Asalamu alaykum warahmatullah wabaraqat shekhe mm nimeota mait wawili mmoj mtu wakawaid mmoja kiongoz wanchi Sasa yule mtu wakawaida akawapigia watu cm akasema jaman njoo ktk mkutano maalim seifu anakuja kuhutubia mkutano wakat mm nipo ndio nawaon nikweli kiongoz kafika namm naona ilikuwa wamepebdza Sana badae yule mtu akawambia watu wasiend baharin tumskiliz kiongoz nn atasema kiongoz ilikuwa mtu Alie kuwa kanawirik San nn masna yahii ndoto
@SeleMandolya3 ай бұрын
Shekh asalamualeykum mi nimeota nipo na baba ambae ameshafariki mudamrefu ananichimbia kaburi Kisha akanizika
@Najmaali-mt8jj Жыл бұрын
Assalamu alaikum , naomba kuunganishwa kwa group ya sheikh
@hisamiabassi3 жыл бұрын
A/alaykum shekh baba yangu mkubwa amefariki miezi kadhaa iliyopita ila naota mara nyingi yupo hai tena maeneo ya nyumba ya ufuo tena kunakuwa na jambo au siku nyengine naota nipo katika kaburi lake nalia na kumuombea dua pamoja na familia yangu maana yake nini
@neemanyimbi2355 Жыл бұрын
Shekh nimeota Kuna mbaba MTU MZIMA ananiambia sikuzake za kutwaliwa zmefka siku za zake yeye zmeisha kuish APA duniani
@Luxylukas4 ай бұрын
Mim niliota nimekufa sijazikwa ila nimefunikwa alafu watoto wawil wako pemben wananiangalia
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Ukiota ndugu umepigiwa siku ndugu yako kafa mnalia au watu wanalia inamaana gani
@SalumuIbrahim Жыл бұрын
Mm nimeota dada angu amekufa lakini alishakufa tunalia eti na mama angu pia amekufa lakini anaongea namwambia mama mbona dada anaongea akasema ni kwasababu mjomba ake anamsomea naomba nitafasilie shekhe
@empresstrizah99142 жыл бұрын
Asalamaleykum aleikum warahmatullah wabarakatuh babangu ashaa fariki lakini niliota akiniabia nimnunulie viatu mpya nini iyo naomba unitafsilie
@samwelijustine98222 жыл бұрын
Uko na mila
@hildakipalile77492 жыл бұрын
Je ukiota bibiyako kafariki au mtu unaye mjua yeyote nduguyako inaakua na maana gani