Aisee i love this guy, unafanya ushizi na kuvunja mbavu zangu but still naona mwanaume ambae yupo smart na anajua anachokifanya.
@shau-macgyver8603 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 really ooooohhhh Men 😅😅😅😅😅😅😅
@innomchaga5 жыл бұрын
Nakubali pamoja sana, kazi kazi
@surusuru1994 Жыл бұрын
😂😂😂😂mmmh niliwaisikia
@mbarakakilangilo52615 жыл бұрын
Duh! kitu iko kavu
@mwanaishambili2415 жыл бұрын
Kwenye hili nimejifunza kitu shukran nyote
@raymondkanyama63875 жыл бұрын
fid Unaakili sanaaa...
@leviataninc56435 жыл бұрын
Unapimaje ugonjwa usiokuwa na tiba? Kapime malaria ukikutwa unaumwa utapewa dawa upone mambo yaendelee
@amourlavista24265 жыл бұрын
leviatan inc nakubali
@therapy28095 жыл бұрын
Hizi stereotypes kabla hujaziongelea uwe unaujuzi kidogo na kundi husika wanawake wa kikurya walipigwa sio kuexpress mapenzi ila kwa makosa waliyokuwa wanafanya na sifa ya mwanamke wa kikurya ni kutunza siri so akiulizwa na wenzake kwanini alilia au anakovu anajibu ni UPENDO au MAHABA ili kutunza siri za familia......No research No right to SPEAK
😂😂nyote wakari ila nime enjoy sna 🤣🤣🤣me nikikatwa na panga nabeba mabeg fasta hpna sikai
@sadruhsnowwhite46795 жыл бұрын
Duuuuh
@daudpeter79964 жыл бұрын
Aaaaah jaman fid Q unazingua
@faulatafahmi77335 жыл бұрын
👌
@ackshuba86795 жыл бұрын
Eti mkono una bonge moja LA #logo
@denisnyalus14195 жыл бұрын
Hogo sio logo
@abdulnaseermrisho43425 жыл бұрын
Sometime Fid Q anaropokwa tuu,hamna culture ya hivyo (Mimi sio Mkurya ila nimezaliwa tarime na nimeishi Tarime na home ni Tarime) Huyo Mshamba anamdanganya mwenzake,
@omarymansuri24065 жыл бұрын
Mshamba ni wewe Anaongea vitu vipo
@abdulnaseermrisho43425 жыл бұрын
@@omarymansuri2406 haya mama Idrisa
@YouTuuuuuuube5 жыл бұрын
Waskuma Wabishi . Wanabishana na Virusi 🤣🤣😂😂
@jk123075 жыл бұрын
kupiwa-kupima
@bakarisaidi38415 жыл бұрын
Musoma sio kwa wakurya
@noeljohnkiboko47865 жыл бұрын
Watu wanagoma kupima coz kuogopa jamii na watu wake wakaribu watamchukuliaje! So Elimu itolewe sana kwa jmaa kuhusu huu ugonjwa watu waelewa kwanza hiv haimaanishi kufa hapo hapo unaweza ishi miaka mingi hata watu hawatakutenga kuogopa kuambukizwa coz hauambukizwi kwa kua karibu kijamii na mtu! Jamii ikibadili muonekano wake kwa hiv bas watu wengi watapima! Afu kumuandaa mtu wako, haianzii pale mnapokutana, sex sio suprize/emegency inatakiwa mpange mwambie hata siku moja kabla mkubaliane akubali kwamba kwsho ntakuja geto! Hata mwili wake unaadapt na hormones zianakaa vzr, sio ile leo nko alone njoo geto bas 😏😏
@baloziubalozini50745 жыл бұрын
Offer za siku hizi haziachi mtu SALAMA kabisa!!
@godfreybahame1414 Жыл бұрын
Fid umeua nakukubal sana
@sadikathumani10035 жыл бұрын
Ngosha acha ubishi.
@bintiiddy70435 жыл бұрын
😂😂😂😂🏃🏃🏃
@tonyincredible6015 жыл бұрын
Idris musoma yuko romantic na hakuna mambo ya kuleta u handsome na u play boy lakin huo wivu wa mapanga fid q kazngua..., yeye aeleze usukuma ndio nature yake.... MARA haitajwijwi kama ivo iyo ni kanda maalumu. @incredibl3_t
@vanillamziray23035 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@moshimoshi60965 жыл бұрын
Sio watu wa Musoma,ni watu wa Tarime tuelewane guys. Musoma sio kwa Wakurya
@dorischilla16275 жыл бұрын
Moshi Moshi kwa wakurwa niwapi sasa
@moshimoshi60965 жыл бұрын
@@dorischilla1627 Wakurya ni wa Tarime
@dicksonmatiku72085 жыл бұрын
Wakurya wameenea mkoa wote wa mara bunda,musoma,tarime kote wapo
@dicksonmatiku72085 жыл бұрын
Labda nikwelekeze kitu ambacho hukijui kuna aina mbali mbali ya wakurya na kila aina ya wakurya inasehemu yake inapokaa mfano msoma wanakaa wakurya aina wangurimi tarime wanakaa wakurya aina ya watimbaru sirari kule mpakani wanakaa wakurya aina ya wakira na kuna wakurya aina ya wanchari, warenchoka nao pia wanamaeneo yao wapo wengi sana wengine sijawataja