Ma Sha Allah..Kama Kuna ukweli basi huu ni ukweli hasa ndivyo Leo yalivyo iwapo Ina sehemu ya pili tunaomba ihudhurishwe Allah amrahamu sheikh ilunga na sote tulioko nyuma amiina
@fatumahamis92063 жыл бұрын
Alah akupanulie kaburi lako Kwa rehma zake
@muhammadfadhil98353 жыл бұрын
Sahihi sheikh wetu ni kweli kabisa mayahudi ni ndio chanzo cha matatizo
@abubakarihamissi41782 жыл бұрын
kwa mwenye akili tu ndiyo atamuelewa shekhe mwenyezi Mungu akupumzishe firdausi
@ramadhaniyazid35023 жыл бұрын
Allah akujaalie pepo ya juu sheikh wangu
@rashidjuma6403 жыл бұрын
Allah amrrehemu shekh wetulp
@AbdallaMwagora-sm1rj Жыл бұрын
Mashaalah mungu akujalie jannatul firdaus inshaalah,
@awadhhadi4463 жыл бұрын
Allah amrehemu shekhe wetu
@4242R-i9i3 жыл бұрын
Allah akupea nuru kaburini 🤲🤲🤲
@mohdmbarouk84653 жыл бұрын
Uko sahihi Sana Allah akurehemu
@bakarchironchi86933 жыл бұрын
Mashaallah 'ALLAH AMREHEM
@husseinkazungu51013 жыл бұрын
Allah amrehemu
@TitusBangu2 ай бұрын
Nimeipenda
@adnanidarous3117 Жыл бұрын
Allah akurehem maalum ilunga maneno yako yanaishi
@nurudinehamimu56583 жыл бұрын
Allah akuhifadhi alihabib shekhe irunga.
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Yaa Allah tuepushe na shari na fitna za mayahudi na manaswara, Amiin.
@hilalkhalfan14523 жыл бұрын
..m. Shari ya mayahudi kaja nayo Muhammad Bachu na bahero
@Sempreapostandonaverdade98910 ай бұрын
Hahahah....sisi wakristo na Wayahudi hatuna Muda na Ninyi... Shobo zenu tu hizo
@rqiyaabdallah8403 жыл бұрын
Mtihani kwakweli
@karamakiumbe48663 жыл бұрын
Mungu akubariki upate pepo Amin.
@TeamKRX Жыл бұрын
Hatokei tena Mtu Kama huyu yarabi ampe kitabu chake chakulia 🥹
@abduljuma7807 Жыл бұрын
Kakaangu wapo natena wengi huja kutana nao tu funguaacho aliokuwa nao mwanza hawakumwelewa na Sasa ndio wanafanya Kazi sana tu
@SaidNassor-gx3pb3 жыл бұрын
Huu ukwel mtup
@oscarakepha8374 Жыл бұрын
Blaming everyone expect yourself ,kwamba mabaya yote mnaletewa na Mayahudi ,yani Mahayudi wapate nini kwenu? Katika dini ambazo hazina muda kufuatilia dini zingine au mambo ya wengine ni wayahudi? Wayahudi hawasambazi dini yangu kwa watu wengine .Uyahudi ni Kabila,Dini na utamaduni na mfumo wa maisha wa jamii fulani,haujakusudiwa kusambazwa kwa watu wa nje yao ,sasa wahangaike na kutengeneza Madhehebu kwenye uislam iwasaidie nini? Mkianza kuutazama ukweli kama ulivyo ndio mtapona ,lakini kama matatizo yenu mnawatupia lawama wengine hilo ni tatizo
@CharafimalisalimoAli-qw3hk10 ай бұрын
KIDUMEHICHO. SEREKALI YA TZ NA WAKRISTO SASA WANAPUMUA VIZURI KWA KUONDOKA MKUBWAHUYU, ALAFI MJINGA MMOJA ANAJIDAKUA NI SHEHE ANASEMA ETI ILIKU HAFANYICHOCHOTE KTK DAAWA . MTIHANI SANA ZAMAHIZI.
@azizawadh59733 жыл бұрын
Rangi za miskiti makanzu yetu sikuhizi yana rangi za chama kimoja hivi ndipo tulipo fika sasaivi
@omarysalumu87166 ай бұрын
😂😂😂😂dah aya maneno yanaishi aseee...juzi nimeenda kutazama mchumba, kabla sijafika baba mkwe anauliza vipi uyo jamaa anavaa kanzu,vp anavaa suruali fupi je anafuga ndevu😂😂😂mzee amekua na kilema kias kwamba ata mambo ya swala tano haulizi wala sunna anazodumu nazo kijana haulizi aseee hii kasumba mbaya..allah atuongoze
@SomaNaMG2 ай бұрын
Ameen yaa rabbil aalameen
@osmaniidrisa6290 Жыл бұрын
Ambia watu wasome
@RogasianNdakidemi Жыл бұрын
Lengo lako nini??? ,mbona hao wenzenu wametulia tu mnaangaika nin ,kila mtu c anakitab chake hubir kupitia hicho na hao wengine wahubir kupitia kitab chao mambo y kuchokozana tuache ,watanzania kwa sas wanajitambua. so acheni waamue kipi kizur kipi kibay ,acheni kupandikiza chuki kwa maslai ya watu wachache
@ahmedbalouch9223 жыл бұрын
Tena kuna hizo Taasisi nyengine tayari washajitabiria kua wao ni watu wa peponi
@hilalkhalfan14523 жыл бұрын
Kina Muhammad Bachu na bahero
@azizawadh59733 жыл бұрын
Bakwata
@wajawemaonlineTV2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eYu7kH6sqdyIeMU USISAHAU JAMBO HILI KUHUSIANA NA TOBA MZUNGUMZAJI SHEIKH ABDUL RAUFU AL MUNAAWI
@jolinkimaro99393 жыл бұрын
kweli uongo mtupu
@seifjuma47433 жыл бұрын
Ndio nn husiojua nn maan ya kwer au oungo
@jolinkimaro99393 жыл бұрын
@@seifjuma4743 umesahau uislam huenezwa kwa uongo au mapanga. kilichofanya nyinyi msiungane ni utabiri wa mtume wenu kuwa mtagawanyika. leo shekh ameanza kusingizia wayahudi. kwani kati ya alii na abubakari ni nani myahudi hapo?
@benjaminlijongwa37153 жыл бұрын
KUMBE USHIA WAMETENGENEZA MAYAHUDI, USUNI WAMETENGENEZA MAYAHUDI, AHAMADDIYAH WAMETENEZA MAYAHUDI. NA MADHEHEBU MENGINE YOOOOTE YA KIISLAMU NI UBUNIFU WA MAYAHUDI. SASA KUMBE UISLAMU WA ALLAH HAKUNA. MNATUZINGUA TU WOTE NYIE MNAFUATA MAFUNDISHO YA MAYAHUDI
@abuujuhaima55883 жыл бұрын
Alikuwa mjinga Hutu Allah amsamehe makosa yake
@unknownvirus41383 жыл бұрын
Benjamin tumia akili ya kuzaliwa kama huna ya kusoma...kikundi ni tofauti na Dini
@unknownvirus41383 жыл бұрын
@@abuujuhaima5588 we ni muislamu kweli? Wajua hukmu ya kumkashifu au kumpiga vita muislamu mwenzako kwa kumsupport kafiri?
@mahamoudduchi3318 Жыл бұрын
@@abuujuhaima5588 mjinga ni wewe usojijua mnaambiwa ukweli unabaki kutukana Huna point za msingi.
@mahamoudduchi3318 Жыл бұрын
@@unknownvirus4138 unaafiQ tu anataka sifa kwa makafiri basi
@idrismkwinda80873 жыл бұрын
Huyu ndiyo Sheikh umadhehebu ni ukafiri hata uanswari usarafi
@azizawadh59733 жыл бұрын
Haswaa
@mahengomwenyewe42043 жыл бұрын
Wewe ni mpuuzi wakutupwa kwenye waislam
@azizawadh59733 жыл бұрын
@@mahengomwenyewe4204 toa sababu
@mahengomwenyewe42043 жыл бұрын
@@azizawadh5973 Sababu ilunga hazungumzii dini kwa misingi ya kitabu na sunnah kwa ufaham wa maulamaa wa umma bali yeye anaongelea kwa mujibu wa falsafa zake, unapozungumzia mambo ya waislam kunyonywa na kutawaliwa si jambo geni kwenye uislaam bali ni jambo limezungumzwa na Allah pia na mtume صلى الله عليه وسلم na Sababu zake zimetajwa , kwa mfano Allah anasema kwenye sura 6: 129 ni Ivyo ivyo tuwatawalisha madhwalim kwa madhwalim wenziwao kwasababu ya yale wanoyafanya. Lkn pia kuna aya nyingi mno ndugu zinazo tuonesha waislam tukikengeuka Allah atatusalitia makafiri watutawale na watuongoze kwa mifumo yao. Na hadithi za mtume ni nyingi mno zinahimiza watu tusikhalifu Amri ya mtume tutadhurika kwa kusalitiwa makafiri juu yetu watuendeshe , alitakiwa ilunga kwanza yeye mwenyewe awe kwenye usawa asimkhalifu mtume kwa kunyoa ndevu wala kuvaa isbali kisha awaitie watu kwenye twaa ya kumtii mtume ndio kwenye suluhisho letu mimi kwa mujibu wa kitabu na Sunnah naamini kua hakuna kafiri yeyote alie na uwezo wa kumshinda Allah pindi akiamu kutoa anusra yake kwa waja wake sio uyo nyerere anaemtaja wala mwengine. Ispokua nusra ya Allah inakwenda kwa watu wa haqi kiitikadi na amali na kauli. Sasa kama waislam ulimwenguni wamekiacha kitabu na Sunnah alaf wanataka nusra kwa njia za Demokrasia uwo Ni upuuzi .ilunga yeye iyo sunna anaipinga kwa sababu haijui vipi atawaitia watu kwenye Sunnah hali yakua haijui ?? Je inawezekana mtu kuutetea uislam hali yakua yuko kinyume na sunna za bwana mtume?? Imam ibn hazmi anasema : hakuwahi Allah kuikoa dini kupitia watu wa bidaa. Dini inanusuriwa kwa njia zake sio hamasa na mizuka au jazba laa kwanza watu kuwa Tayari kiutiifu kwa Allah na mtume wake wakisikia mtume kakataza nguo ya mwanamme kuvuka kongo mbili anaacha kwa unyenyekevu akisikia mtume kakataza kunyoa ndevu anaacha kwa kutii wanawake hawaoneshi miili yao kwa ajnabiya wanatii. Ribaa haram wanaacha pombe haram wanaacha zinaa haram wanaacha na mfano wake, uku wakimuomba Allah bila ya kushirikisha viumbe wake kama vile uwesu Abdul qadir na wengine katika watu wema wanaoombwa izo zote ni shirki watu wajiepushe nazo, pia ibada waifanye kwa kufuata sunna za mtume wasizue chochote wasiongeze wala wasipunguze kwenye utaratibu alokuja nao mtume صلى الله عليه وسلم hawa ndio watu wanotarajiwa kupata nusra Dhidi ya makafiri . Sio wahuni wanyoa viduku wenye mahirizi eti kisa wanajazba tu kawaaimbia ilunga . Sasa cha ajabu uyu ilunga hata njia ya kupata nusra waislam haijui bali anapinga watu wa Sunnah na wanachokiitia. Mimi naamini Huwezi kumshinda kafiri kama wewe mwenye hujawa sawa kiitikadi kimanhaji lazima ushikamane na sunnah kisawa sawa ndio maana dunia mzima hadi leo waislam wanaferi hatujajua tunakwama wapi sisi hatujawiva kiimani kimanhaji kama tunaanza tu hivi sasa tunatakiwa tufundishane itikadi sahihi juu ya Allah tuache shirki tuache bidaa zote turudi kwenye uislaam wa asili aliotuachia mtume tupata nusra bidhni llah. Anasema Allah kwenye Surat rruum 30 :47 imekua ni haki yetu sisi kuwanusuru waumini. Kwahiyo watu wakiwa waumini wa kweli wenye kushika kitabu na sunnah kisawa sawa Allah atawapa ushindi kwa makafiri kwani nyerere nani kwa Allah ?? Allah anasema tena kwenye surat nnuur 24: 55 Amewaahidi Allah wale ambao waloamini na kutenda amali nzuri katika nyinnyi atawapa ukhalifa uongozi katika Ardhi kama alivyowapa uongozi wale ambao waliokua kabla yenu na atawafanyia makini dini yenu aloiridhia kwenu na atawabadilishia baada ya khofu yao kua amani waniabudu mimi wala wasinishirikishe na chochote na atae kufuru baada ya hapo hao ndio mafasiqi yaani wenye kuasi. Hizi ni Baadhi tu lkn maandiko yako mengi yanawata kwanza Wenyewe waislam warudi kwenye usawa ili Allah awatengenezee mambo yao . Sasa elim ndio inahitajika kujua usawa ni upi lazima usome elim ya kisheria sio falsafa sasa apo ndio uko Zanzibar kulikua na marehem bachu anafundisha elim iliyo Kwenye misingi ya sawa kitabu na sunnah kwa ufaham wa wema walotangulia . Kama si ivyo utavamia Demokrasia kama akina mashekhe ....... wakadhani siasa ya mtume ilikua ya Demokrasia kumbe laa mtume kweli alikua na siasa lkn sii hii ya kikafiri ya Demokrasia bali alikua anafuata muongozo wa mola wake siasa inayofuata muongozo wa Allah haitwi Demokrasia.
@azizawadh59733 жыл бұрын
@@mahengomwenyewe4204 maashallah nimeelimika Allah akuzidishie hekma aamiin
@jolinkimaro99393 жыл бұрын
mambo yamekushindeni mnaanza kulaumu wayahudi. acha kuchekesha. hata muhammad hana ahakika na ahera wewe unauhakika kuliko mtume shekh.
@jamalkishangu2 жыл бұрын
Hujui unasema nini.
@salehrwigemagisa81 Жыл бұрын
Yesu alitungikwa msalabani kwa ajili ya dhambi,wale jamaa wezi wawili pembeni yake kwenye msalaba aliwaokoa?