First to watch. It's fantastic as usual from Abal.
@anifaumutoniwase71666 ай бұрын
Napenda sana mafunzo yako,mungu akupe umli mrefu
@user133756 ай бұрын
Waislam na majini ni ndugu
@assinaassende75617 ай бұрын
Allah awape umli mulefu
@AMIZANTV6 ай бұрын
Huyu sheikh yuko vizuri sana ila baadhi ya watu wanapenda kukosoa kosoa kila kitu bila ya elimu
@rashidahamdun22477 ай бұрын
A.a
@ismailsoud36346 ай бұрын
Haha ndipo masheikh wetu wanapo anguka katika tafsiri ya majinni masheitwani, na hivi inatokana kwa kutozielewa vizuri aya za Qur'an maana yake. Mfano nauliza, Majinni wameumbwa kwa moto, je masheitwa wameumbwa kwa kitu gani? Nawatambulisha wasomaji kuwa hakuna kiumbe anaye itwa sheitwani aliye umbwa na Mwenyezi Mungu, ila sheitwani maana yake ni matendo kinyume na taratibu alizo amrisha Mola wetu. Wapingao AMRI IBILISI. (MTENDA MAOVU) kwa maana hiyo hata hawa maaheikh wanaopingana mitandaoni sijuwi tuwaiteje. Ni jambo ambalo Mungu halipendi.
@AMIZANTV6 ай бұрын
Ww ndio hujaelewa rudi tena kasome ibara shetani katokana na jini kwa hiyo mungu kaumba majini ambao walipoasi wakawa masheytwn