HUKUMU YA KUJENGEA KABURI NA KUWEKA JINA NA TAREHE YA KIFO: SHORT CLIP WADHAKKIR. SHEIKH KISHKI.

  Рет қаралды 3,773

Kishki Online TV

Kishki Online TV

Күн бұрын

Пікірлер: 22
@MteleShadia-lc6gi
@MteleShadia-lc6gi Жыл бұрын
Mashallah mashallah shekh wetu nurdin kishik nakuelew vizr snaa,, Allah akuhfz sanaa
@Zamdayusuph-qb3lk
@Zamdayusuph-qb3lk 5 ай бұрын
Sultan sheikh mung akujaliye mwishomwem na wenyemanufaa ndan yake
@katore1982
@katore1982 Жыл бұрын
Assalamualaikum warahmtullah wabaraqthu sheikh kishki na team nzima nwasikiza kila mda ... kwetu Mombasa Kenya ila naiko ughaibuni Qatar, Allah awajaaliye kheir
@bentybenty2343
@bentybenty2343 Жыл бұрын
Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh.
@siriyangu4724
@siriyangu4724 Жыл бұрын
Walyekum mssalam warrahmathuallah wabarakathu amiin
@HassanHassan-ix7cj
@HassanHassan-ix7cj Жыл бұрын
Shukran Kwa huu ukumbusho
@siriyangu4724
@siriyangu4724 Жыл бұрын
Mashallah sheikh shukran jazzaka Allah khery
@ilhanmohasuleyman4568
@ilhanmohasuleyman4568 Жыл бұрын
mash allah shekh wetu❤❤❤
@omanmct135
@omanmct135 Жыл бұрын
Mashalllah shekh❤❤❤
@katore1982
@katore1982 Жыл бұрын
Swali langu ni kwamba je mtu asiyekuwa muislamu anaweza kujenga msikiti na waislamu wakawa wanaweza kuswali na je wakiswali swala zao zitakubaliwa, shookran jazzakaAllahukheir
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 Жыл бұрын
Shukraan sheikh 🥰
@abdulishaban7795
@abdulishaban7795 Жыл бұрын
Asalam alykum waramathulillaah wabarakat ndg zangu katka iman mm nauliza ivi nn maana ya jina HENZA katka dini yetu
@mohammedally696
@mohammedally696 Жыл бұрын
Assalam aleikum sheikh Yahya hichi kipindi ni Kila siku au
@fatumakushonda4277
@fatumakushonda4277 Жыл бұрын
Assalamualaikum,swali langu nimezoea kusoma km nalala,je nikiwa kwenye hali zangu naweza soma ama vp
@HassanHassan-ix7cj
@HassanHassan-ix7cj Жыл бұрын
Assalam Alaikum Warahamatullahi Wabarakathu
@bentybenty2343
@bentybenty2343 Жыл бұрын
Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh
@aminanahimana8759
@aminanahimana8759 Жыл бұрын
Waalaykumsalam warahmatullah wabarakaatu
@siriyangu4724
@siriyangu4724 Жыл бұрын
Walyekum mssalam warrahmathuallah wabarakathu
@bentybenty2343
@bentybenty2343 Жыл бұрын
😂😂😂😂Wallahi @Yahya umejua kunifraisha leo😅.Kuna mambo duniani nyinyi😊😊
@siriyangu4724
@siriyangu4724 Жыл бұрын
😂😂😂
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 ай бұрын
Usiseme wanazuoni shekhe sema mtume kakataza ndo mwalimu wetu wanazuoni wanafata dalili kutoka kwa mtume kujengea kaburi haifai watu wakaidi wanaiga mambo ya makafiri mayahudi na manaswara ukuta muislamu kajengea kabuli paka malu malu na vimuli muli vya taa juu Kama mkristo subuhana llah ndo tunasema tunampenda mtume kiunafiki kufata alikataza atutaki
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 5 күн бұрын
Huyutu mulabisi. huu ni uongo Eti Anakusanya kauli za wanazuoni zote. Ukiulizwa swali Nenda kwa dalili Moja kwa moja sio et wanachuoni hata mtu mjinga atadhani kwamba hawa wanachuoni wana nafas ya kuweka Sheria ktk Dini.
#LIVE: JE, YAFAA WANAWAKE KUZURU MAKABURI? | WADHAKKIR
1:38:36
Kishki Online TV
Рет қаралды 9 М.
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 29 МЛН
Random Emoji Beatbox Challenge #beatbox #tiktok
00:47
BeatboxJCOP
Рет қаралды 17 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 33 МЛН
KWANIINI SWALA ZINGINE TUNASWALI KWA SAUTI NA ZINGINE HATUTOI SAUTI
4:22
Ustadh Khatib Omar
Рет қаралды 10 М.
Sheikh Nurdin Kishki - Yanayobatilisha Matendo Mema
3:51
MAHAASIN TV SHORT CLIPS
Рет қаралды 2,2 М.
WAPIGA PICHA WA MWANZO WA SHEIKH KISHK WALIVYOELEZA YASIYOJULIKANA
12:45
Kishki Online TV
Рет қаралды 2,3 М.
MAKUNDI (2) YAWATAKAOENDA MOTONI || SHEIKH NURDIN KISHKI
35:37
AQ ONLINE TV
Рет қаралды 20 М.
INSPEKTA WA POLISI ASEMA MAZITO NA KUMPA ZAWADI SHEIKH KISHKI.
11:14
Kishki Online TV
Рет қаралды 17 М.
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 29 МЛН