Allaah amuongoze huyu kijana , haelewi anachokiongea , kuna kifaa gani kinachtumika katika halali sasa hivi acha kuchanganya haki na batili, hakuna mja mwema yoyote aliyepiga ala za mziki.
@abalhakam40012 жыл бұрын
Mashallah Sidi.Tunashukuru sana kuweka Mafhumu haya kwetu kwani jamaa wa Ki-Makhawariji hutusumbua sana.Mola akuzidishie Ilm na UchaMungu na akupe himmah utupe Ilm kila siku Amiyn Amiyn Amiyn
@abdallahmaulidi11686 жыл бұрын
Mashaallah
@omarsalim979612 жыл бұрын
Very Informative Video Indeed
@khamisrubea50835 жыл бұрын
Heee nimepata mapya leo kweli dini pana sana
@mohamedseifpaz32484 жыл бұрын
Duuuuuh mziki unachukua hukumu zote tano inamaana upo uwezekano ukaskiliza mziki ukapata thawabu
@mzaramoabdallah17077 жыл бұрын
shukran sheikh kwa mawaidha.twapenda sana mawaidha yako
@abedabadi69210 жыл бұрын
sheikh mbarak..dalili za kuharamisha ngoma haziitwi shubha bali ni addilla..kwa sababu ni wanazuoni wa madhehebu ya wanazuoni wengi.
@abedabadi69210 жыл бұрын
Na msikize alhaytami asemaje..حكى الإمام البيهقي عن شيخه الإمام الحليمي -ولم يخالفه- أنَّا إذ أبحنا الدف فإنما نبيحه للنساء خاصة. أ.هـ. وعبارة منهاجه: وضرب الدف لا يحل إلا للنساء لأنه في الأصل من أعمالهن وقد لعن رسول الله صلى الله عليه وسلم المتشبهين من الرجال بالنساء) (كف الرعاع للهيتمي)
@jumaaibrahim83056 жыл бұрын
Shukran sana shekh mubaarak ttzo ni kwamba hao khawaarij hawahtaj taawiil wanataka misemo ije waz waz na huo ndio upofu walio nao
@NurdinKishik5 жыл бұрын
yaallaah
@lonelymaan509512 жыл бұрын
mashaAllllaaah alfaqeer
@abedabadi69210 жыл бұрын
Na nikuulize nyinyi,,tangu lini mwachukua qawl za ibn hazm anayekataa qiyaas???hehheee
@abedabadi69210 жыл бұрын
Wacha urongo sheikh mbarak..hakna aliesema haifai matwari siku ya harusi..wameambiwa wanaume ndio wasipige matwari..wacha tahriif na tadliis zako..sikiza ibn rajab asemaje..الحافظ ابن رجب في فتح الباري (6/82) : (ولهذا كان جمهور العلماء على أن الضرب بالدف للغناء لا يباح فعله للرجال؛ فإنه من التشبه بالنساء، وهو ممنوع منه، هذا قول الأوزاعي وأحمد، وكذا ذكر الحليمي وغيره من الشافعية ... فأما الغناء بغير ضرب دف، فإن كان على وجه الحداء والنصب فهو جائز. وقد رويت الرخصة فيه عن كثير من الصحابة)
@abedabadi69210 жыл бұрын
Hakuna m2 amekataa kuwa zafa ya harusii yafaa..kwa hvo istidlaal na aya ya jum3aa..hakna aliekataa.waleta usuul nyingi kharij mawdhi3 khilaaf.hii ni dalili dhidhi yako wala c ya kwako..kwa sababu limekubaliwa wakati wa harusi kwa ijmaa3.kwa hvo wasema mambo hujielewi.
@mashrab_hani12 жыл бұрын
Mashallah!!! Barakallah!!!\
@abedabadi69210 жыл бұрын
Vifaa vya nyimbo ni haramu na kwenye madhehebu ya shafii ambayo munadai kuifta..mtu akiharibu vifaa vinavyotumika katika kujipumbaza basi hatadhamini na hatamlipa..
@omarsalim979612 жыл бұрын
Hadith - Bukhari 7:494, soma hiyo
@abedabadi69210 жыл бұрын
Hiyo hadith amesema watu watahalalisha..(لَيَكُونَنَّ مِنْ أُمَّتِي أَقْوَامٌ يَسْتَحِلُّونَ الحِرَ والحريرَ والخَمْرَ والمَعَازِفَ))jee kma ni halali kwann m2me s.a.w alisema watahalalisha kma si haramu???
@abedabadi6929 жыл бұрын
mtume hakumwambia c vifaa vya shetani..alimwambia yakubaliwa idi
@abedabadi6929 жыл бұрын
hio ni khilaf ya dhahir na taawil isio sawa..imeekwa istihlal pamoja na zinaa na hariri ikimaanisha ni hukmu moja