Ee Yesu naomba Roho wako mtakatifu anipe nguvu ya maombi niwe mwana maombi
@atugonzageorge158718 күн бұрын
Eeee Yesu usifiwe na upewe sifa naomba Neema yako iniinue ktk maombi na kukujua ww ck zote za ujana wangu, nikujue bwana na nikutumikie ck zote za maisha yangu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ivona-p4t3 ай бұрын
Ee Mungu naomba unitimizie haja za moyo wangu maana wewe pekee ndo wanijua mfalme , nianze nawewe niendelee nawewe na nimalize nawewe🙏🙏🙏
@richardshayo91623 ай бұрын
Ewe mwenyezi mungu naomba umbariki babayangu aponemacho ugonjwa utoweke awemzima namkabizi kwako stephen shayo amina .
@julianasuleman2193 ай бұрын
Ninakushukuru Mungu kwa siku ya leo nakuomba neema na upendo amani kwa siku hii ya leo. Tembea nami bwana siku hii ya leo nawaomnea wanangu na ukoo wote amani upendo na kulujua wewe tu daima amen
@evasambila85294 ай бұрын
Baba Kwa weza na nguvu zako Nakushukuru Kwa ukuu wako, Nakushukuru Kwa upendo wako Nakushukuru kwa uponyaji wako , mtumishi wa Mungu Mungu akubariki sana
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Ameen ameeen
@Ammyrichi4 ай бұрын
Jina la bwana na libarikiwe Kwan yeye ni mweza wa yote
@roseboamo57774 ай бұрын
Ee mungu nipe nguvu nakuomba asbh na mchana na usiku, mungu wangu. Nashukuru kwa upendo wako bwana naamini fadhili zako bwana yesu. Hakuna mungu kama wewe bwana yesu, nope kibali yako nipokee siku hii mpya kwa upendo. Nuru yako ikaangaze kwa watoto wako ma familia yetu. Ikaangaze kwenye biashara yangu na nyumbani kwangu amen.
@warshatissa71284 ай бұрын
Jinsi ninavyo barikiwa. Basi mungu ukawabariki watumishi wote zaidi Yangu ameen
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Ubarikiwe pia
@warshatissa71284 ай бұрын
@@holyspiritconnect ameen 🙏♥️
@salamalupenza50824 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu kwa mafundisho ya neno la uzima.Roho mtakatifu niongoze ktk kila yatua ya maisha yangu. NAKUPENDA SANA YESU WANGU ❤❤
@MaryNiima9 күн бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu. Naomba Bwana nitie guvu ya maombi na niweze kukuweka nafasi ya kwanza katika maisha yangu.
@mwangebulongo4 ай бұрын
Baba MUNGU nashukuru kwa kuniamsha salama mimi na familia yangu asante baba kwa ukuu wako nakwabudu nakutukuza kwa maana wewe nimzuri naomba ulinzi wako asubui uwa funike watoto wangu na mume wangu na damu ya yesu sante baba wa stahili sifa na utukufu amina 🙏
@CharlesSimiyu-t5w3 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi Kwa mafunzo yko nimekuwa nimefungwa Kwa muda mrefu kupitia maisha yangu
@SecyBaby3 ай бұрын
Eemungu nipe Imani yakusali Kila siku na kusoma BIBILIA niskusahau MUNGU wangu 🙏 naomba Mimi na family yangu
@ChirtinaNoel4 ай бұрын
🙌🏻🙇🏻Baba nakushukuru kwa ajili ya mtumishi wako huyu kwa kutuondolea ujinga tuliokua nao wakujisahau unipe rehema na kibali cha kunyenyekea miguuni mwako nipe moyo wakukushukuru nipe moyo wa sifa nipe moyo wa toba nipe kukutanguliza kabla ya jambo lolote nipe kumbukumbu na hofu yako🙏🏻🙏🏻🙇🏻barikiwa mtumishi wa mungu
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Mungu akubariki pia
@MarietaRukag-ch1vr3 ай бұрын
Asante Yesu kwa kunipa kibali cha kuiona siku mpya nyingine leo.Asante sana Yesu mpendwa wangu mzuri .🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉.
@jacintanzembi1454Ай бұрын
Naomba mungu anipe hiki kibali cha kuomba🙏mungu aendelee kukujalia hekima utufudishe zaidi
@herriethmsese43813 ай бұрын
Asante Mungubkwa kunipa kibali Cha kusukia neno lako leo naamini una makusudi nami katika Jina la Yesu🙏
@MarietaRukag-ch1vr2 ай бұрын
Asante Kwa maombi haya ya kumshukuru kila asubuhi. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.🎉🎉🎉🎉❤
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Mungu akubariki pia
@whitneyMolel3 ай бұрын
Eee mungu naomba unifungue ktk vifungo vyote niliofungwa mimi na watoto wangu . Kwa jina la yesu
@judithsalvatory28924 ай бұрын
Laminate ubarikwe sana Mtumishi wa Mungu ili nilikuwa silijuhi naanza maisha haya
@doricagwichala15633 ай бұрын
Thank you Holly spirit. Powerful message, May God bless you Man of God
@lucyikamba81843 ай бұрын
Ee Mungu baba naomba unisaidie nianza na wewe kila siku katika maisha yangu. Mbariki Mtumishii wako anayefundisha neno lako hili.
@norbertmbena58963 ай бұрын
Hakika umekuwa sauti iliyotumwa na Mungu , mimi nimpungufu , Mungu azidi kukutumia na akuinue sana
@ELIZIANASAMWELI3 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu kwa mafundisho mazur ya kumtafuta mungu inatupasa tumtafute mungu kwa bidii sana
@RachelAmos-j2sАй бұрын
mungu baba naomba kama kuna agano lolote limewah wekwa kwangu I'll nisifanikiwe nisiolew nisipendwe nisipatane na watu ninalikataa kwa damu ya yese kirsto nakataa kila laana iliyotamkwa na kunenwa kwangu pamoja na kizazi changu baliki kaz zang baliki kizazi changu bwana naomba maadui zangu wote niwaone kwa macho ya nyama waje wakiwa wamedharirika bwana wapigwe warudishe kila kitu waricho kichukua kutoka wangu baba nakuomba najua me ni mwenydhambi ila nikiwa kwako kila kitu kinawezekana🙏🏻🙌
@IsakaKiyalo-s3v4 ай бұрын
Amina mtumishi wa mungu nimebarikiwa sana na neno hili ambalo mungu amekutumia unifundishe kupitia mtandao huu katika jina la yesu kristo na ubarikiwe
@MwamvitaMyombo22 күн бұрын
Ee Mungu Naomba Unikumbushe kila siku nikushukuru kwa maombi kuanzia Asubuhi,mchana ,Jioni na wakati wa usiku
@FransiscaShirima-s7v2 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi najifunza kumuomba Mungu kupitia wewe
@holyspiritconnect2 ай бұрын
Ameen ameeen
@joshuawekulo-u5c2 ай бұрын
Amen 🙏🙏 nimebarikiwa
@MarthaKamenduАй бұрын
Eeh MUNGU nisaidie kukuweka kipaumbele kwenye maisha yangu
@annangowi55173 ай бұрын
Ahsante Mtumishi wa Mungu kwa fundisho zuri Mungu akubariki sana kwa huduma hii
@irenefranco33153 ай бұрын
Hua unanibariki mtumishi wa YESU 🙏, hakika sichoki kukusikia
@hellenbarnaba90693 ай бұрын
Ooh!! Mungu Akubariki Sana 🙏🙏🙏 kutuamsha tujue Umuhimu wa Mungu kwanza. Maombi kwanza . Kumshukuru MUNGU kwa Neema take bure sisi tusiostahili. Mungu Nisaidie Tusaidie tuongoke.
@richardshayo91623 ай бұрын
Mungu nimwema asante jessus.
@marthakasekwa796Ай бұрын
Nimeanza kukufuatilia mtumishi, Mungu akuwezeshe uendelee na utumishi mwema.
@RebeccaNgassa25 күн бұрын
asante mtumishi Mungu ni siri kumbwa ipo ndani ya maombi mungu tusaidie tujue siri hii.
@willeyshambaa122612 күн бұрын
Mungu baba Nipe Kiu ya maombi ya asubui muchana mpaka na usiku baba
@bitishoriziki55853 ай бұрын
Barikiwa sana ❤️🙏🙏🙏🙏🔥🔥🙏🙏🏼
@faithkimuto94522 ай бұрын
Asante mungu wangu Kwa kuona siku hii🙏🙏🙏
@dynesdaud5644 ай бұрын
Mungu naomba unipe kiu ya kukushukuru kila asubui kwa jina la yesu
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Ameen
@JanethMsechu29 күн бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
@Jackchuma4 ай бұрын
Ameen nimebarikiwa sana mtumishi wa MUNGU Namuomba MUNGU anipe neema ya kuomba kila siku asubuhi na jioni.
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Ameen
@marthakasekwa796Ай бұрын
Ee Mungu tusaidie kutimiza haya maana roho ziko radhi ila miili ni nidhaifu.
@REGINAJulius-s9w3 ай бұрын
Nimeelewa mtumishi ❤
@NaetweFue-sx5ju3 ай бұрын
Amina.Barikiwa sana mtumishi wa Mungu Kwa mafundisho mazuri
@Teacher_014 ай бұрын
Nimebarikiwa sana mtumishi na mafundisho yako....❤❤
@ELIZIANASAMWELI3 ай бұрын
Mtumishi wa mungu ubarikiwe kwa mafundisho nami namwomba mungu anifanye kama daud na kama wana wajangwani nisikate taama katika safali ya kwenda mbinguni
@AbdulbaqShiloo2 ай бұрын
thank you for good lesson a man of God ....am blessed
@FaustinaMkumbwa3 ай бұрын
Mungu ambariki mtumishi nimejifunza kitu Mungu anisaidie niwe mtendaji Wa neno
@nathaliajohn3 ай бұрын
Mungu tetra maisha yangu simama na familia yangu watoto wangu
@richardshayo91623 ай бұрын
Mungu nimwema Asante jessus
@MUTONIDenyse-r8hАй бұрын
Paster innocent umekuwabaraka kwetu Sasa ubariniwe sasa
@MERCYLULINGA14 күн бұрын
Mungu ulie mkuu unastaili nipe uwezo wa kusali na kumanisha ninachokiomba
@RehemaNdewingia4 ай бұрын
Ubarekiwe mtumishi kwa utumishi mzuri wa kutufundisha ubarikiwe .
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Ameen
@evamiraji23794 ай бұрын
Ameen.. Mimi napenda sana kusali sala ya Baba yetu.. sasa hapo sijui nakosea
@josephtesha8723 ай бұрын
Barkiwa baba asnte kwae kushare
@evamgaya82404 ай бұрын
Asante kwa somo zuri, nilikuwa gizani jamani, asante Mungu kwa ajiri ya Mtumishi wako
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Mungu akubariki pia
@julianagodwin3 ай бұрын
Mungu naomba unisaidie
@EdithaNyambo3 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi,nimekuwa nikiomba kila niamkapo lakini nimegundua kuna maeneo siku sahihi. Mafundisho yako yamenifungua sana na nimepata ufahamu mkubwa.
@genevievesunday4 ай бұрын
Mungu wangu nisaidie Kila iitwapo Leo nianze na wewe. Ubarikiwe 🙏 sana mtumishi wa Mungu.
@evamiraji23794 ай бұрын
Mtumishi Mungu amekubariki kwa sauti nzuri sana iliyotulia, na inayopenya vizuri masikioni pa wasikilizaji...
@ChristinaJoseph-u4w4 ай бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.Nimeuwika Kwa upya kabisa.
@kitwanajohn82373 ай бұрын
Nabarikwa sana na mafundisho Yako mtumishi wa BWANA
@AgnesLubisa2 күн бұрын
Mungu nisaidie nipate mme sahihi nifunge nae ndoa
@AntoJojo-ny1yt3 ай бұрын
Mungu akuzidishiy mafuta
@sekikigosi82653 ай бұрын
Naomba kuuliza Mtumishi ivi tunamshukuru Mungu au tunamshukuru Yesu,na kusifu tunamsifu nani hapo nisaidie mm vinanichanganya.
@sarahlussingu60294 ай бұрын
Amen…Mungu naomba endelea kunipa kibali cha kukuomba kila siku asubuhi na Juini na wakati wa Usiku wa manane pia nisemezane na wewe Muumba Mbingu na Ardhi…nitakushukuru…nitakusifu na kukuabudu Mungu wa Mbinguni mimi pamoja na watoto wangu na familia kwa ujumla.
@asteriashios18523 ай бұрын
Mungu baba naomba unifungue vifungo vyote nilivyofungwa maana Sina amani Raha maisha magumu madeni ni mengi biashara wateja wamepungua Eeee baba mungu naomba unisaidie
@CyilviaLawrence4 ай бұрын
Ee Mungu naomb unisaidie
@MaryBiyaki-t4y4 ай бұрын
Baba wa mbinguni akujazie roho mtakatifu 🙏🙏
@ClayONeal-s5c4 ай бұрын
Aamen mungu naomba nisaidie nianze na wewe kila siku ktk jina la yesu
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Ameen
@ennasolomon520221 күн бұрын
Nashukuru kwa.maombi na mafundisho
@DorcusSaul-wv9rdАй бұрын
Mungu Baba,, naomba uniondolee uvivu wa kuomba,,, niamkapo nianze nawe,,, nitembee nawe nmalize siku nawe,, asante sana kwa mafunzo mena..
@IraneShirindoАй бұрын
Asante nashukuru mungu naomba ewe mungu unijaze chemchem ya sazote kutafuta uso wako
@jenniferaidaimbukwa47782 ай бұрын
Ee mungu,nakushukuru,Baba,yangu,kwa mafundisho haya,Na,unipengufu,ya,kuomba,kila,niamukapo,asubuhi
Ee mwenyezi Mungu nipe macho ya rohon nifungue fahamu zangu
@lucasmaro41724 ай бұрын
Amina. Atukuzwe Mungu atendaye mambo makuu kwenye maisha yetu.
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Ameen
@IsakaMarwa3 ай бұрын
Mungu nitetee ndoa yangu naona magumu sina amani mungu nisaidie
@LEAHAwinja-sv1oc4 ай бұрын
Amen Amen Eee mungu nakushukuru kwa kila kitu naomba unpe moyo wa maombi kila siku niamkapo
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Ameen
@gracemwagange4 ай бұрын
Amen Ahsante kwa mafundisho
@EgnessMdamanyi4 ай бұрын
Amen, barikiwa mtumishi wa mungu kwa kutukumbusha kuanza na mungu Kila iitwapo Leo🙏
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Ameen
@ginzelakupaza81304 ай бұрын
Mungu naomba ukabariki biashara yangu malaika wako kilaupande wakasimame wanilelee wanunuzi ninakushukuru mungu wangu hujaniacha hata siku moja nakutegemea peke yako
@EllyMariki4 ай бұрын
Hakika Mungu ndo kil kitu ktk maisha yetu Jehova tunalitukuza jina lako
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Ameen
@henrytarimo98024 ай бұрын
Ameni ameni kwa ufunuo huu mtumishi wa BWANA
@DeodataDeogratias4 ай бұрын
Mungu Naomba nipate nguvu Kila siku ya kuomba Asubuhi na jioni Amina
@ruthmshereja39764 ай бұрын
Nimebarikiwa sana na mafundisho yako
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Ameen ameeen
@FrankNyanza4 ай бұрын
Mungu Nakushukuru kwa nafasi nyingine tena kwa uhai huu ulonipatia mimi pamoja na familia yangu
@nenkondosenkondo44833 ай бұрын
45
@EliasAsakwe4 ай бұрын
Amina ubarikiwe kwa ujumbe wako mtumishi wa Bwana
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Ameen
@hussenhafidh37294 ай бұрын
Mungu nakupenda, naomba unipe kiu ya maombi muda wote, Amina
@lizzymwangi99404 ай бұрын
AmenAmenAmen Kweri mafuzo mazuri xna God first for everything 🙏
@FaridaKessy4 ай бұрын
Mungu wng naomba nitetee mm juu ya iyi ndoa yng mana naona vita kubwa sanàaa😥😟mungu katika jina la yesu mungu nitetee mm mwanao🤲🙏😔😔😥😥🤲
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Ameen
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Mungu atakutendea uwe na amani
@josephineobure34204 ай бұрын
Amen 🙏 Mungu akubariki kwa ujumbe mzuri na akutie nguvu
@josephineobure34204 ай бұрын
Mungu nisaidie niwe nikiomba ontime amen
@aminarajabu57953 ай бұрын
Roho mtakatifu awe mwalimu wako, ukigundua ugomvi umeuanzisha wewe kwa kudhani mwenzio anamakosa jipe wewe yale makosa kisha omba msamaha bila kuona aibu omba msamaha ukiwa umeshusha tempa na mawazo. Kisha mtegemee Mungu kwa kila kitu ila neno msamaha liwe karibu mdomoni mwako kwa mumeo. Utanikumbuka.
@RamadhanIdd-bz2te4 ай бұрын
Grace Asante mungu Kwa mapenzi yako yote kunipa uhai na kuomba hata unifunze kuomba kila siku mana unaniamsha nikiwa haibaba ni ngufu
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Ameen
@MemphisInsane4 ай бұрын
Yesu mbariki mtumishi wako
@hasanygodda92424 ай бұрын
EE MWENYEZI MUNGU NAOMBA NISAIDIE KUELEWA NA KUFWATA NENO LAKO.... AMEN MTUMISHI
@ErickPetro-e4k4 ай бұрын
Aminaa nimejifunza mambo muhimu shukran baba mchungaji🧎♥️🧎🇹🇿
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Ameen
@NaetweFue-sx5ju3 ай бұрын
Ee Mungu mtakatifu nakuahukuru Kwa ulinzi wako.Nakuomba uendelee kunisadia nikumbuke kukushukuru na kuanza na wewe Kila wakati
@SarahAmenye4 ай бұрын
Kumshukuru Mungu nijambo jema
@راماراما-ش5س4 ай бұрын
Asante muchungaji kwa mafundisho maxuri,hunaendelea kuninua kiroho
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Ameen
@WinnyMmbaga4 ай бұрын
Baba mungu wambinguni nakushukuru kwaniamshasalama naomba unilinde Mimi pamoja nafamilia yangu walinde wa jukuu zangunaomba nakushukuru AMINA