IJUE MITI HII HATAR | HII NDIO MITI YA KICHAWI | USIIPANDE NYUMBANI KWAKO | DR. AL-HABIB NAKSH BANDY

  Рет қаралды 50,146

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

Күн бұрын

IJUE MITI HII HATAR | HII NDIO MITI YA KICHAWI | USIIPANDE NYUMBANI KWAKO | DR. AL-HABIB NAKSH BANDY
#MasjidMtoroTv #Naksh_Bandy

Пікірлер: 61
@athumanikhamisi3377
@athumanikhamisi3377 Жыл бұрын
شكرا
@haseanatnsanya2079
@haseanatnsanya2079 3 жыл бұрын
Maashaallaah mungu akuzidishie elimu na baraka nyngi ktk kaz zako
@kijanahodari2080
@kijanahodari2080 3 жыл бұрын
Maa Shaa Allah
@jamillahmussa3775
@jamillahmussa3775 3 жыл бұрын
Masha Allah, JazakAllahu khairan,,,,
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 3 жыл бұрын
Mashallahu mashallahu jazaka llahu hery M /Mungu akulipe klalaher hapa duniyan mpaka mbele ya hak amina
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 3 жыл бұрын
Waalykummsaalam waramatulah wabarakatul. MashaAllah tabaraka Allah. Shukran jazakallab kheir. Kwa Elimu hii💕💕💕
@parma786
@parma786 3 жыл бұрын
Ahssante doctor Al Habib Allah akujalie kila la kheri na barka zote kutujulisha na insha Allah ntakuja nikuone papo kwa papo nimekuelewa sana tu Al hamdulah slm alkm.
@hijahamadi5793
@hijahamadi5793 11 ай бұрын
Sheikh imani hana amefika pahala anaamini miti zaidi kuliko quran, hatukatai kuwa ipo miti shamba inayotibu uchawi, lakini haiwezi kuwa bora kuliko quran.
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 3 жыл бұрын
Yaanishekhe umenigusa pazuri Allah akuhifadhi
@allymahamudu9492
@allymahamudu9492 3 жыл бұрын
Nimejifunza alihamdulillah
@salimmoha7962
@salimmoha7962 3 жыл бұрын
Kwa maoni yangu shekh ungetuwekea picha ya hiyo miti pengine majina ni tofauti huko kwenu,tungeiyona kwa picha ingekuwa vizuri zaidi
@saeedsaeed7381
@saeedsaeed7381 3 жыл бұрын
Masha Allah Sheikh well explain topic BarakAllah feek
@bintkijangwa4305
@bintkijangwa4305 3 жыл бұрын
Wa alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh maa sha Allah shukran sheikh wetu
@buyingocatherine2792
@buyingocatherine2792 3 жыл бұрын
MaashAllah shukuran we need pictures shk may Allah reward u Amen
@mariamumapunda4614
@mariamumapunda4614 3 жыл бұрын
Allah akulipe nmejifunza mengi kutoka kwako
@hafidhdrogba3392
@hafidhdrogba3392 3 жыл бұрын
Ahsante shekh kwa kutufahamisha.lakin naomba tuwekee picha yaiyo miti ili tuijue
@bellbell9294
@bellbell9294 3 жыл бұрын
Shukraan Sana sheikh wetu
@محمدالقايد-د6ب
@محمدالقايد-د6ب 3 жыл бұрын
Mashallah
@worldwide9207
@worldwide9207 3 жыл бұрын
Asalamw warahimatullah wabarakatuhu Sheikh wengine iyo mti hatuijuwi kiukweli Mwenye ana edit video ingekua anatuonesha Sheik
@fatimashillah9341
@fatimashillah9341 3 жыл бұрын
Masha Allah
@musitemusite4316
@musitemusite4316 3 жыл бұрын
Maashaallah
@douglaswallace5971
@douglaswallace5971 2 ай бұрын
Asalam aleikum brother. Dawa ya kiapo au mwavi sio ya kunywa ni kupaka na kuoga.
@salmaamilkani8170
@salmaamilkani8170 5 ай бұрын
Asalamu Aleykumu shehe unapatika wapi naomba namba
@mozasaid3869
@mozasaid3869 3 жыл бұрын
Inshaallah nitakutafuta
@osamashakeeb7194
@osamashakeeb7194 3 жыл бұрын
Masha Allah ❤
@salmaomar8612
@salmaomar8612 3 жыл бұрын
MashaAllah. Vp tukihitaji huduma zako tunakupataje?
@fatumakalombo392
@fatumakalombo392 2 жыл бұрын
Hiv kweli Quran ya Mungu inashindwa jambo kamba msomaji na muombaji kaomba kwa yakini kweli??? Mwenyz Mungu si mjinga kiasi hiki. Ni bora ungesema kuran inatibu ila na kuna miti inatibu kama kuran.
@fatmaabdalla8543
@fatmaabdalla8543 3 жыл бұрын
Tutazipata wapi tuoneshe hio miti tuijue
@musitemusite4316
@musitemusite4316 3 жыл бұрын
Amina
@khaulaomar686
@khaulaomar686 3 жыл бұрын
Qur an ni kila kitu almuhim imani yako juu ya mola wako,kwani tumeambiwa kitabu hiki hakin shaka ndani yake! Ukiwa na yaqini basi naam utajitibu kwa Bismi Allah ty!
@awesojama2130
@awesojama2130 3 жыл бұрын
Fawarabbi lkaaba ,,wallh indaka sha anu , ya Rajully
@angemasemo7686
@angemasemo7686 3 жыл бұрын
Naam uchawi upooo tena saana
@hawahabibu661
@hawahabibu661 2 жыл бұрын
Mm hapa kuna mda huwa nataman kupga makelele
@muhammadomar85
@muhammadomar85 3 жыл бұрын
Hakuna jini ambae hatoki kwa quran .Jini au uchawi hawaishindi quran.Na majini hawaishindi dua. Ni wakati tu waistijaba ndio bado na Allah mwenyewe hajaweka qabul.na Dawa zako hazishindi hatsauda.إناسمعنا قرٱنا عجبا. قال رسول الله صلى الله عليه وسلم"حبة السوداء شفاء من كل داء".
@ruu6592
@ruu6592 3 жыл бұрын
Ruqya imenisaidia sana
@muhammadomar85
@muhammadomar85 3 жыл бұрын
@@ruu6592 ماشاء الله
@jaffarchimbuvu7499
@jaffarchimbuvu7499 3 жыл бұрын
Sheikh namba yako ya cm bas,uitaje
@mohdshebe5640
@mohdshebe5640 3 жыл бұрын
Number yako ustadhi utoe basi wallekum sallam
@KassimuDoshoSuleiman
@KassimuDoshoSuleiman 2 ай бұрын
Shida heri ungetuonyesha pcha za hio miti
@ellymaz2187
@ellymaz2187 2 жыл бұрын
1: Nikajua nitaona picha ya hiyo miti. 2: Kama inasaidia kwa nini isipandwe nyumbani?
@mamsmariam6670
@mamsmariam6670 3 жыл бұрын
Unaishi wapi nine unisaidie
@Namanda425
@Namanda425 3 жыл бұрын
Naomba utuaelimishe kuhusu Panga
@mohamedmzeeassuufiyy1334
@mohamedmzeeassuufiyy1334 3 жыл бұрын
Ahsantum
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 3 жыл бұрын
Sheikh naomba no zako tafadhali
@hansboytz3513
@hansboytz3513 3 жыл бұрын
Amina
@mzeemtopa2364
@mzeemtopa2364 3 жыл бұрын
Duh tumekwisha
@ShukulaniBaharia
@ShukulaniBaharia 7 ай бұрын
Tuiombee mungu palestina hichukue maeneo yake ambayo yapo ndani ya israel
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 3 жыл бұрын
Hiyo miti unge tuonyesha
@Godneverfailed
@Godneverfailed 3 жыл бұрын
Sheikh wanivunja mbavu na kucheka
@sweetmeena5970
@sweetmeena5970 3 жыл бұрын
Ni kama unaniongelea mimi kabsaa
@thaubannaftal7265
@thaubannaftal7265 3 жыл бұрын
Unasumbuliwa na nini hasa.
@sweetmeena5970
@sweetmeena5970 3 жыл бұрын
@@thaubannaftal7265 yani hata sijui nianzie wapi ila ni mwaka wa 7 sasa bila kuwasha Quran siwezi kulala jinamizi linanisumbua mara sauti inaniita kutokea dirishani usiku wa manane alaf ukorofi pesa kabla sijaipata yanazuka matatizo mengi inaisha yote hata ya kula naungaunga na kila nikilala nakula mavyakula ndotoni naamka nimeshiba na nazungushwa safari tofauti mara naambiwa naenda Israel mara sijui wapi yani nikiamka nimechoka mwili wote na nilisafiri angalau niwe mbali pengine nitapata unafuu ila huku ndio yamezidi mwaka wa 4 sasa pesa sijielewi hata nafanya nini huku naweza kuota nimejifungua na nimehisi kabisa nimetolewa kitu naamka nyumba yote inanuka majimaji ya chupa ya mtoto kama kumezaliwa mtoto kweli vile...mara nakutana na kivuli chooni na kila nikipata kazi inaharibika na inanichukua miaka 3 hadi 4 kupata kazi nyengine tena niende mbio sana kutoa sadaka na visomo yani nashinda mswalani kuswali usiku mchana dua visomo sadaka na nisiambie mtu hata mmoja niwe mpweke mpweke kila kitu nifanye kwa siri ndio kunafunguka sasa nikipata tu kazi nikiambia tu familia wakiambiana hata miezi 3 haichukui inaharibika tena narudi pale pale kwa mwanzo na dawa nikiiitumia mara ya kwanza mara ya pili haifanyi kazi tena mi nilifaniyiwa visomo masheikh mbali mbali mpaka nikafilisika na nikawa na madeni yani hadi nikasema sasa najifanyia visomo mwenyewe na sadaka huu mwezi nimefwatilia sana visomo vya ruqya KZbin basi nimeingiwa na ukorofi pesa siipati kabsaa hata hiyo wi fi imenishinda kulipia hadi simcard nimeipeana yani nikianza tiba wananionya ndotoni niachane nao nikisema naendelea inakuwa kama nimetangaza vita wanaharibu kila kitu nikila tu habasoda ndio siku hiyo hiyo nakula ndotoni mpaka naamka harufu ya chakula nlichokula ipo kooni mwezi ulopita nlikula siku 2 zakufuatana nikiamka tumbo limevimba hadi sasa halijarudi na kupata choo ni shida nilichange hadi diet ili nipate choo lkn wapi nikitu tu kinapiga tumboni kama moyo lkn mapigo yake yamezidi coz unaona kabsa tumbo linapiga yani kama mtu mwenye pumu vile anavopumua juu juu wallahi hata sielewi nifanye nini
@thaubannaftal7265
@thaubannaftal7265 3 жыл бұрын
@@sweetmeena5970 OK icheki WhatsApp +255712415772 tujue cha kufanya hakuna kinachoshindikana dunia hii.
@khadizatan6835
@khadizatan6835 3 жыл бұрын
Pole Sana endelea kumuomba mungu atakusaidia
@ibrahimabanur6794
@ibrahimabanur6794 3 жыл бұрын
Aaww nami pia mimi nashida natakupata vipi
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 3 жыл бұрын
Namba zake zipo hapo chini tazama iyo video
@zaitunirakoze5296
@zaitunirakoze5296 3 жыл бұрын
Subhannallah tunaomba number zake Docta mtusaidie Allah atawalipeni
@zaitunirakoze5296
@zaitunirakoze5296 3 жыл бұрын
@@radhiasalum7156 nisaidie mimi sizioni kaka angu plz nisaidie
@aminamutheu324
@aminamutheu324 2 жыл бұрын
Je mtu kuskia vitu zinamtembea kwenye mwili hadi kichwa 'karibu miaka 5 zimeisha bado najiskia hivo Alafu bwana kanifanyia taraka Bila sababu tu.na kwa sasa hivi sijapata mwanaume mwengine je waweza kazaidia? Mimi sio mu Islam sijui kama utaweza zaidia
@gesusgegangphray7689
@gesusgegangphray7689 3 жыл бұрын
Nakunukuu Allah kaumba uchawi na korani ushahdi upO??inamana dini yakichawi??? Unachafuwa uislam bro.. nlitaka kuslim Ila basi tena nsije kupoteA
@azlaantwalib347
@azlaantwalib347 2 жыл бұрын
Uchawi Mungu aliuleta kwa kutupa mitihani n sawa na mwalimu anapokupa mtihani darasani kama umeelewa na kujua japo mungu anakupa na anajua na anafanya alitakalo na hafanyi asilolitaka
🔴 Exclusive Bayan at Birmingham by Molana Tariq Jamil | 22 Feb 2023
2:42:17
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 10 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,9 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 126 МЛН
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
HII NDIO MITEGO 5 YAKICHAWI | MUHIMU KUIFAHAMU KABLA HAIJAKUATHIR | DR NAKSH BANDY
20:33
JIANDAE KUTAPIKA UCHAWI NAKUULIWA MAJINI WAOVU KWA KISOMO HIKI KIZITO
1:55:41
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 67 М.
Engineer Muhammad Ali Mirza STUDENTS ki Adalat mein ! A Special Session Recorded on 27-March-2022 !
3:39:32
Engineer Muhammad Ali Mirza - Official Channel
Рет қаралды 1,5 МЛН
MWISHO WA DUNIA UMEFIKA KIAMA KIPO KONA //SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:02:00
arkas online tv
Рет қаралды 137 М.
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 10 МЛН