Baba tupo pamoja hadi mwsho wa uhai wako na wetu wanaharakat achia nyimbo hyo haina mbwambwambwaa wangex hawataelewa.
@BabaZuu-fq8zj20 күн бұрын
Mtanzania yuko tayari alale njaa asiwe na ajira mjfano magufuri ameetuambia live hii nchi imepigwa mnoo nyinyi hamjui mimi ndy nawaambia ukweli uliona kuna mtanzania amestuka sisi ni maiti tu kaka roma unajisumbua we kama upo USA we kula maisha tu sisi ni zaidi ya maiti tupotupo tu