OMO mzima mzima kisiwani Pemba
7:32
OMO ndani ya Kigoma
7:42
7 ай бұрын
Пікірлер
@mrpeace8419
@mrpeace8419 8 сағат бұрын
Walosema vasco da gama ndo mgunduzo wa Znz waje waone
@mrpeace8419
@mrpeace8419 8 сағат бұрын
Halaf waseme waarabu (waislam) wamekuja juzi Zanzibar wakafanya utumwa Allah atazifi kuonesha ukweli
@KhamisSeif-t3d
@KhamisSeif-t3d 20 сағат бұрын
Huyo anatumwa kufanya unyama huo tumuulizeni yule anaepita misikitini na kutangaza amani na utulivi
@KhamisSeif-t3d
@KhamisSeif-t3d 20 сағат бұрын
Wazanzibari tusitegemee kama jeshi la polisi litabadilika hao ni watumishi wa ccm wakati umefika kudai mamlaka yetu zanzibar kwanza
@KhamisSeif-t3d
@KhamisSeif-t3d 20 сағат бұрын
Wakati umefika sasa itunapaswa kuwa makini na watumishi wa ccm kama hawa
@abdallahmsham-eb7jz
@abdallahmsham-eb7jz Күн бұрын
Wazanzibari hatutaki mungana
@greenandbeach8134
@greenandbeach8134 Күн бұрын
2025 mimi na omo
@bizamanachirack3649
@bizamanachirack3649 2 күн бұрын
Sio kuongea kuzungumza ndo lugha yako kama ni mzaliwa znz but sorry
@RONJAKIMARATz
@RONJAKIMARATz 2 күн бұрын
Poleni sana
@MohamedAbdalla-tq8qo
@MohamedAbdalla-tq8qo 2 күн бұрын
Tujitahid kw pamoja na tushikamane kw p1 tuikomboe nchi yetu zanzibar tukamchague omo inshaallah 2025
@allybin08
@allybin08 2 күн бұрын
Madini ambayo OmO anayatoa hayachoshi kumskiliza❤
@omarhusna1766
@omarhusna1766 2 күн бұрын
Naam the best of the best omo
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 2 күн бұрын
Naam ninaomba tuipate kwa PDF kwa utafiti.
@salyali7807
@salyali7807 2 күн бұрын
The best press conference with OMO
@baraghash4964
@baraghash4964 2 күн бұрын
ACT WAZALENDO ndio chama pekee kitakachoivusha Zanzibar na mkwamo wake
@mozakhamis7253
@mozakhamis7253 3 күн бұрын
hatujawahi kushindwa hata sikumoja
@NassraMohd-ll2wf
@NassraMohd-ll2wf 3 күн бұрын
Hii nymbo ya mamlaka kamili ya nchi zanzibaria naipataje jmn? Naiomba
@SulemanAli-s9k
@SulemanAli-s9k 3 күн бұрын
Huyo makamo wa pili anapiga fumbo yeye
@MohamedAhmed-cz1vh
@MohamedAhmed-cz1vh 5 күн бұрын
Tunatisha inshallah kwa idhin ya Allah ukombozi wa visiwa vyetu haupo mbali
@ShauriAli-o5y
@ShauriAli-o5y 5 күн бұрын
Tupo pamoja Kwa mabadiliko
@NassibuSaid-h9t
@NassibuSaid-h9t 5 күн бұрын
R , I P
@Worldunite
@Worldunite 5 күн бұрын
Linganisha ukubwa wa visiwa vya znz na pemba vyote viwili kwa pamoja kwa ukubwa wake ni sawa tu mkoa wa mkoa wa pwani tu, na pengine bado mkoa wa pwani ni kubwa zaidi
@JannatJannat-s6j
@JannatJannat-s6j 6 күн бұрын
❤❤tunakupenda kwa ajili ya alla na znz🎉🎉🎉🎉
@JannatJannat-s6j
@JannatJannat-s6j 6 күн бұрын
Ukweli baba tuko pamoja na Mimi na znz oman
@kimsamir965
@kimsamir965 6 күн бұрын
Mungu mwenyezi wa yote
@JannatJannat-s6j
@JannatJannat-s6j 6 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JannatJannat-s6j
@JannatJannat-s6j 6 күн бұрын
😢😢ukiona vyaeleya vimeunda na nani na pesa za mashaghala. Hamseni ukweli znz wanamidomo michafu. Hawamasisiemu. 😢😢😢
@JannatJannat-s6j
@JannatJannat-s6j 7 күн бұрын
😂😂🎉🎉
@JannatJannat-s6j
@JannatJannat-s6j 7 күн бұрын
Tuko pamoja baba
@mukhtaromar-g5p
@mukhtaromar-g5p 8 күн бұрын
❤❤❤ huyu ndie rais tunaemtaka anajua migango na kuipigania Zanzibar yetu❤❤❤
@AbdulMajidi-i9m
@AbdulMajidi-i9m 8 күн бұрын
aman kawa mtu wa comed ashachubua
@DadialiDadi
@DadialiDadi 9 күн бұрын
Weee matakoo huyuuu mtuu akiongeaaaaa uweee unanyamazaaaa kimyaaa kenge weww azungumzeee wap.unavotakaaaa
@KhamisSeif-t3d
@KhamisSeif-t3d 9 күн бұрын
Mzanzibar jitambue usihadalike na magorofa na Barbara upiganie utaifa wako kwanza Ili utambulike
@amoursalum8266
@amoursalum8266 14 күн бұрын
Kw hakika Allah atahukumu kwa haki..
@kassim1262
@kassim1262 15 күн бұрын
Wnachokiongea nitofauti namatendo yao ikifika uchaguzi piga uaa ili ccm ishinde kwenye majimbo nauraisi hlfu analalamika 😂😂😂😂
@ludovicmjili8480
@ludovicmjili8480 16 күн бұрын
Nyerere alikuwa sahihi mandevu mengi ni uchafu
@dadymanzy1068
@dadymanzy1068 16 күн бұрын
Allah akulaze mahala pema peponi amiin,maalim seif
@KhalidiBakar
@KhalidiBakar 17 күн бұрын
Walio wauza ni wabunge wenu wa Tanganyika na mwanasheria wenu sio wazanzibar 😂😂😂
@RichardTenga-yj3qo
@RichardTenga-yj3qo 17 күн бұрын
Huna flow of thought mheshimiwa.hueleweki unachokilenga ni nini
@AshaSalum-ww8kn
@AshaSalum-ww8kn 17 күн бұрын
Jamani hii nchi mtihani bandari imekodishwa wafanya kazi wanafanya kazi gani masoko wafanya kazi wanafanya kazi gani jamani mwinyi mbona hatukuelewi
@zinjibaryetu8451
@zinjibaryetu8451 18 күн бұрын
Mohamed Aboud please give us a break hayo maneno unamwambia nani? Si nyie wana CCM ndio miaka nenda miaka rudi munaoturudisha nyuma na kutuvurugia amani ya nchi katika kila uchaguzi? Au leo meshasahau that easily? Yakhe Mohamed About munatufanya sote mazuzu kiasi hichi? Huu ushauri ilikua mujipe nyie ambao kwa vyeo vinavokuhadaeni munasahau hata kama kuna kufa na siku moja tutahisabiwa. Wewe ndio uliesimama kidete ukiwa msemaji wa serikali na kuwatekeleza masheikh wa UAMSHO wakatupwa jela miaka kule Tanganyika. Come on bwana acheni unafik wa dhahir huu, kila kukicha kunahubiri amani na utulivu lakini nyoyo zenu na vitendo vyenu are doing totally the opposite
@abdallaameir3153
@abdallaameir3153 18 күн бұрын
HUYU HAMALIZI MWEZI ANAONDOSHWA SAVE HII COMMENT
@RamadhaniMussa-xs5uk
@RamadhaniMussa-xs5uk 18 күн бұрын
Mwakani njooni mtuuwe
@KhalfanAbdalla-x7u
@KhalfanAbdalla-x7u 18 күн бұрын
Kumbe sasa mnapitisha sheria kijinga na mnajua
@KhalfanAbdalla-x7u
@KhalfanAbdalla-x7u 18 күн бұрын
Daah huyu jamaa anaongea vizuri ila maslahi yao wameweka mbele
@KhalfanAbdalla-x7u
@KhalfanAbdalla-x7u 18 күн бұрын
Katika siku ambayo Mbeto amesema kweli ni leo kua kila mmoja anaangalia maslahi yake ndio maana hata wewe anasimamia uchaguzi wa siku mbili mbili hayo yote ni kwa maslahi yako sio kwaaslahi ya Zanzibar
@RashidiHassani-in9rb
@RashidiHassani-in9rb 18 күн бұрын
Huyu jamaa kanywa Leo amakatumwa yaani hakasemapo ukweli ispokua leo
@RashidiHassani-in9rb
@RashidiHassani-in9rb 18 күн бұрын
Mnaongea kama waungwana wakuuubwa vile
@saidkhamis1356
@saidkhamis1356 18 күн бұрын
Mobeto leo kaingia mtumbwi wa vibwengo😂
@saidkhamis1356
@saidkhamis1356 18 күн бұрын
Mobeto leo kaingia mtumbwi wa vibwengo😂