SIKIA - KWAYA YA MTAKATIFU KIZITO MAKUBURI | TAMASHA LA UKWAKATA DAR ES SALAAM 2019

  Рет қаралды 438,580

Jugo Media

Jugo Media

4 жыл бұрын

Tumsifu Yesu Kriso,
Karibu kutazama Perfomances mbalimbali zilizofanyika katika tamasha la kuadhimisha mwaka wa umisionari lililoandaliwa na UKWAKATA jimbo kuu la Dar es Salaam. Tamasha hilo lilifanyika katika viwanja vya msimbazi center tarehe 13 mwezi wa kumi. tamasha hilo lilihusisha kwaya Takribani 16 kutoka pande mbalimbali za jimbo kuu la dar es salaam. kwaya hizo ni kama kwaya ya familia takatifu st joseph cathedra, kwaya ya mtakatifu kizito makuburi, kwaya ya dami takatifu ya yesu tegeta, kwaya ya mtakatifu cesilia mavurunza, kwaya ya mtakatifu stephano kipawa, kwaya ya mtakatifu augustino ukonga, kwaya ya maria goreth mbagala, kwaya ya bikira maria mama wa mungu yombo vituka, kwaya ya bmm kimara na kwaya nyingine nyingi. tafadhali endelea kufuatilia channel yetu kwani tunakuwekea yote hapa.

Пікірлер: 194
@annwangeci9997
@annwangeci9997 2 жыл бұрын
The drummist is giving me goosebumps,,, love you so much ,,,from Kenya ,,,,Born Catholic die Catholic
@LucyMKyalo
@LucyMKyalo 4 жыл бұрын
I love this choir hadi sijiezi...mwenyezi mungu awazidishie ...cant go a day without listening to your songs Mob love from Kenya
@elizabethwanjiku8779
@elizabethwanjiku8779 4 жыл бұрын
Love you all makuburi kwaya, listening from Spain, God bless you always
@henryirungu9059
@henryirungu9059 4 жыл бұрын
The choir,the choirmaster, the drummists and the pianist normally makes me to go crazy kudos Tz from Kenya
@janekhaemba4383
@janekhaemba4383 4 жыл бұрын
Drum beat boy mbinguni ukifika pewa degree✅✅✅✅✅ Catholic my church
@judykemunto3208
@judykemunto3208 4 жыл бұрын
Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi,nimewaita mara tatu.... Kenya hatutachoka kutazama hizi talanta
@ngailelubanza7415
@ngailelubanza7415 4 жыл бұрын
Hakika hiyo ndiyo hazina ya catholic! najivunia kua Mkatoliki.Asante Mwenyez Mungu.
@loemagidaycha5286
@loemagidaycha5286 4 жыл бұрын
natamn dini ya catholic maan napnd nyimbo zao
@JugoMedia
@JugoMedia 4 жыл бұрын
Karibu sana
@zachariagerald
@zachariagerald 4 жыл бұрын
Loema Gidaycha karibu sana, tunakupenda sana, karibu ujiunge nasi
@tadeimallya7302
@tadeimallya7302 2 жыл бұрын
Hii kwaya mbinguni watakaa siti za vvip, wanatisha sana! Mbarikiwe
@esterntondo3663
@esterntondo3663 4 жыл бұрын
Asante saaaaana mpiga ngoma..... Mungu azidi kuwainua zaidi waimbaji wote
@fadhildaniel2141
@fadhildaniel2141 4 жыл бұрын
Nimemuelewa saaaana mpiga tumba
@johnrington3015
@johnrington3015 3 жыл бұрын
Mshobozi wa Moto mpiga Ngoma wa Moto kwaya master wa Moto kwaya ndio usiseme duuuuuh
@gastonkizundu4216
@gastonkizundu4216 4 жыл бұрын
Najivunia kuwa Mkatoliki sanaa. Naomba uucheze wimbo wa '"Nimeona maji yakitoka Hekaluni".
@idarakatekesi4211
@idarakatekesi4211 4 жыл бұрын
Mushobozi hicho Kinanda, Drums iyo ngoma, Conductor hiyo mikono Bravooooo sana wote
@matinderyoba6159
@matinderyoba6159 4 жыл бұрын
Really choir master nakupenda bure,daima usiache kumshukuru mungu kwa talent alokujaliaa,am blessed nawapenda sana makuburiii,drumist duh umeniacha hoiii
@winfredkajuju3008
@winfredkajuju3008 4 жыл бұрын
How does God feel... I know He is happy...this makes me shed tears. Lots of love guys in Kenya
@mwesigacredius9852
@mwesigacredius9852 4 жыл бұрын
My goodness on top of well arranged voices and musical instruments..Conductor alinogesha zaidi na kinachofurahisha zaidi choir nzima inafata huo mwongozo wa conductorwhat a talent...Asante Makuburi
@morinemuonja3382
@morinemuonja3382 Жыл бұрын
Naomba Jina na huu wimbo naupenda sana
@patrickcosmas2431
@patrickcosmas2431 4 жыл бұрын
Salute kwenu makuburi nawakubali xn mnaweza mno sijaona wakuwafananisha na nyinyi kbs jpo na Mimi ni naimba lkn cjaona kwaya kama yenu
@mumyhendry2919
@mumyhendry2919 4 жыл бұрын
This is my breakfast,my lunch,my supper ,my kila kituuuuuu, nawapenda had naumwaaa
@franklaurent1274
@franklaurent1274 4 жыл бұрын
1st in Tanzania
@bestmalya325
@bestmalya325 2 жыл бұрын
Choirmaster anaumnyama mwingi
@thadeusmassoy7891
@thadeusmassoy7891 4 жыл бұрын
Huu ni upako wa pekee kwa kweli. Hongereni sana watumishi wa Bwana, kweli Mungu yupo!
@JugoMedia
@JugoMedia 4 жыл бұрын
Hakika
@thadeusmassoy7891
@thadeusmassoy7891 4 жыл бұрын
@@JugoMedia Kama huyo mpiga ngoma ametisha kweli
@susanraphael5894
@susanraphael5894 4 жыл бұрын
Ee Mungu nisaidie nidumu ktk imani yangu asante Mungu kwa ukatoliki wangu
@veromugo3481
@veromugo3481 4 жыл бұрын
This choir drives me crazy,blessings are flowing may you live long na msizeeke haraka.
@felisterligwa
@felisterligwa 4 жыл бұрын
The pianist,the drumist,the conductor ndo usiseme plus wapiga ala zoote na waimbaji nyote mko vizuri.Utume mwema
@paulinasemindu1498
@paulinasemindu1498 4 жыл бұрын
hakika mungu ni.mwema.😭najikuta nawaza mengi hd nalia
@anordjohn3372
@anordjohn3372 4 жыл бұрын
mshoboz kaka mshoboz duuuuh
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 жыл бұрын
Yaani kinanda kinatamka maneno Acha Mungu aitwe Mungu
@timdovecool7202
@timdovecool7202 4 жыл бұрын
Wimbo mtamu kama asali...kinanda, sauti ya ninga, mpiga ngoma acha tu! Mwelekezi ...dereva wa kweli..alikua makini mno...sop and tenor voices....well balanced. Generally hongera sana makaburi choir...chaguo langu.
@suzyclaud4725
@suzyclaud4725 4 жыл бұрын
mmenikumbusha sn nikiwa DSM mabibo huwa napenda kusali misa ya zamu yenu penda sana nyie
@josephyust2783
@josephyust2783 4 жыл бұрын
Hataa watu wamataifu hakika wakiyaona haya Mungu lazima atukuzwe hongereni sana ila huyo mshobozi mpaka sasa sijaona mcheza kinanda mashohuri namana mh
@elsonchinchembere2524
@elsonchinchembere2524 4 жыл бұрын
Mt kizito makuburi simply the best lots of love from Malawi
@JugoMedia
@JugoMedia 4 жыл бұрын
Thank you malawi for following us
@elsonchinchembere2524
@elsonchinchembere2524 4 жыл бұрын
@@JugoMedia my pleasure continues to upload more songs and to keep us blessed asante nashukulu Sana mungu wakibariki jungo media
@JugoMedia
@JugoMedia 4 жыл бұрын
Thanks a lot. Be blessed
@wambohnganga6513
@wambohnganga6513 4 жыл бұрын
My all time favourite choir listening from kenya
@dominamsonge3088
@dominamsonge3088 4 жыл бұрын
Hongera kwa mpiga drum. Hadi zimeimba po👍🤗🙏
@georgenyasudi4060
@georgenyasudi4060 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu anijalie siku moja nifike Bongo kwa madhumuni tu ya kuiona hii kwaya. Kutoka Kenya, nawaombea baraka zake Mwenyezi Mungu.👏👏👏
@JugoMedia
@JugoMedia 4 жыл бұрын
Amina
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 жыл бұрын
Karibu sana
@kabaiyukyasnider6797
@kabaiyukyasnider6797 4 жыл бұрын
Wao this choir can sing for Africa Mpangilio wa vyombo sauti mbarikiwe sana
@ceciliamhumba7349
@ceciliamhumba7349 4 жыл бұрын
👏👏👏 Mpiga ngoma.
@edgermandimu4671
@edgermandimu4671 4 жыл бұрын
Kwaya ya mt: KIZITO wanaweza sana mungu awape uzima ktk Nazi zao! Tumsifu mungu milele
@jamesgichuhi8070
@jamesgichuhi8070 4 жыл бұрын
The love I have for you guys... Can't stop watching your songs from Kenya... Real talents.,wait and the drummist drives me crazy
@wairimumwaniki5963
@wairimumwaniki5963 4 жыл бұрын
Vizuri kabisa
@madamesampa4231
@madamesampa4231 4 жыл бұрын
Hakika kuwa mkatoliki raha saaana Asante Yesu
@pielinamalata1305
@pielinamalata1305 2 жыл бұрын
Nabarikiwa sanaaaa na uimbaji
@paulinasemindu1498
@paulinasemindu1498 4 жыл бұрын
dah yn wanaoimba hd nywele zinawasisimuka hakika👏👏
@mariammwambungu3174
@mariammwambungu3174 4 жыл бұрын
Kizito very nice
@johnizoboy
@johnizoboy 4 жыл бұрын
Barikiweni sanaaaaa
@emanueljunior2996
@emanueljunior2996 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana wapendwa wangu
@philomenasjohn9083
@philomenasjohn9083 4 жыл бұрын
Yaan mnatupa utamu usioelezeka, organist, mpiga drum, conductor, na waimbaji wote shikamoni
@lazkoech4679
@lazkoech4679 4 жыл бұрын
Nyimbo yenye baraka na kuburudisha hongera sana
@brendaachola3527
@brendaachola3527 11 ай бұрын
The drumist anaskia hiyo drum weeee🎉🎉🎉🎉...
@tigerchristmas5491
@tigerchristmas5491 4 жыл бұрын
My all time fav choir ever , mbarikiweer zaid na zaid
@agnesemmanuel3374
@agnesemmanuel3374 4 жыл бұрын
Yani siku hii nilijisikia kupaa kabisaa makuburi juu
@sabinambaabu1474
@sabinambaabu1474 Жыл бұрын
Good job wapendwa Tumeni full song
@frankkapaya5265
@frankkapaya5265 4 жыл бұрын
Nawapenda mpaka basi
@Birir
@Birir 4 жыл бұрын
Nimebarikiwa for real. Catholic this is my home. Iam proud and ever proud...
@JugoMedia
@JugoMedia 4 жыл бұрын
Amen
@johnngonyani6894
@johnngonyani6894 4 жыл бұрын
Haya ndio mapinduzi uamuziki wa injili safi sana wa catholiki yatuoasa kuwa wabunifu ilikwenda sambamba na mahitajio ya mioyoyawatu
@benedictawanza369
@benedictawanza369 2 жыл бұрын
Allah barik amin
@morinemuonja3382
@morinemuonja3382 4 жыл бұрын
Mwapendeza sana st kizito
@lilianraymond5399
@lilianraymond5399 3 жыл бұрын
Love you with passion from kenya
@marksenior8901
@marksenior8901 2 жыл бұрын
Hi kwaya ni balaah jamani mnaimba hadi kwaya zetu hatuzielewi tenaa...Your the best ever na uyo jamaah wa drums ndo funga kazi
@kafulyawilson8567
@kafulyawilson8567 2 ай бұрын
😄🤣😂😆😄
@julietakathure5135
@julietakathure5135 4 жыл бұрын
Love your variety of songs of which God Almighty is pleased and happy. Keep 👆
@morinemuonja3382
@morinemuonja3382 Жыл бұрын
Hii kwaya ni nzuri naipenda tafadhali niambiwe Jina la huu wimbo
@jessemadullu2226
@jessemadullu2226 Жыл бұрын
Wimbo unaitwa SIKIA BWANA
@emmanuelmperu8983
@emmanuelmperu8983 4 жыл бұрын
Mmmh,Jamami Hatari,,Huku Ni Kuvitendea Haki Vipawa tulivyopewa na Mungu,.
@Fabius_Septimo
@Fabius_Septimo 4 жыл бұрын
Eehh Bwana sikia sauti yangu!!!!
@kabulahenga2318
@kabulahenga2318 4 жыл бұрын
Tunamshukuru Mungu kwa kwaya hii
@stephenmusembi7776
@stephenmusembi7776 2 жыл бұрын
Bravos
@pendotitu7754
@pendotitu7754 4 жыл бұрын
Alililiiiiiiiiiiiiiiiii aiiaiaaiiiiiiiiii 😍😍😍😍😍😍😍😂😂😂😂😂😂😂lililiiiiiiiiiiiiii
@abinanyanchama9561
@abinanyanchama9561 4 жыл бұрын
I love this choir God direct you.. no day will pass without me listening to yua songs... so amazing...❤
@robaimayeku2216
@robaimayeku2216 4 жыл бұрын
Actually you people are so blessed even the mode of dressing is a blessing from God
@emmanuelabel2265
@emmanuelabel2265 4 жыл бұрын
Makuburi sio wa sayari hii! Hatar sana! Huyu mpiga tumba mwambie shikamoo! Big thumb!
@lucymushi328
@lucymushi328 4 жыл бұрын
Kwa kweli si wa nchi hii. Na mpiga ngoma sijui alisomea wapi? Big up sana.
@yustogembege1910
@yustogembege1910 4 жыл бұрын
yaani kama hilo ni tamasha mpiga mkono yaani conducter ana sifuri kabisa
@hamisimkwizu9707
@hamisimkwizu9707 4 жыл бұрын
Jamani safariyetu moja kwaya gani imeimba naitafta mnoo nipate hiyo nyimbo hngr sana makuburi
@priscafrancis4033
@priscafrancis4033 3 жыл бұрын
Ni hawa hawa albamu yao
@benedictawanza369
@benedictawanza369 2 жыл бұрын
Lovely songs .....mpaka the last song ya kitui choir that had accident at enziu was this song# sikia bwana Love u much from kenya Bravo mukasa Mungu akujalie maisha marevu
@st.vincentdepaulboysboardi222
@st.vincentdepaulboysboardi222 3 жыл бұрын
The choir is superb. I love this choir so much. Keep it up.
@jennymrema6473
@jennymrema6473 4 жыл бұрын
Eoooow! Am proud to be Catholic
@richardchaula1860
@richardchaula1860 4 жыл бұрын
Hongereni sana Waimbaji wetu.
@layajen1615
@layajen1615 4 жыл бұрын
Huyu mwalimu akiooo pokea mwaaaaah
@mebolinsnjowoka8628
@mebolinsnjowoka8628 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awe nanyi muda wote nawapenda
@anithajoseph9753
@anithajoseph9753 4 жыл бұрын
Haki huwa nikisikilza nyimbo kama hzi huwa nahisi kubarikiwa sana 🙏🙏 Nalipenda kanisa langu Makuburi
@emilyoteri2492
@emilyoteri2492 2 жыл бұрын
The drumiest is something else
@Cles254
@Cles254 4 жыл бұрын
The drummist and the conductor are on point.good job and keep it up.i love listening to your songs....may God bless you all.
@francismatsiri6663
@francismatsiri6663 4 жыл бұрын
And mshobozi the organist yeye ni Moto sana
@janemlesi5932
@janemlesi5932 4 жыл бұрын
Hakika bwana anafanya kazi yake kwani unaimba Mimi najisikia kusisimuka mwili wangu bilasha kunauepo ndani ya hiyo kwaya Ee Mungu wazishien Rehema zako na utukufu waendelee kuwa na umoja huohuo Mbarikiwe sana
@materdeimusema9939
@materdeimusema9939 3 жыл бұрын
asante sana kwa wimbo mutamu sana ni mimi wanu rafiki materdei musema
@neemavawa17
@neemavawa17 3 жыл бұрын
MUNGU AWABARIKI SAANA 🙏🙏🙏
@mufindits3807
@mufindits3807 4 жыл бұрын
Nawakubari sana makubiri wooh
@queenm1875
@queenm1875 4 жыл бұрын
Mwili hadi unasisimuka mko vizur
@neemaamanzi1118
@neemaamanzi1118 4 жыл бұрын
Shikamoo
@josephgeofrey1899
@josephgeofrey1899 2 жыл бұрын
God bless you St.Makubuli Choir
@titusimoli927
@titusimoli927 4 жыл бұрын
Drums guy.. 👌👌🙏I can hear the song through the drums 🥁 keep it up man
@kevinmutwiri530
@kevinmutwiri530 4 жыл бұрын
Choirmaster and the drummist walai mko sawa.j like it
@fabiangeorge616
@fabiangeorge616 4 жыл бұрын
Hakika mko vizuri.Zaburi ya 150 mmeitendea haki.Mbarikiwe sana. Mkebezi uko njema.
@marthaemmanuel3323
@marthaemmanuel3323 4 жыл бұрын
hadi raha Hongereni sana
@yasintasilvester3310
@yasintasilvester3310 4 жыл бұрын
God bless u kwa uinjilishaji
@pauljuma6154
@pauljuma6154 2 жыл бұрын
Superb... Congratulations Tanzania
@revocatuskatto7293
@revocatuskatto7293 4 жыл бұрын
Hongera San mko vizur
@murimingari1709
@murimingari1709 4 жыл бұрын
Drummer man is out of this world
@fridageorge3582
@fridageorge3582 4 жыл бұрын
True
@catemaggyke
@catemaggyke 4 жыл бұрын
Sure
@alfredmakinda6058
@alfredmakinda6058 4 жыл бұрын
Mbarikiwe na Bwana hakika mko vizuri mno
@paulinelokuruka7598
@paulinelokuruka7598 Жыл бұрын
Beautiful voices keep praising the gracious lord you will be blessed
@magrethgeorge679
@magrethgeorge679 4 жыл бұрын
All de best kwa kwl....so fantastic
@hanspeterrullmann729
@hanspeterrullmann729 4 жыл бұрын
Wow!!!!! You guys are just amazing.been your fun all through.i feel lucky n blessed to be a Catholic.
@gozigozii7225
@gozigozii7225 4 жыл бұрын
Safi,sana,Makubuli
@florencenyatichi9328
@florencenyatichi9328 4 жыл бұрын
I love the songs..
@francismichael6143
@francismichael6143 4 жыл бұрын
Alleluia Alleluia!!!!!!!!
@juliusoboya7745
@juliusoboya7745 3 жыл бұрын
hakina kila mtu hapa yuapenda kazi yake ya utume.Mungu awabariki sana
@revocatusmande1390
@revocatusmande1390 4 жыл бұрын
Bravo
@risperjamesk2602
@risperjamesk2602 2 жыл бұрын
I love this song 🙏🙏🙏🙏🙏
@kipnjoree1997
@kipnjoree1997 11 ай бұрын
❤❤❤❤❤
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 4,9 МЛН
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 36 МЛН
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 106 МЛН
Mwabukusi Atoa Hotuba Nzito Baada ya Kuapishwa, 'Tuwe Wamoja'
19:11
🔴LIVE: KMKMAKUBURI NDANI YA TAMASHA LA YESU NI MWEMA (TYM-11)
53:39
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 3,1 МЛН
Mt. Don Bosco Kimanga - Twendeni Kawekamo (Official music video)
9:11
Niseme Nini - By Bernard Mukasa, JBC Choir - Bukoba Parish
9:48
😆
0:20
Santi
Рет қаралды 9 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
0:16
Mini Katana
Рет қаралды 28 МЛН
Why Is He Unhappy…?
0:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 64 МЛН