HUYU NDIYO BOSHOO TUNAYEMJUA SISI KWA MICHANO NI HATARI

  Рет қаралды 32,383

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Пікірлер
@directorwizard7310
@directorwizard7310 2 ай бұрын
Asante Sana The Throne kwa kuludisha Michano nilikuwa naisikikiza hii michano kwenye Dakika 10 za Maangamizi sasa kwaanzia Leo Nanata na The Throne 👏👏👏👏👏
@maufijose2294
@maufijose2294 2 ай бұрын
Boshoo Mzuri Sana Ila Kwny Interview Apunguze Kuwa Mzungumzaji Kuliko Mtangazaji, Asubiri Swali Then Ajibu Tu Alchoulizwa! Freestyle Sio Ulemavu Nyoosheni Tu Maelezo Ya Ukweli, Freestyle Ni Zaid Ya Kipaji Kwny Muziki Wa Hip Hop Na Ndio Maana Sio Wote Wanaweza.
@galacha99
@galacha99 Ай бұрын
Yaani Boshoo anfanya rap inakua rahisi 😆❤️❤️❤️
@lothlazaro2711
@lothlazaro2711 19 күн бұрын
Wana hippop watakumbuka mchango wako Dula. Blessed a lot
@fahirmaalim6530
@fahirmaalim6530 Ай бұрын
Bishoo ninja✨️
@paulchubahjnr1045
@paulchubahjnr1045 2 ай бұрын
Kutoka Kenya naomba mlete mtu mzima Dizasta Vina
@clichytraveller6897
@clichytraveller6897 2 ай бұрын
Daaah jamaa unaona saana
@harithtahir4398
@harithtahir4398 Ай бұрын
🚬 Gifted
@wistonemwanga
@wistonemwanga Ай бұрын
Aje amwage vina ausio
@djbullah2556
@djbullah2556 Ай бұрын
Naunga hoja 💪🏿
@abdillahimahamed1814
@abdillahimahamed1814 Ай бұрын
Boshoo ninja...dah ni miaka kama sita (6)tangu nilikuona...dah one love from 🇺🇸 Sitosahau " tetesi zina vuma boshoo ninja spendi kazi napenda k**a". " simuogopi adui anayenishambulia namuogopa rafiki mnafki anye nikumbatia" 😅 long time boshoo.
@JoyceKimario-vw7fh
@JoyceKimario-vw7fh 2 ай бұрын
Natamani sana nije mjengoni sio kama haowaliopita wanazingua lakini naona wa natoka kwenye maana halisi ya kipingi
@paulonjozi1638
@paulonjozi1638 2 ай бұрын
Kamaunataka vina kamchek dizasta mwenyevinavyake☑️
@HamisiKianga
@HamisiKianga 2 ай бұрын
Crown the Best, wana tupo huku sasa🎉🎉🎉🎉🎉
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 2 ай бұрын
Hapa ni nyumbaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@DjsimpleAlitchoki67
@DjsimpleAlitchoki67 2 ай бұрын
Oya jameni boshoo ni noma anatchana kinoma ((simple🔥🔥🔥))
@dtv6734
@dtv6734 Ай бұрын
Aletwe Hidary Scoda avunje hiyo meza 🔥🔥🔥🔥
@NasoroOmary-tx5uo
@NasoroOmary-tx5uo 2 ай бұрын
Korogwe finest 🔥🔥
@Madogodigital
@Madogodigital 2 ай бұрын
Choro😂😂
@HamisiMbano
@HamisiMbano Ай бұрын
Noma tu
@nicksoncharles-kx3gr
@nicksoncharles-kx3gr Ай бұрын
Dj Kuna beat Kal za Boom Bap kuwa mzalendo Unaweza mchek Duke tachez, black Ninja, black beat,bin laden wte Wana beat
@Huusenially80
@Huusenially80 2 ай бұрын
Noma sana
@daud1296
@daud1296 Ай бұрын
Naomba mleten dizasta vina atoe funzo
@djbullah2556
@djbullah2556 Ай бұрын
Naunga hoja 💪🏼
@JumaJaguar
@JumaJaguar 2 ай бұрын
Mtaalamu Boshoo
@saidindunguru1162
@saidindunguru1162 2 ай бұрын
Huyu sasa ndo boshoo ninja
@adamwaziry2253
@adamwaziry2253 2 ай бұрын
Raha ya shamba kugombania mipaka....boshooo ninjaaa
@regydasilva8354
@regydasilva8354 2 ай бұрын
MAN BIG UP BRO DULLAH U ALWAYS NAIL IT 👑 BEST OF ALL THE TIMES 💯💯💯💯
@abrazo2639
@abrazo2639 2 ай бұрын
Aje dizastaaaaaaaa vina
@issasauga1456
@issasauga1456 28 күн бұрын
dulah mzeee baba mmetishaaa
@gwandumimwangosi5659
@gwandumimwangosi5659 Ай бұрын
kwenye runinga ya azam tv ya antena hampo maana kila nikiangalia sion
@SaleheadamuAdamu
@SaleheadamuAdamu 20 күн бұрын
Nakubar we unajua
@Madogodigital
@Madogodigital 2 ай бұрын
Om boy ❤❤
@joshuamollel5760
@joshuamollel5760 2 ай бұрын
Dullah here we go,,, nlikumss bruh
@DaPen-vs6qq
@DaPen-vs6qq 2 ай бұрын
Dizasta Vina please, he deserves to perform in the house of The Thrones
@NasibuJanga
@NasibuJanga 2 ай бұрын
Aaa home boy unatisha sana boshooo
@MotraRhymes-e4c
@MotraRhymes-e4c Ай бұрын
boshoo ninja💯💯
@samirmswahili
@samirmswahili 2 ай бұрын
Ninja
@DaPen-vs6qq
@DaPen-vs6qq 2 ай бұрын
We need Dizastavina in the house of THRONE
@Immamk__44
@Immamk__44 2 ай бұрын
Huyo DJ huwa ana badili beat bila ridhaa ya anae imba ni vibaya sema basi tu wanafanya mtu ana badili flow kwa lazima
@MOSAMYOG
@MOSAMYOG 2 ай бұрын
Hio ni freestyle lazma nazma na wewe uwe mjanja
@JohnJustine-no1zv
@JohnJustine-no1zv 2 ай бұрын
Nikupotezan kweny flame ata mm cjapenda
@TyunBrown-of9wo
@TyunBrown-of9wo 2 ай бұрын
😅😅😅😅
@TyunBrown-of9wo
@TyunBrown-of9wo 2 ай бұрын
😅😅😅😅
@Allyluambano-y1c
@Allyluambano-y1c 2 ай бұрын
Boshow ninja mtaalam
@JuliusShemweta-p2e
@JuliusShemweta-p2e 2 ай бұрын
Mjukuu wa bib nurse ✍️
@lechaboy2942
@lechaboy2942 2 ай бұрын
Much respect to boshoo ninja
@ericksunday689
@ericksunday689 2 ай бұрын
VINA MEZANI...JINA ZURI ILA LIWE NA AKA...IITWE TAJI LA VINA....MEANS LEO TAJI LA VINA KAVIKWA BOSHOO...TAJI STANDS FOR CROWN....Mtazamotu
@Bibi_sodo_quotes
@Bibi_sodo_quotes 2 ай бұрын
Mwanangu 🥷
@Ndokezi-1
@Ndokezi-1 2 ай бұрын
MWITENI NA DIZASTA VINA HAPO...
@datiusmujuni269
@datiusmujuni269 2 ай бұрын
Mm mwenyew namtamani hapa
@zaxbmusic6361
@zaxbmusic6361 2 ай бұрын
Hizo beat zinapandishwa bila utulivu dj sio POA🎧
@ramadhanfakh6925
@ramadhanfakh6925 Ай бұрын
🔥🔥🙌
@victorrock6660
@victorrock6660 Ай бұрын
Dizasta na uyu boshow ninja nawakubali
@URNiderTV
@URNiderTV 2 ай бұрын
Dulah We Go
@VisualsByEnokaOti
@VisualsByEnokaOti 2 ай бұрын
Naipenda
@guidovadala1965
@guidovadala1965 2 ай бұрын
Mjukuu wa Bibi Nesi
@allyabdulh8082
@allyabdulh8082 2 ай бұрын
Ume tish😂❤
@lothlazaro2711
@lothlazaro2711 19 күн бұрын
Mungu mkubwa. Nilimicc hii kitu kitambo mmnooo.
@PatrickAngore
@PatrickAngore Ай бұрын
Nakubali
@jahimjr3065
@jahimjr3065 2 ай бұрын
😂😂😂😂 imewashikaaaa
@crayclarency4956
@crayclarency4956 Ай бұрын
Nipo hapa vina semeni lini mntaka nije nichafue
@allyboka4264
@allyboka4264 2 ай бұрын
🔥🔥🔥
@pcthemaster9096
@pcthemaster9096 2 ай бұрын
Apo leta dizasta vina. Ndio maana halisi ya vina mezani.
@issamatola2031
@issamatola2031 2 ай бұрын
@marifa anasikia
@Maduga_gang
@Maduga_gang 2 ай бұрын
Awee
@Norrisnoriega
@Norrisnoriega Ай бұрын
Hatariiiiii
@Goka-Dizzy
@Goka-Dizzy 2 ай бұрын
Jamaa Anakwambia Saa Kumi na Dakika Kumi yaani Teni Teni!🤥
@toney..
@toney.. 2 ай бұрын
Unarudiaa sana hizo nyimbo zako kaka
@rajabukipara3008
@rajabukipara3008 2 ай бұрын
Asa Unataka Arudie Zako😂
@stephenfelix5158
@stephenfelix5158 2 ай бұрын
AJE D VINA MWENYEWE
@TuchBoy-l2l
@TuchBoy-l2l 2 ай бұрын
Korogwe finest
@muuhmuuh7519
@muuhmuuh7519 Ай бұрын
Naomba mbeya boy chuma atue hapo awafunike wotee
@Duniatz0
@Duniatz0 2 ай бұрын
dulla anasapoti sana hip hop bongo
@nassirjuma6308
@nassirjuma6308 2 ай бұрын
VPN yuwapi
@phantyrhymes9536
@phantyrhymes9536 Ай бұрын
I can make it. Vina ninavyo.
@gudruckyherman8299
@gudruckyherman8299 Ай бұрын
5:24
@gorator132
@gorator132 Ай бұрын
Anarap ujinga tu! Hamna mistari ya maana hapa
@MudrickJunior26
@MudrickJunior26 2 ай бұрын
Tenz za rohoni daah
@gHOSTMC_EasTzoooh27charter
@gHOSTMC_EasTzoooh27charter 2 ай бұрын
Relax
@yontunchi8456
@yontunchi8456 2 ай бұрын
Boston noma
@MussaUlindula
@MussaUlindula 2 ай бұрын
Dulla thrown wauweee
@imba7352
@imba7352 Ай бұрын
Where is Dizasta vina
@GSTON7_OG
@GSTON7_OG 2 ай бұрын
Boshoo badlshaa mistar😅 jombaaa
@alfamachila3185
@alfamachila3185 2 ай бұрын
mtaalamu bosho
@PembeSalehe
@PembeSalehe 2 ай бұрын
Boshoo
@villyupdates457
@villyupdates457 2 ай бұрын
Boshooooo
@badmankihombo
@badmankihombo 2 ай бұрын
Boshoo ninja bado Dizasta apo Wana hip hop nnao wakubali
@Paplick9
@Paplick9 Ай бұрын
We need new rappers dulla
@samboarnold611
@samboarnold611 2 ай бұрын
Freestyle sio ulemavu
@zunguselaofficial8195
@zunguselaofficial8195 2 ай бұрын
Dulla nataka kuja kutambulisha ngoma mpya kaka
@YobeKashai-k7j
@YobeKashai-k7j 2 ай бұрын
namimi naweza kaka
@gHOSTMC_EasTzoooh27charter
@gHOSTMC_EasTzoooh27charter 2 ай бұрын
Au cio wat tunakuj mawich
@Sampovoice8088
@Sampovoice8088 2 ай бұрын
Vina km vina
@MymunaUlaya
@MymunaUlaya 2 ай бұрын
Unajua mbona hautoki hatukujui 😮😮😮😮
@azizymachadeson3577
@azizymachadeson3577 2 ай бұрын
We mbwiga ndo humjui cz so viwanja vyako kaskize taarab na mapiano totolee ungese
@Brama_A37
@Brama_A37 2 ай бұрын
Kawasikilize kina whozu na bonge la Nyau
@MunaJuma-w1x
@MunaJuma-w1x Ай бұрын
Namuobeni mumlete dizasta vina
@Hassanonesmo
@Hassanonesmo 2 ай бұрын
tunamtaka dizasta hapo ndio mfalme wao
@ChristopherK4
@ChristopherK4 2 ай бұрын
Ameshuka kiwango
@mr_puwa
@mr_puwa 2 ай бұрын
Kipindi kizuri Sana
@FaustinoNifasha
@FaustinoNifasha 2 ай бұрын
Nimfogo wake n'a centroZone
@NamelessTz
@NamelessTz 2 ай бұрын
Hàwa ma presenter wengine hawamjui boshoo isipokuwa dullah tu pekee yake
@Zuzu1Maine
@Zuzu1Maine Ай бұрын
Kalajeremaya mtu wa vina
@siyajalisalehe7085
@siyajalisalehe7085 2 ай бұрын
Muiteni dizasta vina
@gudruckyherman8299
@gudruckyherman8299 Ай бұрын
Dizasta vina
@gudruckyherman8299
@gudruckyherman8299 Ай бұрын
Dizasta jaman
@lamumohamedi
@lamumohamedi 2 ай бұрын
Tunamtaka na Dizasta vina kaka @dullahplanet
@joshuamollel5760
@joshuamollel5760 2 ай бұрын
Bando langu litaishia hapa dula
@StanslausWakazi
@StanslausWakazi 2 ай бұрын
Mbn hamshik moro
@MussaUlindula
@MussaUlindula 2 ай бұрын
Mbeya boy aje atisher
@stonertv9677
@stonertv9677 2 ай бұрын
@dullaplanet hupendi freestyle. How?? Bruh u sound like u aren't deserve to host the show
@maufijose2294
@maufijose2294 2 ай бұрын
Dulla Kazingua Hapo, Ila Sishangai Mziki Kipaji Hata Yeye Alianza Kuchana Mziki Ukamshinda Kaacha! Vtu Vingine Vipaji Vya Watu
@herbethlukogela7657
@herbethlukogela7657 2 ай бұрын
Tuleteeni dizasta vina
@UfundiSaidi-em2fb
@UfundiSaidi-em2fb 2 ай бұрын
😂😂
@yusuphmdoe5451
@yusuphmdoe5451 2 ай бұрын
Shada boy kama kuna watoto wakorogwe kilikili hapa gonga like
@yusuphmdoe5451
@yusuphmdoe5451 2 ай бұрын
Huyu jama kanikumbusha mbali sana kipindihicho kuna jamaa anaitwa Joshua niproducer daah
MTU TATU NDANI YA MEZA MOJA HAPA NI VINA NDANI YA MICHANO
23:43
Crown Media
Рет қаралды 34 М.
GACHAGUA NDIYO BASI TENA| SIASA SIYO KAZI NI UTUMISHI TU
6:09
Wasafi Media
Рет қаралды 9 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 54 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
HATUTAKI MARIDHIANO TENA NA CCM, BORA TUUNGANE NA CHADEMA
4:56
Tbr24 Media
Рет қаралды 2,2 М.
Boshoo Ft. One six -  Benchi - (Official Video)
2:54
Boshoo
Рет қаралды 41 М.
WAKALI VINA KUKUTANA MEZANI NDANI YA VINA MEZANI NA THE THRONE
14:23
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 54 МЛН