"Iliniumiza kwasababu alikuwa ni mtu ambaye unaishi naye"

  Рет қаралды 843

BBC News Swahili

BBC News Swahili

Күн бұрын

Leo imetimia mwaka mmoja tangu wanamgambo wa Hamas waliposhambulia Israel katika eneo la karibu na mpaka wa Gaza na kuua watu 1,200 na wengine 251 kuchukuliwa mateka.
Miongoni mwa waliopotea na baadaye kuripotiwa kufariki baada ya shambulio hilo walikuwa wanafunzi wawili wa kilimo kutoka Tanzania ambao ni Clemence Mtenga na Joshua Mollel.
Rafiki yao wa karibu, Ezekiel Kitiku, alinusurika kwenye shambulio hilo na alifanya mahojiano na mwandishi wa BBC, @lasteck2024 Alfred Lasteck alikutana naye hivi karibuni baada ya kurejea nyumbani nchini Tanzania.
#bbcswahili #israel #gaza
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

Пікірлер
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 7 М.
Interview with Israeli dissidents taking action for Palestine
13:36
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 52 МЛН
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,9 МЛН
Woolly Bully / Kenanganku by De Tremolos
5:01
Sanbah Pix Motion
Рет қаралды 2
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 10 М.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumanne 08/10/2024
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 14 М.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:17
BBC News Swahili
Рет қаралды 396 М.
How Israel Assassinated  Hezbollah Commander?
8:48
AiTelly
Рет қаралды 3 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34