HUU NI UHIZINBIYA |KUFANYA MAPENZI NA CHUKI KWA SHEIKH UNAE MKUBALI WEWE | DR ISLAM MUHAMMAD SALIM

  Рет қаралды 1,848

Alhilaly Media Pro

Alhilaly Media Pro

Күн бұрын

Пікірлер: 67
@omarabdullah-k8j
@omarabdullah-k8j Ай бұрын
tunakuelewa vizur shekh na tunafaidika na wewe sana mashallah
@SalumKeya
@SalumKeya Ай бұрын
Allah atuongoze njia iliyonyooka
@Abdulrashedalhilaly
@Abdulrashedalhilaly Ай бұрын
Ameen
@AdamuBakari-fe6hf
@AdamuBakari-fe6hf Ай бұрын
Watajitokeza humu humu haomahizbiyya. Utaona wanaanza kupinga kwasababu yachuki zao. Nashetwani amewapambia huo upovu wakaona ndio dini. Hata aongee mwine haki hawataki. Allah awangoze mahizbi hawa
@omarabdullah-k8j
@omarabdullah-k8j Ай бұрын
mashallah
@OmaryJuma-zd2nq
@OmaryJuma-zd2nq Ай бұрын
We nihizbiiiiiiiiiii
@Abdulrashedalhilaly
@Abdulrashedalhilaly Ай бұрын
@@OmaryJuma-zd2nq hizbullah humul muflihuun
@AllyBesha
@AllyBesha Ай бұрын
Haya tuambie kuhusu masufi wanavyomchukia Sheikh Muhammad Abdulwahab Rahimaullahu
@Abdulrashedalhilaly
@Abdulrashedalhilaly Ай бұрын
Tusome Bhna Tuache Fuji Sasa Hoja Gani Hiyo Umeileta
@AdamuBakari-fe6hf
@AdamuBakari-fe6hf Ай бұрын
Mimi nashangaa watu wanao jiweka wapo katika haki. Lakini hawana akhlak niwatu wanadharau kibri chuki majivuno wapenda dunia .haliyakua hakuna maswhaba au wanachuoni walikua hivyo .namaswhabawangekua hivyo dini isingetufikia
@Abdulrashedalhilaly
@Abdulrashedalhilaly Ай бұрын
@@AdamuBakari-fe6hf ukimwambia Kosa lake asema wachukia Manhaj Salafi hhhhhh
@AdamuBakari-fe6hf
@AdamuBakari-fe6hf Ай бұрын
@@Abdulrashedalhilaly ajabu nihii .atadhani ndio kio cha manhaji
@malishainvestment-i2i
@malishainvestment-i2i Ай бұрын
Hakika
@AllyBesha
@AllyBesha Ай бұрын
Hiyo shubua utawapata wasiojua misingi ya dini
@Abdulrashedalhilaly
@Abdulrashedalhilaly Ай бұрын
Kwahiyo Sheikhul Islam bin Taymiyya kaleta shubha Sababu Dr Hayo Maneno kanukulu au Nd kujizima data
@IsmailMohamed-p7s
@IsmailMohamed-p7s Ай бұрын
MANHAJ SALAFIYUN NI MWIBA WA KOO KWA WAZUSHI. ANAEPINGA HAKI ATAANGUKA NA KUFEDHEHEKA. HATA MKACHUKIA ENYI MAHIZBI MANHAJ SALAFIYUN NI HAKI.
@Abdulrashedalhilaly
@Abdulrashedalhilaly Ай бұрын
@@IsmailMohamed-p7s Nani Kapinga Manhaj Salaf hapa? Mbona Wachanganya madawa
@AllyBesha
@AllyBesha Ай бұрын
Makundi mapotovu tutayajuaje bila ruduud
@Abdulrashedalhilaly
@Abdulrashedalhilaly Ай бұрын
Ttz La Kukimbilia Ku comment Kabla Hujasikiza Swali lako limejibiwa Mwisho Wa Clip Huko Kuwa Makini Wewe Ni Twalibul-Ilm
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Ай бұрын
Maswaaaafiqa mahadadiaaaa ndo wenye tabia hizi
@AbuuSumayyah
@AbuuSumayyah Ай бұрын
Tulia ikuingie.
@alminzilmohd9662
@alminzilmohd9662 Ай бұрын
khabari zako tunazo
@Abdulrashedalhilaly
@Abdulrashedalhilaly Ай бұрын
Endelea Kuwa Nazo Tuh
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Ай бұрын
Huyu ndo dr sio yule wa pale jangwani
@Abdulrashedalhilaly
@Abdulrashedalhilaly Ай бұрын
Usisema hivyo Sisi hatuja Lelewa kudharau Masheikh Hahahahahah Usiwaige wao
@abdulhamidyahya5904
@abdulhamidyahya5904 Ай бұрын
​@@Abdulrashedalhilaly ww mpambe bainisheni wazi msimamo yenu na barahayan
@Abdulrashedalhilaly
@Abdulrashedalhilaly Ай бұрын
​@@abdulhamidyahya5904Tukubanishie Wewe nani Kwani...?
@Abdulrashedalhilaly
@Abdulrashedalhilaly Ай бұрын
@@abdulhamidyahya5904 Mbona Walizimisha mambo Ubainishiwe Wewe Nani?
@abdulhamidyahya5904
@abdulhamidyahya5904 Ай бұрын
@@Abdulrashedalhilaly ww kimbelembele kila kitu mbona hilo huliweki wazi
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e Ай бұрын
Naam salamu ziwafikie wafuasi wa kundi fulani kuna mashekh wamewa weka ndo kigezo cha kujuwa ww ni salafi au salafi ukiwapenda hao utakuwa salafi ukiwa tofauti nao utakuwa so salafii, ummah umekatika vipande vipande kila mtu taasubi kwa shekh fulani ndo kipimo cha usalafi
@islaminmyheart9348
@islaminmyheart9348 Ай бұрын
Lete ushahidi wako ikiwa wewe unasema kweli
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e Ай бұрын
@@islaminmyheart9348 ushahidi gani unaotaka ww ndo mlengwa Nini mana sijataja jina kumbe unajistukia au na ww ni miongoni mwa wale wanaosema shekh rabiy kauli zake ni kama hadithi wahy Nini maana alosimama mtu katika watu wa kundi Hilo kusema kauli ya shekh rabii ni wahy hairudishwi ni mwwngine akasema mafuta ni ahmadi wa zama hizi mwengine akasema umjuwa mtu wa sunnah tz anampenda mafuta si taasubi hizo ndo man haji ya ahlsunnah hiyo kumkuza shekh mpk unafikia daraja ya utume sisi ahlsunnah wa kweli tunaitakidi kwamba maulamaa wote wanapatia na kukosea kauli zao za weza chukuliwa wanapotereza tunawaachia Sasa ukisema sheh rabiy kauli yake ni kama wahy umuharifu njia ya ahlsunnah Wal jamaa
@مبغضالبدع-ع9ص
@مبغضالبدع-ع9ص Ай бұрын
kzbin.infokAAp2MsrUEE?si=Fs7WB6CXHs3vAbIQ
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e Ай бұрын
@@islaminmyheart9348 maswahafiqa wa kihadadiya mnwaowabidhaisha maulamaa wa ahlsunnah
@islaminmyheart9348
@islaminmyheart9348 Ай бұрын
Enyi salafiyyuun. Musiwasikilize watu wa matamanio na Mahizbi kwa kuzihirumia nafsi zenu mpaka itudhihirikie kutoka kwao Taraj'aa zao kuwa wameacha Hizbiyyah walizo nazo. Ni bora ukiona clip yeyote ya Hizbi uiruke yasije yakakughuri maneno yake ukawa Katika walio pata khasara
@MohamedSalim-cm9ih
@MohamedSalim-cm9ih Ай бұрын
Mahizbi hao ni kina nani
@islaminmyheart9348
@islaminmyheart9348 Ай бұрын
@@MohamedSalim-cm9ih Sheikh Salim Barahiyani na Kila anae mtetea Katika mfumo wake kuanzia Dr Islam na Muhammad bachu na Kila anaye unga mkono njia zao
@jumannemwaye4060
@jumannemwaye4060 Ай бұрын
Kwahyo kipimo ni Sheikh Barahiyan na sio Dini, mtihani sana​@@islaminmyheart9348
@masoudabdallah9878
@masoudabdallah9878 Ай бұрын
shika adab yako
@AbulqassimAshirazy-yd7th
@AbulqassimAshirazy-yd7th Ай бұрын
Lau kama mtu wa bida akusimulia bida yake moja kwa moja ungeelijiepusha nae. Lakin huja na sura ya kudhihirisha sunna ikisha akipata upenyo akakuingizia bida yake. Basi ni wakati gani itatoka bida hio kwenye moyo wako.! Allahu lmustaani mtihani tuliotahiniwa masalafy ni kuwasikiliza watu waliopinda.
JAMBO LENYE KUMTOA MTU KWENYE REHMA ZA ALLAH (S.W.T) SHEIKH HASSAN AHMED
29:14
Как Я Брата ОБМАНУЛ (смешное видео, прикол, юмор, поржать)
00:59
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 84 МЛН
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2,1 МЛН
RADDI(02) ABDALLAH HUMAYD ALIKATAA KUTARAJAA,SHEIKH ABUU MUAWIYAH رحمه الله تعالى
22:53
MWAMPAMBA ASHINDA KWA KISHINDO KITI KITONGOJI CHA MBALIZI
4:18
Как Я Брата ОБМАНУЛ (смешное видео, прикол, юмор, поржать)
00:59