Waalaykum salaam Nimekufahamu sheikh na shukran sana, ila je hivi tunavyoambiwa kuwa funga ya Arafa (tisa kwetu) ikiangukia ni tarehe kumi ya wanaosimama Arafa (ambayo ni Eid kwao) Je sisi wafungaji wa siku hiyo ni haiswihi funga hiyo na hupata dhambi kwa juu kwa vile ni Eid?