HUU NDIO UKWELI WA HALI YA MUNIR SA'AD,SHEIKH ANIS YAFI'IY حفظه الله تعالى

  Рет қаралды 569

 قناة الحق منصور

قناة الحق منصور

Күн бұрын

Пікірлер: 29
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 16 күн бұрын
Picha zake au sio zake
@hamisikaombwe
@hamisikaombwe 16 күн бұрын
Hakika Shaikh amemrudi kwa heshima
@hamisikaombwe
@hamisikaombwe 16 күн бұрын
Tunapata tabu na baadhi ya watu ukiwauliza tutajieni mahsaikh wakubwa mnaowaingatia wapo sawa ktk man-haj huko Yemen utaona wanaogopa kuwataja basi ajitokeze mmoja awataje basi maana kwa wanaomkosoa Shaikh Mohammda Al imam wananistaajabisha sana maana sijui wanataka kuuelekeza umma wapi? Ndio hapo ukiwauliza tuyajie basi mashaikh japo 3 mnaowatambua wanafunga midomo...
@Ibnsalim3
@Ibnsalim3 16 күн бұрын
HUYU NDIO MUNIR SA'AD AMBAE LEO HII KAWA NDIO MUFTI WA MASWAAFIQA WA TANZANIA SI SHANGAI KWSABABU YA HUYU SAWAFIQA KUPELEKEAA FUJO KUBWA NA MASLAK MABAYA AMBAYO MASWAAFIQA WA TZ WANACHUKUA KUTOKA KWA HUYU NA WENGINE KTK MASWAAFIQA ALLAH ATUHIFADHI NA HAWA MASWAAFIQA WAOVU
@AlmasAbdallah-r3g
@AlmasAbdallah-r3g 16 күн бұрын
Kwahiyo Salafy wa sawasawa hapa Tz wapatikan wapi?? Naomba kujua akhy
@abuusuhayl7830
@abuusuhayl7830 16 күн бұрын
Utakufa na chuki zako mpumbavu wewe kila siku kuchochea fitna..peleka huko uzanzibar wako
@Naasisvs-xd2yl
@Naasisvs-xd2yl 16 күн бұрын
UYO ANAE ONGEA AMEPEA TAZKIYA NA NANI KTK ULAMAAA WAKUBWA,
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 16 күн бұрын
​@@AlmasAbdallah-r3ghili swali hawezi jibu ,,,mana anajua sio masalafy wa kweli ,,,na sio wao walioubeba daawa salafiya,,wala daawa salafiya haijulikani kupitia wao.
@AlmasAbdallah-r3g
@AlmasAbdallah-r3g 16 күн бұрын
@ABUUJAAFAR92 Wanakwambia Qassim si lolote unakuta mjinga aloongea hilo neno kaijua hii da'awa kupitia sheikh Qassim.
@WazirrashadYussuf-um5uq
@WazirrashadYussuf-um5uq 16 күн бұрын
Haha ..... إذا عرف السبب بطل العجب...Sababu Sheikh Munir kamtahadharisha Yule Mgeni wao Alokuja kutoka Yemeni anaemsifia Osama Biladeni...Muhamad imamu ni Ighwan na Markaz ya Fuyush hivi sasa inamtetea Muhammad Imamu ...na Tahzir imetolewa na Ulamaa wakubwa ....zungukeni lkn hamuwez badilisha Uhalisia
@Ibnsalim3
@Ibnsalim3 16 күн бұрын
Ww ni mjinga sana yaani, ukiongea hebu Karibu kiongea kwa uwazi ni maulaaa au maulamaa wawili na mna nyy ktk talbis zenu munazowajengea watu kuu nyy munamaulaamaa tele ambao munawategemea kumbe sio kweli Kuna maaulaa wengine sana pia waliokisema hiyo markazi ya FUYUSHI Na pia huyo muniri sa'ad sio hata sheikh Bali ni mwanafunzi mdogo sana anajibebesha jukumu na kuvaa joho asiloliweza Jengine usifananishe baina ya sheikh alaamah abdallah bin mari'ii حفظه الله تعالى na saafuk Muniri sa'ad أين ثرى و أين ثريه Baina ya mashriki Wal magharib Kumfananisha tembo na chura
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 16 күн бұрын
​@@Ibnsalim3 Acha kuwasema watu usiowajua... Si muniir wala sio huyo ulamaa, hakuna unayemjua! Kaa usome! Hata wewe na Muniir ni baina ya mashariki na magharib na tunatarajia ana kheri nyingi kazifanya katika dini kuliko wewe! Kwo kaa usome walau umfikie hata huyo Muniir Saad...!!!
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 16 күн бұрын
​@@Ibnsalim3 Huyo anayemsema Muniir Saad Yeye ni mwanachuoni?!
@Ibnsalim3
@Ibnsalim3 14 күн бұрын
​@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xkumbee ww pia humjui hhhhh Huyo anaezungumza namjua na nimemdiriki kwa kukutana nae kwasbb ni miongoni Mwa masheikh waliokuja hapa tz kipindi Cha uhai wa sheikh wetu mmbora ABUU MUA3WIYAH Allah amrehemu na amlipe kheri zake kwa juhudi kubwa aliyoifanya na kutunganisha na wanawachuoni wakubwa km hawa nchin yamen na ht saudia Muniir sa'ad anatambulika kuwa yy ni mwanafunzi tuu na aliwasomeshwa ktk markazi ya FUYUSHI kwa sheikh Abdul Rahman Adeni na huyo anae mtahadharisha ni sw na mwalimu wake
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 14 күн бұрын
@Ibnsalim3 Sasa mbona wanicheka eti...!!!
HISTORIA YA SHEIKH KASSIM MAFUTA -ALLAH AMUHIFADHI
30:04
Elimu sahihi
Рет қаралды 68 М.
«Жат бауыр» телехикаясы І 26-бөлім
52:18
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 434 М.
Wednesday VS Enid: Who is The Best Mommy? #shorts
0:14
Troom Oki Toki
Рет қаралды 50 МЛН
24 Часа в БОУЛИНГЕ !
27:03
A4
Рет қаралды 7 МЛН
IJUE ITIKADI YA IMAM SHAFII. Sheikh Kassim Mafuta (Hafidhahulah)
5:54
ABDALLAH HUMEID (DILELE) ARAKIBISHWA
7:23
Deen Khaalis
Рет қаралды 6 М.
Uovu Wa Mashia  Sheikh Kassim Mafuta (Hafidhahullah)
14:38
Abul Hassan
Рет қаралды 20 М.
KUISHAMBULIA MARKAZI OMAR NI KUVUNJA MSHIKAMANO WA KISALAFI, SHK, MUHAMMAD MAFUTA.
9:05
ABDALLAH HUD - HUD (salafiy)
Рет қаралды 2,3 М.
NAMNA YA KUSALI - SHEIKH HAYTHAM & SHEIKH SHARIFF ALI
9:46
ILM TV KENYA
Рет қаралды 104 М.
Sheikh Hamza Mansoor - Hali zetu katika Jeneza
4:35
MAHAASIN TV SHORT CLIPS
Рет қаралды 126 М.
Kısa cha mja mwenye Subra na Hekima - Sheikh Othman Maalim
30:43