Рет қаралды 448,792
Mwali kigego ndio hutoa siri za 'mkoleni'! Unaanzaaje kuyaanika ya unyagoni? siku zote manyakanga hubaki na mwali mwenye usiri za undani, mwali aliye alikwa huwa ana adabu, aibu na mstaarabu ukiona hasemi hovyo jua huyo amefundwa sio msungo na anaweza imudu ndoa yake bila kutoa hata siri moja ya maisha yake na mumewe.