HUU NI UTANGULIZI TU HABARI KAMILI INAKUJA | ARAFA YENU MUMEIPATA WAPI | Muhammad Bachu.

  Рет қаралды 15,014

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

15 күн бұрын

Пікірлер: 285
@Mohamedharith-wb4op
@Mohamedharith-wb4op 12 күн бұрын
Allah akupe umri mrefu sheikh, hakuna kurudi nyuma kaza kamba na mitihani ni mengi utapata lakini usivunjike moyo allah yuko na wewe shikilia hapo hapo katika haki
@binaamour318
@binaamour318 12 күн бұрын
Hio sio dini dini ni nasuha et shikilia kamba hivo hivo huo ni ushabik simama kwenye hoja
@musarashid-xw1qm
@musarashid-xw1qm 12 күн бұрын
Mm nasema akaze kamba vitu vinaeleweka ww ambaye hutaki shehe akaze kamba itakase nafsi yako ukisikiya haki na haina chenga tukwambieje uwelewe?
@Mohamedharith-wb4op
@Mohamedharith-wb4op 12 күн бұрын
@@binaamour318 sio ushabiki ushabiki uko kwa watu wa bidd'ah ashikilie kamba sababu ya kejeli nyingi za watu wa kisufi, sababu anasema haki na haki siku zote itabaki juu
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 10 күн бұрын
Muache yeye akaze kamba kisha wewe unatakiwa ujue mwisho wa kamba kukaza kamba ni kukatika.
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 10 күн бұрын
​@@Mohamedharith-wb4op ikiwa yeye anasema haki wanachuoni waliotangulia wamesema nini? Ibn rushd mwanachuoni wa karne ya sita asema mas ala hayo yana ikhtilaaf je kaul yake hiyo sio haqq?
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 13 күн бұрын
Shekh watakomaaa masuuf mm nikuambie tu Dawa hii inapekenya kisawswa ! Huku kwetu sasa hiv 1- madugi yamepungua kias kikubwa san! Vijana kila kona ujoki mashekh zao juu ya qadwida dufu n.k 2- Kufunga - fungua ramadhan n mwex wa kimataifa kila mtu huku mikoani 3- Arafa ni mahala watu weng wameanza kuelewaa mashekh msovhoke Dawa zinavika wallah zinawafika . Allah awahifadhi
@mohagurey2214
@mohagurey2214 12 күн бұрын
Wallahi wale mashehe wa kisufi wanaopoteza ummah na kufanya maelfu kukosa fadhila ya yaumul arafa watakuwa na mzigo kubwa ya kubeba mbele ya Allah siku ya qiyama
@shilolemwakizenga4204
@shilolemwakizenga4204 12 күн бұрын
Thubutisha kwamba hawa wanaongoza
@MohamedKilindumbo
@MohamedKilindumbo 10 күн бұрын
Masha allah allah akulipe kheri kwa kutuelimisha kwa hakika kunawatu wengine ni masikio yakufa hayaskii daawa hata ufanyeje
@mbarakassa4347
@mbarakassa4347 12 күн бұрын
Allah Akuzidishie afiya utufundishe elimu ya kisalafi
@saidali9255
@saidali9255 12 күн бұрын
Allah akujazi kher na thawabu nyingi Ustadh Bachu,maelezo yako yana dalili za vitabu na hadith!
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 12 күн бұрын
Maashallah sheikh Muhammad bachu, May Allah grant us a jannah, Ameen
@user-xg7jn5sn9c
@user-xg7jn5sn9c 9 күн бұрын
Maashaallah ALLAH azidi kukupa nguvu ya kuweka wazi umma uliopotea Wallah nakupenda sana kwa ajili ya ALLAH na daima najivunia kua na sheikh kama ww
@issamyinga5874
@issamyinga5874 12 күн бұрын
Wallaahi!!! SHEIKH MUHAMMAD NASSORO BACHO UMENISHIBISHA SANA,UMENIKINAISHA SAAANA KATIKA JAMBO HILI LA زادك الله علما وشرفة ورفعة. الأمر واضح جداً
@user-xb6tr5vq4b
@user-xb6tr5vq4b 12 күн бұрын
ALLAH akulipe kheli na akulinde navijicho vyawanafiki ambao hawataki uyafata mafundishoyako kwawema na tunajivunia kua nashekhe Muhammad bachu enyimasufi munyamanze kwasababu hamna elim kama elimu yamuhammadi bachu (masufiiiiiiiiiiiiiiiii mnatia uzuni😢😢😢😢😢😢😢😢 kwamafundishoenu) na kwamafundishoenu mnachekesha😂😂😂😂😂 ewe Muhammad bachu tunakupenda kwajili ya ALLAH NA tunamuomba mungu atujalie tufufuliwe nyuma yamtume muhamad s w w tukiwa pamoja nabachu amiin
@nabiljumaothman5912
@nabiljumaothman5912 13 күн бұрын
Mashaa Allah Allah akuhifadhi
@MuslimBakar-uf6xd
@MuslimBakar-uf6xd 12 күн бұрын
Tunakupenda ndugu zako unajuwa kufahamisha vyema kwakutumia vitabu vikubwa lkini wao hwana vitabu hao wana nahau nyingi tu ns ngojera
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 12 күн бұрын
Maashaa Allaah watakuelewa tu Bi idhnillaah
@abdulrahmanmussa4479
@abdulrahmanmussa4479 12 күн бұрын
Shukran sheikh letu
@salumtakao9828
@salumtakao9828 12 күн бұрын
Sifa za Hawa masufi hata washindwe kwenye hoja wao hawajlali wanaendelea na bidaa zao tu na kupotosha watu. Allah akulinde shekh wetu muhhamd. Hilo swala la arafa sio lkuhitj elimu kubwa San lipo wazi wazi.
@AbuuMussa-pd1xo
@AbuuMussa-pd1xo 12 күн бұрын
Ndio mizushi ilivyo
@user-lp3gi5wd4e
@user-lp3gi5wd4e 12 күн бұрын
Sasa wewe muhabi embu nijibu hili swali,Mchana mwa saudia je ni nchi zote duniani kwaopia ni mchana ili waipate hiyo siku?.
@warshysaid8564
@warshysaid8564 12 күн бұрын
​@@user-lp3gi5wd4e siku ni masaa 24 mchana wa arafa makka nchi zilizo nyuma itakuwa saa 9 za uck wa siku ya arafa
@warshysaid8564
@warshysaid8564 12 күн бұрын
​@@user-lp3gi5wd4ena kwa wale walio mbele ikiwa makka ni saa 2 uck ktk uck wa arafa wao watakuwa alfarij ya siku ya arafa wao watatangulia kufunga 7bu funga inaanza alfajir haianzi muda wa kisimamo hata wale walio makka ambao hawahij wanatangulia kufunga kabla ya kisimamo coz tume ameabiwa tufunge siku ya arafa sio masaa ya kisimamo cha arafa na hiyo sikuu ina masaa 24
@aslamswalah7852
@aslamswalah7852 12 күн бұрын
Sheikh Mohammed Bachu, Allah azidi kukuwezesha na kukupa elmu utupe nasisi na Allah akujaalie hekma.
@AlIrshaad-j
@AlIrshaad-j 12 күн бұрын
Hayyaakallah Muhammad bachu
@swalehahmad8947
@swalehahmad8947 12 күн бұрын
KAMA HUZINGATIWA ARAFA KWA KITENDO CHA KUSIMAMA MAHUJAJI ENEO LA ARAFA BASI JEEEEE KAMA HAKUNA HIJJA KWA DHARURA YOYOTE ILE NDIO MAANA HAKUNA TENA SAUM YA ARAFA KWA KUWA KISIMAMO KIMEKOSEKANA .... ENDELEA KUPOTOKA NA KUPOTOSHA
@yusufsingano6202
@yusufsingano6202 11 күн бұрын
Hojambov
@alimaftah8503
@alimaftah8503 11 күн бұрын
@@yusufsingano6202 wanaadamu pekee ndo wanaofanya ibada?
@AshuraMsami-ev6ce
@AshuraMsami-ev6ce 11 күн бұрын
Ww tumiaakili Kusikiliza achahawaa zamashehe zako
@makenaOG
@makenaOG 10 күн бұрын
Miaka miwili ya corona hakukuwa na hijja kwa hiyo hakukuwa na visimamo arafa. je watu hawakufunga arafa na kama walifunga walifata mahujaj wapi au walijuaje hio siku
@saidsalim851
@saidsalim851 8 күн бұрын
​@@makenaOGwewe muongo corona gani hakukuwa na hajj?
@user-nh2wt4yd7w
@user-nh2wt4yd7w 12 күн бұрын
Mashallah Allah akuhifadhi
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 12 күн бұрын
Sheikh Muhammad Nakupenda kwa ajili ya Allah Sasa hivi ni mwendo wa kuwarudi masufi lau kama wanasunna wengine maduati wangekuwa kama wewe Wallahi Sunna ingekuwa na uimara zaidi sana unajitahidi sana maana masufi wanahaha sana 😂😂😂 Allah akuhifadhi
@nelson-cd7fr
@nelson-cd7fr 12 күн бұрын
Jazakallah kheir Allah akukinge kwa kuifuata sunnah na vile vile kuifundisha umma
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 11 күн бұрын
Ufafanuzi wote huo kuna watu yanawaingiya sikio lakushoto nakutokya sikio la kuliya, watakuja hapa kukusema ww shekh Muhammad wakati ww haukusema mwenyew umenukuu vitabu vya wanazuoni wallah Allah akuhifadhi
@user-rq3yj8vi8b
@user-rq3yj8vi8b 12 күн бұрын
Allah akuhifadhi na akupe umri mrefu shekh Muhammad bachu uzidi kutupa elimu na kuwelimisha umma
12 күн бұрын
Kwanza natanguliza Shukran kwa sheikh kwa juhudi anazofanya kuto taaluma. Allah amlipe kheri kwa rehma zake
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 11 күн бұрын
Masufi wote kwa ujumla wameungana wametoka kwa wale kina humeid sasa wameungana kwa Sheikh wetu Bhachu Allah awaongoe na amhifadhi Sheikh Bachu
@user-vg6xd1ln9b
@user-vg6xd1ln9b 11 күн бұрын
Sheikh wetu Allah akupe umri mtefu inshaAllah... Unatuheshimisha kwa kweli
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 12 күн бұрын
Allah akuhifadh sheikh bachu ❤❤❤
@muhunzijunior5153
@muhunzijunior5153 12 күн бұрын
Allah subhana wata'ala akulipe kher shekh, kwa kutukumbusha jambo la muhimu. nas atujaze mazingatio tupte mwisho mwema in Shaa Allah
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 12 күн бұрын
Ustadh Allah akuhifadhi inshaallah na uendelee kufanya haya kwa ajili ya Allah na wachafu wote waiskie haki wakufuata sawa wakukataa atakua ashaapata dozi yake sababu waalimu wengi ila wengine wapotoshaji Allah akulinde
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr 12 күн бұрын
Bachoo anatumia saa zima kusoma vitabu hivi nyinyi hamna vitabu vichwa vitupu muda wa kudanganywa umeisha Sunna itasimama inshaalla
@user-vd5ws1ij9b
@user-vd5ws1ij9b 12 күн бұрын
الله يحفظك الأخ محمد باتشو
@salimtz6
@salimtz6 12 күн бұрын
Allah aendelee kukupa moyo wa kupambana na Hawa ahlu bida'a mana mitaani pachafu Sana hasa kwetu Zanzibar
@salimtz6
@salimtz6 12 күн бұрын
Masha-allah 🙏🏽
@shilolemwakizenga4204
@shilolemwakizenga4204 12 күн бұрын
Wape watu majina bt maswali utajibu ww
@Khalid-mf3iu
@Khalid-mf3iu 11 күн бұрын
Wallahy watu wa zanzibar hawajui walichokipoteza....tumewapa Uthmaan Maalim na wakatupa Muhammad Bachu
@user-ze8rk9ye6r
@user-ze8rk9ye6r 12 күн бұрын
asiyekuelewa sheikh ni mtu wa bid,aa tu lakini sheikh unafahamika sana mashaallah.
@fatmasalim7132
@fatmasalim7132 11 күн бұрын
Aah! Binaadam hata sijui waeleweshwe vipi hata waelewe! Umejitahid Allah atakulipa kwa juhudi yako Sheikh!
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 12 күн бұрын
❤❤جزاك الله خيرا❤❤
@saidjuma4547
@saidjuma4547 12 күн бұрын
Allah akupe kheri nyingi inshallah tuko pamoja
@NyumbweTimwa
@NyumbweTimwa 11 күн бұрын
Allah akuifadhi sheikh Bachu ❤❤❤
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 12 күн бұрын
Mashaallah unatufanya vijana tutafete elimu 🇲🇫
@abdallahassan2080
@abdallahassan2080 12 күн бұрын
Piga goto utafute elimu kijana Kwa masheikh waliopiga goto Kwa masheikh , masheikh wa Google watakupoteza
@abdallahassan2080
@abdallahassan2080 12 күн бұрын
Piga goti*
@salaamibahsan3063
@salaamibahsan3063 12 күн бұрын
ALLAH BARYK YA AKHY KARIM
@mwadinihaji1277
@mwadinihaji1277 12 күн бұрын
Maa Sha Allah. Elimu bila mipaka
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 12 күн бұрын
Uko vzr shekhe Allah akuhifadhi tuendelee kunufika nawe
@moudswalehe4207
@moudswalehe4207 11 күн бұрын
MashaAllah Allah yahfadhuka yaa shekhuna
@MochammdHadija-pn7nn
@MochammdHadija-pn7nn 12 күн бұрын
Allah akuhifadhi ❤achana nahao wasio jitambua
@madhuru2554
@madhuru2554 13 күн бұрын
Mashaallah mungu akuhifadhi inshaalah.
@aminahassani-jh5rp
@aminahassani-jh5rp 11 күн бұрын
😂😂😂 mashallah mashallah tunakupenda sana Shekhe kipenzi wetu
@user-od1xx3tk9y
@user-od1xx3tk9y 12 күн бұрын
Jazaka llahu khayra
@shaamefaki5013
@shaamefaki5013 12 күн бұрын
Marshall Mashallha shehe
@mundhirsaid1250
@mundhirsaid1250 12 күн бұрын
Sheikh nimekusikilza vizuri. Naona hoja zako zote hazijanitosheleza. Na huwezi kusema kuwa watu wanapotoshwa na bakia na msimamo wako na waachie na wale wenye msimamao wao ALLAH ndie mlipaji kila 1 ametegea kwa ufahamu wa masheikh zao. Asante
@warshysaid8564
@warshysaid8564 12 күн бұрын
Uwazi upo sasa ni mbishi wa kijinga tuu
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 12 күн бұрын
Wote masheikh njooni kwangu mimi ambaye elimu yangu haitokani kwenu. Inatokana moja kwa Mwenyezi Mungu. Vitabu vingi ndio vinawagawa.
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 12 күн бұрын
Sjakuelewa kusema wewe elimu Yako inatoka Moja Kwa Moja Kwa Allah kivipi
@dulividuli5237
@dulividuli5237 12 күн бұрын
Kwaiyo wengine elimu zao zinatoka kwa shetani au
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 12 күн бұрын
@@dulividuli5237 Hao wengine wamesoma vitabu vilivyo andikwa na waarabu kisha wakavipasisha kuwa nie mwongozo badala ya Qur'an, na ndio maana hawaingii ndani ya Qur'an , wanafuata mawazo na fafanuzi za waarabu. Na ndio maana kila mtu anasema lake. Mimi elimu yangu ni moja kwa moja nafasiri Qur'an. Sio hivyo tu najibu maswali yote ambayo yanayo hitaji majibu papohapo. Na nilitangaza njooni kwangu mimi ni Mwalimu , nikishindwa mnipige mawe, nikiweza mshukuruni Mwenyezi Mungu kwa kujikurubisha kwake kwa wingi. Maana hii nie haki imekuja kuitetea haki ili mpate kujuwa, kusije kuwa na hoja siku hiyo kuwa HATUKUJUWA.
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 11 күн бұрын
@@dulividuli5237 Kama elimu zao zinatoka kwa Mwenyezi Mungu mmoja, vipi wahitirafiane? Kila mtu anasema lake, hawana muafaka Tatizo wameiacha Qur'an hawa, wamefuata vitabu vilivyo andikwa na waarabu wanadhani ni mwongizo, kumbe wanapoteza wenyewe na kuwacha waumini hewani. Huu ndio ukweli.
@hassankarata8135
@hassankarata8135 12 күн бұрын
Alha akulipe mwalimu
@IbrahimaIassineJuma-fl6wm
@IbrahimaIassineJuma-fl6wm 12 күн бұрын
Sheikh mm nakupenda kwajili ya Allha MZ
@aminahassani-jh5rp
@aminahassani-jh5rp 11 күн бұрын
Tunakuombea ulinzi mkali sana wa Allah maana wafuga majini watakuandama
@KhatibKhamis-ig8hk
@KhatibKhamis-ig8hk 12 күн бұрын
Arafa na hija kipi kilikuepo mwanzo?
@user-ze8rk9ye6r
@user-ze8rk9ye6r 12 күн бұрын
mashaallah sheikh upo sahihi sana baarakallahu fika.
@yakoubfaki2026
@yakoubfaki2026 12 күн бұрын
Mashallah Sheikh mm naomba niulize tuu nipate maarifa kwa mfano muda huu natoa comments USA state ya Honolulu ni saa1:00 usiku na saudi nisaa8:00 asubuh mm now nipo usiku huku je nitafanje siku ya watu kusimama makka mm itakuwa nimelala so naomba hapa cause mm nikiamka itakuwa Saudia ni jiona tyr ya swala ya magharibi tyr
@warshysaid8564
@warshysaid8564 12 күн бұрын
Siku ina masaa 24 kwahiyo 12 jion siku ya arafa imeingia makka ikifika asbh ya siku ya arafa ww utakuwa ktk uck wa siku ya arafa ukifika alfajr utaamka na funga Maka itakuwa ni jion ya siku ya arafa ww ni asbh ya siku ya arafa
@MuslimBakar-uf6xd
@MuslimBakar-uf6xd 12 күн бұрын
😂😂😂 wao hwana elimu hao shekh nassor mungu akujaalie janna ns cc waislamu sote
@ummumohamed1375
@ummumohamed1375 12 күн бұрын
برك الله فيك
@JabirBakar-ys8dw
@JabirBakar-ys8dw 12 күн бұрын
Hujui kiarabu
@YasiniRajabuAlly-oc1pd
@YasiniRajabuAlly-oc1pd 12 күн бұрын
Tizama mashabiki wa Shari, Hana lakukosoa Ila alazmisha tu!! Allah atuongoze wallahi Yani watu hawafati usawa hata ubainishwe vp wazidi kushabiki upumbavu Yani dini yafanywa Kama Simba na yanga muandae majibu yakwenda kumjibu Allah
@AyoubHajj
@AyoubHajj 12 күн бұрын
Maalim wangu Naomba kuliza na piya naomba unisaidiye hili jibu Jumamosi imekatazwa kufunga Sunna Vipi hi arafa unaenda kupatiana jumamosi naomba ufafanuzi apaa biidhillah Allah ataniwezesha kukuelewa
@warshysaid8564
@warshysaid8564 12 күн бұрын
Thibitisha hilo kwanza limesemwa wap na nani? Let ushahidi
@twahamkasi-gn1lo
@twahamkasi-gn1lo 12 күн бұрын
kiboko ya masufi,namkubali sana
@MuslimBakar-uf6xd
@MuslimBakar-uf6xd 12 күн бұрын
Mashallah kka
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 12 күн бұрын
Naona swali la shekhe uthaymeen umelikwepa,sasa hiyo sio amana katika elimu ulibambanya inakupasa ubainishe halafu ndio utuletee maneno mengine
@lototoreali7638
@lototoreali7638 12 күн бұрын
Sheikh Bachu naomba utengeze video kuhusu Arafa kwa mataifa yenye kutafautiana na tauqit ya Makkah kwa muda wa zaidi ya saa 12. Magharibi na Mashariki ya Mbali.
@abdallahassan2080
@abdallahassan2080 12 күн бұрын
😂
@answarmohamed4564
@answarmohamed4564 12 күн бұрын
Subutu 😂😂😂😂
@warshysaid8564
@warshysaid8564 12 күн бұрын
Kukusaidia ndugu yangu tumeambiwa tufunge siku ya arafa siku ina masaa 24 kma vile tukisema siku ya ijumaa ina masaa 24 lkn kwenye masaa 24 Kuna mda maalum inapatikana swala ya ijumaa
@warshysaid8564
@warshysaid8564 12 күн бұрын
Kwahiyo nchi zilo tangulia mbele ni masaa 10 tu lkn tufanye hayo 12 inamaana wao watàaanza fasi kufunga 7bu alfajr kwao inachomoza kwanza makka watakuwa ktk uck wa siku ya arafa wao watakuwa asbh ya siku ya arafa
@answarmohamed4564
@answarmohamed4564 12 күн бұрын
@@warshysaid8564 Arafa ni kisimamo cha masaa sasa ikiwa nyinyi mko mbele au nyuma kwa masaa itakuaje wakati wakati ukiwafutu ikiwa waliosimama katika uwanja wa arafa kwenu ni wakati wa usiku?
@user-kc4fv6cf8l
@user-kc4fv6cf8l 12 күн бұрын
Siku ya arafa ilikuwepo kabla ya kufaradhishwa alhaj
@khatibrashid172
@khatibrashid172 13 күн бұрын
Tutaelewana tu inshaaallah
@shahrazadomar
@shahrazadomar 11 күн бұрын
Arafa na Hajj ipi imekuja mwanzo????
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr 12 күн бұрын
Bachoo nimekuelewa ingeambiwa Baaresa anatoa milioni kumi siku ya ijumaa basi watu wasinge kwenda siku jumamosi hata mmoja
@bafaaabuu
@bafaaabuu 12 күн бұрын
Kila la heri mualimu wa walimu
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 12 күн бұрын
kazi imefanyika vizuri Allah akuhifadh hoja yao kubwa eti wengine inakua usiku sasa ndo nini ?kwani sisi afrika mashariki inakua usiku ? tatizo wamepoteza watu mda mrefu hawataki kujirudi wakatulia ktk njia ya sawasawa
@maarufumustwapha3055
@maarufumustwapha3055 10 күн бұрын
Bachu muongo
@MuhidiniSleyman-vi2ix
@MuhidiniSleyman-vi2ix 12 күн бұрын
Uposawa
@d15355
@d15355 12 күн бұрын
Bachu umeshaambiwa kwamba funga ya ARAFA ni mwezi 9 dhul hijjah sasa wewe ukisema kufunga kwako ni mwezi 8 dhul hijja hiyo itakuwa ni funga kweli ya siku ya ARAFA? Funga ni siku ya 9 ya kalenda ni tofauti na kisimamo cha arafa kisimamo kinafuata kalenda ya saudia lakini funga inafuata tarehe ya mahali ulipo hata kama unaishi HAWAII huko basi utafuata tarehe 9 ya huko uliko sio ya Saudia,sababu wanaoenda hijja ni % ndogo sana kuliko wanaobakia sasa utafuataje saudia wakati wao saudia wapo wanasherehekea idd wewe ndo kwanza upo mwezi 8? Tumia akili acha upumbavu huo
@user-ye3fy9kk6r
@user-ye3fy9kk6r 11 күн бұрын
Tumia akili ww
@d15355
@d15355 10 күн бұрын
@@user-ye3fy9kk6r kelele kibaraka wa dajjal wee tutailinda dini hii zidi ya upotoshaji wenu MAWAHABI
@abdulrahimsaid7864
@abdulrahimsaid7864 10 күн бұрын
Ubalikiwe ndg
@izmamuizmamu6521
@izmamuizmamu6521 12 күн бұрын
Mashallah
@hakimyusuf604
@hakimyusuf604 12 күн бұрын
Waeke Sawa hawajielewi
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 12 күн бұрын
Nikikuskiliza nafsi yangu inatulia kabisaaa kwa amani kwa sababu unaongea kwa dalili
@MwalimJecha
@MwalimJecha 10 күн бұрын
Kipotoshaji kumekucha
@ramadhansaid778
@ramadhansaid778 2 күн бұрын
Masufi inawauuumaaa kwasababu HAKI IMEJITENGA NA BATILI
@salmaali7080
@salmaali7080 11 күн бұрын
Nyinyi mashekhe hamuna kazi yakufanya,killa mtu afate kisomo chake wacheni kutubabaisha,killammoja ajiona ye ndoshekhe wakisawa msitupotofhe.
@vuaiali3780
@vuaiali3780 3 күн бұрын
Nyie gombaneni tu kila siku, sjui mnapata faida gani
@mzeemwinyihassan9774
@mzeemwinyihassan9774 11 күн бұрын
Sisi tunataka utuambie jee kabla ya kua na mitandao duniani watu walikua wanafunga vipiiii na jee walikua sahihi au sio sahihi Pia ukisema wapinzani wenu maana yake shehe upon kwenye msimamo na Wala sio kwenye dini Pia unahukumu kabisaaa hivi wewe una mamlaka uliyopowa na Mungu ya kuhumuuuui
@rashidjuma9169
@rashidjuma9169 11 күн бұрын
Sheikh haya masala huwezi kuyajuwa mpaka ujuwe kwanza mtume alifunga arafa miaka mingapi na mtume alihiji miaka mingapi.
@hasinaalrahbi6681
@hasinaalrahbi6681 12 күн бұрын
Arafa watu wapo hija na sisi tupo sehem ingine.muhim sana kufata mwezi.tusikurupuke kuwafata suudia.hamjuwi mambo yao yapo vipi muhim sio kufata mkumbo kila mtu atizame mwezi aliopp😊
@warshysaid8564
@warshysaid8564 12 күн бұрын
Ww unatizama mwezi ulipoo?
@warshysaid8564
@warshysaid8564 12 күн бұрын
Jiulize kwann hadithi ya tufunge siku ya arafa imekuja baada ya kufarazishwa hijja isije kabla
@JabirBakar-ys8dw
@JabirBakar-ys8dw 12 күн бұрын
Kwa kweli bachu hufanya kusudi kupotosha maana analazimisha vitabu vyote vinazungumzia kisimamo yeye anadanganya mawahabi wenziwe nao wametulia
@maryamabdallah3140
@maryamabdallah3140 12 күн бұрын
Jabir mbona haki iko wazi, wewe mwenyewe soma usisubiri kusomewa kama uko kanisani. Kazi ni kwako kuingia kwenye Nuru au kubaki kizani...maamuzi ni yako mwenyewe...muhimu ushafikishiwa kwa dalili za Aya.
@muadhammwenyeamin5028
@muadhammwenyeamin5028 12 күн бұрын
Mwenyewe Bachu kajitia mtegoni..MashaAllah umeelezea Arafah kwa uzuri saana..kwamba mahujaji wako kisimamo cha arafat wanamuomba mungu..mungu yuwashuka mpaka mbingu ya kwanza..Hapo umepata..Sasa umejipiga fimbo yako mwenyewe mbele..kisimamo cha arafah chaanza saa ngapi..na swali je wale watu ambao masaa ya kwao ni usiku na wakiamka arafah kwao ishaisha je wao hawana ujira??wajua bachu ukitoka hoja yako..unganisha na hoja ingine kisha ueleze watu vizuri..musituweke kwenye hewa..
@jumamahmoud9271
@jumamahmoud9271 12 күн бұрын
Tulia dawa ikuingia na wewe unafahamu vizur sana lkn unajipumbaza
@muadhammwenyeamin5028
@muadhammwenyeamin5028 12 күн бұрын
@@jumamahmoud9271 sawa boss
@azizayassin3623
@azizayassin3623 12 күн бұрын
Vp kiarabu ya kuongea na kuandikwa ni tofauti je unajua hlo ama mbona cjasikia majibu yko bwa shekhe😂😂😂😂😂😂😂😂#freedom Palestine 🇵🇸
@swalehseifmuhammed8289
@swalehseifmuhammed8289 9 күн бұрын
Bachu kwanza kasome tena kasome ndio uju uzungumze na watu maana naona hata nahau hauna dah ni majanga
@amisiTWAIBU
@amisiTWAIBU 12 күн бұрын
Asalaam Alaykum shekh ujulishe kwànzà mwaka gàni kumefaradhishwà Ramadan nà mwàka gani hidja?
@alesryyusuf267
@alesryyusuf267 12 күн бұрын
Assalamu alaykum, sheykh wangu kabla ya simu na tv watu walikuwa wanajuwaje kama leo ndio arafa makkah,,... au ndio dini yako inabadilika kila mara
@warshysaid8564
@warshysaid8564 12 күн бұрын
Walikuwa wakiangalia muandamo wa sehem walipo
@warshysaid8564
@warshysaid8564 12 күн бұрын
Je ww sahv unafuataa mwandamo wa sehem ulipoo,?
@sefuriyembe7864
@sefuriyembe7864 11 күн бұрын
Bachu hujui jiografia, Hilo ndo tatizo lako !!😅😅
@user-rp4eb5xw1z
@user-rp4eb5xw1z 11 күн бұрын
Alokuaambia wislamu unaongozwa na geography nan wew ndug wislamu unaongozwa na Aya na khadidhi saw nahapo bachu anatumia Aya na khadidhi saw so qwamtazamo wangu nakimtazamo wa din Bach ako saw nawala so maneno yake
@abdulrahimsaid7864
@abdulrahimsaid7864 10 күн бұрын
Shikiilia apoapo
@HassaniHusseni-oo8uh
@HassaniHusseni-oo8uh 12 күн бұрын
Kwani shekh 1) hija imeanza mwaka gani? 2) mtume amefunga arafa marangapi? 3) je mahujaji wamekatazwa kufunga arafa 4) je kuna mafungamano kati ya idi hii na hija ? 5 ) je swaumu hii inahusiana na idi hii au na hija? Ukijibu hapo wewe mwenyewe utakua umeelewa na kuna maswali kama 5 ya kuku fungua zaidi
@omanoman-ir1ez
@omanoman-ir1ez 12 күн бұрын
huyo hawezi jibu apo funga lazima iambatane na tarehe na tumeambiwa arafa ni mwezi tisa mfunguo tatu manake nini mfunguo pili ukiisha tunaangalia tatehe mosi imeanza lini hivyo tutafuata mwanzo wa tarehe mosi mpaka tisa. sasa yeye anasema tuwafate mahujaji tuwaangalie wapo arafa au la ndo sie tufuate mmh katika hilo hana mashiko
@Afas-hg7qw
@Afas-hg7qw 11 күн бұрын
Jibu swl usifanye fujo
@Afas-hg7qw
@Afas-hg7qw 11 күн бұрын
Au tuambie unamfanyia raid ibn uthaimin uthaimin
@JumaOmar-ku6cr
@JumaOmar-ku6cr 12 күн бұрын
Ndugu yangu Abdulrahman kua msikivu usiwe kichwa kibovu bachoo anasoma vitabu wewe ukiambiwa njoo ijumaa ukija jumamosi itakuwa sawa
@user412
@user412 10 күн бұрын
Miongoni mwa nchi zilizoko mbele kwa masaa 10 zikitofautiana na Makkah ni Apia, na nchi zilizonyuma kwa masaa 13 zikitofautiana na Makkah ni Honolulu. Hawa watafunga vp Arafa? Wakati Itakuwa mahujaji hawapo tena kiwanjani?
@user-bg3tl6qi3u
@user-bg3tl6qi3u 10 күн бұрын
Je Arafa ilianza kufungwa lini maana mtume alifunga miaka ya nyuma kabla kufadhiliwa hijja
@bebekeyluv2603
@bebekeyluv2603 12 күн бұрын
Wayakidhibu ssaduku😂😂😂😂 kasome Baba kotojua Sio ujinga .kujifanya wajua ilihali haujui ndio ujinga pumba WWE .
@OthnoShezume
@OthnoShezume 10 күн бұрын
Shekh mwaka wa kwanza tumpe kwenda madina km unasema arafa ni kitendo jee kilikuwa kinafanyika maana mtume alikuwa madina
@maarufumustwapha3055
@maarufumustwapha3055 10 күн бұрын
Yani Mimi elmu ni ndogo lakini bachu hapo umechchora hadi unacho zungumza hukielewi
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 10 күн бұрын
Tunagombania funga ya siku moja dah
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 12 күн бұрын
We wacha kuupotosha umma
@Khalid-mf3iu
@Khalid-mf3iu 11 күн бұрын
Masharifu ndio wapotoshaji wakubwa wa umma
@bebekeyluv2603
@bebekeyluv2603 12 күн бұрын
Njoo tukunyeshe mara hii huna lolote juha kalulu enda ukafundiswe
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 12 күн бұрын
Hata Ibilis alikuwa Mwanawazuoni Mkubwa mwenye elimu KUBWA kuliko Malaika ila alipungukiwa busara,hekima,heshima,alijawa kiburi na kujiona yeye ni Bora kuliko kiumbe mwingine yeyote.Nayaona mapungufu makubwa Kwa Bachu.Tumsamehe kwani yupo kwenye baleghe ya Elimu.Kipindi Cha baleghe kijana hujiona amekua na anajua Kila kitu.😂😂😂
@abughaneem9220
@abughaneem9220 12 күн бұрын
Wewe wivu ndiyo yakusumbuwa Allah amuepushe bachu na fitina zako
@user-do1pq2uu1c
@user-do1pq2uu1c 12 күн бұрын
Wivu wakati tulishamnyoosha kule kenya kwa ilimu gani?
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 12 күн бұрын
Kama walivokua kwenye baleghe mashehe zako Izudin Abuidi Saidi hasani Badawi mwenye baba Na masufi wengine na mtakula nondo sana?😂😂
@jumamahmoud9271
@jumamahmoud9271 12 күн бұрын
Unasema ibilisi alikua mwanazuoni mkubwa ikisha alikua na kiburi sasa mambo haya mawili yanafungamana vipi Kwasababu tunafahamu fika kua mwanazuoni hawezi kua na kibur na m/mungu anasema kua hawapendi wale ambao wanaviburi na kujifagharisha
@salumzaharanjuma6927
@salumzaharanjuma6927 12 күн бұрын
​@@user-do1pq2uu1c Kenya swali hamukujibu je ni kweli samaki paka ngombe waliongea mimba ya mtume ilipoingia Mpaka leo hakuna sheikh aliyejibu hoja zake
@masoud744
@masoud744 12 күн бұрын
Kila wakijibu baadae hujuta
@abdurashidinasorodini
@abdurashidinasorodini 11 күн бұрын
😂😂😂
ANGALIA WATU WA SIU WAMENILISHA KENGE ( YURU ) / Muhammad Bachu .
8:14
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 4,9 М.
MAMBO HAYA YANAHARIBU SWALA YA MTU SHEKHE NASSOR BACHU
33:23
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 4,2 М.
small vs big hoop #tiktok
00:12
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 16 МЛН
She ruined my dominos! 😭 Cool train tool helps me #gadget
00:40
Go Gizmo!
Рет қаралды 57 МЛН
OMG🤪 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:50
Potapova_blog
Рет қаралды 17 МЛН
FOOTBALL WITH PLAY BUTTONS ▶️❤️ #roadto100million
00:20
Celine Dept
Рет қаралды 35 МЛН
DAKIKA 19 ZILIZOMUANGUSHA SULE NA WAPIGA RAMLI WENZIWE || Muhammad Bachu.
19:15
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 30 М.
SHEKH BACHU USITAFSIRI UTAKAVO
37:37
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 28 М.
Upungufu wa ilmu ya Muhammad Bachu kwenye funga ya arafa
17:48
Maawy Muhammad
Рет қаралды 44 М.
OTHMAN MAALIM.....VISA VYA VITA YA BADRI
3:01:33
ADELINK HABARI
Рет қаралды 112 М.
MAMBO MAMWILI UKIWA NAYO KABLA YA KUFA ALLAH HATOKUADHIBU || Muhammad Bachu.
16:56
FUN&SUN | Update 0.29.0 Trailer | Standoff 2
2:32
Standoff 2
Рет қаралды 1,5 МЛН
1000+  МЕГАЯЩИК АШСАМ НЕ ТҮСЕДІ ЕКЕН?!
26:01
Асхат Gaming
Рет қаралды 31 М.
Lp. Последняя Реальность #91 БОСС МАФИИ [Элитный Отряд] • Майнкрафт
37:25
ДОЛГОЖДАННЫЙ СОЮЗ | Сюжет skibidi toilet 75
10:57