Yah Allah mpe sheikh wetu mwisho ulio mwema. Yaah rabbi tusamee sisi makosa yetu dini umetoka mbali mtume Muhammad s.a.w aliumia sana pamoja na maswahaba wake
@LutfiaMohammed-q3k2 ай бұрын
Dah ukisikiliza kwa makini na Imani dah lazima macho machozi yakutoke
@OmanOm-wy5wj9 ай бұрын
Mungu akupe umri mrefu shehe wetu❤❤
@RashidAbasi-b3o11 күн бұрын
Mashaallah shekhe allah akupe umri mrefu wenye kheri na baraka. Uzidi kuelimisha umma
@musalumbi84909 ай бұрын
Maasha Allah Sheikh! Napenda jinsi unavyoisoma Qur'aan
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Mashallah, Jazakallahu kher shekhe Othman Maalim Allah akulipe kher Jannah inshallah 🙏Yarabb nizidishie iman kwenye moyo wangu.
@FatmaothmanFatmaothman-ch5oi Жыл бұрын
Allah nijaze iman ndani ya nyoyo yangu nizidi kusikiliza mambo ya heri Amin
@bilo1106 Жыл бұрын
🤲🤲🤲🤲🤲
@Awatee Жыл бұрын
Amiin amiin amiin
@Aminamuhamed Жыл бұрын
S .A .W REHMA NA AMAN ZIMFIKIYE JUU YAKE NA MASWAHABA ZAKE NA AAL ZAKE 🤲🤲🤲❤❤❤
@Aminamuhamed Жыл бұрын
TAKBIR, ALLAH AKBARU ALLAH AKBARU ALLAH AKBARU WALILAH LIHAMNDI 💔💔💔😭😭😭 WALLAH ALLAH ANATUPENDA YAA ALLAH NAOMBA TUTAKABALIYE NASI DUA ZETU YAA RABIY
@vumiliahamisi6720 Жыл бұрын
Shukrani shekhe kwa mawaidha mazuri
@maryamkhamis94939 ай бұрын
MashaAllah shukran Allah akuweke uzidi kutufundisha na Allah akulipe ujira mkubwa amin 🤲🏽
Alhamdulilah 🤲 kwakuwa Muislamu. Wapinga Uislam wanajua Uislam ni dini ya haki ila wanakataa😂 kwa maana Uislam unapinga uchafu, ushenzi na upotofu na wao ndio mambo wanayopenda na hawako tayari kuwaacha. Ndugu jua ya kwamba kuna maisha baada ya kifo😢 na tutaenda lipa tulio vuna hapa duniani kukataa ukweli ubishi waki jinga.
@SalmaNelima Жыл бұрын
+254 Wallah Allah Akuzidishiee Mashaallah Mie nakuone Wivu familia yako inafaidii Ayaa Mazuri wallah Ma Sha Allah
@alyhasaan Жыл бұрын
Mwenyezi mungu, akupe umri mrefu .Uzidi kutupa dawa.
@AdinanRamadhani-l7d Жыл бұрын
Mungu akupe wepesi uje mkoa wa njombe huku fikra inahitajika Sana karibu njombe
@JamaliSaguti-qy4vd Жыл бұрын
Yaarab nakuw msusuavu wa moyo ,nashitakia kwako ,nijaalie kher kama hizi masikioni Mwangu ishaallah
@RehemaaradiinRehemaaradiin4 ай бұрын
Mashallah darsa nzuri sana
@yusufsuwi53505 ай бұрын
Mwenyezi akuzidishie heri mzee
@SelemaniYahaya-v3w4 ай бұрын
Allah amzidshie zaidi kheri😊
@SelemanYassn12 күн бұрын
Mashaalla
@eshasaid3258 Жыл бұрын
Mashaallah mabruq harusi zi barikiwe shari ziwe bali nuro mujaliwe mutate wattoto woman na limatu amusing iwe swadaka kwenu ameen ❤❤❤❤❤❤
@sukainajasiri11 ай бұрын
Marshall tuna elimika sana ❤ mungu akuzidishie kheri amin
@madinaNibizi11 ай бұрын
Manshaallah malim Allah akupe ❤umri muref
@salassalas-eo6vo8 ай бұрын
Jazakallahu kheir in sha Allah
@SelemaniYahaya-v3w4 ай бұрын
Maashahallah fundi maalim
@Rehema-uw4et10 ай бұрын
❤ mashallah
@MwanaidiKassim-q2q8 ай бұрын
Mashaallah
@farris_25499 ай бұрын
Mashallah!
@FaridaYusuph-x2z8 ай бұрын
Masha Allah
@ismailhassan52092 ай бұрын
Allahumma Allah akujaze kheri nyingi
@alifarida7795 Жыл бұрын
Alhamdulillah
@Basaidabillionier Жыл бұрын
Mashallah
@nasrahassan2260 Жыл бұрын
Masha allah❤❤
@AfiSoul10310 ай бұрын
Jazzaka llahu kheyr...
@swabiaa148910 ай бұрын
Allah atuongoze waislam 😢
@danibboy6831 Жыл бұрын
Mashaallah ❤️❤️
@alifarida7795 Жыл бұрын
Alhamdulillah
@SelemanYassn12 күн бұрын
Shekhe napenda ukiwa unatoa mawaidha
@busungutz4 ай бұрын
Sheikh Noor
@MwajumaWakingombe5 ай бұрын
sheikh zamani ilikuwa vita tuu
@MohamediMoyo11 ай бұрын
Yardbird nijaalie niwemwaminifu kwa allah
@faridahalwaily85 Жыл бұрын
Subhannah Allaah İmanı pungufuuu
@AbdiLahi-l8h5 ай бұрын
Man dara Alalkhair mithil idhumaaayafhalihi
@shekhaabdu28099 ай бұрын
Mia tatu kumi na tatu. Mia tatu kumi na tatu
@JaJa-ub7mu Жыл бұрын
😅😢
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Mashallah, Jazakallahu kher shekhe Othman Maalim Allah akulipe kher Jannah inshallah 🙏Yarabb nizidishie iman kwenye moyo wangu.
@MwanaishaNthenya6 ай бұрын
Masha Allah
@omaryally348910 ай бұрын
Mashallah
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Mashallah, Jazakallahu kher shekhe Othman Maalim Allah akulipe kher Jannah inshallah 🙏Yarabb nizidishie iman kwenye moyo wangu.
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Mashallah, Jazakallahu kher shekhe Othman Maalim Allah akulipe kher Jannah inshallah 🙏Yarabb nizidishie iman kwenye moyo wangu.
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Mashallah, Jazakallahu kher shekhe Othman Maalim Allah akulipe kher Jannah inshallah 🙏Yarabb nizidishie iman kwenye moyo wangu.