KUNGWI DUME sehemu ya pili

  Рет қаралды 279,269

Ibrah Thedon

Ibrah Thedon

Күн бұрын

Mwali kigego ndio hutoa siri za 'mkoleni'! Unaanzaaje kuyaanika ya unyagoni? siku zote manyakanga hubaki na mwali mwenye usiri za undani, mwali aliye alikwa huwa ana adabu, aibu na mstaarabu ukiona hasemi hovyo jua huyo amefundwa sio msungo na anaweza imudu ndoa yake bila kutoa hata siri moja ya maisha yake na mumewe.

Пікірлер: 447
@MeswalehShaban-mg5kk
@MeswalehShaban-mg5kk Жыл бұрын
Mafundisho mazur n yenye maana ukiyasikiliz ...mashallah Mungu akujalie afya njema daima ili uwe kutufunza zaid mpk pale tutakapoingia kwa ndoa..kungwi dume salute
@DanielMelami-c1t
@DanielMelami-c1t 9 ай бұрын
. I just want want to
@ZulfaYussuf-b1r
@ZulfaYussuf-b1r 3 ай бұрын
Kumbe hujaingia ktk ndoa unaskiza😅😂❤
@blessings7942
@blessings7942 2 жыл бұрын
Aki huyu kungwi wafaa wafanye kolabo na madebe lidai..nadhani hyo filamu itakuwa ya mafunzo zaidi...nazipenda hivi filamu
@mwanahawasaid1561
@mwanahawasaid1561 2 жыл бұрын
Umewaza kama mimi aise
@roi2554
@roi2554 Жыл бұрын
Kumbe Ata wenzangu mumeliona ilo?
@amsodewiz4901
@amsodewiz4901 Жыл бұрын
💯
@ZainabAbdurahman-l2e
@ZainabAbdurahman-l2e 2 ай бұрын
Umeona eeee sijui waungane😊
@HalimaBaqar-w3h
@HalimaBaqar-w3h 7 ай бұрын
Nimechelewa kuyajua haya kumbe watu wanafaidi nilikua nikiona kungwi dume napuuzia kumbe kuna mafundisho mazuri sana kwakweli unatutoa tongotongo
@atusanga8306
@atusanga8306 2 жыл бұрын
Asante kungwi dume movie tamuuuuuu sana unaweza mpka unaweza tenaaaa🙏🙏🙏
@shakiramussa9412
@shakiramussa9412 5 ай бұрын
Kungwi nmekuelewa sana..naomba kuungwa kwa group jaman
@ZulfaYussuf-b1r
@ZulfaYussuf-b1r 3 ай бұрын
Ukiungwa niunge na mie
@MIRIAMMICHAEL-v8gi
@MIRIAMMICHAEL-v8gi 3 ай бұрын
Asee uyu kafunika jaman makungwi wa kike mkasomeee😆😆😆
@ottomanmorand6117
@ottomanmorand6117 2 жыл бұрын
Aise mungu akutunze miaka Mingi boss Don Yani kama Kuna mabinti na vijana wenzangu wanaangalia video zako basi tunajifunza mengi 🙏 ubarikiwe Sana
@jumakandy2075
@jumakandy2075 2 жыл бұрын
Filamu hiko sawa kabisa kungwi dume hatari sana 💯💯💯🔥🔥
@hidayamusa8347
@hidayamusa8347 2 жыл бұрын
Yan kungwi dume unajua mpaka unajua Tena hongera sanaaaa🥰❤️
@rukiandoka391
@rukiandoka391 2 жыл бұрын
Mwari nimekupenda buree👌👌👌 na kungwi ndo balaaa na nusu
@Hadija-t1p
@Hadija-t1p 5 ай бұрын
Mafunzo mazuri sana Allah akatujaalie tukadumu katika ndoa zetu
@faizatmfaume9051
@faizatmfaume9051 2 жыл бұрын
Inafundisha,inaelimisha ahsante sana IBRA the don mungu aendelee kukutunza uzidi kutuelimisha
@essambader4075
@essambader4075 2 жыл бұрын
Duuuh atari sana ongereni sana wapezi kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤ ❤ ❤ ❤ ❤ ❤ kungwi Dume niki pata mchumba nitakutafuta😃😃😃😃😃😃😃unipe matatu zaidi
@fatumaomary9635
@fatumaomary9635 2 жыл бұрын
Hatariiii kungwi dume..wallah unatufunza ❤️❤️
@siriyangu4724
@siriyangu4724 2 жыл бұрын
Mashallah apart from all lazima turundi kwa uaclia mila zifatwe wara wacku izi kazi ni yakuambiwa kutikisha mauno weka mawe matatu 😂😂😂ongera kugwi dume we need more
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣asante sana kungwi dume nimejifunza nakucheka sana daa mungu akubariki Ibra
@MwajumaLameck-j2n
@MwajumaLameck-j2n 10 ай бұрын
Asante nimejifunza mengi zidi kutuhimiza sisi wanawake
@rithaferdinand3738
@rithaferdinand3738 Жыл бұрын
Kaka Ibra umejitafutaaaaa ss umejipata, hongera sn bro. Unatupa mafunzo tosha sn, uko vere
@AnthonySylver
@AnthonySylver 4 ай бұрын
Wapendwa kazi nzuri kungwi nakupa asilimia 💯 pia wengi tunajifunza kupitia mafunzo yenu asanteni
@kigenimohammed7847
@kigenimohammed7847 2 жыл бұрын
Thedoni thank you so much for everything 🙏 mungu akuzidishie uzidi kufunza zaidi God bless you and your family insha'Allah 🙏🤲 allahuma amiin yaa rabbi 🤲
@uuuuiiii3917
@uuuuiiii3917 2 жыл бұрын
😀😀😀my Brother ibra umenizidi kitabia my Kaka❤️❤️Yani mafuzo yko yanatufuza wengi kungwi dume mambo 🔥🔥🔥
@fatmazahor357
@fatmazahor357 2 жыл бұрын
Hongera zako kungwi dume mafunzo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nimeipenda jamani Hadi raha ❤️❤️❤️
@nasibuahmedy2438
@nasibuahmedy2438 2 жыл бұрын
Ukweli ni kwamba wengi wanafatilia hii series sio kwa kujifunza kitu ila ni wachache tunao jifunza humu wengi wetu wanaangalia kwasababu ya maneno yanayoongeleka huku kutoka kwa Ibrah the don. Ningependa tujifunze na sio kuangalia tu
@izzo_boy
@izzo_boy 2 жыл бұрын
Yote ni the same coz kuskiliza Na pia uta jifunza na mengi 🔥😂
@roi2554
@roi2554 Жыл бұрын
Haswaa
@RahmaAbubakar-cb3jx
@RahmaAbubakar-cb3jx 9 ай бұрын
Imebidi nimuunge na mumewangu tunafatia Kwa pamoja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@faridahahmad9513
@faridahahmad9513 2 жыл бұрын
💯💯💯💯💯💯una deserve tuzooo wallahi kazi nzurrr Allah akujalie ufike mbali
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 2 жыл бұрын
Kigoma kinacho pingwa kwenye mafuzo kitamu nimekumbuka siyo ya unyago hongera kungwi dume kwa kazi mnzuri pia habiba kama anafanana na chuchu hasi
@kelvinmwendwa4363
@kelvinmwendwa4363 2 жыл бұрын
Nimejikuta namuhurumia mama anavolia mwishon adi choz 😭😭but there some contents to take big up bro💪
@zena6203
@zena6203 2 жыл бұрын
Ahsante sana natamani hata niolewe😃😃😃😃😃😃😃😃😃saizi
@jamesoctavian5426
@jamesoctavian5426 2 жыл бұрын
Mume niko hapa zena wangu
@zena6203
@zena6203 2 жыл бұрын
@@jamesoctavian5426 😀😀😀😀😀😀nakupataje 😀😀😀😀😀😀😀😀nijaribu bahati yangu liwalo naliwe😀😀😀😀
@carolinasanga390
@carolinasanga390 2 жыл бұрын
Tunashukuru kungwi maisha marefu naelewa mno mafundisho yako🥰🥰🥰
@AngelPaulo-xz5ts
@AngelPaulo-xz5ts 9 ай бұрын
Hongera sana kungwi mafunzi yako nimatana yaelimisha kwei, kwakweli kama mtu utangalia hi muve na usijifunze kitu bas hatakaa ujifunz, wasambaa oyeeeh
@stellasililo8051
@stellasililo8051 2 жыл бұрын
Hongera kungwi dume nomekupenda bure kwa mafunzo yako 👊🏿👊🏿
@ingenieurtyga4008
@ingenieurtyga4008 2 жыл бұрын
Ndio kbs
@amosmayila
@amosmayila Жыл бұрын
Kaka kaz nzur Sana Kaka sijui nikushukulu vip kakaangu nimeipenda sanaaa kaka 💪💪💪
@SalmaKibaigwa
@SalmaKibaigwa 5 ай бұрын
Kaka upo vizuri kwakweli ❤❤❤❤
@hazlaramadhani8062
@hazlaramadhani8062 2 жыл бұрын
Asantee Sana Kaka kwa kutufundisha ubarikiwe🥰🥰🙏🙏
@oswardjaphal-cd6np
@oswardjaphal-cd6np Жыл бұрын
Hakia ya mungu we we ni balaaa. Wewe cuma chamoto nikupenda sana bro
@sukarigulu8472
@sukarigulu8472 2 жыл бұрын
Natamani ningekuwa nina uwezo wa ku'like hata mara elfu 10 peke yangu😗😗😗😗
@kwanchenovtv1896
@kwanchenovtv1896 2 жыл бұрын
Share sasa
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 2 жыл бұрын
like tu kwani shida iko Wapi anakufurahishaa snaaaa eeeh
@BebeMlasi-y3q
@BebeMlasi-y3q 9 ай бұрын
Like tu wala usijali
@babamalik765
@babamalik765 5 ай бұрын
@@sukarigulu8472 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@silvestermutua5787
@silvestermutua5787 Жыл бұрын
Wanadada wakenya mpo kwenye chumba hiki Cha mafunzo nawaomba msipitwe na hili, ukaona mumeo kakuacha makosa yako mwenyewe
@kigenimohammed7847
@kigenimohammed7847 2 жыл бұрын
Movie nzur Sana Masha Allah 👌 Allah awazidishe kipaji insha'Allah 🤲🙏
@swemamohameed5691
@swemamohameed5691 2 жыл бұрын
Umetisha baba hongera saana kazi nzuri
@hadijamshimbula7616
@hadijamshimbula7616 2 жыл бұрын
Hongea Sana uzaghoshoa ndima yedi
@Dausonpaulo-v2n
@Dausonpaulo-v2n 2 ай бұрын
Hii move kali sana inafundisha Sanaa jaman mweny akili ataielewa wanawake jifunzeniiiiiijj
@drmtangi3649
@drmtangi3649 2 жыл бұрын
Hongera sana move tamu sana Najivunia kijijini kwetuPotwe production ilipo fanyika
@mariammariamjuma9233
@mariammariamjuma9233 Жыл бұрын
Wow thanks bro ❤nimekupata 💯 be blessed 😇
@MwanajumaShaban-z2x
@MwanajumaShaban-z2x 6 ай бұрын
Maa shaaa Allah, maa shaa Allah ubarikiwe maneno kuntuu😅😅🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@khadijaabdul-kadir7264
@khadijaabdul-kadir7264 2 жыл бұрын
Thnx alot kaka kwa mafunz yk allh akutiliy bark kark kazi yako🙏🙏
@GetrudaAndrea-ny4ku
@GetrudaAndrea-ny4ku 9 ай бұрын
Jaman jaman huyu kungwi apewe maua yake,, na hicho kigoma kinachopingwa duh! Nimejifuza mengi🙏
@كبيبهكب
@كبيبهكب Жыл бұрын
❤❤ maelezo mazuri hata itabidi nitagute doa
@KINGSULEIMAN16
@KINGSULEIMAN16 Жыл бұрын
Napenda Sana unavyoshauri bro congratulations
@Faizamideva-bv6oo
@Faizamideva-bv6oo Жыл бұрын
Kabisa kaka
@shamilamo9159
@shamilamo9159 2 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka Allah tumejifunza kitu asate kaka ibra
@nduwamahororahma4830
@nduwamahororahma4830 2 жыл бұрын
All the love from Burundi Hakika umetishaaaaaa🔥🔥🔥
@ShakiiRungwa-ru3qd
@ShakiiRungwa-ru3qd Жыл бұрын
Brother ibra hongera ila tuleteee muendelezo sehemu ya sita I like my work for hand's God bless
@adijaamur962
@adijaamur962 Жыл бұрын
Nimejifunzakitu humundani kwakweli ilatu nawapenda sana
@annabelwangila9882
@annabelwangila9882 2 жыл бұрын
Sijui naweza kukushukuru vipi umenisaidia sana,mungu akulinde.
@aishaaisha2224
@aishaaisha2224 2 жыл бұрын
Hongera kaka lbra uko vzr sn Kila sekta upo vzr💕😘❣️😘💕🙏
@ashurakachuro7643
@ashurakachuro7643 2 жыл бұрын
MAASHAAALLAH,,,,, KAKA IBRA KAZ NZUR SANA NA NI MAFUNZO MAZUR SN WANA WARI WOTE....NA WANAWAKE PIA. 🙏KEEP UP
@mwanamisijapani8968
@mwanamisijapani8968 2 жыл бұрын
Mm n basi sitoenda kwa kungwi 🖐Ibrah the don ananitosha ...asante baba mungu akuzidishie kheri
@khadeejamct2096
@khadeejamct2096 2 жыл бұрын
Mashalla allah nimepend usiy wa kungwi dume ishalla allah nitakutafut
@Akimankevine
@Akimankevine 2 ай бұрын
Kwl Kaka yangu ❤🎉🎉🎉🎉
@هواه
@هواه Жыл бұрын
Hongera kungwi nimejifunza sana
@zaharamuna5861
@zaharamuna5861 Жыл бұрын
Hongera unajua kutunyoosha Nataman niishi unayoyafunda
@halimambena6110
@halimambena6110 2 жыл бұрын
Mafunzo mazuri sana bro @Ibrah Thedone nazidi kupata madini kutoka kwako nije kua mke bora kwa mume wng Mungu azidi kukupa maarifa zaidi uzidi kutupa maneno ya kudumisha mahusiano yetu na ndoa pia
@OscarHoland-l7g
@OscarHoland-l7g Жыл бұрын
Very nice
@tashleysalim609
@tashleysalim609 2 жыл бұрын
MashaAllah, Nimejifunza mengi sana kutok kwako. HONGERA
@noorramadan8156
@noorramadan8156 2 жыл бұрын
Jmn kungwi ww big up sana mungu azid kukuweka ili uzid kutufunza zaid. Asante sana
@familyngoy1642
@familyngoy1642 Жыл бұрын
Mafunzo mazuri ubarikiwe ,hendeleya zaidi ❤❤❤
@ashuraadam1874
@ashuraadam1874 2 жыл бұрын
Asante kwakwel tumejifunza sàna shukran mungu awazidishie💯💯💯💯
@ashamohamed3164
@ashamohamed3164 2 жыл бұрын
Movie tamu Sana kungwi dume watuelimish kabla.... Congratulations
@FatumaKishasha
@FatumaKishasha Жыл бұрын
Jamni nimekumbuka home kwetu wasambaa ❤❤❤❤
@mimachombo-bs1pe
@mimachombo-bs1pe Жыл бұрын
Kaka unatufunza vingi mpaka nataman kuingia kwenye ndoa😂😂asante na hongera🙏🙏
@MeswalehShaban-mg5kk
@MeswalehShaban-mg5kk Жыл бұрын
Wallah mm nasikiliz mpk ntaman niolew nami nkafanye n mm😅
@AshaSeif-yk2uo
@AshaSeif-yk2uo 10 ай бұрын
namimi jamani 🙈🙈🙈
@SharifaZahabu
@SharifaZahabu 9 ай бұрын
Cuolew kwan wangojani
@RizikiQueen
@RizikiQueen 5 ай бұрын
Wallah Tena jmn 😢😂
@samirahmohammed6274
@samirahmohammed6274 6 ай бұрын
Kaka hongera icho ni zaidi yakipaji umebarikiwa
@nabunyerelwaka2389
@nabunyerelwaka2389 2 жыл бұрын
I have learned a let in this movie 🍿 guys I can’t wait for more 🙏🏾🙏🏾🍿🍿
@MwanajumaShaban-z2x
@MwanajumaShaban-z2x 6 ай бұрын
Maisha marefu kungwi dume mafunzo mazuri alhamdhulillah najifunza ubarikiwe❤❤
@SHAZIMINA55
@SHAZIMINA55 2 жыл бұрын
Nimejifunza love kungwi dume
@SalmaSaidi-c3i
@SalmaSaidi-c3i Жыл бұрын
Honger cna kaka Asante kwa mafundish
@ramamfuno
@ramamfuno Жыл бұрын
Yani uyu kaka nampenda bure❤❤🎉
@laureanclaudia409
@laureanclaudia409 2 жыл бұрын
Kaz nzuri wapendwa, ujumbe umeifikia jamii vyema. Naima mmebatilisha mitazamo mbali mbali ya watu wengi na kuwapa mafunzo ambayo hawakuwahi kuyapata, mbalikiwe sana.
@angeljohn6096
@angeljohn6096 2 жыл бұрын
Movie nzur San jmaan wasambaa tumelewa vizur San ubalikiwa sana katka kazi zako za mikono y'all ubalikiwa sana kaka IBR
@mwantumswalehe2300
@mwantumswalehe2300 2 жыл бұрын
Shukran sana kugwi kweli unayaweza
@JacquelineMalumalu
@JacquelineMalumalu 9 ай бұрын
Tunajifunza mengi ,ubarikiwe kaka yangu ❤
@BlandinBANABAK-nc5su
@BlandinBANABAK-nc5su Жыл бұрын
hmm kungwi Dume unatisha kaka hee, MUNGU AKUBARIKI SANA
@witOkwonko
@witOkwonko 4 ай бұрын
Jamani kungwi dume apewe maua yake nilikuwa na puuzia nikiona napita ila nimechukua Moja haaaa nimependa asaaà
@MwanaishaStam
@MwanaishaStam Жыл бұрын
Asante kk Ibra nimeielewaiyo
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb 2 жыл бұрын
Hongera sana ibrah thedon ❤❤❤sisi wasambaa 🔥🔥🔥unaweza sana kungwi dume
@mgenihamis3260
@mgenihamis3260 2 жыл бұрын
Hatar kaka uko vizur unatufanya ndoa zetu kudumu
@omaryally7677
@omaryally7677 Жыл бұрын
Mmh 😂😂😂 unataka kukojoa kunywa maji meng 😂😂😂😅😅😅😅 niatali
@aishaibrahim5607
@aishaibrahim5607 2 жыл бұрын
Uyo kungwi anavyocheza kama anataka kupaa🤣🤣🤣🤣
@rosenaafya9356
@rosenaafya9356 2 жыл бұрын
😂😂💔
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
😁😁
@janethstephen7869
@janethstephen7869 2 жыл бұрын
Waaaa Asante kaka Ibra umetufundisha sana
@tato8979
@tato8979 2 жыл бұрын
Kazi nzuri kaka mungu akubariki
@Kulthumaly-cu9sd
@Kulthumaly-cu9sd Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉kungwi uko sawa mashallah
@AsnatiHasani
@AsnatiHasani Жыл бұрын
Kaka unafunza vizuri mpaka natamani kwenye arusi yangu mungu akinijaalia nikualike asante
@sabrinaramazani3414
@sabrinaramazani3414 2 жыл бұрын
Unajua adi unajua Tena nakupenda sana 🙆🥰❤️
@shuwenasaid5421
@shuwenasaid5421 Жыл бұрын
Asant kungwi dume nimejifunza sanaa
@MLYAGAPEINVESTMENTElias
@MLYAGAPEINVESTMENTElias Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥I appreciate your work ma friend
@ReyBrazzos-gn8sr
@ReyBrazzos-gn8sr Жыл бұрын
Uko vzr sana Tena sana na Zaid ya sana
@CHONZASalu
@CHONZASalu Жыл бұрын
Nakukubali Sana 💯💯🙏🙏 kaka
@faridapandu7579
@faridapandu7579 Жыл бұрын
😂😂 ❤❤ asant kungwi unanicha hoi ukacheza
@nasrahassan3886
@nasrahassan3886 Жыл бұрын
Duh wew ibraa kiboko kwakweli mana nimejifunza vitu vingi japo hapo kwenye jambo la kuoga mwanaume mwengine hapendi kuoga pamoja na mkewake
@aminahmusa3723
@aminahmusa3723 2 жыл бұрын
Funzo zuri sana shukrani
@abdallahdulla8896
@abdallahdulla8896 Жыл бұрын
Nakuona mbali sana kaka
@Dausonpaulo-v2n
@Dausonpaulo-v2n 2 ай бұрын
Mwanamke mwenye busara atajifunza hapooo😊😊😊
@MariamAhmadaMwikalo
@MariamAhmadaMwikalo Жыл бұрын
🎉🎉🎉 thanks kungwi
@mamumamukisr8339
@mamumamukisr8339 2 жыл бұрын
Kk upo vizuri nakukubali kungwi dume
@VenerandaGabriel
@VenerandaGabriel 6 ай бұрын
Mashallah umetufunza❤❤🎉🎉
KUNGWI DUME sehemu ya Tatu
31:55
Ibrah Thedon
Рет қаралды 130 М.
KUNGWI DUME
42:19
Ibrah Thedon
Рет қаралды 448 М.
$1 vs $500,000 Plane Ticket!
12:20
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН
I'VE MADE A CUTE FLYING LOLLIPOP FOR MY KID #SHORTS
0:48
A Plus School
Рет қаралды 20 МЛН
진짜✅ 아님 가짜❌???
0:21
승비니 Seungbini
Рет қаралды 10 МЛН
NILIISHI DUNIA YA PEKE YANGU - SIMULIZI MPYA YA KUSISIMUA
2:05:32
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 44 М.
KITU KIZITO FULL VIDEO HD
22:31
kisaitz
Рет қаралды 782 М.
POMBE YA NGOMANI FULL MOVE
58:51
Gebo Mkary tv
Рет қаралды 73
UTAMU 03
18:59
MPAYU FILM
Рет қаралды 171 М.
AFARTANKII (40) QISO OO UGU SAAMEYNTA BADNAA_2022 iyo 2023_ SHEIKH MUSTAFA.
3:26:03
IFTIN BROTHERS STUDIO
Рет қаралды 2,6 МЛН
DJ SMITH Kihindi movie *BAHUBALI : THE BEGINNING*
1:54:43
sweet14
Рет қаралды 2 МЛН
KUNGWI DUME sehemu ya kumi na SABA
25:24
Ibrah Thedon
Рет қаралды 36 М.
Quiet Night: Deep Sleep Music with Black Screen - Fall Asleep with Ambient Music
3:05:46
KUNGWI DUME: Kumsinga mumeo
9:37
Ibrah Thedon
Рет қаралды 167 М.
$1 vs $500,000 Plane Ticket!
12:20
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН