No video

Ifahamu Historia ya Ukumbi wa The Colosseum wa Roma ya kale uliofahamika kama Shimo la Kifo

  Рет қаралды 35,021

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

2 жыл бұрын

Makala hii inakujuza kuhusu michezo ya umwagaji damu ilivyokuwa katika uwanja wa Colosseum (Shimo la Kifo) katika Roma ya kale

Пікірлер: 65
@lydialaurian4734
@lydialaurian4734 2 жыл бұрын
Pompei binge Moja la movie aisee... Great narration
@Directortomwillz
@Directortomwillz 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hGmTq55smbF5ZtU....⚠️😂😂
@lucyheigre3125
@lucyheigre3125 2 жыл бұрын
Kwa kweli sky nimeelimika,maana nilivyoingia ndani nilibakia kuzunguka na kuona watalii na watu tunashangaa,nakipemda saana kipindi chako,tuletee na historia kuhusu Louvre jumba la makumbusho ufaransa,maana humo ndani namo sikupaelewa,God bless this Chanel ❤🙏
@Tp-ti1km
@Tp-ti1km 2 жыл бұрын
Content nzuri Sana Ila naamini ingependeza Sana Kama mngetuletea contents za historia zetu Sisi waafrika mashariki.🇰🇪
@hopechidera
@hopechidera 2 жыл бұрын
contents za historia zenu nyinyi waafrika mashariki nyingi yahusika na utumwa au ukoloni tu...
@ahmedmahamudu4140
@ahmedmahamudu4140 2 жыл бұрын
@@hopechidera But still ni historia
@hopechidera
@hopechidera 2 жыл бұрын
@@ahmedmahamudu4140 I know stills ni historia but I think tiyari #Tp kashasikia hadithi za utumwa au ukoloni wa East Africa or Africa kwa ujumla na nadhani hakuna jipya ni yaleyale tu ya mateso mababu waliopitia na hakuna yakuongezea...
@godcompeter9844
@godcompeter9844 2 жыл бұрын
Uyu Ni taaira ee historia ina maana ya kujifunza sio historia moja tu unapaswa kusikia unapaswa kujua vingi ili upate maarifa
@noel3290
@noel3290 Жыл бұрын
Wewe si usome?if you have youtube u have google on your phone. Learn to appreciate people’s work without telling them what u think they should hv done instead this is his channel his rules.
@sporttv9449
@sporttv9449 Жыл бұрын
Una simlia vzr sana sky king of voice .ila unaposimulia tunaomba la sound track kazuri.saut nzur stor unatuletea kali shida hio sound track picha uko vzr ongeza zaid kusilia na picha
@fasanitztiri5371
@fasanitztiri5371 8 ай бұрын
Asante mingu kuikomboa dunia
@guccij6236
@guccij6236 2 жыл бұрын
Spartacus Bonge la season in the world ever
@Mcsceo
@Mcsceo Жыл бұрын
Najikuta nikiwa hapa SNS napata taarifa zotee muhimu zooote sina haja ya kusubscribe channel nyingine Thank u bro Sky Unakonga Nyoyo za kila mmoja.
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 8 ай бұрын
Nzuri Sana hii
@daudisimwinga1324
@daudisimwinga1324 2 жыл бұрын
Kwa kweli nimefurahi kuipata hii story maana nilikuwa natamani kuelewa kuhusu ulimwengu wa kale
@bongonews6542
@bongonews6542 Жыл бұрын
Hapa ndo wakatorki waletesa na kuua wafia din zama za giza din wakirsto wa awali wa kwel ili waimalishe din yao ya mungu jua hii din inahistoria mbaya sna sjui wanaoabudu hawajui kusoma au kuifatilia din yao
@emmanuelbarnabas2577
@emmanuelbarnabas2577 Жыл бұрын
Kumamako
@princegerard4704
@princegerard4704 2 жыл бұрын
Tunaomba historia kamili ya hili Eneo, Spartacus & Julio caesar
@dj26number2
@dj26number2 2 жыл бұрын
Amna utu na ndoomaana nipo uku lakini sijawahi kutia mguu wanga apo nawalasijawahi kuwaza kupatembelea apo nahisi kama ni sehemu ya shetani🥲🤭
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 Жыл бұрын
Br unajua sana
@noahayoubameninaendereakubarik
@noahayoubameninaendereakubarik Жыл бұрын
Grad arte
@mbezzoprince9462
@mbezzoprince9462 2 жыл бұрын
Lete history za Africa mashariki
@herimuhsini6358
@herimuhsini6358 2 жыл бұрын
This is sad story brow
@salumjumah5648
@salumjumah5648 2 жыл бұрын
Sns big up
@iddimoshi8459
@iddimoshi8459 2 жыл бұрын
World has never been fair.
@jorgettemwajuma5428
@jorgettemwajuma5428 2 жыл бұрын
Nice
@abdulpires9091
@abdulpires9091 2 жыл бұрын
Nice bro
@saikalyasi2707
@saikalyasi2707 2 жыл бұрын
Duuuuh udongo umebeba wengi Sana, yaan hao wote na ubabe wao washakufa 🧐🧐
@zombetvonline7591
@zombetvonline7591 2 жыл бұрын
Saaafiii sns
@AndrewPaul-no2wr
@AndrewPaul-no2wr 6 ай бұрын
Spartacus👑
@mamaprecious3745
@mamaprecious3745 2 жыл бұрын
Asante
@alibinali_
@alibinali_ 3 ай бұрын
Spartan Gladiator
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 Жыл бұрын
Kuna watu wana roho za kikatili 💔😣
@bornkilla6173
@bornkilla6173 2 жыл бұрын
Umetisha sana, we ni zaidi ya Yule Jamal April mpotoshaji
@MohamedHassan-sp2un
@MohamedHassan-sp2un 2 жыл бұрын
Acha ufala wewe
@jumaabas6837
@jumaabas6837 Жыл бұрын
Acha chuki choko wewe
@dauddaud8841
@dauddaud8841 2 жыл бұрын
Tumefahmu kwa kwel
@gabrielferefere1417
@gabrielferefere1417 2 жыл бұрын
Sns to the 🌎
@Tokyo___955
@Tokyo___955 2 жыл бұрын
kumbe ata ukifanya unafanya vizur nimependa sana ii kaka
@nishaismail1178
@nishaismail1178 2 жыл бұрын
Nimependa saut imetulia kwel Yan mpaka nakupenda bure
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 Жыл бұрын
Mmb
@haryanyawu640
@haryanyawu640 2 жыл бұрын
Duhhh movie yake nimeimaliza tu jana
@Directortomwillz
@Directortomwillz 2 жыл бұрын
Nomaaa....kzbin.info/www/bejne/hGmTq55smbF5ZtU
@wilondjarama1427
@wilondjarama1427 2 жыл бұрын
Jina gani?
@guccij6236
@guccij6236 2 жыл бұрын
@@wilondjarama1427 Spartacus
@nishaismail1178
@nishaismail1178 2 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️
@chidybwax8080
@chidybwax8080 2 жыл бұрын
Sparticas
@lucassamwel368
@lucassamwel368 2 жыл бұрын
Nilipata kusikia michezo hii ikaja badilika hatua kwa hatua hadi ukawa mchezo wa mpira wa miguu , sijui kuna ukweli hpa kaka SKY
@ismailmbogo3408
@ismailmbogo3408 2 жыл бұрын
Wazungu nimakatili sana
@hopechidera
@hopechidera 2 жыл бұрын
Nyinyi weusi mnajionaga watakatifu ijapokuwa nyie ndo wabaya sana zaidi ya rangi zote...
@princegerard4704
@princegerard4704 2 жыл бұрын
Ushawahi sikia wazungu wanatesa house girl kama sisi?? Ushawahi sikia house girl wa kizungu kaua mtoto kisa anateswa na boss wake kama sisi mablack? 😂😂
@Movieslover0940
@Movieslover0940 7 ай бұрын
Tupe history ya pompei please kilicho tokea ilikua kweli au ?
@nanadamas4771
@nanadamas4771 Жыл бұрын
MOVIE inaitwa BLOOD and SAND
@godcompeter9844
@godcompeter9844 2 жыл бұрын
Blood and sand
@gabrielkabato9909
@gabrielkabato9909 6 ай бұрын
Halafu kuna mtu ananiambia mimi nina Zambi,😂
@jeshiichazz9915
@jeshiichazz9915 Жыл бұрын
Kaka lete historia ya makundi ya crips na blood ya Marekani
@monicacyprian9137
@monicacyprian9137 2 жыл бұрын
Duuh hii hatari jamn uwiii jamn
@titus_maridhia
@titus_maridhia 2 жыл бұрын
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 2 жыл бұрын
Nilifika hapo
@mbezzoprince9462
@mbezzoprince9462 2 жыл бұрын
Lete hitoria za watu weusi
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 2 жыл бұрын
Sky u know what come and marry hata second wife hakhaaaa😂😂😂😂😂😂
@Directortomwillz
@Directortomwillz 2 жыл бұрын
😂😂😂😂⚠️.....kzbin.info/www/bejne/hGmTq55smbF5ZtU
Hiki ndicho kitabu cha enoki na siri zake
5:20
NIANIMAARIFA
Рет қаралды 62 М.
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 79 МЛН
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 48 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 4,5 МЛН
Hii ndio historia kamili ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza (1926 - 2022)
25:12
Mhafamu CLEOPATRA, Malkia mrembo aliyeitikisa MISRI
19:33
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 208 М.
MAMBO YA KUZINGATIA  NDANI YA CHUMBA CHA USAILI WA KAZI/JOB INTERVIEW
12:52
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 79 МЛН