Wew muongo et unapekeka kusaidia wakati unavituma kwenu huko mwanza😂😂
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Wakwanza mie leo jmn naomben like ❤ kutoka UAE
@vipajitv1799 Жыл бұрын
Karibu
@Wanaharakati Жыл бұрын
Duhhhhh mpya kabixa anga zetu huku aisee @ACTOR BONGO MOVIE TZ @
@vipajitv1799 Жыл бұрын
Noma
@binabeid3980 Жыл бұрын
Thx so much bro unatupa material mzr sn na mungu Akubariki
@lydiajohn6865Ай бұрын
I like your show
@Mbeyaconscious Жыл бұрын
Duh! Huko Mbona Kamseleleko Kaka 😅😅😅😅 Tatizo Visa Tu! Ningekuja Kuokota Maisha Yangu Yote Na Kuleta Bongo 😂😂😂😂
@yasiniyussuph75879 ай бұрын
Hahaha Ety kamseleleko
@InformationMarketer0072 ай бұрын
Visa ukifuata taratibu unapata bila shida je kwanza una passport?
@isaacbrown8856Ай бұрын
Mtaa gan uo kaka
@CharityImaculate3 күн бұрын
Jaman me nataka kwenda ulaya nakupataje kupata information zaidi😢
@streetgenious4511 Жыл бұрын
Huko ni kutafuta hela ya kulipia kodi ya chumba na hela ya chakulatuu maana Matandiko kama yote mafriji
@vipajitv1799 Жыл бұрын
Noma 😂
@vickmakiko76447 ай бұрын
kwakweli
@nelsonmrutu3719 ай бұрын
Bro upo jimbo gani na mji gani?
@Happy-rm7gs10 ай бұрын
Nakuamini.❤
@chidy3067 Жыл бұрын
Kwann hamtaki kutupa connection za kuja huko mambele
@InformationMarketer0072 ай бұрын
Connection pesa tu Ukiwa nayo mbn kazi zipo nyingi tu na watu wanatakiwa ila Hadi uwepo kule
@BENEDICTMHINA-pd1kr8 күн бұрын
Vip Magari nayo yametupwa hapo au?
@GabrielSoromon6 ай бұрын
Nakubali sana kaka
@clarenduta13066 күн бұрын
Wee bro unaenda kudoneti au unaenda kufix Kwa nyumba yako,
@alijumamohamed8 ай бұрын
Sasa swali la kujiuliza wale wanosafirisha mizigo ya used,inakuwaje kwenye kusafirisha
@InformationMarketer0072 ай бұрын
Si wanasafirisha Kwa njia ya ndege au meli then wanalipia gharama ya mzigo mpk sehemu husika
@evancemsosa43792 ай бұрын
Camera man wako arudi shule Tena hajui
@seifkulwa3346 Жыл бұрын
Maisha Ni nguvu(energy), hivyo Basi wazungu wanaamini kitu kikitumika maanake kimejaa nguvu(energy) mbaya, ambayo inazuia flowing ya nguvu mpya na mafanikio ndo maana hivyo vilivyochakaa wanatoa ili kuleta neema nyingine ndani ya nyumba!
@vipajitv1799 Жыл бұрын
Kumbe
@prosperpatrick-nh5og2 ай бұрын
Ni ukweli sio Marekani TU hata nchi za Scandinavia eg.Denmark,Norway na Sweden wanafanya hayo.mf.miji ya Arboga, Mariaberg na Feringsbro.
@chatandaagain5526 Жыл бұрын
Noma
@vipajitv1799 Жыл бұрын
Hatar
@dinotelevision_tz Жыл бұрын
@juniortalent unaupiga mwingi🙌
@vipajitv1799 Жыл бұрын
Shukrani
@Jerryatz Жыл бұрын
unyama sana
@jacksonpetro49511 ай бұрын
Hapo ni jimbo gani au sehemu gani
@alijumamohamed8 ай бұрын
Simchezo YAANI hadi raha
@esthermachangu49702 ай бұрын
Bro hili jimbo gani
@bishootv2986 Жыл бұрын
Blood ❤😊
@vipajitv1799 Жыл бұрын
Shukrani
@bishootv2986 Жыл бұрын
Me na wew tena brouh♥️
@kennedymaster20006 ай бұрын
Navichukua nikavidoneti, acha usenge peleka gheto fala
@RehemaMwinyi-xs9bx4 ай бұрын
Naomba mawasiliano yako naomba please
@OfficialMsauzi Жыл бұрын
Connection kaka nipo tiari
@InformationMarketer0072 ай бұрын
Je passport unayo ?
@OfficialMsauziАй бұрын
@@InformationMarketer007 ndio ninayo
@CharityImaculate3 күн бұрын
Nipe namba yako tuwe weng
@EmanuelNicholaus-vn9gl8 ай бұрын
Kaka upo State gani?
@vipajitv17998 ай бұрын
Iowa now
@SamwelMisungwi3 ай бұрын
Usemi ni jimbo gani tatizo hilo
@chopstarkonga5250 Жыл бұрын
Mali sana
@vipajitv1799 Жыл бұрын
Shukrani
@PhabiolaMallya3 ай бұрын
Mbona hawatupi magari
@RashidRamadhan-fe7fb2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@iddimngazija1957Ай бұрын
Hata magari wanatupa
@BlaiseNdayongeje-wk6uj Жыл бұрын
Ni mutaa gani huyo????
@MwajumaOmar-sg1ob10 ай бұрын
Sasa rafikiangu unaniangusha kwenye kuandika mrundi mwenzangu sema mtaa gani huo nawala si huyo😅 mtaa sio mutaa😢