MASHALAH MASHALAH MASHALAH ALLAH AKUPENI AFYA NNJEMA RIZIKI WASAA NA MWISHO MWEMA AMIN
@mariamsefu825Ай бұрын
Maa Sha allah shekhe weu
@ZainamavooMavooАй бұрын
Mawahabi nyinyi elimu ndogo someni
@IsmailSangaАй бұрын
Umenena kweli sheik,Kila la kheir.
@ATICKLUNKOАй бұрын
N hay anyozungumz n maulid au umeropk tu
@AllyAhmad-zg2ypАй бұрын
Ukiradiwa ndo umetukanwa
@salumhassanallymkurdistan7006Ай бұрын
UKIMUONA MWENYE MANENO KAMA HAYA NI WAKALA WA MAYAHUDI NI MUWAHABI HAYO MANENO ANAYO SEMA SHEKH MZIWANDA NI YAKWELI TUPU NYINYI MAWAHABI KAAENI NA MAMBO YA KURADI TU
@AllyAhmad-zg2ypАй бұрын
@@salumhassanallymkurdistan7006 kuran yenyewe imejaa raddi kw kueakosoa watu na kuwarekebisha
@hilalkhalfan1452Ай бұрын
@@salumhassanallymkurdistan7006 MAWAHABI WAO WAMEFUZWA FITINA TU . NDIO MAANA HATA SEHEM SIO YA MGOGORO BASI WATALETA FUJO. MAYAHUDI KWELI WAMEPATA MBWA WA KUWATUMA KUWASHUGUULISHA WAISLAMU
@salmaghalib5474Ай бұрын
Wewe una blabla nyingi
@HassanSalum-w5vАй бұрын
Mziwanda huna elimu bidaaa mkubwa sufi mpumbavu
@AhmedMohamedMadaiMadaiАй бұрын
Hakuna wahabi mwenye elimu kw tznia hii kumshinda mziwanda katoa nmb mmeshindwa kumtafuta mnaogopa kukosolew hhh
@UmmuJauzanАй бұрын
Umekuja dodoma kwa jili ya dini au ajili yamaulidi uzushina bidaa
@IsmailSangaАй бұрын
Amekuja kufundisha, Misimamo mikali,Kujitoa muhanga na kuamini itikadi 3 kama mayahudi.
@hilalkhalfan1452Ай бұрын
KWANI HAYO mawaidha sio dini?. NYIE MAWAHABI MBONA mnachuki sana na WAISLAMU mbwa nyie!!! . MAZAYUNI wakubwa nyie mbwa wa mayahud mafitna nyie
@omanoman358Ай бұрын
Wanaotukana tukana sio kwamba wana Ilim kula kwenyewe wanaanza na Alhamndu wanamaliza na Bisimillah wanafata mkumbo tu
@salumhassanallymkurdistan7006Ай бұрын
KAJA DODOMA KWA AJILI YA KULINGANIA DINI YA KIISLAM
@salumhassanallymkurdistan7006Ай бұрын
HAYO ANAYO YASEMA NDIYO MAULIDI YENYEWE KWANI UNAFIKIRI MAULIDI NI NINI? MAULIDI NI MAWAIDHA MAULIDI NI QRAAN MAULIDI NI SIRA YA MTUME MOHAMAD SALALAHU ALAYHI WASALAM MAULIDI NI IKRAM HICHO ANACHO ZUNGUMZA SHEKH NDIYO MAULIDI