Wow my favorite gospel singer Christina keep going when I remember ur wimbo which goes. Mungu akisema ndio Nani awezaye kupiga hakuna
@g00.413 жыл бұрын
Am Kenyan far from home & listening to your songs have given me comfort. Thank u so much Christina. Keep it up.
@balancedviewpoint74183 жыл бұрын
Christina shusho mimi ukufuatilia sana kwa sababu ya nyimbo zako tangu samani. Mungu aendelee kukupa nguvu na afya nzuri pamoja na familia yako. Urembo unao, unyenyekefu, heshima na hekima zote za kwako. Barikiwa sana dada
@fiderismwenderichard97883 жыл бұрын
Haki I don't know why I love this young lady and her songs, much love ,❤️❤️
@lydiakoechie15243 жыл бұрын
She has the most beautiful smile ever
@elkanahomweno28633 жыл бұрын
Lively interview from two lively &great ladies,Massawe &Christina nawapenda sana...God bless you all.
@DamarisDuuTausi8 ай бұрын
Twakupenda sana kenya mama
@nancyoduor77593 жыл бұрын
Shusho anakuanga mrembo sana.. I love her sense of fashion too
@fridahkarimi55103 жыл бұрын
🇰🇪😀👏👏My favourite gospel singer,mom shusho,the song shusha nyavu iko more fire🔥🔥,you never dissapoint be strong dear...keep persuing God call and purpose in you,Asante kwa kuongea kwa hekima.
@abilityemmanuel57043 жыл бұрын
hata imekuwa mtu akiwa ndani ya Kristo, amekuwa kiumbe kipya. Ya kale yamepita, tazama Yoote ymekuwa mpya. Powerful testimony indeed.
@jacklinejarengaaluse55583 жыл бұрын
Wow Christina Shusho, you're my role model... Mungu azidi kukuinua nguvu ya kufanya kazi yake. Massawe Asante kwa kumleta Mtumishi huyu wa Mungu....
@IsackJoram-pj3pb7 ай бұрын
Dada Christina kwanini unamkosea mungu kwa kuvunja agano la ndoa na mumeo wako
@shabankolia82043 жыл бұрын
Penda xana nyimbo zako expecial gharama ya maisha yangu anayejua ni mungu baba weee hiyo wimbo naipenda xana ubarikiwe mama
@vveronicamakori22973 жыл бұрын
Wow our beautiful shusho🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪we love shusho
@danmuiruri18188 ай бұрын
My favourite gospel singer
@mwendapoleee3 жыл бұрын
Mimi pia natumia mnazi 💃💃💃💃💃💃💃
@mwanashagladys45813 жыл бұрын
Namupenda sana karibu tena
@danielarunga87903 жыл бұрын
Toto safi daaaaaaaa!!!
@monicahnjoroge81683 жыл бұрын
I *love* this lady Christina Shusho
@josephinewere40073 жыл бұрын
Shusho mtoto wa mama barikiwa sana Dadangu
@heritier51192 жыл бұрын
Kuishi watu wenye tabia mbili tofauti ni ngumu Sana, mme anaweza akawa mzuri mke hovyo na kinyume chake pia
@adhiambonyasuna40433 жыл бұрын
This is the only Gospel artist that I listen to her aongs
@JanetRosesB3 жыл бұрын
Woow shushoo
@davi17043 жыл бұрын
Hapo umemdanganya diamon is number in Kenya ,followed by Rose muhando number 2 in gospel minister in Kenya ,masawe masawe Acha kundanganya rose 🌹 muhando is the popular gospel artist in East Africa
@junemuchiri6093 жыл бұрын
😳😳😳😳😳😳😳 fact us Christina shusho and Rose muhando are much loved in kenya,secular world diamond and qlikiba are more loved in kenya
@jenifamuia22863 жыл бұрын
Ficha white 😂😂😂
@willhector94783 жыл бұрын
For mine it is Shusho all the way
@serahmaneno76143 жыл бұрын
I love this woman of God, a day can not pass without listening her songs.
@lavenderflowers10753 жыл бұрын
Two beautiful ladies
@rosewoiemitau83763 жыл бұрын
Shusho napenda nyimbo zako sana napia ninakupenda tu sana
@upendojoseph4693 жыл бұрын
Keep up mama cs
@halimakisini26973 жыл бұрын
Christina & Massawe mnapendeza
@annaauyo19583 жыл бұрын
My favorite.very cute, pretty.nakupenda bure mummy.your songs, to dressing code.uko sawa mummy
@lidiadamas17373 жыл бұрын
Love you dear
@annaauyo19583 жыл бұрын
@@lidiadamas1737 thanks mummy 🙏
@shisialydia27873 жыл бұрын
Your songs are a blessing Christina
@lucytatublessed95763 жыл бұрын
My favourite gospel minister. I love her
@charity99653 жыл бұрын
Huyu Christina anakuwanga na Grace ya kupendwa, nampenda sana pia
@jessendegwahmusic4883 жыл бұрын
Lovely lady Christina Shusho
@violetmomanyi20763 жыл бұрын
Wow amazing ❤️
@johnodhiambojodhiambo32492 жыл бұрын
Tunampenda naye pia fundi wa kujenga mioyo
@winniewayeko39113 жыл бұрын
Tuned
@DaveOndiekAaron853 жыл бұрын
I Love Her Honestly. She Is A Very Nice Woman Of God 💋❤️
@lilianongeri94353 жыл бұрын
More blessings shusho
@agnesladasha56413 жыл бұрын
Much love ❤️ ❤️
@Rogie_Pogie3 жыл бұрын
I look upto you woman of God
@gabriellyadam94153 жыл бұрын
nabarikiwa sana na wewe dada Kristina.blased
@stephaniabenjamini2848 Жыл бұрын
Hongera sana mdada nipe raja ya Wimbo,wa nani anajuq siri ya maisha yangu ni Mungu tu.
@stephaniabenjamini2848 Жыл бұрын
Barikiwa sana Christina
@karanjajane43223 жыл бұрын
Shusho ni mrembo xana
@mwanashagladys45813 жыл бұрын
Nice
@georgeszigashane47102 жыл бұрын
From Congo, nyinyi waimbaji wa Tanzania mbona munaleta haya saaana kuachana nawaume zenu?,hio.nikiburi yakinaji munaimba Congo tunawapenda Ila mambo munayo yakubunja unyumba munaleta haya saaana jirekebisheni jamani
@naomim1043 жыл бұрын
My discernment tells me that there is something happening to her marriage...she is just trying to handle everything with wisdom. Be blessed servant of God!
@bellaolum95153 жыл бұрын
They separated almost 2 years ago
@neemakilingo82823 жыл бұрын
Not true shusho ni mtu hapend kuweka public mambo yake wametengana huduma kila mtu ana kanisa lake lkn ndoa yao ipo
@bellaolum95153 жыл бұрын
@@neemakilingo8282 She has a video on it, I think I watched it early last year. They went separate ways.
@naomim1043 жыл бұрын
@@neemakilingo8282 yes they are pastoring different churches but I still feel there is something going on in their marriage. I wouldnt be surprised if they already separated.
@neemakilingo82823 жыл бұрын
Mwaka huu kwenye uzinduzi wa Album walifanyiwa interview ulimskia mume wake alivosema????
@findpartner13143 жыл бұрын
Nakupenda bure my sister ..karibu tena 🇰🇪
@nabwilelinet70273 жыл бұрын
My favourite shusho
@jacksonluchitio3 жыл бұрын
No 1
@stephaniabenjamini2848 Жыл бұрын
Nakuelewa vizuri waambie wanakurupuka kwani ni wengi umewagusa.
@anorderick71622 жыл бұрын
Jaman kuna Kitu, dunia haijakitambua katika maisha ya mwanadamu.. na shida na matatizo yataendelea hadi siri hii ya Shetani isipo gundulika,... Ni siraha kubwa anayo itumia Shetani kuteka jamii...!!
@DamarisDuuTausi8 ай бұрын
Sijui ni dress hiyo ama nitop ukosmart sana
@anorderick71622 жыл бұрын
We dada mtangazaji nitumie namba yako...!
@faithnjoroge46353 жыл бұрын
Masawee Akhi.😂😂😂 twisting questions .😂😂Biuriful Ladies,,Christina n mrembo
@linetnekesa80193 жыл бұрын
😁😁😁😁😁kumbe we pia umeona nkama anatuma mbinu zote Christina wambie kama ndoa yke imesambaratika but hakuna mwenye amekamilika
@faithnjoroge46353 жыл бұрын
@@linetnekesa8019 😂😂😂😂Eeehhh
@merilynmamayao82693 жыл бұрын
Kila MTU na moyo wake. Nimefika Tu hapo🖐️
@محمدمحمد-ش9ج2ك3 жыл бұрын
Aki Massawe tunangoja part 2
@JanetRosesB3 жыл бұрын
Hehe massawee
@silamutie41443 жыл бұрын
Ingekua kina gidi wangeforce patanisho
@lydiakemuntookindo72543 жыл бұрын
Love u mum
@annwamuhio58538 ай бұрын
Christina mbona unaaibisha walokole
@olivemugo79733 жыл бұрын
Akuna kitu kama mtu anakutusi na anakipiga na ati mtu anakuheshimu .....please weeeh
@elizabethwanjiku30123 жыл бұрын
True apo pia cjaelewa
@faykym82403 жыл бұрын
@Olive Mugo I agree with you
@joycerisingkenyandishes37123 жыл бұрын
Hakuna heshima hapo
@fridahmudave88183 жыл бұрын
Huo nimchezo kwani mume ananichapa tena matusi alafu heshima apana hamna sikubaliani mm pia.
@anneakai7633 жыл бұрын
Madam Christine. hiyo mada. mzuri kuwaellemisha wana wake. pia waume . ni Anne Akai vile nilikua nimekueleza dont forget my request. plz.
@sarahm3163 жыл бұрын
Kweli kabisaa siri ya uso ni Yesu,hasali pamoja na tapasamu😂😂😂
@lilliannelima70093 жыл бұрын
Nimefika bila kuchelewa
@Joseh5n3 жыл бұрын
Masawe wahoji kweli wamsukuma mpaka akajibu swali lako. Nyimbo zake pia zabaliki kabisa
@rankzkate3 жыл бұрын
Hahaha ati Masawe ni mpole mtulivu.......
@evelynmumia5246 Жыл бұрын
Siweziishi Kwa abusive marriage ili nifurahishe watu in the name of marriage.
@andreaotaigo40 Жыл бұрын
Huyu mama sina uhakika kama yuko kwenye ndoa
@marrymakoi15888 ай бұрын
Mbona mikono meusi kama hutumii kitu.
@jenifamuia22863 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 the meme
@leonidaus42483 жыл бұрын
Masawe xtina amekuhadaa...eti wewe ni mtulivu????😃😃
@allenmlelwa79508 ай бұрын
Wakala washetani
@SteveIrunguJermaine2 ай бұрын
I hate interviews period
@davidchosen38313 жыл бұрын
jee huyu Dada Christina shusho na ukiristu yake amewahi kusoma (Galatians 5;22......).Asome halafu alinganishe na maongezi yake?
@says783 жыл бұрын
Massawe why do you insist on asking about her husband yet you can tell from her body language and her tone that she does not want to talk about that aspect of her life. Poor interviewing skills
@noreenmeja72503 жыл бұрын
She twisted it in another way and shusho answered. Heheeee,
@paulinekamau96333 жыл бұрын
Massawe hizo ni maswali gani unamuuliza huyu mama muinjilisti? Wewe👈🏾 Massawe 👈🏾wewe! 𝗨𝗡𝗔𝗠𝗟𝗜𝗡𝗚𝗔𝗡𝗜𝗦𝗛𝗔 na akina Kajala, na akina Esma.
@nyabahailani31693 жыл бұрын
Hawa wanakwaya bwana wanashida nimalaya nimegundua sana ni makahaba pia nyimbo zao ni biashara tu maumbwa hawa
@juliathuo97923 жыл бұрын
Ok,ww ni msafi sana kiasi cha kuwaita wengine umbwa ,shame . On u style up
@nyabahailani31693 жыл бұрын
@@juliathuo9792 kimekuuma ukweli unauma pumbavu MKUBWA
@kisikamashaur99333 жыл бұрын
Shusho we ni mtumishi jaribu kutoa majibu kwa mjibu wa biblia na sio mawazo yako, maana kama swala la ndoa lina misingi yake kwenye maandiko ni andiko gan linamtaka mtu aachike kwakua2 kashindwa kuvumilia?
@belak9993 жыл бұрын
We utakuwa kilaza wa mwisho duniani, kwahiyo km mtu labda anapigwa sana na mume ni mlevi, basi asiondoke hapo mpk auwawe? Kuna watu km mlizaliwa chooni khaaa
@vailethkaaya33833 жыл бұрын
Ni kweli waimbaji wengi hawakiishi wanachoimba. Mungu anakataa kuachana msibadilishe maandiko
@happytimes97473 жыл бұрын
Soma bible hata wewe uelewe wacha kupura watu 1Corinthians 7:10 na 1Corinthians 7:39 soma hapo na uniambie bible inasemaje
@erastuskajuna81211 ай бұрын
Huyu mama ni pastor! Je mtu akija kwake ili amshauri kuhusu ndoa yenye shida atamshauri kutumia yeye anavyowaza au ni Neno litamwongoza katika ushauri wake? Je Kuna pastor asiyeongozwa na Neno la Mungu?
@linnetmbotto72127 ай бұрын
Sio kila aliye kwenye ndoa anaishi ndoa yake, au anafurahia ndoa yake. Ndoa nyingi hata za watumishi wa Mungu zimekuwa na Kama picha tu ya nje hakuna kitu. Huyu hakutaka kuwe mnafki aliona awe real. Mbinguni hauingii kwa ticket ya Pete kidoleni
@monicakagehi1363 Жыл бұрын
Shusho please go back to your roots
@wokebychoice89923 жыл бұрын
Fununu zina sema uyu ndo manzi ya jayden
@daisygloria3 жыл бұрын
Udaku itaua watu hii Kenya
@wokebychoice89923 жыл бұрын
@@daisygloria heheheehe bwana weee
@faithnjoroge46353 жыл бұрын
😂😂
@beverlymutinya5103 жыл бұрын
Ahahahahaai woooyiii
@محمدمحمد-ش9ج2ك3 жыл бұрын
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Jamani
@MadameButterfly8003 жыл бұрын
Go back to your husband Christina. This celebrity lifestyle is not God’s calling over your life. The enemy is leading you astray. Music industry including gospel music has always been a devil’s trap. Only a discerning soul can overcome those traps.