IJUE NGUVU YA MZALIWA WA KWANZA ( AU LIMBUKO). NA APOSTLE MICHAEL MWAKILAMBO

  Рет қаралды 6,521

MAKIMBILIO CHANNEL

MAKIMBILIO CHANNEL

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 7 ай бұрын
Amina.mchungaji nimesikiliza haya mafundisho nimepata faida kubwa na majibu ya maswali yangu ,lakini pia umenisaidia sana kutambua maana ya nini nifanye
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Hongera sana. Pia unaweza ukasikiliza pia na hayo mengine ya namna ya kumkomboa mzaliwa wa kwanza. Nayo pia yatafanyika baraka kwako. Kama yalivyofanyika baraka kwako unaweza ukawashirikisha na wengine baraka hii. Mungu na azidi kukuimarisha.
@JescaKaizali
@JescaKaizali 3 ай бұрын
Mim ni mzaliwa wa kwanza Mungu naomba uifungue nyota yangu kutoka mikononi mwa adui 😭😭😭🙌
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 3 ай бұрын
Kama utafanikiwa kuyaelewa mafundisho haya basi natumai yatakupeleka kwenye mchakato wa kufanyia kazi yale ulivyojifunza. Be blessed in Jesus name.
@user-vx5rb6rg1v
@user-vx5rb6rg1v Ай бұрын
Ayubu 3:3
@user-gu7gb4lg5f
@user-gu7gb4lg5f 7 ай бұрын
Amen Amen mafundisho mazur
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba +255768385240.
@greacembwnwilibati8197
@greacembwnwilibati8197 10 ай бұрын
Amen amen 🙏🙏🙏🙏
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 10 ай бұрын
Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.
@user-vx5rb6rg1v
@user-vx5rb6rg1v Ай бұрын
Mwanzo 35:23
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 11 ай бұрын
Shalom Shalom..Kama umefanikiwa kusikiliza haya MAHUBIRI usikose Mwendelezo wake wa namna ya kumkomboa mzaliwa wako wa kwanza/ Malimbuko
@user-vx5rb6rg1v
@user-vx5rb6rg1v Ай бұрын
1korontho15: .yeremia 1:4-5
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 10 ай бұрын
KANISA LA THLIC- MAKIMBILIO HM LINALOONGOZWA NA MTUMISHI WA MUNGU MICHAEL MWAKILAMBO LINAPATIKANA KINYEREZI DAR ES SALAAM. KWA MSAADA WA KIUSHAURI, MAOMBEZI PAMOJA NA MSAADA WOWOTE WA KIROHO KUANZIA KATIKA HAYA MAFUNDISHO ULIYOYASIKIA, WAWEZA KUWASILIANA NASI KWA WATSAPU NO +255 755 021 008 WEWE NI WATHAMANI MNOO MBELE ZA MUNGU KWA KUZAWADIWA MAARIFA HAYA.. BARIKIWA SANA
@user-vx5rb6rg1v
@user-vx5rb6rg1v Ай бұрын
Amen Mtumishi wa Mungu nabarikuwa sana 🙏🙏 Mungu akuinue zaidi 🙏🙏
@user-vx5rb6rg1v
@user-vx5rb6rg1v Ай бұрын
Kutoka 12:2
@user-vx5rb6rg1v
@user-vx5rb6rg1v Ай бұрын
Mwanzo :38:7
@benedictnzuki9229
@benedictnzuki9229 8 ай бұрын
Hakika tumefunguliwa kwa neno hili na mioyo yetu imejua kweli ya Mungu
@HappyErasto-ny6sb
@HappyErasto-ny6sb 10 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 10 ай бұрын
Amina, Mungu akubariki sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel. Unapofanya hivyo, unakua mstari wa mbele wa kupata mafudisho na taarifa mbalilimbali kutoka Makimbilio channel. Be blessed in Jesus name.
@user-it5gj7ls8t
@user-it5gj7ls8t 10 ай бұрын
Amen 🙏
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 10 ай бұрын
Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.
@user-vx5rb6rg1v
@user-vx5rb6rg1v Ай бұрын
Kutoka 11-5
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md Ай бұрын
Rumi 8:29 yesu ndie mzaliwa wa kwanza kila aaminie huhesabiwa haki yesu pekee ndie lango ukimwangalia yesu utabalikiwa hakunaga malango ya wanadamu hakuna binadamu anaeleta kitu cha kiungu kwako hivyo nawashauli wanafamilia wamwamini yesu ili wapokee ahadi ya mzaliwa wa kwanza yesu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 26 күн бұрын
Asante kwa mchango wako. Lakini si vema sana kutumia falsafa binafsi kulifasiri andiko. Katika ufalme wa Mungu Yesu ndiye mzaliwa wa kwanza, na katika familia yako huenda kaka/dada yako au wewe ndiye mzaliwa wa kwanza.
WEWE KAMA NI MZALIWA WA KWANZA HII INAKUHUSU
32:57
Haleluya Tv
Рет қаралды 2,6 М.
NINI KINAFANYIKA UNAPOOTA UNAKULA NDOTONI?. APOSTLE MICHAEL MWAKILAMBO.
38:41
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 16 МЛН
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 65 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 49 МЛН
NAMNA YA KUMKOMBOA MZALIWA WA KWANZA. APOSTLE MICHAEL MWAKILAMBO
1:10:32
MAKIMBILIO CHANNEL
Рет қаралды 1,7 М.
ukiota UKO BAHARINI | UNAVUKA mto | UKO NDANI YA MAJI | Prophet Joseph Minja
2:29
NAMNA UNAVYOWEZA KUSAIN MIKATABA YA KISHETANI KATIKA NDOTO. SEHEMU YA 2.
1:11:35
NAMNA YA KUMKOMBOA MZALIWA WA KWANZA. PART_3
50:06
MAKIMBILIO CHANNEL
Рет қаралды 281
IFAHAMU NGUVU YA KINYWA NA NAFSI YAKO INAVYOWEZA KUATHIRI MAISHA YAKO.
47:13
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 16 МЛН