HUYU NDIO ADUI KHATARI WA UISLAM BY Sheikh Ilunga Kapungu

  Рет қаралды 34,987

Sheikh Yusuf Diwan

Sheikh Yusuf Diwan

2 жыл бұрын

Пікірлер: 26
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze Ай бұрын
Hawawezi kumkamata huyu Shekh kwani atawaumbua mahakamani mchana kweupe mfumo kiristo noma sana
@user-yh2ke7pu8b
@user-yh2ke7pu8b 2 ай бұрын
Inahitaji akili kubwa na HURU kuyaelewa na kuamini mambo haya.
@nassorkhamis6233
@nassorkhamis6233 7 ай бұрын
Kassim Mafuta njoo jifunze Uislam hapa uwache fikra za kiyahudi
@user-pc4qm3ve4v
@user-pc4qm3ve4v 6 ай бұрын
Hatar sana,,uislam wa sasa
@kazungukarisa55
@kazungukarisa55 2 жыл бұрын
MaashaAllah
@rashidiathumani2300
@rashidiathumani2300 2 жыл бұрын
Kweri uisram unapigwa vita sisi tunaojua hawatusumbui adi kiama
@pallangyoemmanuel1633
@pallangyoemmanuel1633 10 ай бұрын
1. Certificate 2. Diploma 3. Degree 4. Masters Degree 5. P.hd (DOCTORATE)
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 10 ай бұрын
Sijamwelewa anazungumzia nini?
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 9 ай бұрын
Ama kweri wewe mwongo
@queenpiscator6117
@queenpiscator6117 8 ай бұрын
Ni kweli sababu huyu ni mweusi na anatumikia Mira nadesturi ya kiarabu km wakristo wanavyo ubiri Dini Za uzungini Sasa nyinyi kwa Mimi usisome uhalisia wa miungu yetu ya kiafrika acheni mambo ya kutawaliwa wafrika wengi wanajitambua läsa Hapo höga mambo yasiyo asilia yk
@queenpiscator6117
@queenpiscator6117 8 ай бұрын
Nakuomba ubiri yanayohusu jamii zetu Sio wahalaaabu au wazungu na mambo ya hijabu ni kupiga nchi Za Mila desturi zao Wala hawavai hayo mavazi. Kichaaa kufunika kichwa nisababu ya dhoruba ya mchanga kutokana na mazingira ya nchi zao naomba Ubiri Dini SIO kuchambua usiyo yajua someni kuruani yenu kwa lugha zetu weee SIO mwaraabu
@kiduafrancis5480
@kiduafrancis5480 Жыл бұрын
Shukurani kwa kuapload mawadha ya huyu sheikh shukurani saaana Ninahitaji kwenda kupata picha kwenye kaburi lake siku moja.. Amenifunua mengi saana... Kanifanya nione hakika uislamu ni dini ya haki.
@seiframadhan1254
@seiframadhan1254 Жыл бұрын
Muhimu kumuombea dua Sana na kufuatisha mafundisho yake,picha katika kaburi lake haitakusaidia kitu,anahitaji zaidi dua zako kwa sasa.
@kiduafrancis5480
@kiduafrancis5480 Жыл бұрын
@@seiframadhan1254 ni kweli ktk dua Nataka physical memory sheikh huyu alikuwa exceptional aisee. .yaani kuwa ngoja cha awareness alichoniachia ni kikubwa. .nina mashaka huenda walimuua aisee
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 9 ай бұрын
Mshenzi mkubwa wee kachomwe Moto huko
@sautikuu212
@sautikuu212 8 ай бұрын
Sasa matusi ya nini?
@panduali3723
@panduali3723 2 ай бұрын
Inaonesha wazi wewe ni miongoni mwa hao Makafiri
@ndevumbiliwembe3130
@ndevumbiliwembe3130 2 жыл бұрын
Kwann adui
@nuswemwaipopo9558
@nuswemwaipopo9558 2 жыл бұрын
Anapitosha dini ya kiislam
@abdulrazakhassanor498
@abdulrazakhassanor498 2 жыл бұрын
@@nuswemwaipopo9558 nani kakuambia
@nuswemwaipopo9558
@nuswemwaipopo9558 2 жыл бұрын
@@abdulrazakhassanor498 kweni hujasikiliza
@abdulrazakhassanor498
@abdulrazakhassanor498 2 жыл бұрын
@@nuswemwaipopo9558 nmemsikiliza kwa umakini sana hiyo video ni fupi ipo ndefu yake inayoelezea kila kitu hicho ni kipande tu
@kiduafrancis5480
@kiduafrancis5480 Жыл бұрын
Uadui uko wapi hapo??
MEDHEHEBU YA SASA NI MPANGO WA MAYAHUDI BY Sheikh Ilunga
13:11
Sheikh Yusuf Diwan
Рет қаралды 48 М.
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 65 МЛН
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
ARABIC KHUTBAH: IMAM JUMA | MASJID AL JUMAA,KITUMBINI  | 26/07/2024
11:58
ASILIMIA KUMI NDIO HUONGOZA JAMII | UST. ILUNGA H. KAPUNGU
36:01
SHEIKH ILUNGA
40:05
Chalamanda _
Рет қаралды 221 М.
VTS 01 3
40:40
Abd Binm
Рет қаралды 20 М.
SHEIKH ABOUD ROGO,SHIRK KATIKA VITABU VYA MAULIDI
21:58
AL TANWIR TV
Рет қаралды 33 М.