Ifahamu Teknolojia ya Magari yanayotumia Gesi nchini Tanzania

  Рет қаралды 7,949

Poatel

Poatel

Күн бұрын

Usisahau ku subscribe pamoja na kushare

Пікірлер: 15
@hamisilusaku2925
@hamisilusaku2925 2 жыл бұрын
Bei yake ikoje
@poatel
@poatel 2 жыл бұрын
Tembelea: www.poatel.com
@hamisilusaku2925
@hamisilusaku2925 2 жыл бұрын
@@poatel walewale
@pinikotv7754
@pinikotv7754 5 жыл бұрын
Mimi ninafanya kazi kwenye kwenye logistics company we have many scania i want to convice my boss to try one truck but ninaswali mmoja kutokana na injini kuwa bei je kunagarantee kwenye ubadilishaji wa mfumo kutoka Diesel kwenda gesi ?
@poatel
@poatel 5 жыл бұрын
Peter Issack, Asante sana kwa kutembelea TeknoTaarifa. kwa upande wa Taarifa kamili juu ya Teknolojia hii fika chuo cha DIT nchini Tanzania
@arnoldluwi8483
@arnoldluwi8483 5 жыл бұрын
Nadhani ni maamuzi tu MTU akitaka kubadili mfumo mazima mwacheni hata Kama gari yake ilikuwa ikitumia Diesel mbona ni replacement tu imefanyika tu hapo.
@poatel
@poatel 5 жыл бұрын
Ulichosema ni sahihi kabisa.
@arnoldluwi8483
@arnoldluwi8483 5 жыл бұрын
@@poatel Ni kweli.nadhani katika fursa nyingine muwa challenge juu ya hili tuone pia mwitikio wao
@poatel
@poatel 5 жыл бұрын
@@arnoldluwi8483 Asante sana Arnold Luwi kwa maoni yako, endelea kutembelea TeknoTaarifa na share Taarifa zetu.
@arnoldluwi8483
@arnoldluwi8483 5 жыл бұрын
Kuna kitu nmesahau kuuliza.huo mfumo wanakuwekea kwa bei gani jumla kila kitu mpaka mtungi gari iwe ready kutembea kwa kutumia gesi.
@poatel
@poatel 5 жыл бұрын
@@arnoldluwi8483 Asante sana kwa swali lako, Kwa upande wa Bei ya mfumo huu, unaweza kufika chuo cha DIT utapata Taarifa kamili.
@fredymkanza
@fredymkanza 5 жыл бұрын
Show how it works
@poatel
@poatel 5 жыл бұрын
Listen properly
@ramadhanisaraizechazecha3873
@ramadhanisaraizechazecha3873 5 жыл бұрын
Sisi wa mikoani shida itakua namna ya kupata gas itakapoisha kwani huku hakuna vituo vya kujaza gas ktk mitungi.
@poatel
@poatel 5 жыл бұрын
@@ramadhanisaraizechazecha3873 Asante kwa kutembelea TeknoTaarifa, Usisahau kushare
Teknolojia mpya na magari ya kisasa yanayotumia AI
3:58
VOA Swahili
Рет қаралды 264
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 16 МЛН
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 35 МЛН
BIASHARA YA MAGARI YA UMEME YASHIKA KASI KENYA
3:40
VOA Swahili
Рет қаралды 1,8 М.
China na teknolojia ya gari linalotembea bila dereva
3:22
Mwananchi Digital
Рет қаралды 849
Straight Talk about CNG - Is CNG worth the investment?
5:18
Madison Gas and Electric
Рет қаралды 83 М.
One Mistake Took Down a 29-Yr-Old Dark Web Drug Lord
22:48
Newsthink
Рет қаралды 8 МЛН
Magari ya gesi Tanzania
3:54
DW Kiswahili
Рет қаралды 1,9 М.
Teknolojia:Jionee gari linalotumia gesi Dar
6:14
Daily News Digital
Рет қаралды 4,1 М.