On date 26 January naskiaga tu a few segments kwa club
@abbatv59394 жыл бұрын
Video iko safi sana team ibrah gonga like twende sawa
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Jaman views ndiyo muhimu
@nasholala48884 жыл бұрын
Mkn
@benardbenboy63664 жыл бұрын
Like kwa ibrah jamn ngoma kali saana konde gang tunaisubilia👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾
@PureVibes_2544 жыл бұрын
Naomba subscribe kwa channel yangu wadau 🔔🤗 shukran
@raymondfrank2739 Жыл бұрын
Kama una mkubali Chinga tujuane kwa likes❤
@zephaniatvnews20254 жыл бұрын
Toka nianzee kuskiliza nyimbo zenye ujumbe mkarii basi hii ndo no 1 na sizan Kama itatokea kw mwaka huu chinga Kama chinga worldwide nakupa💯✍️✍️
@mariamselemani52084 жыл бұрын
Unaweza ukataman kulia
@abeltuyisenge47944 жыл бұрын
Wenye wanampenda Ibraah jameni naomba likes ata 100 zinanitosha #Nitachelewa 🇦🇺🇦🇺🇦🇺💥💣💪💥
@omarsharifa56064 жыл бұрын
Ukanunulie nini
@Christechsa4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/mYHNgoFnjsuNb6c
@PureVibes_2544 жыл бұрын
Naomba subscribe kwa channel yangu wadau 🔔🤗 shukran
@abeltuyisenge47944 жыл бұрын
@@omarsharifa5606 chakula babu 😂😂💪
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Pamoja
@Rashidi-vi7hh Жыл бұрын
walio tazama mwaka 2024 tujuane like ❤
@yusuphahmad782711 ай бұрын
🎉
@kingrabi511811 ай бұрын
😂😂😂😂Tuko hapa
@WanjalaJoxeph-ys1xk10 ай бұрын
Chingaa❤🔥🇰🇪
@SanuniMajid-sc4ff10 ай бұрын
Together the day of super woman
@BlessJames-p3t10 ай бұрын
Pamoja sana🎉🎉🎉
@elizabethnyaboke83093 жыл бұрын
One of my best Swahili song Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪wapi like za ibraah
@charlessway82264 жыл бұрын
Nilijua nime wahi kumbe nime chelewaa lakini nisikose like ata 10 kwa ibrah
@jumakimaro42954 жыл бұрын
Mzee unaimba sana aisee Aloona Ibra fund gonga like twende sawa
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Umeonaee
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Coment ndiyo tatizo kubwa
@chazyteshakimaro46594 жыл бұрын
Me naombeni like 10 tu jamani sijawahi kupata hata 5😭
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Ok
@officialssimba21813 жыл бұрын
Young ibrah kama uta like comment zangu basi young bro
@ibrahimmnenwa99194 жыл бұрын
Tulio ludia hi ngoma zaid ya mala moja tujuane kwa like jaman 😍😍😍
@mariamselemani52084 жыл бұрын
Tupo wengiiii
@fatmarashid16834 жыл бұрын
Nice songs
@aishaally13554 жыл бұрын
Big up
@BethuelKimutai11 ай бұрын
Pia Mimi nimeiludia😮
@33kairu10 ай бұрын
Haha me kama kila week ata narudia ..ngoma safi
@collinmorgan14294 жыл бұрын
All De way from Sweden guys give me like of De future superstar
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Together
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Ineed more coment plz help me
@emflashtv62114 жыл бұрын
*sijui hata nifanyeje hii ngoma ifike on rending kule kwa ............hizi like naomba tuifanikishe ndo ntaamin **#kondemusicworldwide** is a hastles lebel for a short period*
@primemessaihКүн бұрын
It's almost Valentine..wenye wamechelewa likes here🫨
@salehesalmn48454 жыл бұрын
Upo vzr, yaaan hii nyimbo kama kuna fany wa konde gang amerudia rudia kama mimi like nyingii plz.
@Lazaro_kibukira4 жыл бұрын
*SIOMBI LIKE ILA UKITAZAMA HIII VIDEO UTAONA TU ÏBRÂH ANAENDA LEVO NYINGINE MZIKI UKO SAFI*
@lydianyanjera93854 жыл бұрын
Nimekupa ya bure😂😂
@nasorospati30754 жыл бұрын
Safi chiinga
@Lazaro_kibukira4 жыл бұрын
Lydia Nyanjera Asante
@mishikitendo49834 жыл бұрын
Kabisa
@mariamselemani52084 жыл бұрын
@@lydianyanjera9385 😅😅
@edwingwesso68184 жыл бұрын
Nyimbo yangu pendwa nlikua naisubir sanaa kwa hamu hii video naomben like japo kua mm ni mwana WCB
@jumakimaro42954 жыл бұрын
Karibu KONDE GANG
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Hilo tuu🔥
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
@@jumakimaro4295 hatuna ubaguzi sie konde boy 🔥
@mariamselemani52084 жыл бұрын
Karibu tupo pamoja sana
@ISBLion11 ай бұрын
Na omba mungu azidi kuni tiya pumzi iyi nita replay 2030
@NelsonndokaTravaux-g8o3 ай бұрын
❤srcruci la gijhtt
@kamisskamimamaketoto89874 жыл бұрын
Mimi ndo na mark register ya both Kenya 🇰🇪 na Tz🇹🇿🔥🔥
@midodzinukunu21054 жыл бұрын
Mi baba yangu sio Magufuli Ama Kenyatta wa Kenya Nikudanganye Mugabe Ni uongo sio sawa
@michaelmwasenga82654 жыл бұрын
kinachoniboa nikwanini hamrekebishi akaunti iwe inaingizwa kwenye trending za youtube..
@JoumahB4 жыл бұрын
Account iko trending tiari
@lydianyanjera93854 жыл бұрын
Iko
@mashramadhani19894 жыл бұрын
Ipo
@ELISSKGTV4 жыл бұрын
Ipooo
@ELISSKGTV4 жыл бұрын
Sasa comments tuzifanye ziwe mingi
@donaldogango8403 жыл бұрын
"Na nina imani nitajijengea nisikuwaze kwa ubaya" that hit differently. Big up bro
@ibrahimusuleimani32384 жыл бұрын
Aisee hili ngoma nahisi sio ya mchezo mchezo karibu Ibrah bando lipo full
@seraphinepaultine16794 жыл бұрын
Ooohhhw Ngoma Kali kinoma jmn like za chingaaa wap🙏🙏🙏???
@ROSEROBERTROBART4 жыл бұрын
Wana kondegang kumekucha 🏃♀️🏃♀️💪
@PureVibes_2544 жыл бұрын
Naomba subscribe kwa channel yangu wadau 🔔🤗 shukran
@MoreenKariuki-m9x11 ай бұрын
Tofauti ya Chinga Na Omaly ni lugha tuu ❤ ......
@kingrabi511811 ай бұрын
Ndio kbs
@ndolthuakapol57984 жыл бұрын
From Kenya n mm wa kwanza wapy Lyke's za wakenya wenzangu,👇
@lydianyanjera93854 жыл бұрын
Tuned
@eddytzonlinetvTallMan4 жыл бұрын
Aah JAMANI IBRA FUNDIII EBUU TUKUBALI LIKE ZIJAE HAPA
@mongoboy60654 жыл бұрын
Leo nmewai koz nilkua naisubir hi ngoma
@priscillahmueni8683 жыл бұрын
This song is so underrated. I wish he had more airplay on Kenyan radio cause he deserves it!
@jaybclassics38073 жыл бұрын
True
@saidakeah14042 жыл бұрын
Maneno kutu mashallaah
@malembwemuwawa49024 жыл бұрын
Kaingia mwenye mziki wake, ni unyama mwingi sana kafanya ibra humu ndani🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥likes nyingi nami nijione nimesapotiwa baada ya kuangalia kwa mara ya kwanza chupaaaaa qaliii🔥🔥🔥🔥
@prischaralex59174 жыл бұрын
Ndom
@mariamselemani52084 жыл бұрын
Waoooo
@kabaly184 жыл бұрын
Ivan umemtendea haki huyu Mtoto.... Kali sana hii🔥🔥
@jumakimaro42954 жыл бұрын
Utachelewa lakini lazima uingie Namba 1 trending, You deserve Ibrah, Tangu Tanzania iumbwe hakuna aaliyewah kutoa Song kali kama Hili, hayupo msanii aliyewahi kuimba vizuri km hivi wala Tungo kali km hii
@hawasethy49374 жыл бұрын
Umeona eeh kaka sikupingi
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Oyoooo
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
@@hawasethy4937 pamoja
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Ngoja tujitahidi tuone mwisho🔥
@ahuriladaniel98494 жыл бұрын
Yaaan kaweka mashairi Shikamoo kwakwe
@auterthing42875 күн бұрын
2025 ndo nakuja kuelewa maana ya wimbo huu, mapenzi jameni😢
@victorkondegang76534 жыл бұрын
Nakubli San chinga 👑👑
@officiallyw_boy91024 жыл бұрын
Chingaaaass king
@hanclove76314 жыл бұрын
Watanzania bc msichelewe kunipa like zang❤👌🏿
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Coment ndiyo muhimu
@hanclove76314 жыл бұрын
@@WaridawaridaWarida au vp😂😂
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
@@hanclove7631 pamoja 🔥❤
@fargngener3104 жыл бұрын
Jomoni nipeni ata like 10 kwa chinga ake
@samsonphilip81252 жыл бұрын
Kali sana nitachelewa by ibraah
@laurinelorianne54594 жыл бұрын
Konde geng for everybody, your big fun from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 Kenyans let's support this guy,, nipeeni likes Ata 20❤️❤️👍👍
@WINFRED2084 жыл бұрын
Big up bro....am your fun
@mariamselemani52084 жыл бұрын
Asantee
@vinniebwouy21864 жыл бұрын
Jameni wenzangu mnipe likes za konde gang.
@mariamselemani52084 жыл бұрын
😅😅😅
@joebaben95934 жыл бұрын
🤗🤗
@fisjaykitamuliko11834 жыл бұрын
Tunalisubiri kwahamu king of news school
@Vincent-gp4jo Жыл бұрын
wangapi wanakubali ibra niakikishie na like
@LucyPaul-rr3bj10 ай бұрын
Mimiiiiih❤❤❤❤
@zainabubakari71594 жыл бұрын
Dah yaan ibrah mi nashindwaa hata cha kucommnt but Jah bless you 🙏💋💋💋💋❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
kaa ulipo na utengeze pesa na DUKAKUU, tmbelea website yetu ujue Zaidi kuhusu hili, tunajua hali halisi ya uchumi na tunajali maendeleo ya uchumi wa vijana usibaki nyuma hii ni fursa ya kipee. www.dukakuu.com
@mwijaku72684 жыл бұрын
Warida123warida185 Warida123 ❤️
@mariamselemani52084 жыл бұрын
Utapata tu
@FarmlandHoldings2 күн бұрын
I have been looking for the title of this song naiskiaga tu kwa club tukilewa 😂nice tune
@mkalilabson69144 жыл бұрын
Oooooh jaman nimechelewa Mimi lakni haipngwi like Kwa chinga
@abajgasavage23814 жыл бұрын
Wapi likes za ibraaah 💪💪 nipeni na mm likes konde gang for everybody💯 hatuna bifu huwa
@mohammedchangwe4 жыл бұрын
Kama unamkubali Ibraah gonga like twende pamoja Ibraah ndio msanii bora chipukizi Tz
@stennynyoro2 жыл бұрын
I lost a close friend some few months ago, she loved this song and listened to it almost daily. I'm yet to accept the reality. This song calms me down whenever I'm over thinking.
@Dennis_Okelo2 жыл бұрын
All shall be well. Love hurts at times
@maskap79342 жыл бұрын
God is with you
@mueketv75122 жыл бұрын
do him/or her justice by listerning to this song once a week
@EusebiusSoita-kk6mx Жыл бұрын
I equally love this song it's such a vibe and reminds me of the dark past that I eventually conquered.
@heldinwanjiku-tv6hb Жыл бұрын
May his soul rest in peace
@lyrics_forum4 жыл бұрын
Niliisubiri Sana, Now Imefikaaa, Pongezi sana Ibraaah na Konde Music World wide
@PureVibes_2544 жыл бұрын
Naomba subscribe kwa channel yangu wadau 🔔🤗 shukran
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Sanaa
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Ibra noma 🔥
@shomarimwinjuma81934 жыл бұрын
Oyaaaa ibraaa toa dude bas wajuba bando litakata
@daviebaba_lao72194 жыл бұрын
Naomba like za ibraah 254 🇰🇪 🇰🇪 hapa sote
@edgarmuganda87912 жыл бұрын
Can't get enough of Ibraah's voice
@mosesmukasa4286 Жыл бұрын
wallai me too❤
@phanicemo8190 Жыл бұрын
Sure enough... same here ☺️
@hermenegildoantoniohororo6229 Жыл бұрын
Olá igrah você é bonito paaaah
@youngchella43224 жыл бұрын
Kama unamkubali Ibrah Gonga like 👍twende sawa tuliokaa online kusibiri nyimbo
@murekambanzepapy99334 жыл бұрын
Kali sana
@lydianyanjera93854 жыл бұрын
🔥🔥
@shakylahamad83264 жыл бұрын
💯
@jayclassic51644 жыл бұрын
Hii ndo product original ya bwana tembo🔥🔥🔥🙌🙌
@kondegangrwanda27424 жыл бұрын
Konde gang for Life huku Rwanda
@jackycute20474 жыл бұрын
❤️❤️❤️
@lydianyanjera93854 жыл бұрын
😘💞
@the_fruit_she_is415 күн бұрын
A great song...and a great relatable message🥹🥹
@mc_nashukuru4 жыл бұрын
Team Kenya likes ni hapa👇👇
@mariamselemani52084 жыл бұрын
Asanteee
@vonramar74104 жыл бұрын
Tutazidiwa subscribers tu ila ukweli hata upande wa pili wanatambua kuwa msanii kwel yupo Konde gang.... Ibraah u kill it. Bravoo!!!!
@hassannamtyakabacar.3094 жыл бұрын
Umeonaeeeeh.
@jayclassic51644 жыл бұрын
Kabisaa
@victorkondegang76534 жыл бұрын
Ilove you konde gang music WORLDWIDE JESHI the one 🇹🇿
@mariamselemani52084 жыл бұрын
Much love
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Love you too
@imaadabdulwarith6867 Жыл бұрын
Maze kakangu ibraaah nakuenzisana big fan mi huimba hiii Ngoma mpaka mathangu hulia naitoa kwenye roho
@eliaspius49494 жыл бұрын
Wee boya😄😄 unaimba yaani hutumii nguvu quality vocal
@mariamselemani52084 жыл бұрын
Umeona yaan km hataki kumbe anataka 😀💪
@eliaspius49494 жыл бұрын
@@mariamselemani5208 hadi anakera ujue😀😀
@toastysn4 жыл бұрын
Kuuangalia huu wimbo mara moja au mbili ni dhambi ya kuchomwa moto kabisa. Dogoo anaJua 🔥🔥 nakuombea nendaa mdogo wangu 👊👊
@mariamselemani52084 жыл бұрын
Umeonaaeee
@valentineivan83814 жыл бұрын
Kama ingewezekana Ku like zaid ya maelufu basi ningefanya hivyo bila kuchoka
@mishikitendo49834 жыл бұрын
Mipia haki
@ujenzitanzania12744 жыл бұрын
View zaidi ya Mara elfu moja umsaidie
@zou74704 жыл бұрын
Ata mim kwakwel
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Coment ndiyo muhumu kuongeza views
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
@@mishikitendo4983 tucoment tuongeze view
@nishimwefrolance29493 жыл бұрын
Hakika mungu akubarik Maana kama vir unatoka hisia
@jumakimaro42954 жыл бұрын
Watanzania wenzangu tumpe IBRAH heshima yake tuache u team usiokuwa na maana, hatuwezi entertain nyimbo mbovu ikae namba 1 na wakati hii ndo song la Taifa
@mu-crzymahez92294 жыл бұрын
kwel kabsa mm from chibu dee ila Mshikaj anajuaa
@jumakimaro42954 жыл бұрын
Bora umeongea ukweli team yako Ijue sio tubebe ngoma mbovu na wakati ngoma kali zipo
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Safi sana yani huu uteam unaua vipaji kiukweli
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
@@mu-crzymahez9229 pamoja
@kezziathadeo14144 жыл бұрын
Mtoto amemzd baba 😂ibra ongera sana toto
@calvindeguize33634 жыл бұрын
daahh kwel we mtoto ni fundi sijutii kuwa shabiki yako.
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Pamoja
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Tuongeze coment ili views zimfikishe number one
@calvindeguize33634 жыл бұрын
@@WaridawaridaWarida kabisa
@salomembelle16494 жыл бұрын
Kaka nyimbo zako Zina nipoza stress zangu,,big up🔥🔥🔥
@mishikitendo49834 жыл бұрын
💥
@fredrickmakumbi79982 жыл бұрын
uko sawa bro eeh imeshika💕💕💗💖💝💌👌
@shabanally75324 жыл бұрын
Team jesiiiii Team Ibraah🐘 tujuane kwenye like jaman
@ommyjtz11084 жыл бұрын
Chinga ujawai kukosea. I proud of youu
@alpherhaule1794 жыл бұрын
Niazime Iikes kwa producer wa hii beat tafadhal..
@joebaben95934 жыл бұрын
💥
@PhilomenaNdungu-wp8qo Жыл бұрын
I listen this anytime I fight with my boyfriend and send him a part of it and get an apology almost immediately it's just a another vibe
@RIO-jf9mo Жыл бұрын
Mbwaaaaaaaa
@husseinsaid2769 Жыл бұрын
Mm najaribu kujisahaulisha ila moyo una goma una goma
@jumakimaro42954 жыл бұрын
Ibrah kwa mziki huu unastahili kutrend na kushika namba 1, umeimba Sana humu ndani, umeandika vizuri sana 100%
@mu-crzymahez92294 жыл бұрын
kabisa kabisa ttzo menagement haitoi push ya nGuvu
@zakariamachibula4884 жыл бұрын
Mtasubiri Sana huyo makonde wenu anakoelekewa pambaya
@hansramadhan89454 жыл бұрын
Kijana anajitahidi kuimba kwa vizuri lakin huku alipo,sio pa kumpa hayo unayoyafikiliaaaaaaaa
@jumakimaro42954 жыл бұрын
Karibu Konde gang bwege wewe
@jumakimaro42954 жыл бұрын
Sisi mashabiki wa konde gang ndo inatakiwa tutoe support ya nguvu, tu push kazi zote zinazotoka ndani ya Konde Gang, Tukiamua mashabiki tutafikisha Team yetu juu mpk ulaya
@lawagustino18874 жыл бұрын
Nimechelewa ila niombe walau likes10tu.
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Ushapata
@mariamselemani52084 жыл бұрын
Hujachelewa bado
@lawagustino18874 жыл бұрын
Namshuru mungu zimekuja nyingi na sijui nizipeleke wapi
@muimasmart71604 жыл бұрын
Nani anakubali kuwa hichi kichupa kwenzi tujuane kwa like hapa ndichi jamani
@CallisteBigirimana29 күн бұрын
King wa China🤞🇹🇿🇧🇮🔥🔥🌲
@jumakimaro42954 жыл бұрын
KARIBUNI KONDE GANG kwa Vijana wasiotumia Mafundo ku trend, Team W, na Team K karibun Sana
@mariamselemani52084 жыл бұрын
Weweeee umeonaee
@kryorte___michelle16454 жыл бұрын
😅😅huku stress sanaa wcb ndo chama la wana no stress kbsaa kila cku vitu vipyaa
@issamohammed34934 жыл бұрын
Give credit we it lies his dope
@mariamselemani52084 жыл бұрын
@@kryorte___michelle1645 sasa mbona umekuja kwenye stress
@nanahothman75074 жыл бұрын
@@mariamselemani5208 hapoo xx😂😂😂
@budigabirdman45584 жыл бұрын
CHINGA NOMA SANAA VIDEO IKO JUU TU SANAA BRATHEE,HIVO HIVO STRONG BRO IBRAAH.VIDEO NA LYRICS YA HII NGOMA ZIMERYME SANA ILUV IT.WAPI LIKE ZA AFRICA JAMENII
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Sanaa
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Ila huu mtindo wa views inarudisha nyuma kimziki
@elizaedgar7114 жыл бұрын
@@WaridawaridaWarida sanaaa hlf ni Tz tu ndo tunao huu ushamba
@Ashley_family1234 жыл бұрын
@@WaridawaridaWarida but naona support ya kenyans imekua juu sana but haiko trending
@alvinamos53224 жыл бұрын
Jama anajua mpaka basi 💧💧💪🍗
@mariamselemani52084 жыл бұрын
Yuko vizur sana ibra
@nackymanjale28504 жыл бұрын
Hongera Chinga
@RajabBaya-dr5cs3 ай бұрын
Love from Kenya....like zangu plz
@seydrama94964 жыл бұрын
This song is much crazy men! Dogo anajua kumamake mpka anaboa khaaaaaaaaaaaaa jamaniiiiiiiiiiiii😪😪😪😪, what the kind of talent is this guys huuuuuuuuuuu.this dude is going miles jombaaaa namuona mbali sanaaaa safi sana Konde Gang💯💯💯🔄
@mariamselemani52084 жыл бұрын
Mungu mwema
@NakflixPro4 жыл бұрын
Balaaa zitooo from 🇰 🇪 like hapa kama unamkubali ibraah
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Nataka coment tuongeze view
@japhetalex9714 жыл бұрын
Nataka kuona Vibe lenu la huu wimbo kwa njia ya Like Dondosha Like yako apo twende sawa
@mishikitendo49834 жыл бұрын
Nishakup
@japhetalex9714 жыл бұрын
@@mishikitendo4983 Saw ila no ujanipa 😂😂😂
@mishikitendo49834 жыл бұрын
@@japhetalex971 ucjali
@madinan44624 жыл бұрын
Tupo
@aumasusan-gw9gq4 ай бұрын
Waliokuja apa kwa kupitia kadog eka like❤❤
@sabrinayusuf92754 жыл бұрын
Mob love from Kenya 😍nipate likes leo tu❤️🇰🇪🇹🇿🇺🇬
@jameskimakuti39164 жыл бұрын
Siku zote hukosei broz, love it from Bungoma
@idrisaseif74644 жыл бұрын
Jamani naombeni like sinawai fikisha hata 3
@methodmwaikamba10832 жыл бұрын
Like za nin sasa
@calebongaga5843 Жыл бұрын
😄
@Aishamsega-tn4px Жыл бұрын
Mmh
@RIO-jf9mo Жыл бұрын
Mbwa Sana ..likes za nini..
@ARAFATVSHOW Жыл бұрын
nime kupa ila. like muna zifanya nini
@mikejack10303 жыл бұрын
Ibrah mdogo wang you are simply amazing sijui nikupe nini
@georgemwangi49244 жыл бұрын
All the way from Nairobi..... Thumbs👍 up to this song🎶
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Thank you ❤
@kinghk57344 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Elassrii124 жыл бұрын
Great job Ibraa I'm fan for you in Morocco 🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦
@kassimsadick254 жыл бұрын
One love bro🤞🙏🔥🔥
@emanuelmwebela9124 жыл бұрын
Morocco nini?
@lydianyanjera93854 жыл бұрын
Welcome
@Elassrii124 жыл бұрын
@@kassimsadick25 thanks brother
@Elassrii124 жыл бұрын
@@emanuelmwebela912 Morocco in Africa
@abdulhamidaliomar2644 жыл бұрын
IBRA bro you are gone be a Better artist around the planet you are so really so emotional the way you sing amazing artist ever
@lydianyanjera93854 жыл бұрын
Seeing the same
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
True
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
@@lydianyanjera9385 together
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
We need more views so plz coment as you can
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Ibra file 🔥
@PrudenceJepchichir-l6k26 күн бұрын
Ibràah always my favorite ❤❤
@obirinaom96114 жыл бұрын
My best musician so far,Kenyans in the house 🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@bigmanfreezah23924 жыл бұрын
Tunataka collabo yake na mbogi genje sio😂😂🔥
@lydianyanjera93854 жыл бұрын
Tuko
@lydianyanjera93854 жыл бұрын
@@bigmanfreezah2392 kabisa na usisahau Otile brown itakuwa 🔥🔥🔥😋
@obirinaom96114 жыл бұрын
@@bigmanfreezah2392 hapo sasa🔥🔥
@obirinaom96114 жыл бұрын
@@lydianyanjera9385 itatesa Sana🔥🔥
@muhaliyustin88094 жыл бұрын
Daaa mbona ngoma zako kali ila haziingii trending ujue inatuumiza sana sisi mashabiki zako
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Unajua tatizo hatutoi coment za kutosha
@WaridawaridaWarida4 жыл бұрын
Tukionesha umoja wa coment views zitafika number one
@Ashley_family1234 жыл бұрын
@@WaridawaridaWarida kwani comments ndio huingza trending ama ata mie sioni vizuri kutoingia trending like seriously
@wizyoung_tz7844 жыл бұрын
Kupita saa moja bila kumsiliza huyu mtu n ngumu saana kwangu Blood unajua thaana 💪💪💪
@gadimbajo3 жыл бұрын
Deserve to be called a masterpiece! Once upon a time Diamond knew how to sing these kind of songs, thats when music was music, this masterpiece takes us way back to the golden time