Huu ndio utalii tuutakao Zanzibar - Maalim Seif

  Рет қаралды 7,290

Weyani Tv

Weyani Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 32
@ibrahimadam4272
@ibrahimadam4272 4 жыл бұрын
Raisi wangu Maalim seif Leo nakupa salute.nani kama baba seif hakuna 👏👏mikono juu.ACT hoyeee
@zubeirsalum128
@zubeirsalum128 4 жыл бұрын
Anaependa zanzibar mpya na maendeleo mapya kwa ajili ya wazanzibari wote kura kwa Babu yetu💜✔️
@husnamohamed9245
@husnamohamed9245 4 жыл бұрын
Maalim oyeeee tunakupenda maalim mmungu akuwekeeeee aminaa
@misscoast3174
@misscoast3174 4 жыл бұрын
Sera zipo juu ya mstari shkamoo babu 🤝
@jafarimaida5466
@jafarimaida5466 4 жыл бұрын
Unaongea vzr sana maalim seif ,kwl unalipenda taifa la Zanzibar.
@khelefomar4097
@khelefomar4097 4 жыл бұрын
UISLAM haukatazi utalii Ila utalii huo usiende kinyume na maadili hata WAKATI wa karume mkubwa ulikuwa na nidhamu
@pandungozi1072
@pandungozi1072 4 жыл бұрын
Zanzibar jina tu! linawalevya watalii hadi ccm! sawasawaaa! babu shkamooo😄👍
@hatimmohamed4299
@hatimmohamed4299 4 жыл бұрын
Tushachoka na mijizi CCM. Mimi CCM pia nishachoka
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 жыл бұрын
Siasa!!!! Siku zote tunalaani Utalii kwa kuharibu maadili ya Mzanzibar leo kwa siasa tunausifu na kujipanga kuuimarisha.
@aishamuhammad7785
@aishamuhammad7785 4 жыл бұрын
Mbona nyie hamuukatai uwo usanii?
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 жыл бұрын
@@aishamuhammad7785 Kuukataa ni huko kukosa nguvu.
@aishamuhammad7785
@aishamuhammad7785 4 жыл бұрын
Haji Hassan nguvu gani muloikosa na awo watalii ndo wanaowapakuwa
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 жыл бұрын
@@aishamuhammad7785 Huu ni wakati wa kujenga HOJA sio MATUSI ili wenye akili tupime. Mtoto wa kike tawezaje kutukana mwanamme labda ujanajike wako unamapungufu. Hayo unayotamani kwa ZANZIBAR hayatapatikana kupitia vyama vya siasa. Vyama vyenyewe ndio bahasha la kuifungia Zanzibar. Wagombea wa vyama vyote wamechaguliwa Bara wale Dodoma wengine "some where" lakini Bara na Tume ni yao nnauhakika na matokeo ya Uchaguzi wanayo. Sasa wewe tukana tuzidi kuchukiana (Malengo ya Vyama) TUONEWE zaidi.
@fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
@fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 жыл бұрын
Twambieni wapi hii media tuambieni sehemu gani
@amosmoses7800
@amosmoses7800 4 жыл бұрын
JPM: nimekueteni hapa ili tupange mikakati mingine ya kushinda uchaguzi. Nawaoneni hamtumiki kama nilivyowaagiza. Nataka kujua tatizo lipo wapi? ALI BASHIRU : Mheshimiwa Mwenyekiti ; mbona tunafanya juhudi kubwa ata tunakosa kulala. ivi tunawabeba Wananchi kutoka vitongoji mbalimbali kuja kwenye kampeni zako; kwa mfano kule Mwanza tulikosa watu kabisa ikabidi tuwagalimikie watu kutoka Mikoa ya Geita / shinyaga na kuwaokota okota humo vijijini hadi Mwanza ili tuongeze idadi ya watu. Mheshimiwa. Bila ya ivo. Tutakuwa sisi tunaobaki kukusikiliza. POLEPOLE: Mheshimiwa M/Kiti nikiongezea hilo. Tumekuwa tukiwafata Wasanii. Na tunashukulu. Wametupa ushilikiano mzuri. ila tu malipo yao Bilioni 200 bado hawajalipwa. Mheshimiwa Kinana anasema tuwaalike pia waimbaji kutoka Congo. Tutapata washabiki wengi. Au unasemaje ? JPM : embu Kwanza naona kuna simu ya Rostam ananipigia kutoka Dubai. ..hallo! ************** ROSTAM : halloh! Mheshimiwa M/Kiti habali za tokea jana. Nakualifu huku mambo nimeshayasuka. Tumeelewana na Mheshimiwa Membe. Na hela zake kasema zibaki kwenye akaunti yake ya nje. Anasema atatekeleza yale maagizo yetu akitua tu huko Bongo. CCM oyeee . JPM : Asante sana Rostam. Uko vizuli. Nataka uyo Membe asaidiane na Lipumba .kuzichafua ATC na CUF , ila mambo mengine yanakuwa magumu kwa vile yule kamanda wetu Mzee Mkapa hatunae tena. Mzee Mwinyi anasinzia ovyo. Mzee kikwete na Mzee makamba wamenisusa. Sijui ataniokoa nani! IGP SIRRO: Mheshimiwa Laisi. Vijana wangu wapo tayali kwa lolote. Wanasubili amri yako tu. Kama nikutumia lisasi au mabomu tutazitumia kwa Ajili yako. Mheshimiwa. JPM: Ni kweli. Embu nikusikilize Jaji Kaijage. Unasemaje? Naona unakuna kichwa. JAJI KAIJAGE : Mimi naona kuna ugumu wa kuiba kula kwa kipindi hichi. Maana kuna madai hadi muda huu tumeshindwa kuwapa majibu. Wanadai kwanini Ni wao tu watenguliwe kuanzia Udiwani hadi ubunge. Na kwa upande wetu hakuna ata mmoja tuliemtengua. ?? JPM : Acha iwe ivo ivo. Watanielewa tu! wanalalamika kujenga kiwanja cha ndege kijijini kwangu chato. Mimi si nimefata nyayo za walionitangulia? Mzee Mkapa ameekeza hadi Afrika kusini ana maHoteli yake kule. Mzee kikwete nae Amejenga sana Kwao Msata. Na Majumba kibao kwa jina la mtoto wake Rizwani. ivi trilioni 1.5 nikichukua kuna ubaya gani? Naomba tu haya mambo tusiyafikishe huko nje. Yule Jamaa akifahamu atatushambulia kwa mikuki ya chuma! CHANNEL TEN : Mheshimiwa Laisi. Lakini hicho kimbunga si chakawaida. Huko Tunduma. Mbeya. Mwanza. Njombe. .Japo umetukataza tusikalibie kwenye Kampeni zao wala kuzilusha, lakini hicho kimbunga cha Lissu kinasikika hadi ulaya. Hadi Marekani. .Sisi wote tunatekeleza agizo lako kwamba tusilushe kampeni zao. Tatizo wanachukuaga kwenye simu zao. JPM : Embu nisubilini kidogo. Naenda kujisaidia. *******************************
@truthspeaker2062
@truthspeaker2062 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kama ulikuepo yani
@mzuvendi
@mzuvendi 4 жыл бұрын
Wewe nadhani ni wale wenye vipaji vya Movie Directors! Ingekuwa nina kampuni ya kutengeneza cinema ningekuajiri mara mora!
@truthspeaker2062
@truthspeaker2062 4 жыл бұрын
Liwaaaaallo na liiiiiweee
@fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
@fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 жыл бұрын
Umepita bb
@nass.pofficial4086
@nass.pofficial4086 4 жыл бұрын
Njoo uiskilize mzik mzur ikiwa Naomba saport zenu kzbin.info/www/bejne/eKO6mJmLoruSiLs
@babafii234eddie7
@babafii234eddie7 4 жыл бұрын
Bahamadi kwani ww si ulikua makamo wa kwanza wa rais ulishindwa nn kufanya haya yote uje useme sasaivi??
@fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
@fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 жыл бұрын
Ww boya makamo wakwaza sio mtendaji makamo 2 ndio mtendaji
@mangofish9079
@mangofish9079 4 жыл бұрын
Hujui mifumo ya siasa ya nchi hii ndugu
@rashidshela9625
@rashidshela9625 4 жыл бұрын
ameshajibu hiyo hoja mkutano wa alabama uskilize tu utaacha kuropoka ovyo akiend kutfta wawkezaji akajanao ccm ikamkataliy ss angefanyaje?
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 жыл бұрын
@@fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 Maalim alikuwa Waziri Kiongozi na vyeo mbalimbali hana "legacy" yoyote.
@sudaissoud3670
@sudaissoud3670 4 жыл бұрын
Sikiliza wewe uelewe
Mohammad bin Salman: Prince With Two Faces
54:00
Show Me the World
Рет қаралды 7 МЛН
HIVI NDIVYO ZANZIBAR ILIVYO MKUMBUKA MWANAZUONI MKONGWE
2:16
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 3,8 М.
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4,1 МЛН
Maalim Seif awatembelea wagonjwa kisiwani Unguja
7:08
Weyani Tv
Рет қаралды 21 М.
Ziara ya Maalim Seif kwenye Soko la Mikunguni, Unguja
7:54
Weyani Tv
Рет қаралды 38 М.
🔴 LIVE: MAALIM SEIF AKIPOKEWA NA MAMIA YA WATU ZANZIBAR KWA SHANGWE
2:16:27
HAWA NDIO WABADHIRIFU KATIKA RIPOTI YA CAG ZANZIBAR
6:24
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 1,7 М.
IJUE SANAA YA NGOMA ZA ASILI KUTOKA PEMBA-PART TWO
6:29
JIFUNZE IN ADVANCE
Рет қаралды 36 М.
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36