film yenye maadil nimeipenda nazani hii ndio comment yangu ya kwanza youtube asante idris❤
@AminaOmar-z9b9 ай бұрын
Woow Mashallah ❤❤
@freddiemwambe299810 ай бұрын
Ombeni mungu asivute bangi zake😂 maana zinakaa kichwan 6 months na hapo kazi inakuwa imesaaulika😅 bahat nzur uwa anarudi na kazi nyingne nzuri😊 God bless you @idris
@vickydan286910 ай бұрын
😢😢😢😢 kwakweli huyu anavuta bangi za miezi hiyo hamalizagi kitu akianzisha
@twahaanyoni912010 ай бұрын
Move Nzur sana mabint wengi wanaolewa na wanaume hambao sio chaguo wazazi wengi wana check maokoto sio furaha ya mtoto wanajisa hau kuwa ridhiki anatoa mungu pesa inatafutwa tuu leta part twoo
@hamidudongo18799 ай бұрын
Ndoa nyingi za kuchagua wenyewe ndio hazidumu. Unajiuliza kwanini taraka nyingi !!
@idrisambela80539 ай бұрын
Muko vizuri film ina mafundisho ndani yake
@Nanasi1910 ай бұрын
Bendera chuma mlingoti chuma🥰🥰🥰
@husseinselemani290110 ай бұрын
New baby in town duuuh nzuri Sana tu open notification kabisa hapa Kila episode must watching
@mchumi_thecatalystofeconom78899 ай бұрын
MAMA FAUDHIA KATISHA SANA KAMA KWELI VILEEEEEEEEE
@Masoy_Pianist9 ай бұрын
mama faudhia na baba faudhia wametisha sana ❤🔥❤🔥
@gwhitetz10 ай бұрын
Movie nikali sana hii naomba uimalizie mkuu
@abdallahsalumu571210 ай бұрын
Unajua kuandika hadi unajua tena sema Nalimi asikose humu
@mustaphamohamed426610 ай бұрын
MashaAllah nzuri Sanaa
@idrisambela80539 ай бұрын
Motoo
@juliasecarroll71294 ай бұрын
Luettgen Way
@boisalym993510 ай бұрын
SULTAN ONCE AGAIN 🎉🎉🎉
@SALHIYAHassan10 ай бұрын
This pilot is perfect, it got good intro, I like how you introduced the characters, nice script imeendana na mazingira na tamaduni za dini zimekaa ndivo... all in all nimependa jokes za movie, I don't watch swahili movies much but this might be exceptional, keep up the good work Indru... much love from Zanzibar
@hamisihenyeka89779 ай бұрын
Eddie nyota5
@arynxbaba909110 ай бұрын
Wow Congratulations Idris Sultan Iyi Series inastahili kuwepo kwenye Netflix!! mansha Allah❤
@tonychazzyhanger10 ай бұрын
Mzee ni bonge la actor 🙌🔥
@NDIZIMEDIA10 ай бұрын
safiiiiiiiii
@frenkmakaya600510 ай бұрын
Kali sana hii
@mcdunstanandrew94559 ай бұрын
😅Nice one Idris and team
@maalimumachichanatangu833210 ай бұрын
Noma Sana asije akasikia
@sevelinahinnocent680310 ай бұрын
Upewe maua yako 🎉🎉🎉
@yussufmwinyi460410 ай бұрын
Jazakallah kheir, ahsatum, Mungu awalipe kheir kwa kazi nzuri
@IdrisSultans10 ай бұрын
Aminnn
@yasinkhatib61810 ай бұрын
Hongera Idris🙌
@benahgrafix10 ай бұрын
Noma
@aliysaid114210 ай бұрын
Mtu wa maana kabisa Idris 😊
@TerryHolloran-w2n4 ай бұрын
Ruecker Plains
@ggraphics401110 ай бұрын
😁😁😁😁Movie kali ,imetulia ,yaan kila kitu kipo mahala pake❤❤
@akilapeter344710 ай бұрын
Idris your a genius👏👏👏
@Officialroykhan_25510 ай бұрын
Shida Idris SULTAN huaga HUMALIZII KAZI MARA NYINGI UMEKUA UKITUACHA NJIANI Mfano kama Nakupenda KUFA iliishia njiani Sio HABARI umeanza kuiendeleza siku hizi tu HII hakikisha unaimaliza bas kaka tunataman kupata vitu vikali kutoka kwako mzee baba by the way You DID #EdNyota katisha
@amouralnemky4110 ай бұрын
Mwamba huna Baya😂😂😂😂
@muddyAthumani8 ай бұрын
Wenda ndo mwisho kaka
@jaafarmanhekman10 ай бұрын
Ni kazi nzuri !!
@hekimajosphat183310 ай бұрын
duuu sawa ngoja tuone mbele ume ua baba😂😂😂
@IdrisSultans10 ай бұрын
🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@hekimajosphat183310 ай бұрын
kiukweli ila bro una uwezo mwingi sana
@dullamuwise480210 ай бұрын
Hongeren sn tunaitaj muendelezo mzr pia
@SaumuNassoro-co6jk10 ай бұрын
Episode 3 plz
@adamj972310 ай бұрын
Kazi nzurii❤❤🎉
@pilselman295510 ай бұрын
Mashallah move nzur sana mwenderez tafadhal
@KelvinMorris-j8o4 ай бұрын
Legros Parkway
@eliachaula654210 ай бұрын
🎉❤❤❤❤❤
@ahmeddola464810 ай бұрын
Kazi nzuri sana kwa Episode 1 . Nadhani hii itakuwa bora kuliko zote ukiendelea na mpangilio huu… Keep up the great work my brother! Balozi Dola
@IdrisSultans10 ай бұрын
Asante sana.
@dullywa997310 ай бұрын
😁😁bi mkubwa kacheza vizuri sana
@Suzanpaul8610 ай бұрын
❤❤❤❤asante sana
@damianmosoka535610 ай бұрын
Lakini mwishoni mbona mzee amechelewa sana kushituka baada ya mama kusema anawasikia😂😂😂😂
@Humanity2121610 ай бұрын
Idris was cooking all this time 🔥 unajua kaka ishu tu unachukuaga muda mrefu ku upload muendelezo naamini kwa hii umejipanga utaimalizia ☺️
@ramadhanmsoloni10 ай бұрын
Daah mabarobaro huku kujitafuta tunakosaga wake
@gosplevibetvtz10 ай бұрын
Hongera sana Idriss kaka chunga always Best forever
@HamdanAmli10 ай бұрын
Manshaallah nimeipenda japondonaianza
@salmamwinyishehe276310 ай бұрын
asa sio umetuonjesha uishir kati khaaaa😂😂😂😂
@ebenezamagubika126810 ай бұрын
Clear voice Color grinding is dope Lightning balaa Actors 💯 Inshort inavutia kuangalia hujawai zingua