TAFSIRI YA NDOTO ZA KUOTA UPO SEHEMU ULIYOZALIWA AU KUKULIA. APOSTLE MICHAEL MWAKILAMBO.

  Рет қаралды 51,485

MAKIMBILIO CHANNEL

MAKIMBILIO CHANNEL

Күн бұрын

Пікірлер: 318
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 4 ай бұрын
Ukiwa umebarikiwa baada ya kufuatilia mafundisho haya Usiache kumshukuru Mungu kwa namna yoyote iwe kwa tendo au kwa neno na kutujulisha unatufuatilia kutokea wapiii Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba +255768385240.
@MgayaJoyna
@MgayaJoyna 6 ай бұрын
Amina baba nimebarikiwa na neno sirudi kijijini Kwa jina la yesu- imeandikw mauti na uzima huwa ktk uwezo waulimii nakataaa
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 6 ай бұрын
Amina amina ubarikiwe sana.
@ElizabethMwakifumbwa
@ElizabethMwakifumbwa Жыл бұрын
Nimefunguliw kwa jina la yesu sitarud kijijn kwa kufilisik zaid nitaend kusalimia na kurud mjin amina
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Amina na iwe kwako kwa Jina la Yesu.
@lizmary-ss2kz
@lizmary-ss2kz Жыл бұрын
Amen pastor hizo ndoto ziishe katika jina la yesu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 11 ай бұрын
Amina amina na iwe kwako. Jambo la kuzingatia ni kwamba ukiri wako uambatane na matendo dhahiri ili ukombozi uwe sehemu ya maisha yako. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Ubarikiwe sana.
@EneliaMfambo
@EneliaMfambo 2 ай бұрын
Nakata kurudishwa Kijijini kwa jina la yesu nakata kurudishwa nyuma kwa jina la yesu Asante BABA kwa neno zuri 🙏🙏
@neemajulius6403
@neemajulius6403 5 ай бұрын
Nabatilisha Kila njozi za kijijini kwa jina na damu ya YESU kristo Amen!! Navunja Kila maagano na Kila mazabahu za mababu na mabibi katika koo za wazazi wangu kwa jina YESU na kwa damu ya YESU kristo Amen 🙏🙏
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 4 ай бұрын
Congrats. Unapoona kuna msukumonwa kulisukuma jambo fulani kwa maombi, endelea bila kuangalia mazingira yanasemaje. Wakati mwingine jambo unalosukumwa kulichukilia hatua linakuhitaji muda huo.
@OskahekimaHekim
@OskahekimaHekim 2 ай бұрын
Amen nimebarikiwa
@janechaula2870
@janechaula2870 11 ай бұрын
Mchungaji uko vizuri sana yaani umeongea ukweli kabisa unayajua maandiko kupita maelezo nimekukubali sana barikiwa na Bwana
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 11 ай бұрын
Amina amina ubarikiwe nawe pia. Thanks for your appreciation.
@SwaumuMustapha-dz6fs
@SwaumuMustapha-dz6fs 5 ай бұрын
Ameen mtumishi yaani mim kila siku naota nipo shuleni huko kijinini nisaidie mtumishi
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 4 ай бұрын
Pole na hongera sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Be blessed.
@anithamsoke2329
@anithamsoke2329 Жыл бұрын
Baba umenibariki na ujumbe huu asubuh ya leo. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri. Umenifungua kwakweli 🙏🙏
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Amina, Mungu akubariki sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel na pia kutufuatilia katika mitandao mingine ya kijamii kama vile Facebook na Instagram kwa jina la Makimbilio channel. Unapofanya hivyo, unakua mstari wa mbele wa kupata mafudisho na taarifa mbalilimbali kutoka Makimbilio channel. Be blessed in Jesus name.
@GahimbalMarieCantal
@GahimbalMarieCantal 7 ай бұрын
Asante mtumishi wa Mungu mimi naota sana nikiwa kijijini upanda wa babaangu nikiwa naongea nawazazi wangu walie kufa handi ndugu walie kufa najikuta naongea nao mara naota nikiweko huko nikikimbizwa na babaangu mudogo ananikibiza tukiporomoka mirima yauko naoyijuwa nanikiziota nahamuka tayali shida zimeniandama
@RoseMtiva
@RoseMtiva 4 ай бұрын
Pia mimi
@ZawadiJohn-k6k
@ZawadiJohn-k6k 4 ай бұрын
Roho za kurudishwa nyuma hazina mamlaka kwa jina la yesu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 4 ай бұрын
Ameen, na iwe kwako kwa Jina la Yesu.
@betridabernado
@betridabernado 5 ай бұрын
Amen sana naona leo nimepata muujiza wa mafundisho hakika nimefunguka nimefunguka. Sana ubarikiwe sana mtumishi wa bwana 🙏🙏🙏🙏🙏
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 4 ай бұрын
Hongera sana kwa kulitambua hilo, kwani maelekezo kutoka kwa Mungu ni silaha Mojawapo ya ushindi wetu. Muda wa kuomba tutaomba na muda wa kujifunza kutoka kwenye Neno lake tutajifunza.
@AnithaJosephat-r8o
@AnithaJosephat-r8o 3 ай бұрын
Mtumishi mimi naota hizi ndoto mala nyingi ila naamini nitafunguliwa sasa amen
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 2 ай бұрын
Amina amina. Jitahidi kufanya matendo dhahiri ili ukombozi kamili uwe kwako.
@nimbonajeanette6899
@nimbonajeanette6899 4 ай бұрын
Leo ninafunguliwa mimi nawatoto wangu Âmen amen amen
@ombeninnko9332
@ombeninnko9332 9 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi hii ni kweli mimi pia huota hizi ndoto sana ninafanya kazi mjini miaka mingi sasa
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 9 ай бұрын
Pole kwa hiyo changamoto. Jitahidi kutafuta msaada wa kiroho juu ya changamoto hiyo. Isaya 28:1,22[22]Basi sasa msiwe watu wenye kudharau, vifungo vyenu msije vikakazwa; maana nimesikia kwa Bwana, BWANA wa majeshi, habari ya hukumu itakayotimizwa, nayo imekusudiwa, itakayoipata dunia yote pia.
@MayambaBwere
@MayambaBwere 7 ай бұрын
Mungu anisaidie kwa Jina la yesu kwa roho za kuota nipo nyumbani.niweze kufanya vizuri kwenye masomo yangu
@shinemichael-oj7wc
@shinemichael-oj7wc Жыл бұрын
Amina baba nimebalikiwa kwa neno
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.
@GraceKwenyepa-hc3uj
@GraceKwenyepa-hc3uj 3 ай бұрын
amina baba angu siludi kijijini kwajina la yesu imeandikwa mauti na uzima Huwa katika uwezo waulimi nakataa
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 2 ай бұрын
Mungu akujalie sawasawa na Ukiri wako
@kilalahamis1484
@kilalahamis1484 7 ай бұрын
Amen amen Kwa jina la yesu nimeshida silud kijijin kuwa nimekosa kazi
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Ubarikiwe sana. Endelea kuwa na msimamo huo katika maneno na matendo yako ya kila siku.
@delphinadiocles
@delphinadiocles Ай бұрын
Mtume uwa naziota sana izo mdogo za nyumban kwetu mtume niombee amina
@GahimbalMarieCantal
@GahimbalMarieCantal 7 ай бұрын
Naomba mungu anishindie vita hivi nimeshinda kwajina la Yesu kristo Amen 🙏 kama kuna mutu ananifunga kwenye familia yangu upande wa babaangu hatofanikiwa kwajina ra Yesu kristo kama kuna mutu ananitowa kafala hatofanikiwa akufe yeye mwenyewe kwajinala Yesu kristo kama kuna lani zakifamilia kwenye maisha yangu nimezikataa zifutike ziniondokee ziniepuke ziwaludie wawo wauzika kwajina la Yesu kristo aliye hayi Amen 🙏🙏🙏
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Pole sana kwa changamoto hizo. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba +255768385240.
@LydiaNasimiyu-h1n
@LydiaNasimiyu-h1n 3 ай бұрын
Iyo ni kweli kabiza mutumishi wa Mungu barikiwa sanaaaana
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 2 ай бұрын
Amina amina. Ubarikiwe nawe.
@asanianselm6759
@asanianselm6759 Жыл бұрын
Amen amen mungu akubariki mutumishi wa mungu ni mepitiya izo do to sana na sasa ni funguliwa Kwa damu ya yesu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Amina . Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.
@HamidaOmary-wh2ue
@HamidaOmary-wh2ue 7 ай бұрын
Amen amen nmeshinda njozi na ndoto mbaya
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina amina Mungu akujalie sawasawa na haja yako.
@theresiathiaka2866
@theresiathiaka2866 Жыл бұрын
Amen .Mafundisho mazuri sana hii shida nimekuwa nayo kila mara mm uota kila siku niko kijijini. Nafanya kazi sioni fahida kila mara vifo ,magonjwa,ajali ..
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Pole kama ulivyojifunza kwenye hilo somo, kuota ndoto za namna hiyo sii ishara nzuri na huwa zinaashiria matokeo fulani mabaya. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba (+255)0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Hongera kwa kusikiliza Mafundisho haya ya Msingi. Be blessed .
@AshuraSalumu-k7h
@AshuraSalumu-k7h 5 ай бұрын
Ameen mtumish nakataa kabisa kurudi nyumaa kwa jina la yesu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 4 ай бұрын
Amina amina na iwe kwako kwa Jina la Yesu.
@agnesneema2398
@agnesneema2398 9 ай бұрын
Niombee pastor 🙏🙏
@javerymsangi2856
@javerymsangi2856 6 ай бұрын
Nashukuru sana mtumishi mungu azid kukubarki
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 4 ай бұрын
Amen. Mungu akubariki pia. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel. Unapofanya hivyo unajiweka karibu na. Kupokea mfululizo wa mafundisho mengine mazuri kama haya.
@RoseMtiva
@RoseMtiva 4 ай бұрын
Mungu nisaidie, ndoto zenye mi huota kila walati, na kuota watu waliokufa. Ishindwe katika jina la yesu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 4 ай бұрын
Pole na hongera sana kwa kuyapata Mafundisho haya. Kupata ndoto za namna hiyo sii ishara nzuri. Tafuta msaada wa kiroho haraka iwezekanavyo kwani kama kitu tunakiona mara kwa mara basi kipo katika mazingira yetu. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba +255768385240.
@mariammachila6016
@mariammachila6016 5 ай бұрын
Waaa hazina mamlaka katika jina la yesu eeh mungu nisaidie
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 4 ай бұрын
Na iwe kwako kwa Jina la Yesu. Ukiri wako uambatane na matendo dhahiri ili ukombozi kamili.
@RahmaTarimo
@RahmaTarimo Ай бұрын
Amiiin
@nimbonajeanette6899
@nimbonajeanette6899 4 ай бұрын
Amen amen amen 🙌🙌🙌🙏🙏🙏
@gudanemma1459
@gudanemma1459 11 ай бұрын
Ubarikiwe kwa mafundisho mm mme wangu anaota kila siku yupo kijijini kwako na marafiki zake ananiambia kaenjoy ndoto kila akisema anataka kwenda kwao anasema ana nauli miaka kumi sasa ajawai kwenda kwao kila anachofanya afanikiwi yani akipata ela anaishia kula tu mpka ishe yote ndo anakumbuka kwenda kazni tena ivo ivo tu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 11 ай бұрын
Pole sana kwa hiyo changamoto aliyonayo mme wako. Ulimwengu wa roho ndio huuamilia ulimwengu wa mwili. Pia changamoto ambayo huwa inajurudia rudia kwenye maisha ya mwandamu huwa ni kifungo. Kwahiyo mtu unapoona mtu anaota ndoto upo nyumbani kwenu, halafu kuna tatizo linakukuta punde tu baada ya kuota hiyo ndoto inamaana kwamba, ipo nguvu ya asili ya kijijini kwenu ambayo inamrudisha nyuma mara tu anapojaribu kuvuka mpaka fulani wa kimaisha. Kwahiyo wanaweza wasimzuie harakati zake ila watamzuia maendeleo yake. Mfano mtu anatembea, haendi mbele ila anaenda upande. Ni kweli anafanya bidii katika harakati zake lakini ni kama mtu azungukae. Tayari kuna mifumo ya nguvu za giza inayohusiana na eneo alilozaliwa au alilokulia ( yaani kijijini kwao ) linamzuia asiweze kupiga hatua mbele katika nyanja fulani katika maisha yake.
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 11 ай бұрын
Hongera sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia usisahau ku subscribe Makimbilio channel ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya ya Muhimu. Be blessed.
@CandySohia-mm9od
@CandySohia-mm9od 5 ай бұрын
Thank you Jesus Christ 🙏
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 4 ай бұрын
Be blessed in Jesus name.
@EvodiusbarakaMtundu
@EvodiusbarakaMtundu 11 ай бұрын
Amina mungu nimwema kilawakati
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 11 ай бұрын
Amina. Mafundisho haya kama utaweza kuwashirikisha na watu wengine litakua ni jambo la baraka sana na adili hata mbele za Mungu. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Ubarikiwe.
@jinaop490
@jinaop490 Жыл бұрын
Amen Apostle,hizi ndoto sinanitesaza sana kwa Kila mara,mungu nisaidie hizi ndotioziishe Kwa damu ya yesukristo
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Pole kwa changamoto hiyo. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Ubarikiwe sana.
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Amina na iwe kwako kwa Damu ya Yesu. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel. Be blessed
@ElizabethMwakifumbwa
@ElizabethMwakifumbwa Жыл бұрын
Mungu akulinde cn meng
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Amina amina asante.
@ImeldaMyinga
@ImeldaMyinga 6 ай бұрын
Ndoto hii inanisumbua sana mm
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 4 ай бұрын
Shindana nayo kiroho hadi uhakikishe inayaachia maisha yako. Wala madhara na matokeo yake yasiwe sehemu ya maisha yako.
@MayambaBwere
@MayambaBwere 7 ай бұрын
Mungu aniongoze katika kila hatua yangu ninayopita kwenye maisha
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 7 ай бұрын
Amina amina. May God bless you.
@LydiaNasimiyu-h1n
@LydiaNasimiyu-h1n 3 ай бұрын
Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa
@DorisMwanyula
@DorisMwanyula 5 ай бұрын
Asante baba
@benardbonephace4896
@benardbonephace4896 Жыл бұрын
Amina sana mchungaji,nimepata ufunuo Sasa.... kumbe tukilala tukaota tunachokiona kwenye ndoto kinaonwa na nafsi zetu hivyo tunapoona chochote kupitia ndoto huo ndo uhalisia wa nafsi ya mtu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Ni kweli kabisa unachosema. Maandiko yanasema aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo. Kwahiyo kama unaona upo kijijini kwenu basi huko ndipo uliko.
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.
@Sarhamy
@Sarhamy 5 ай бұрын
Nakataaa katika jina la yesu kurudi kijiji 🙏🙏
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 4 ай бұрын
Amen. Ukiri wako katika hilo uambatane na matendo dhahiri ili ukombozi kamili.
@HattaHatta-pk7hr
@HattaHatta-pk7hr 6 ай бұрын
Kwa Damu ya Yesu Kristo ndoto za kijijin azina mamulaka na Yesu Mungu mkuu atusaidie 🙏 🙏 mtumishi
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 4 ай бұрын
Amina. Lakini palipo na haki pana wajibu. Pale ambapo tuna hisi tuna haki ya kutendewa na Mungu vilevile tuna wajibu wa kufanya ili tupokee kutoka kwake.
@Verah-p7d
@Verah-p7d Ай бұрын
Ameen
@Maua-y2c
@Maua-y2c 5 ай бұрын
Amen 🙏
@Josephineonyango-cl6ql
@Josephineonyango-cl6ql 5 ай бұрын
Ameeen mtumish nkweli kbsa
@VinaelKerry
@VinaelKerry 11 ай бұрын
Amen parikiwa sana pastor
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 11 ай бұрын
Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240.
@EdgarSebastian-v1w
@EdgarSebastian-v1w Жыл бұрын
Amen mafundisho mazuri hakika
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Hongera sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008. Au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia kama upo Dar es salaam, Tanzania unaweza ukafika kanisani kwetu Makimbilio HM. Mungu akubariki sana. Nimefurahi kujumuika nawe katika somo hili Amen.
@JamesOdhiambo-wu2pj
@JamesOdhiambo-wu2pj Жыл бұрын
Amen Mtumishi wa Mungu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Amina, Mungu akubariki sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel. Unapofanya hivyo, unakua mstari wa mbele wa kupata mafudisho na taarifa mbalilimbali kutoka Makimbilio channel. Be blessed in Jesus name.
@jacklinemwamsojo2955
@jacklinemwamsojo2955 Жыл бұрын
Asantee Sana mtumishi kwa ufafanuzi mzuri nimekuelewa Sana mimi hizi ndoto za kuota nipo nyumbani zimenisumbua Sana yaani mpaka wiki ilio pita nimeota nipo nyumbani kabisaa nipo ndani naongea na mama lakini mama mwenyewe alisha kufa mwaka wa tatu sasa😢 ananiambia nimuangalie ndugu yangu chumbani anaumwa nae huyu ndugu yangu alishakufa miaka 17 iliopita nikaingia chumbani kweli nikamkuta ndugu yangu kweli anaumwa miguu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Pole sana kwa changamoto hiyo. Kama ulivyojifunza kwenye hilo somo, kuota ndoto za namna hiyo sii ishara nzuri na huwa zinaashiria hatari fulani katika mfumo wako wa maisha. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba (+255)0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Hongera kwa kusikiliza Mafundisho haya ya Msingi. Be blessed .
@TigerZlatan
@TigerZlatan Жыл бұрын
Yaan mm nmeota baba yangu anani chapa fimbo na uko Alisha kufa miaka makumi na alafu wakat naota nilkua cja lala nyumbni nili lala Kwa mchepuko je hii Ina maana gan paster
@rizikivincent5255
@rizikivincent5255 Жыл бұрын
Hakika kweli mwenyezi Mungu atusaidie
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Amina amina. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba (+255) 0755021008. Au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Mungu akubariki sana.
@rastonmwakifuna8583
@rastonmwakifuna8583 Жыл бұрын
Ameen,nimeelewa vizuri mno.
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.
@lydiamakenge5613
@lydiamakenge5613 9 ай бұрын
Niombee pastor
@AlphoncenaMugarula
@AlphoncenaMugarula 11 ай бұрын
Naota sana hizo ndoto Mungu nisaidie
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 11 ай бұрын
Amina Mungu akusaidie. Ila usisahau kuchukua hatua stahiki. Kumbuka palipo na haki kuna wajibu. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Maana somo la namna ya kutoka kwenye vifungo vya ndoto linaandaliwa na punde litakuwa youtube. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240.
@JusterKaberia-ry2sh
@JusterKaberia-ry2sh 10 ай бұрын
Amen apostle nisaidie mm naota ndoto za kwatu kijijini, ndoa yangu ilivujika nikarudi kwetu nyumbani ,sahii Niko Nairobi lakini naota nikiwa nyumbani , mpaka nimeshidwa nifanye nn.
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 10 ай бұрын
Pole kwa hiyo changamoto. Nikushauri kutafuta msaada wa kiroho juu ya jambo hilo kwa haraka maana hiyo siyo ndoto ambayo ni kama taarifa tu. Adui amepata nafasi ya kuyashambulia maisha yako hivyo ni muhimu kuchukua hatua thabiti. Kama ulipo una kiongozi wako wa kitoho unaweza ukamuekeza kuhusu changamoto hiyo na akakusaidia pia. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba +255768385240. Hongera kwa kuyapata mafundisho haya.
@VeronicaJane-em4rg
@VeronicaJane-em4rg 10 ай бұрын
Amina, bwanagu huwa anaota akiwa nyumbani Kila wakati, mtumishi wa MUNGU muscadine
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 10 ай бұрын
Yohana 10:10 [10]Mwivi haji ila aibe na kuchinja na kuharibu; mimi nalikuja ili wawe na uzima, kisha wawe nao tele. Yesu yeye ndiye suluhisho la hayo yote. Kwa kumtii yeye tunakuwa na nguvu ya kumpinga shetani naye akakimbia kutoka kwenye maisha yetu. I'm just a servant of Jesus, kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba +255768385240. Be blessed.
@malaikalihuda2831
@malaikalihuda2831 Жыл бұрын
Nashukuru sana mtumishi nami huwa naota hivyo hivyo
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Pole na hongera sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008. Au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia kama upo Dar es salaam, Tanzania unaweza ukafika kanisani kwetu Makimbilio HM. Mungu akubariki sana. Nimefurahi kujumuika nawe katika somo hili Amen.
@PeninahMwendwa
@PeninahMwendwa Жыл бұрын
Hizi ndoto Sina uchungu tufanye nini😢
@bbhv3568
@bbhv3568 Жыл бұрын
Amina
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.
@CandySohia-mm9od
@CandySohia-mm9od 5 ай бұрын
Ameeeeeen 🙏
@tumainlenad5141
@tumainlenad5141 Жыл бұрын
Ee mwenyez mungu nusaidie mm na unikomboe kwenye ndoto chafu zisizofaaa iwe mwisho kuota ndoto za kunirdisha kijiin nilinde mungu na yvunje maagano yote mavaya juu yangu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 11 ай бұрын
Amina amina na iwe kwako kwa Jina la Yesu.
@genevievesunday
@genevievesunday Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Mungu azidi kukuimarisha.
@NeemaJimmy-i5g
@NeemaJimmy-i5g 11 ай бұрын
Zishindwe Kwa jina la yesu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 11 ай бұрын
Amina na iwe kwako kwa Jina la Yesu. Hatua stahiki zinapaswa kuchukuliwa kama umewahi kukutana na ndoto za namna hiyo. Ili neno hili ulilolipokea liwe na faida kwako. Be blessed. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio.
@AliceMakori-bs1ik
@AliceMakori-bs1ik 7 ай бұрын
ka Mimi naota Kila siku aki Niko home na Niko uarabuni but I know God will fight for me ooh pastor unlock that chain for me coz napata niliota mom ananiambia enda mwanangu Rudi had ananipa pesa hata dad aliaga two wks ago ananisukuma ktk home aliniambia enda usirudi hapa pigania familia
@JACKCHILAS
@JACKCHILAS 10 ай бұрын
Aminaa
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 10 ай бұрын
Hongera sana na ubarikiwe na Mungu. Mungu huzungumza nasi kupitia mafundisho ya Neno lake pia. Natumai umepat kitu cha kujifunza. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240.
@ashuranzagamba6328
@ashuranzagamba6328 Жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe mtumush, mim nimepigwa uchumi , ila uwa naota mara kwa mara ninauza duka kubwa
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255(0)755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba +255(0)768385240.
@martinehussein7261
@martinehussein7261 Жыл бұрын
Amiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiina🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.
@aimeebusime5849
@aimeebusime5849 5 ай бұрын
Barikiwa sana Mtumishi najifunza mengi nikumbuka kwa maombi plz nateseka sana nahi zo ndoto
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 4 ай бұрын
Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba +255768385240
@Zabronmaingu-i7e
@Zabronmaingu-i7e Жыл бұрын
Mm naotanga sana niko kijijini au niko shuleni kwetu nikosomea huko kijijini na watu waliyokufa naptanga sana do ndoto zangu 😢😢 nisaindie mxhungaji nateseka sana
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Pole kama ulivyojifunza kwenye hilo somo, kuota ndoto za namna hiyo sii ishara nzuri na huwa zinaashiria matokeo fulani mabaya. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba (+255)0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Hongera kwa kusikiliza Mafundisho haya ya Msingi. Be blessed .
@EdinaChrispin
@EdinaChrispin Жыл бұрын
Amina mchungaji tunamshukuru kwa neno nzuri la kutufundisha
@EdinaChrispin
@EdinaChrispin Жыл бұрын
Maana tunaota tu hatuelewi maana yake
@ireengrimbe7492
@ireengrimbe7492 Жыл бұрын
Amen
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Be blessed
@Purity-zn9np
@Purity-zn9np 4 ай бұрын
Hizi ndoto naoya karibu kila siku yangu naona ni kawaida hata hofu ikaanza kuniingia ila Sasa mungu ameanza kunifungua kupitia mafundisho haya Asante, kwa jina la yesu nakataaa kurudishwa nyuma naukoo
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 2 ай бұрын
Mungu akusaidie. Hongera Kwa kusikiliza Mafundisho haya. Endelea kufanya matendo dhahiri ili ukombozi kamili uwe kwako.
@AtanasiaJoseph-u1o
@AtanasiaJoseph-u1o Жыл бұрын
Amina kwa neno
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Amina, Mungu akubariki sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba (+255)0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel. Unapofanya hivyo, unakua mstari wa mbele wa kupata mafudisho na taarifa mbalilimbali kutoka Makimbilio channel. Be blessed in Jesus name.
@deoskimaro7905
@deoskimaro7905 Жыл бұрын
Nifunguliwe kwa Jina la Yesu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Amina, na iwe kwako kwa Jina la Yesu. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba (+255) 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Ubarikiwe.
@BarakaRichard-pg3qz
@BarakaRichard-pg3qz 6 ай бұрын
Mungu akubariki maana leo nimepata Malibu juu yandoto ambayo imenitesa myaka mingi
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 4 ай бұрын
Hongera sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240.
@elizabethmkasiwa
@elizabethmkasiwa 10 ай бұрын
Nafunguliwa na mwanangu na ndugu zangu kwa dam ya yesu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 10 ай бұрын
Amina na iwe kwako kwa Jina la Yesu Kristo. Zingatia taratibu zote zitakazokupeleka kwenye ukombozi kamili. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240.
@damarisnjerunjeru399
@damarisnjerunjeru399 Жыл бұрын
Ahsante baba
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Amina, na iwe kwako kwa Jina la Yesu. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba (+255) 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Ubarikiwe.
@damarisnjerunjeru399
@damarisnjerunjeru399 Жыл бұрын
@@makimbiliochannel ahsante
@DivinahNyambeki
@DivinahNyambeki 5 ай бұрын
Nakataa magano ya kifamilia na kurudi kijijini katika Jina la Yesu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 4 ай бұрын
Amina na iwe kwako. Jambo la kuzingatia ni kwamba ukiri wako uambatane na matendo dhahiri ili ukombozi uwe sehemu ya maisha yako.
@ireengrimbe7492
@ireengrimbe7492 Жыл бұрын
Nafunguliwa leo kwa jina la Yesu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Amina na iwe kwako. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Ubarikiwe sana.
@ShakirashakiraKiuno
@ShakirashakiraKiuno Жыл бұрын
Mimi nazioto sana ndoto izo naoto niko kijijini kwetu. 😢 Sehem nilipo zaliwa namimi nipo ndia lakn naoto sana ndoto izo mungu anisaidie
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Amina. KKama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255(0)755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba +255(0)768385240.
@irinechoi8204
@irinechoi8204 Жыл бұрын
Nifunguliwe kwa jina la yesu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Amina amina na iwe kwako kwa Jina la Yesu. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255(0) 755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba +255(0)768385240. Usisahau ku subscribe katika channel hii. Be blessed in Jesus name.
@MwanahamisiNguga
@MwanahamisiNguga 8 ай бұрын
Mungu nisaidie yani mimi haipiti siku mbili bila yakuota nipo kijijini 😢😢
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 8 ай бұрын
Pole na hongera sana kwa kuyapata Mafundisho haya. Kuipata ndoto hiyo si kwamba ufalme wa giza unakuhusuru. Pia Mungu amekupa nafasi ya kuliona hilo ili uchukue hatua. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240
@nesmoskanyuto6715
@nesmoskanyuto6715 9 ай бұрын
Tafsiri yako siyo Sahihi
@helenamunishi849
@helenamunishi849 3 ай бұрын
Ninazikataa hizo madhabahu za ukoo namizimu kwajina layesu kristo
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 2 ай бұрын
Na iwe kwako kwa Jina la Yesu. Hongera kwa kusikiliza Mafundisho haya.
@AmasSaladin-pt4sx
@AmasSaladin-pt4sx 4 ай бұрын
Asante saana Mtumiaji, Nashukuru kwa Funzo lako , sasa utaratibu ni hupi kwakutaka kupata suluhisho ?
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 4 ай бұрын
Be blessed kwa kufuatilia...Unaweza kumtafuta na kuongea moja kwa moja na mtumishi wa MUNGU Watsapu au kwa kupiga no hiii +255 755 021008
@SuzanaMsengi
@SuzanaMsengi Жыл бұрын
Baba mungu akubariki sana sana umeniponya hayo madoto kila mara tena shuleni nilikosoma naota kweli siku hii imekuwa yangu naenda kufanikiwa
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Unapoota upo shuleni maana yake haiishii kama ya kuota ukiwa upo kijijini kwenu au sehemu uliyokulia. Unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Hongera kwa kusikiliza Mafundisho haya ya Msingi, na Mungu akubariki sana.
@nzivoalbanus2240
@nzivoalbanus2240 Жыл бұрын
Mimi niko Nairobi lakini huwa naota nikiwa kijijini Kila siku na maisha yangu inaedelea vibaya
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Polesana kwa hiyo changamoto. Kama ulivyojifunza kwenye hilo somo, kuota ndoto za namna hiyo sii ishara nzuri na huwa zinaashiria matokeo fulani mabaya. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba (+255)0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Hongera kwa kusikiliza Mafundisho haya ya Msingi. Be blessed .
@hellinahombuya5174
@hellinahombuya5174 Жыл бұрын
Powerful
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Pongezi sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008. Au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Pia kama upo Dar es salaam, Tanzania unaweza ukafika kanisani kwetu Makimbilio HM. Mungu akubariki sana. Nimefurahi kujumuika nawe katika somo hili Amen.
@peninamusilim4469
@peninamusilim4469 2 ай бұрын
Hizo ndoto za kuregeshwa kijijini nimekataa katika jina la yesu
@AshuraSalumu-k7h
@AshuraSalumu-k7h 5 ай бұрын
Nakataa kabisa kurudi kijijin kwa jina la yesu
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 4 ай бұрын
Ukiri wako uambatane na matendo dhahiri ili ukombozi kamili. Hongera na endelea kuithibitisha imani yako kwa. Mungu.
@kharifasanto3383
@kharifasanto3383 4 ай бұрын
Nimekwishaaa
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 2 ай бұрын
Mungu amesema katika neno lake kwamba hulituma neno lake, hutuponya na kututoa katika maangamizi. Neema ya Mugu ya kukusaidia katika hili iwe kwako. Tafuta msaada wa kiroho katika hilo. Pia unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240 ai WhatsApp namba 0755021008.
@MalikiaRecho
@MalikiaRecho 2 ай бұрын
Mim naotaga Niko shulen nilikosomea na nikiwa darasan mtihan au masomo nashindwa kuandika kama vile sion japo nipo darasan nakitaid lanikin nashindwa mpaka nashtuka ucngzni
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 2 ай бұрын
Pole na hongera sana kwa kuyapata Mafundisho haya ya Msingi. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba +255 768385240.
@VeronicaJane-em4rg
@VeronicaJane-em4rg 10 ай бұрын
Mtumishi wa MUNGU nisaidie huwa naota ivyo na kufanikiwa ni shida. Am in kenya
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 10 ай бұрын
Marko 9:23 [23]Yesu akamwambia, Ukiweza! Yote yawezekana kwake aaminiye. Amini kisha fuata hatua za kufunguliwa kutoka kwenye kifungo hiko, Amini kwamba ukombozi utakua ni sehemu ya maisha yako. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba +255755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba +255768385240. Ubarikiwe.
@JemaMbwilo
@JemaMbwilo 5 ай бұрын
Hizi zote zinanitokea Mimi mara Niko shule ya msingi niliyosoma na kijijini kwetu na nyumba niliyopanga zamani miaka mingi iliyopita
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 4 ай бұрын
Ndoto hizo si njema sana. Hatuwezi kujua kwamba muda unatosha kuendelea kusubiria hadi ukuta ubomoke hali tunao uwezo sasa wa kuziba ufa.
@agnesneema2398
@agnesneema2398 9 ай бұрын
Mimi naota Na shangazi yngu alikufa naota nikiongea Nae,bado naota Niko primary school,Mara naota nko kwetu kijijini Niko zaliwa,Naomba tu niweze kushinda izo ndoto kW Jina la yesu🙏
@JosephTibu
@JosephTibu 8 ай бұрын
Uyo ndiyo aliyezima nyotayako ya mafanikio😢😢😢😢
@peterlaurent5969
@peterlaurent5969 Жыл бұрын
Sasa somo lako haliishi apostle ilitakiwa umalizie na namna yakujitoa..
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Asante. Tutalifanyia kazi suala hilo. Hakikisha ume subscribe kwenye channel hii na account nyingine za mitandao ya kijamii kama vile Facebook na Instagram ili uweze kupata tarifa punde tu somo hili litakapokua hewani. Mungu akubariki sana.
@ireengrimbe7492
@ireengrimbe7492 Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu yaan naona kama unanisema Mimi yaan Niko uwarabuni lakini ndoto zangu ni kijijini nilikolelewa ujombami
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Pole kama ulivyojifunza kwenye hilo somo, kuota ndoto za namna hiyo sii ishara nzuri na huwa zinaashiria matokeo fulani mabaya. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240. Hongera kwa kusikiliza Mafundisho haya ya Msingi. Be blessed .
@linajoseph5296
@linajoseph5296 Жыл бұрын
Mm Niko dar ila naota Niko tanga upande wa mamangu nilipozaliwa kwa bibiangu . Niko jikoni kwa Bibi alikokua anapikia nakula tu . Na Bibi alishafariki kwa sasa nyumba hamna mtu. Ila haipiti wiki naota Niko jikoni kwa Bibi nakula tu. Na maisha yngu hayaend😢
@seraphinamsacky5393
@seraphinamsacky5393 8 ай бұрын
Pastor mimi kila diku naonta nyumbani kwetu tena kwenye nyumba mbazo hata leo hazipo ni za zamani na mimi nipo mjini kwa miaka mingi. Niombee pastor
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel 8 ай бұрын
Pole na hongera sana kwa kuyapata Mafundisho haya. Kuipata ndoto hiyo si kwamba ufalme wa giza unakuhusuru. Pia Mungu amekupa nafasi ya kuliona hilo ili uchukue hatua. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba 0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba 0768385240
@irinenanciebarasa5566
@irinenanciebarasa5566 Жыл бұрын
Hallelujah 🙌 mtumishi wa MUNGU Leo nimeotea Niko nyumbani kijijini na Niko urabuni ?
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Pole kwa hiyo changamoto. Kama ulivyojifunza kwenye hilo somo, kuota ndoto za namna hiyo sii ishara nzuri na huwa zinaashiria matokeo fulani mabaya. Kama utahitaji ushauri na msaada wa kiroho unaweza ukanitafuta WhatsApp namba (+255)0755021008 au unaweza kupiga Simu au kutuma SMS kwa simu namba (+255) 0768385240. Hongera kwa kusikiliza Mafundisho haya ya Msingi. Be blessed .
@stevenmwalwiba6164
@stevenmwalwiba6164 Жыл бұрын
Naanza kuelewa baba ubarikiwe
@makimbiliochannel
@makimbiliochannel Жыл бұрын
Amina amina asante. Usisahau ku subscribe katika channel ya Makimbilio channel, ili uwe wa kwanza kupokea taarifa mapema mara tu ninapotuma mafundisho mengine mazuri kama haya. Asante na Mungu akubariki sana.
NINI KINAFANYIKA UNAPOOTA UNAKULA NDOTONI?. APOSTLE MICHAEL MWAKILAMBO.
38:41
DALILI ZA KUKUJULISHA UNASHAMBULIWA KIROHO || PST. GEORGE MUKABWA || 15/06/2023
1:34:04
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 479 М.
KWANINI UNAPOOMBA, VITA VINAONGEZEKA? - Innocent Morris
59:27
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 36 М.
THE WAY OF KINGS || PST RONNIE NYAGA
1:25:17
The Kingdom Age
Рет қаралды 34
MBINU 11 ZA KUMTAMBUA MTU ANAYEKULOGA HARAKA. ONA ISHARA HIZI. MKOMOE HIVI ASIRUDIE
24:13
SHINING STAR HEAVENLY EMBASSY
Рет қаралды 3,9 М.
SIRI YA MAOMBI YA USIKU WA MANANE - Innocent Morris
1:06:15
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 84 М.
MAOMBI - NDOTO ZA KUOTA UPO KIJIJINI AU UPO SHULE | IJUE SIRI NZITO ILIOPO KWENYE NDOTO HII -
6:01
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 12 М.
Thanksgiving _ Bp. Henry Jahonga
1:09:27
Anointed Rivers Ministry[ELD]
Рет қаралды 24