Sheikh wangu Allah akulinde na uendelee kutupatia darsa kama hizi
@MirajiNchemu Жыл бұрын
Ok wambie
@DiudaKozi-qu8sl5 ай бұрын
Acha kupotosha mzee wa kisufi
@khadujifuad93602 жыл бұрын
Shukran sheikh
@ttyyyyuuuuuu Жыл бұрын
*Arafah:* Ni pahali pako Maka panaitwa Arafah na hapo liko Jabali linaitwa Arafah au kwa kina jengine Jabal Arahma na mwaka mzima liko na pahala pako *Yaum Arafah:* Ni tareh tisa Dhul Hija ni siku inaitwa Arafah kwa wanao hiji wanatakiwa siku hio waweko pahala hapo ambapo panapoitwa Arafah, ni katika nguzo za Haji huko na wasio hiji kwao siku ya Arafah yaani tarehe tisa Dul Hija ni suna kwao kufunga. Kuita tarekhe kwa kitendo au tokewo ni kawaida, kama vile Aam Al Fill (Mwaka wa tembo), yaum nahar (siku ya kuchinja,) ayam tashriq, ayam tasii, yawm tarwiya, ayam biydh, aam huzn, siku ya mapinduzi, siku ya uhuru n.k. *Vitu viwili tafauti baina pahala na tarehe na kila pahala pana tarehe yake haitangulizwi wala hairejeshwi* Haikuthibiti Kuwa Mtume (ﷺ) baada ya kuhamia Madina alikuwa akipeleka wajumbe wake Maka ili walete habari za Mwandamo wa mwezi wa Maka kwa ajili ya wao wapate kufuata Mwandamo wa Maka na wapate Arafat Moja pamoja na Maka na pia haikuthibiti alipokuwepo Maka au alipohiji alikuwa akiwapeleka wajumbe wake katika Miji ya karibu kama Madina au Ttaif au ya mbali ili awape Waumini habari kuwa wafate mwandamo na Arafah ya Maka, kama inavyojuulikana zamani mlikuwa hamana mawasiliyano isipokuwa kupata habari kwa njia ya wajumbe. Kwa aliyekuweko katika nchi amabazo zimechelewa kuona mwandamo wa Mwezi basi si vibaya kwake ikiwa atafunga siku ya tarehe nane ya Dhul-Hijjah ya nchi yake ambayo itakuwa ni siku ya tarehe 9 ya Maka yaani ni siku ya Arafah ya Maka kisha akakamilisha kufunga siku ya Tarehe 9 ya nchi yake ambayo itakuwa ni siku ya Arafah kwake. Lakini muhimu asifunge siku ya yarehe 10 Dhul-Hijjah ya nchi yake ambayo ni siku ya Idi kwao.
@khamiisabubakar412 Жыл бұрын
Hivi karibuni utakuja sasa kusema swaumu ya Ramadhani s lazima iwe mwezi wa Ramadhani.....