Dr Sulley 3 In 1 Part 2

  Рет қаралды 137,018

ideal muslim

ideal muslim

Күн бұрын

Пікірлер: 33
@WeBorn2DieAnyTime
@WeBorn2DieAnyTime 11 жыл бұрын
Masha Allah Ustadh Dr Sulley (Hafidullah). Baarak Allahu feekum for sharing. Love it!
@Adamswaiswa
@Adamswaiswa 11 жыл бұрын
the world is in need of you
@christina4364
@christina4364 Жыл бұрын
Dk sule nakukubali sanaa hakika wewe ni tunu ufindisha yalio mema
@mazsam4055
@mazsam4055 11 жыл бұрын
Waislam.. Naomba mnisaidie vipi kupata vitabu vya DK SULLEY. Ahsanteni.
@abqariyahabqariy1980
@abqariyahabqariy1980 11 жыл бұрын
mashaallah mungu akupe ilmu zaidi. upate kutufunza nasi.zaidi.
@mazsam4055
@mazsam4055 11 жыл бұрын
Inshaalah Mungu Akupe Uhai dk Sulley uweze kufundisha watu zaidi Inshaalah. tunaomba mzidi kudownload video za dk Sulley pale mnapozipata ili tuweze kuzipata sisi ambao tupo nje na Tanzania. Ahsante.
@aishaaaa6987
@aishaaaa6987 7 жыл бұрын
M,mungu akupe umri mrefu uzidi kutuelimisha. Mashaallah doctor Sule
@dullahwasaf4237
@dullahwasaf4237 4 жыл бұрын
mungu akupe maisha marefu aminiiii
@samdhbghj9007
@samdhbghj9007 7 жыл бұрын
Maashaallah Dr Sulley mungu akujaalie
@hassanally9468
@hassanally9468 6 жыл бұрын
Mashaallah allahuakbar
@humudalbarwan320
@humudalbarwan320 8 жыл бұрын
Allah awangoze katika dini kamil
@maymunaibrahim2187
@maymunaibrahim2187 6 жыл бұрын
Amin
@WeBorn2DieAnyTime
@WeBorn2DieAnyTime 11 жыл бұрын
Allahu Akbar
@sadiqshedyshahrif4374
@sadiqshedyshahrif4374 11 жыл бұрын
taqbirrrrrrrrrriiiii
@Truthshallprevail1291
@Truthshallprevail1291 11 жыл бұрын
aa Wallahi nimefurahi kuona videos za Shehe wetu zimerudishwa katika KZbin. Mubarikiwe sana. JazakaAllah khayran kaka Ideamuslim1004.
@Halimabintmafitah
@Halimabintmafitah 8 жыл бұрын
SUBHANA LLAH. ALLAH ATAKULIPENI MASHEIKH WETU
@uwesusaid1714
@uwesusaid1714 6 жыл бұрын
shekhe nakubal kazi zako
@360-t5s
@360-t5s 11 жыл бұрын
mashallah
@360-t5s
@360-t5s 11 жыл бұрын
mashaallah
@husseiniddi9359
@husseiniddi9359 5 жыл бұрын
Mashaallah
@tidojulius9281
@tidojulius9281 5 жыл бұрын
mtu anaeongea sana kiasili ni muongo
@abdallahmohamed5991
@abdallahmohamed5991 7 жыл бұрын
Naomba utuwekee ile mada ya Christmas
@kfastak
@kfastak 11 жыл бұрын
EEEH. DOCTER WEWE NI NOMAA, TUNA KUKUBALI KAKA
@jafarmalungi905
@jafarmalungi905 6 жыл бұрын
asante doctor
@rashidmaurid6955
@rashidmaurid6955 7 жыл бұрын
wewe Jonas Kama ujui sema ujurishe ndugu ' hawawi sawa wanaojua na wasiojua '
@francinensavyimana5601
@francinensavyimana5601 4 жыл бұрын
Dunia yatakawatukama hawa namashekh kabisa ili kufungua ufahamu
@zanzibaronlytv3470
@zanzibaronlytv3470 4 жыл бұрын
Ata ww unaweza jitaid
@kitotaabdillahi4609
@kitotaabdillahi4609 6 жыл бұрын
Preliminary Qur'an inajitafsiri yenyewe, then, kwa Hadithi sahihi, then maoni ya wanazuoni. Ufafanuzi wetu waote wa Kisayansi wa Aya za Qur'an ni lazima uwe na misingi yake kwenye vitu hivyo vitatu. Na siyo kwa Wanasayansi. Kuhusu hiyo aya 23:17, neno twaraiq halijafasiriwa kama matabaka, bali limetafsiriwa kama Mbingu. Ukisoma tafsiri zote za Qur'an, tafsiri iliyotolewa ni ya Mbingu. Mfano, ukisoma tafsiri ya ibn Kathir, ambayo ndiyo ipo ki-salafi zaidi (kwa maana ya kutumia Hadithi na maoni ya maswahaba), Mujahid anasema aya hiyo ina maana ya Mbingu saba. Na hata tafsiri zingine pia, kama Qutubi, Attabari, Asuyut, n.k, zinaeleza kuwa ni Mbingu saba, na siyo matabaka saba. Kwa hiyo, tafsiri hiyo ya matabaka ya troposphere, stratosphere, mesosphere, n.k haipo sahihi. These are just Heaven.
@igiraneza4
@igiraneza4 10 жыл бұрын
sijuwi kama waislaam kitu kama kuuwa ni haram? kama Baba wetu wa imani Musa alivyotuachia. amri 10 kama kweli !!!! makiani????????
@asiamatitu6456
@asiamatitu6456 8 жыл бұрын
UKITAKA KUUJUA UISLAM SOMA QUR'ANI HAPO UTAJUA KWELI MUNGU ALIRUHUSU KUUA WASIO NA HATIA? WALA USISIKILIZE VYOMBO VYA HABARI KWANI VINATIA CHUMVI NA KUUSEMA VIBAYA UISLAM
@jonasjoe3623
@jonasjoe3623 7 жыл бұрын
siku Sita zilihesabiwa vipi wakati dunia ndo ilikuwa inatengenezwa?suley n.a. Allah wote waongo
@fanicomoil7620
@fanicomoil7620 6 жыл бұрын
Ingia ktk uislamu usome uislamu ndio utajua zilikua siku zipi
@faridswaleh0018
@faridswaleh0018 5 жыл бұрын
Wewe uliyesema Dr sule na mungu murongo. Ww ulijuwaje ni urongo? Hayo ni maneno ya mungu ameyasema zamani kwenye Quran tukufu ni miyaka 1445 wewe una umri gani mginga
Dr Sulley 3 In 1 Part 3
53:45
ideal muslim
Рет қаралды 192 М.
Dr Sulley 3 In 1 Part 1
1:30:33
ideal muslim
Рет қаралды 125 М.
小丑在游泳池做什么#short #angel #clown
00:13
Super Beauty team
Рет қаралды 38 МЛН
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 19 МЛН
Anwar Abdullah Jongo 3 In 1 Part 1
58:03
ideal muslim
Рет қаралды 153 М.
Uchungu wa mauti na sakratilmauti
1:08:56
RAUDHWAH ISLAMIC CHANNEL
Рет қаралды 656 М.
Muhadhara wa Dr:Sule , Mada: Miujiza ya qur'an(No:(1)
1:31:34
Markaz Swalihinal- islamy Mombasa Kenya
Рет қаралды 503 М.
DR.SULLE SAFARI YA MTUME MUHAMMAD S.A.W (SEHEMU YA 1)2024  ISRAA NA MIRAJI
53:27
DR. SULLE:FAIDA ZA SWAUM KISAYANSI||SWAUM NI KINGA YA MARADHI.
36:45
🔴 Exclusive Bayan at Birmingham by Molana Tariq Jamil | 22 Feb 2023
2:42:17
小丑在游泳池做什么#short #angel #clown
00:13
Super Beauty team
Рет қаралды 38 МЛН