MWANAMKE ALIE JIONDOA KATIKA NDOA MAHARI ATAYO REJESHA JE NI MAHARI TU AU NA ZIADA YA TAMKO LA MUME

  Рет қаралды 11,873

ZVP ONLINE TV

ZVP ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 23
@Fatma-zu7mt
@Fatma-zu7mt Жыл бұрын
Assalaam aleykum shekh mm nimeolewa lkn mumewangu hajatoa hata mia na ndow tulifungia kwao akawa ananitesa nimeamuw kurudi nyumban tangu nimerudi ni miaka.6sasa hata sm hapigi je naweza olewa na mume mwingine
@rabintozzy5769
@rabintozzy5769 10 ай бұрын
Ndio unaweza, haraka kabsa
@mursalmrisho1538
@mursalmrisho1538 2 жыл бұрын
Shukran sana sheikh wetu
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@saebajoma8419
@saebajoma8419 Жыл бұрын
​@@zvpOnlineTvshekh je mwanaume akikupa talaka sms tuu bila mashahidi wala kukupigia cm inaswii
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 2 жыл бұрын
Allah_akulipe_Mziwanda_Upo_vizuri_mnoo
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
MASHAALLAH
@KautharRamadhan-xv3gf
@KautharRamadhan-xv3gf 6 ай бұрын
​@@zvpOnlineTv Assalam aleikum sheikh samahan nina swali mm nimejikhuluu katika ndoa yangu kwasababu za kisheria na nimerudisha mahar yake ila niliingiliwa na aliekua mume wangu mara moja tu na kwa kidogo kwamaana tupu zetu ziligusana na hakumwagia ndani ya tupu yangu je hapo hata akitokea mume au mume wa mwanzo anafaa kunioa tena au haifai
@DamaMatandi
@DamaMatandi Ай бұрын
Asalam alaykum shekh mm na niliomba talaka na babake watt akanipa ila bado anasema ilikua talaka ya utani hakua tayari kuniacha jee kuna talaka ya feki
@khamisoothman5294
@khamisoothman5294 2 жыл бұрын
Jazak Allah kheir
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Amiin
@HamidakomboKombo-xs2ju
@HamidakomboKombo-xs2ju 9 ай бұрын
Assalamualaikum sheikh naomba nikuulize swali, endapo unata kufanya khului na ukataka kumlipa mwanaume mahari na mahari aliyoitoa ni fenicha,fenicha ambazi tumezitumia pamoja ila yy anataka zipigwe thamani apewe pesa havitaki vile vitu ,je niwajibu kumpa pesa?
@FaridaMakupa
@FaridaMakupa Ай бұрын
SHEHE KAMA UMEJIVUA MWANAUME AMEKATAA KUIPOKEA MAHALI INASWIH MWANAMKE KUONDOKA?
@yasalaam590
@yasalaam590 2 жыл бұрын
Mashkura ya sheykh
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Shukran
@zuwenaodaizuwenaodai1999
@zuwenaodaizuwenaodai1999 2 жыл бұрын
Naomba kuuliza swali shekh kuna mahari naposa narudisha zote au nimahari2
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv 2 жыл бұрын
Mahari tu
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
@@zvpOnlineTv atarudishiwa vipi na yy tayari ashamtumia je atarudisha ujana wake maana kashamharibu ujana
@sikudhaniabdallah2631
@sikudhaniabdallah2631 Жыл бұрын
Sasa mm. Alinip elf ishln lakn Leo ananambia nimrudishie kaki tatu na sabn kwa sababu niliwap wazaz wako he hap inakuaj nakat mm mahal yang niliokubalian nay no ishln elf
@KautharRamadhan-xv3gf
@KautharRamadhan-xv3gf 6 ай бұрын
​@@zvpOnlineTvAssalam aleikum mm nimejivua kisheria na nimerudiaha mahar aliyonipa kama bustan yangu lakin sklikuingiliwa kama inavyotakiwa zaidi ya kuingiliwa hadi mwanzo wa tupu yangu yaan katika shingo ya tupu yangu tu na wala hakumwaga je sheria hainiruhusu kuolewa na mwanaume mwengine kwakua hajamwagia ndani ya tupu yangu na wala sitakiwi kukaa EDA ya tohara 1? Kwasababu skuridhika nae kutokana na mwili wake lakin pia nilikutanishwa nae fb
@ramadhannzengula4035
@ramadhannzengula4035 2 жыл бұрын
Saman sh. muharam ghurui maana ake nn?
@shamimnassor6192
@shamimnassor6192 2 жыл бұрын
Khului ..mwanamke kujivua kwenye ndoa
@mohammedzuberi8384
@mohammedzuberi8384 2 жыл бұрын
Sasa kama yeye yuanitaka n mm simtak n haniangalii kwa lolote je
سورة البقرة كاملة, رقية للبيت, وعلاج للسحر | القارئ علاء عقل - Surah Al Baqarah
3:59:37
mlango wa tatu ykisomwa kwa ufundi mkubwa na Abdul Hamid college kutoka kigoma.
3:35
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2,1 МЛН
Симбу закрыли дома?! 🔒 #симба #симбочка #арти
00:41
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 5 МЛН
За кого болели?😂
00:18
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,2 МЛН
MKE KUJIVUA NDOA /KUNUNUA TALAKA NA VIPI ATAKA EDA
12:35
Islamic Marriage Bur Kenya
Рет қаралды 78
FATWA|Jee inafaa kwa mwanamke alieachwa talaka moja kuolewa tena?
14:05
FAIDIKA NA MAWAIDHA ONLINE TV
Рет қаралды 1,2 М.
#LIVE: JE, MKE NA MUME WAKITENGANA KWA MUDA MREFU NI TALAKA? - FADHAKKIR
46:14
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2,1 МЛН