Hongera kwa mtunzi wa wimbo huu,na wote walio husika kuuimba ,na huyu mama alicheza kayamba hongera zake mungu aendelee kumtunza
@joshuamumina2062 Жыл бұрын
kazi njema kwa wanakwaya was BMM, yombo, jamani naomba nota nami nifikie kuuimba wimbo huu mtamu
@paktva44462 жыл бұрын
Vous êtes formidables mes frères et sœurs en Christ,Paul Amani de puis la République du Congo RDC 🇨🇩
@raymondmushi33104 жыл бұрын
Bila kusahau wimbo umetamadunishwa vizuri sana. Hongereni sana waimbaji
@theresialfredybugalama58504 жыл бұрын
Mara ya kwanza kuusikia huu wimbo nilimsikia Marehemu stive, pumzika kwa amani ndugu yetu bado hatujakusahau
@andiemakevin62282 жыл бұрын
very great song for every mother. naomba nota ya huu wimbo .
@jelistakasochela89924 жыл бұрын
Pumzika kwa amani Mama yangu. Nakupenda na ninakuombea. Huyu n Mama
@nkombemaro78524 жыл бұрын
Najivunia kua mkatoliki....nimebarikiwa sana kwa wimbo huu..... radha ya kikatoliki yenyeweeeee.... asante sana. Bikira Maria utuombee.... Tumsifu Yesu Kristu.
@graimignasy26625 жыл бұрын
Mama tazama mwanao amina mbarikiweee sanaaa
@raymondmushi33104 жыл бұрын
Wimbo umekaa vizuri. Nimefurahishwa na kazi iliyofaywa na bass na sauti nyingine pia. Mbarikiwe sana
@marthakenganije86234 жыл бұрын
No one like mama R.I.P mamang mwanga wa milele ukuangazie
@danielyongha33743 жыл бұрын
Pumzika kwa amani Mama angu I love you so much my Mom
@simonthomas79695 жыл бұрын
Mpiga kayamba uko vizuri maana si kwa morali huo
@charlesmartine34674 жыл бұрын
Mpiga kayamba. Nomaa
@jescanyamwiza94353 жыл бұрын
💃🤝aasante sanaaaa
@nathammbaga2354 жыл бұрын
Mbarikiwe
@deltaproductionskisumu94113 жыл бұрын
Safi sana, nabarikiwa kila wakati nmeskia wimbo wa mama maria
@yohanasindano5344 жыл бұрын
Ebhana Naomba utaratibu wa kujiunga na hii kwaya
@hasanlusawa31475 жыл бұрын
Daaaah hongereni sana bmm yombo vituka. Enzi za uhai wake Stive limila nilimsikia akiimba akapela ya huu wimbo, bas tumuombee pumziko la amani.
@JugoMedia5 жыл бұрын
Amina
@kajunarobert97294 жыл бұрын
Amina
@chiristinefrans55075 жыл бұрын
Mnajua sana kwaya bmm mpo juu
@frankmtawa38174 жыл бұрын
Hatariiiiiiii .... Mziki mzuri sana, instruments zipo on-point pia
@getrudeshija12455 жыл бұрын
Hongereni Sana.....najivunia kuwa mkatoliki na mwanakwaya pia. Bila Shaka Akina baba mliomba umeme ukate kwa sababu hamkutajwa tajwa😆
@JugoMedia5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@balozisilvan43805 жыл бұрын
Kweli imetulia.
@pendomakeula83335 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣✋😝
@christinamaghembe13805 жыл бұрын
Hakika huyo ni mama .Mungu azid kuwabariki sana wana kwaya wa Bmm
@ceciliamhumba73495 жыл бұрын
👏👏👏 Mcheza kayamba nimekuelewa 🙌😂😂Hongera sana.
@kajunarobert97294 жыл бұрын
Kazi nzuri wana Bmm
@marialushinge96084 жыл бұрын
Wow jmn hd raha sana hyo mama anavyochekecha duuuu
@priscahaule59064 жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana Mungu awatie nguvu daima
@margretbuhasio21554 жыл бұрын
Am so happy am rolling tears of joy though I lost my mom bt I know one day I'll get a wonderful mother in law who will be my mom again
@jelistakasochela89924 жыл бұрын
Sichoki kusikiliza hii nyimbo
@mariaflorian99414 жыл бұрын
I love you mama ,pumzika kwa amani mama yangu
@JugoMedia4 жыл бұрын
Amina
@benardbenard59724 жыл бұрын
Nawapenda sana
@terezamaurice99034 жыл бұрын
Hongereni Sana wimbo mzuri sana
@dominickmsami38974 жыл бұрын
Wao wonderfull
@winifridarwehumbiza26004 жыл бұрын
nimeguswa na huo womb mzuri wa kumsifia mama
@josephnarsis65255 жыл бұрын
Kazi nzuri. .........
@neemamwampashi24045 жыл бұрын
Sister Glory kazi nzuri mbarikiweee🎷
@samuelnduati97925 жыл бұрын
Hongera sana jamani.
@marthaemmanuel33235 жыл бұрын
Mko vizur, Hongereni sana
@edwinmatozi74515 жыл бұрын
Ukisikia mziki mnene wa Mungu ni huo
@polkalipimavazi17924 жыл бұрын
najivunia kuwa mkatolik
@bernadettenyiva47075 жыл бұрын
Kweli huyo ni mama. Cograts. From Kenya
@JugoMedia5 жыл бұрын
Thank you Kenya for following us. Welcome to Tanzania
@innocenthawanga80325 жыл бұрын
Litimu la taifa🙌🙌
@dianacharles13844 жыл бұрын
mama ni mama❤️❤️🙏🏻
@judykemunto32085 жыл бұрын
HUYO NI MAMA❤️😘🙏
@brian_mahinda5 жыл бұрын
Wimbo uko shwari...Heko kwa wanakwaya wa BMM Yombo Vituko
@imaculatadominic70055 жыл бұрын
KUTOKA MOYON NAJIVUNIA KUWA MKATOLIKI
@imaculatadominic70055 жыл бұрын
MAMA MAMA JAMAN MAMAAAAA TUWAHESHIM WAZAZI
@jenasjohn43193 жыл бұрын
Tanzania
@costantinenkela99604 жыл бұрын
R.IP stive limila umeacha alama kwenye music wa kikatoriki
@JugoMedia4 жыл бұрын
Hakika
@nathammbaga2354 жыл бұрын
😪😪😪😪😪🙏
@noelayamo89604 жыл бұрын
Yes
@kitikadzo49803 жыл бұрын
I like that man dancing like it's his mum right there😜😜
@JugoMedia3 жыл бұрын
Amina
@gesenciapeter68694 жыл бұрын
❤️💕🙏🙏
@jamesuronu13065 жыл бұрын
Huyo anayepiga saxophone nimemuelew sana
@JugoMedia5 жыл бұрын
Yupo vizuri
@annastaziaramadhani26665 жыл бұрын
Akika muje na mikoani basi
@Tiner_cakes4 жыл бұрын
Mpiga kayamba nimekukubali mama🤔🤔🤔
@catholicmusicianorganisati73535 жыл бұрын
Umeme wakakata haaaaaa jamani
@JugoMedia5 жыл бұрын
Hahahaha hatari
@gasperkinyisi98325 жыл бұрын
Ndo maana jana hamkuepo Kanisan kumbe mlikuwa huku nawamis sana bmm
@musichealsTz5 жыл бұрын
huyo mpiga "SAXOPHONE" ametishaaaaaaaaaaaaaaa
@jovenaryjovenary84284 жыл бұрын
Hivi naweza kupata DVD za hili tamasha!? Tumsifu Yesu Kristo
@JugoMedia4 жыл бұрын
Jaribu kufatilia kwa waandaaji yaani radio maria tanzania wanaweza kuwa nazo
@frediricknandonde16904 жыл бұрын
Naomba kuuliza mwalimu limila ni yupi hapa jamani sorry lakini