IJUE HISTORIA YA ROZARI NA FAIDA YA KUSALI ROZARI KWA MKIRISTO mkatoliki

  Рет қаралды 9,668

IMANIHAI TV

IMANIHAI TV

Күн бұрын

#rozaritakatifu #kanisakatoliki #catholicchurch #wawata #uwaka #viwawa #utoto

Пікірлер: 36
@gudelamethod5661
@gudelamethod5661 11 ай бұрын
Tunakushuru kwa Mafundisho mazuri ya Rozari takatifu Mungu akubariki sana, utuombee pia tuweze kuyatimiza mapenzi ya Mungu kwa kupenda kusali Rosali kila siku
@MaryMukhwana-ke1ip
@MaryMukhwana-ke1ip 11 ай бұрын
Amina proud to be a catholic
@despinae.mdende
@despinae.mdende Жыл бұрын
Mungu Akubariki Sana Kwa Mafundisho Mazuri.
@mtotonimalezi8074
@mtotonimalezi8074 Жыл бұрын
Shukrani kwa kufuatilia vipindi vyetu!
@venancemichael5693
@venancemichael5693 Жыл бұрын
Baada ya baadhi ya viongoz tunaoamin niwakiroho kuyatanguliza zaid matendo ya kimwili, hatimae wewe umeamua kua tofauti na kuonesha mfano katika kulisha roho za taifa la mungu. Nasema hivi Mungu akubariki sana Baba padre.
@elizabethsemnguu4483
@elizabethsemnguu4483 Жыл бұрын
Amina!!
@naomistanslaus2111
@naomistanslaus2111 Жыл бұрын
Ubarikiwe baba Paroko
@mtotonimalezi8074
@mtotonimalezi8074 Жыл бұрын
Asantee sana
@isabellahassani3652
@isabellahassani3652 Жыл бұрын
Amina sana fadher,
@donatusbinemungu6631
@donatusbinemungu6631 Жыл бұрын
Asante sana. Mungu aendelee kukubariki
@joelnyanda6677
@joelnyanda6677 11 ай бұрын
Amina, asante Baba kwa mafundisho mazuri
@zacharymakokha4917
@zacharymakokha4917 Жыл бұрын
Congrats Padre, am tuned from Kenya
@edwardkalesi3238
@edwardkalesi3238 Жыл бұрын
barikiwa father
@Nchiyangu23
@Nchiyangu23 8 ай бұрын
HIVI ROZARI NAYO INAFAIDA ZAIDI YA YESU, alafu naona watu wanaitikia amen amen.. nuru ya Yesu iwazukie,muachane na masanamu
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 8 ай бұрын
KASHABEBESHWA MAPOKEO
@jellysathanas3741
@jellysathanas3741 11 ай бұрын
Ubarikiwe sana baba paroko
@joaneslaurent5896
@joaneslaurent5896 Жыл бұрын
👍
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 Жыл бұрын
MAAGIZO YA BWANA WETU YESU KRISTO, KWA MITUME WAKE NI KUWAFANYA WATU KUA WANAFUNZI WAKE, NA KUWAFUNDISHA KUYASHIKA YOTE ALIO FUNDISHA BWANA YESU. MT 28:18-20,JE! NAOMBA KUJUA ROZARI NI FUNDISHO LA YESU? NA KAMA SIO BIBILIA INASEMA NINI KUUSU ROZARI?
@petrohermani5721
@petrohermani5721 Жыл бұрын
Siku ukimjua Yesu kristo hautofundisha ushetani huu wa ibada za sanamu unayo jivunia tafuta kumjua Muumba wako
@victorvenantkaigarula6255
@victorvenantkaigarula6255 Жыл бұрын
Ndugu yangu ni bora ukae kimya kama sio imani yako,utajitafutia laana za bure.Kama kweli wewe unamjua Yesu kristu huwezi tamka hayo maneno,kwa sababu anayemjua kristu sifa yake anakuwa ni mpole na mnyenyekevu.
@victorvenantkaigarula6255
@victorvenantkaigarula6255 Жыл бұрын
Jitaidi kuchunguza matendo yako ndio utajua unamjua Yesu kristu au bado,sio kusema imani za wengine,matendo yetu ndio yatupelekayo mbinguni,Kila siku je mimi ni mwema?Je matendo yangu yanampendeza Mungu,sio kuhukumu imani za Wengine,Waachie wenyewe.
@victorvenantkaigarula6255
@victorvenantkaigarula6255 Жыл бұрын
Matendo yetu inawezekana ni machafuuuu,tunakalie kusema wengine,alafu tunamjua kristo,ebu tutumie muda kujichunguza sisi wenyewe sio kuhangaika na imani za wengine.
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 Жыл бұрын
imani chanzo chake ni kuisikia, na kusikia huja kwa NENO la kristo. hivyo Imani yeyote isio endana na NENO la kristo ni Batili. zipo imani nyingi, mfano wachaga wanatambika kwenye masale, na ukikosea masharti unakufa, lakina JE! nayo ni imani itokayo kwa Mungu? kama aitoki kwa Mungu basi ni ushetani
@jacksonkilonzo1439
@jacksonkilonzo1439 Жыл бұрын
Wakatolic mnapotea sana kati ya Yesu na MARIA ni nani aliye mwombezi wetu mnapatia Maria utukufu kuliko yesu,, 1 yohana ( 2:1 ) watoto wangu ninawandikia haya ili msitende dhambi. Na kama mtu akitenda dhambi tunaye MWOMBEZI kwa Baba ambaye ni Yesu kristo mwenye haki Kingine mnaweka Sanamu za Maria kwa makanisa jambo ambalo BIBILIA Imekataza hiyo kutoka 20:4 Usijifanyie SANAMU ya kuchonga wala mfano wa kitu chochote kilicho DUNIANI, wala kilicho MAJINI, usivishuhuhudie wala kuvitumikia Kingine hili Jina la (BABA mtakatifu) hili jina ni la kufuru hakuna aliye mtakatifu duniani isipokua Mungu pekee Warumi 3:23 kwa sababu wote wamefanya dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu. Hii yote imeletwa na doctrine zenu ambazo haziko na mafundisho ambayo hayako kwa bibilia kabisa inform of CATECHISM
@johnchale1073
@johnchale1073 Жыл бұрын
Huna poent JUU ya hoja aliyozungumza ZAIDI ya lawama ulizorithishwa na wachungaji wako
@jacksonkilonzo1439
@jacksonkilonzo1439 Жыл бұрын
@@johnchale1073 SINA POINT AJE NA NIMEWAPA MAANDIKO APO JUU AU HAYO MANDIKO YAMETOKA KWA KICHWA CHANGU ACHENI KUTETEA UWONGO
@wardaa4121
@wardaa4121 Жыл бұрын
Ukiitwa mjinga Basi usijibu kuwa Mimi siyo Mjinga Cheka Alafu Ondoka hapo Maana kila Mtu anaisha kwa Imani ya kuamini Kile anachokisikiliza au kukiona Huwez mlazisha Mtu kuwa hii ni 6 wakat ni 9 vitu vingine hutaki Kubishana sana Achana na Iman ya wenzako ishi kwenye imani Yako
@jacksonkilonzo1439
@jacksonkilonzo1439 Жыл бұрын
@@wardaa4121 IMANI POTOVU IVI MKISOMA HAYO MANDIKO NIMESEMA HAPO JUU UWA MUMEVAA MIWANI YA MBAO AMA , mungu amekataa msiinamie kitu chochote wala kukiabudu kama mnavuofanya kwa sanamu ya Maria hayo mandiko mtayafuta kwa bibilia ama
@victorvenantkaigarula6255
@victorvenantkaigarula6255 Жыл бұрын
Ndugu yangu wewe ndio utakuwa unapotea,Wakatoliki hawafanyi jambo kwa kubahatisha,ni bora uulize upate kufahamu sio tu kuwaambia watu wanapotea
MATUNDA YA KUSALI ROZARI TAKATIFU, na Pd Gideon Kitamboya OFMCap
22:22
VIPAJI ONLINE TV
Рет қаралды 14 М.
HUYO NI YESU - Kwaya ya Mt. Karoli Lwanga Njiro
4:38
Mt. Karoli Lwanga - Familia Takatifu Njiro Arusha
Рет қаралды 1,1 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 32 МЛН
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 13 МЛН
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 44 МЛН
Historia ya San Romedio (Sehemu ya 1).
8:27
SHUJAA WA IMAKULATA
Рет қаралды 354
Karibuni Tutafakari na Nyimbo za Dominika ya 24
10:48
IMANIHAI TV
Рет қаралды 29
KARIBU TUSALI ROZARI  TAKATIFU YA DAMU
35:58
JUVE MEDIA
Рет қаралды 19 М.
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 32 МЛН