Рет қаралды 37
Ibada ya luch hour kutoka KKKT usharika wa Azania Front iliyo ongozwa na Mch.Joseph Mlaki.
::Jiunge nasi kila siku za juma, jumatatu adi ijumaa kuanzia;
- 06:00AM -07:00 AM Kwa Ibada za morning glory na
- 01:00PM - 01:30PM Kwa Ibada za mchana [ lunch hour]
NAMBA ZA SADAKA :
0655-999-237
0699-533-791
0757-391-174
Jina: Azaniafront Cathedral