Je nimakosagani yanasababisha mpaka mwanamke ajivue kwenye ndoa
@fettymo20557 ай бұрын
Je nizipi sheria za mwanamke kujivua?
@AmbilikikeMageremwasapile2 ай бұрын
Mafunzo mazr ila tutole na dalili na ayah ili tupanuke zaidi kiilm
@fatma22801 Жыл бұрын
Mm nina swali nimeachana na mume wng wa kwanza sababu aliongeza mke ikawa mimi hanipi haki zangu tulikuwa tunakaa kama mtu na dadaake kwa miaka miwili nikashindwa vumilia nikaenda kwa kadhi akaitwa mara tatu hakuja kadhi kaniachisha nikaolewa na mume mwengine,iweje sasa mtalaka wangu anadai mimi bdo ni mkewe
@mwajuussi9436 Жыл бұрын
Kama mm mume wangu anazini na jirani yangu na huku nayashuhudia nimestahmili mwisho nikashindwa nikajivuwa. Nmerud nyumbani jee apo nna makosa?
@kimamybeautypoint9656 Жыл бұрын
hapana dear nenda kwa viongozi wa dini upate haki yako pia
@mwajuussi9436 Жыл бұрын
point asantee
@LeylaIbbrahim3 ай бұрын
Kivip? Hata akinioa MWINGINE mtoto atakuja ni wanje ya ndoa?
@JamilahMohamed-eh8nl11 ай бұрын
Sas mwanamke kajivuwa inakuwaje apewe talak shekh hembu elezey vzr , mwanamke akijivuwa ndo kamp mwanaume talak sas mim mwanamke nitowe talk half nitowe eda embu hili SoMo andaa vzr bhn
@fatumahamisi70642 жыл бұрын
Je ni zipi sababu au makosa yanayo rukhusiwa mwanamke kujivua?