Asante sana shekhe kwa kutufundisha dawa mungu akupe kila kheiri na akujaalie uwe miongoni mwa waja wake wema atakaowaingiza peponi mungu akujaalie uwe mmoja wapo katika watu atakaowaingiza peponi na pepo yako iwe daraja LA juu ishaallah
@firdausassouman71152 жыл бұрын
Ma shaa Allah jazakallahu khairan
@aishahamad39044 жыл бұрын
Shukran Sheikh kwa Elim
@aminahhamed7474 жыл бұрын
Waalaikum salam warahmatullah wabarakatu shukran sana shekh somo zuri sana
@chimenyatvanganga80322 жыл бұрын
Nakupenda sana shehe kwa masomo yako
@salmasaidally31334 жыл бұрын
Shukran jazzka Allahkheri
@goldenqueen44843 жыл бұрын
TabarahAllah, Allah akuzdishie uzidi kutufafanua n sie ..
@daulatibrahim77654 жыл бұрын
Masha alllah. Jazakala Llah kheyr 🤲🏻
@AbdulRahim-z9cАй бұрын
Mwali tunakukubali mashaawah baraka wahu
@maryamkali95484 жыл бұрын
Subhanallah jaazakallah kheri
@nadiaalnamaani96034 жыл бұрын
Shukran sheikh allah swt akuzidishie ilmu
@alfajrtvtzonline93154 жыл бұрын
Amiiiin inshallah
@saeedsaeed73814 жыл бұрын
Masha Allah Swaahibu Al-Ashjar, this lecture was eyes opener, much much appreciate, BarakAllah feek Ameen yarab🙏🙏🙏
@alfajrtvtzonline93154 жыл бұрын
Amiiiin yaa Rabbi I was looking for your comment since yesterday i hope you was ok, may Allah rewarded you abundantly
@hajjihijja19894 жыл бұрын
Shukran shukran barakallahu fiika
@madinaabc48254 жыл бұрын
Mashallah, Thank u sheikh
@aishahamad39044 жыл бұрын
JazakaAllahu khair Sheikh
@aishaabdalla76244 жыл бұрын
Assalaamu alaykum. Ahsante sana sheikh kwa elimu zako za tiba nzuri tunazifurahia sana na insha allah allah akulipe kheri wa jazaaka llahu khayrah
@alfajrtvtzonline93154 жыл бұрын
Amiiiin
@fatumadiriye61624 жыл бұрын
Shukran sana sheikh
@virginiamutisya62163 жыл бұрын
Mashalla well explained God bless you
@BbBb-f7r7t Жыл бұрын
Shukran
@abdulwahidramadhan71344 жыл бұрын
Assalam.alaykum.shekh.unapatkana.wapi
@ibrahimabobakar29664 жыл бұрын
Waleikum salam jazakallahu kheir
@alshaqsi13694 жыл бұрын
Jazaka Allah khayr
@shaakirahmussa92914 жыл бұрын
Shukran sheikh
@salmasalim40904 жыл бұрын
Baraqallahu fik
@greatiq78353 жыл бұрын
Inshaallah
@chafionali46722 жыл бұрын
I can have the translation in English or in French ?
@khadijamohammed90404 жыл бұрын
A.alykum?mwalim umetaja sea shells inatumikaje hapo
@evelynekitumaini37072 жыл бұрын
Asante sana nachukuru kaka lakini kuna somo zingine umepana hatujuwe sasa kwawale wana soma biblia tufanyaje ?
@salummzee89083 жыл бұрын
dunia mbaya ila tuindekeza sana mambo haya utia ktk nafs utapotea kwa Allah imani yk itapotea kidogo dogo Allah ataleta kheir
@janethlima39382 жыл бұрын
Unapatikana wapi she?
@robatipaulo58544 жыл бұрын
Shehe mbona mm naotasana nafanya visomo nikitugani iko
@mohamedahmed-yj5rq4 жыл бұрын
sheikh pokea simu za watu kwanza
@zalhaally97174 жыл бұрын
Kwann ostadh ukipigiiwa sim unafanya dharau mwenyewe umeweka namba zako usaidie watu alafu unapigiwa unamfanyia MTU dharau sio vizur wallah na wala sijapenda ulivyonifanyia kama nimekukwaza samahan
@alfajrtvtzonline93154 жыл бұрын
Sawa shukran
@alfajrtvtzonline93154 жыл бұрын
Ulifanyiwa dharau gani
@zalhaally97174 жыл бұрын
Nimepiga cm tumeongea yan nikaawa sijapata maelekezo zaidi nakupigia cm unakata napiga unakata maana ake nn kama ulikua uko na mambo yako mengine ungeniambia kuliko kunikatia cm hujui nateseka kias gan nimeamua kukutafuta wewe nipate msaada wewe unafanya hivyo c vizur
@zalhaally97174 жыл бұрын
Ni bora umwambie MTU unakaz au uko busy kuliko kumkatia cm unamkatisha MTU tamaa
@alfajrtvtzonline93154 жыл бұрын
Kwa tabia hiyo hukufanikiwa kupata tiba dada angu elewa mazingira ya watu ninavosaidia ni vikubwa sana na jua anaewasaidia ni mwanadamu unapoona umekatwa sim fikiria mazuri na sio mabaya hujui alikua na dharura gani nachukia kuambiwa nna dharau na umenikwaza sana kwa ilo neno nachukua sana ila neno sijapenda
@machanorajab54614 жыл бұрын
Sawa shekhe kama unatembelewa na vitu mwilini jeè dawa yake