya KAZI watanzania wenzako waje huko u.s.a
@nassibhassanali5082
@nassibhassanali5082 Ай бұрын
Paspot ninayo
@enemtatuka5863
@enemtatuka5863 6 ай бұрын
Brother kak 😮😮😮wew nimtu muhim san
@OliverMacha-i1g
@OliverMacha-i1g 4 ай бұрын
Dear brother naomba mchongo jaman angalau na mie nikomboe familia yangu
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 6 ай бұрын
Hivi huogopi una tembea sehem ya hivo hakuna mtu hata mmoja anae pita kwa mguu!?🤔 kusema kweli panatisha😂
@salumrashidabdullashmely2558
@salumrashidabdullashmely2558 5 ай бұрын
Watu weupe si wanakuona kama nyani tu na miti hio. Ndio maana mbwa anakubwekea
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 6 ай бұрын
Safi chief 👏
@ShooAmani
@ShooAmani 2 күн бұрын
Misitu.kama hy moto ukitokea unafanyaje
@TheSadicLife
@TheSadicLife 6 ай бұрын
Kua makini sehemu za utulivu kama hizo ukiwa unatembea peke yako hasa kwa mtu mweusi. Kila la heri
@wariobamussa2462
@wariobamussa2462 6 ай бұрын
Big up mdogo wangu nakutakia kila la heri.......!
@blacksingapore
@blacksingapore 6 ай бұрын
@@wariobamussa2462 ahsante kaka🫱🏾‍🫲🏿
@SirajiRashidy
@SirajiRashidy 6 ай бұрын
Jamani tupeane michongo tuje uko mm passport kubwa Ninayo ni drive wa truck naenda congo
@charlesmajuto4664
@charlesmajuto4664 6 ай бұрын
Unyama mwingi saana huko
@suzanngowi5223
@suzanngowi5223 6 ай бұрын
Mkuu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@pablomnyama
@pablomnyama 6 ай бұрын
Hiyo mijengo kama masaki aise🤣🤣
@ahmedalfan8075
@ahmedalfan8075 6 ай бұрын
One day brother see you
@tunauzapweza3501
@tunauzapweza3501 6 ай бұрын
Kila la kheri mzee
@geofreytimothy5858
@geofreytimothy5858 6 ай бұрын
Naomba namba yako ya Whatsapp kaka. Nahitaji kuwasiliana na wewe tafadhali.
@kalishaban252
@kalishaban252 5 ай бұрын
Du kuzuri ila pamepoa sana
@HalifaSalim
@HalifaSalim 6 ай бұрын
From zanzbari
@liverpoolvsrangers2273
@liverpoolvsrangers2273 6 ай бұрын
Npo Seattle karibu sana kaka
@ajiratanzaniaonline
@ajiratanzaniaonline 6 ай бұрын
Mzee nakupataje aiseee
@blacksingapore
@blacksingapore 6 ай бұрын
Ahsante nakaribia
@edwinrobert3507
@edwinrobert3507 6 ай бұрын
Oiii Seattle pande zipi??tuchekiane
@gnaivasha
@gnaivasha 6 ай бұрын
uku inaonyesha ukiwa na lawncare company unapiga hela sana
@amianndeya8932
@amianndeya8932 6 ай бұрын
Wenzetu wanaheshimu sana mazingira na smartness, ukimkabidhi mbongo eneo hilo utashangaa mara amekata miti na kuchoma mkaa
@blacksingapore
@blacksingapore 6 ай бұрын
@@amianndeya8932 uko sahihi
@MohamedIddy-w2s
@MohamedIddy-w2s 6 ай бұрын
Ndg wasaidie watu number yako ya whats sap
@nellykibukila5677
@nellykibukila5677 6 ай бұрын
Kaka mimi ni saidiye na number yako ya simu nataka uni fafa nuliye kuusu kazi ,a shamba.
@hussenkarigo4496
@hussenkarigo4496 6 ай бұрын
Tupe michongo kaka natamani na mm nije kufanya kazi uko na kuishi niunganishe kaka
@InformationMarketer007
@InformationMarketer007 6 ай бұрын
Je una passport kwanza ?
@sharifukilongo2565
@sharifukilongo2565 6 ай бұрын
Passport, ipo
@InformationMarketer007
@InformationMarketer007 6 ай бұрын
​@@sharifukilongo2565 sawa je mpk Sasa umesave pesa ngapi Kwa ajili ya kuanza mchakato wa safari?
@InformationMarketer007
@InformationMarketer007 6 ай бұрын
Je mpk Sasa umetunza pesa ngapi Kwa ajili ya mchakato wa safari
@mangofish9079
@mangofish9079 6 ай бұрын
Hussein nchi za majuu hazina future tena migogoro mengi sana inakuja siku za karibuni
@Laizer3
@Laizer3 6 ай бұрын
WAZUNGU NDIO WAMESTAARABIKA ELIMU YAO IMEWAKOMBOA HUKU BONGO NI PACHAFU KILA MAHALI NI CHAFU.
@Kingsimonofficial
@Kingsimonofficial 28 күн бұрын
huwezi saidia watu wewe juu kama hutupei link za kazi now mbona unatupea? story za bure
@mpigadaud4180
@mpigadaud4180 6 ай бұрын
Kaka nipe no yako ya Whatsapp
She wanted to set me up #shorts by Tsuriki Show
0:56
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН
Vampire SUCKS Human Energy 🧛🏻‍♂️🪫 (ft. @StevenHe )
0:34
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 138 МЛН
OCCUPIED #shortssprintbrasil
0:37
Natan por Aí
Рет қаралды 131 МЛН
Nyumba za kupanga maisha ya Ughaibuni mji wa Newyork
28:17
Dnyota usa
Рет қаралды 2,7 М.
Hivi ndio mtu hu make quick cash in Yues!!
27:26
Huku Yues
Рет қаралды 171 М.
Maisha ya Marekani kipindi cha SNOW kali (Winter)
23:48
EBM SWAHILI
Рет қаралды 13 М.
RAFIKI AKAWA ADUI BAADA YA KUJUA MUME YUPO UK |MTANDAO UNAVYOSAIDIA KUANZISHA MAHUSIANO
1:35:30
VITU VYA KUOKOTA MAREKANI (USA) UNAWEZA UZA MTUMBNA TANZANIA
14:00
UJUE MSHAHARA WA KAZI YA KUBEBA TAKA MAREKANI🇺🇸
12:30
Black Singapore
Рет қаралды 4 М.