Imeumiza wengi yataka roho ngumu kufanya ivi 😔

  Рет қаралды 2,941

KG CHIPANDE 🎙

KG CHIPANDE 🎙

Күн бұрын

Пікірлер: 60
@Josaphine-o2w
@Josaphine-o2w 9 күн бұрын
I like that pastor he really help many people mungu asindi kuongezea miaka na siku aendele kusaindia watu wa mungu ubarikiwe sana, mungu akiazakukumbuka watu wake ni mara Moja , thank you kg for your good program and important advices for free be blessed
@kgchippy
@kgchippy 9 күн бұрын
Amen 🙏🏾
@BhBh-j4q
@BhBh-j4q 8 күн бұрын
That old woman she have purely heart and humility may God help her and bless her alot
@Franciscah-ks5zq
@Franciscah-ks5zq 3 күн бұрын
KG napenda mashauri yako unayotoa ili kusaidia wengi lakini nakuomba ukiongelee vyote bt Apostle Dan achana naye. Huyu ni mtumishi wa kweli ,, a faithful servant of GOD
@FatmaAli-kx1oz
@FatmaAli-kx1oz 9 күн бұрын
KG kuna kutoa mara mbili,kutoa kwa siri na dhahiri pia...Kule kutoa kwa wazi ni kuhamasisha wengine waweze kutoa na c makosa kabisa coz ni nyumba ngapi Dan wema foundation wamejenga?angefanya sirini hazingejengeka zote,so ni kuhamasishana tu...ukijua dhamani ya mzazi wako hutangoja asaidiwe utajituma... Wengine wetu tuko gulf juu ya wazazi wetu Allahu yaa alamu....
@JnatJaaa
@JnatJaaa 9 күн бұрын
Dunia ya ss bila kuonyesha watu hawaezi kimsaidia..hata pas Hana uwezo WA kimsaidia uwezo mkubwa bila watu kuona
@Pamelasidi-y9s
@Pamelasidi-y9s 9 күн бұрын
Umeongea ukweli
@kgchippy
@kgchippy 9 күн бұрын
Asilimia mia 🫡
@Maggie25402
@Maggie25402 8 күн бұрын
𝐁𝐢𝐛𝐥𝐞 𝐢𝐧𝐚𝐭𝐮𝐟𝐮𝐧𝐝𝐢𝐬𝐡𝐚, 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐚 𝐰𝐚 𝐬𝐢𝐫𝐢. 𝐓𝐮𝐬𝐢𝐟𝐚𝐧𝐲𝐞 𝐰𝐞𝐦𝐚 𝐦𝐚𝐜𝐡𝐨𝐧𝐢 𝐩𝐚 𝐰𝐚𝐭𝐮. 𝐌𝐚𝐭𝐡𝐞𝐰 6:1. 𝐊𝐮𝐬𝐚𝐢𝐝𝐢𝐚 𝐧𝐢 𝐦𝐨𝐲𝐨. 𝐕𝐲𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐮𝐧𝐚𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐮𝐬𝐚𝐢𝐝𝐢𝐞 𝐢𝐥𝐢 𝐰𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐰𝐚𝐟𝐚𝐧𝐲𝐞 𝐡𝐢𝐨 𝐬𝐢𝐤𝐮𝐬𝐚𝐢𝐝𝐢𝐚.
@fidesmjomba8316
@fidesmjomba8316 3 күн бұрын
Pst Dan continue with that spirit
@Emilymama2boys
@Emilymama2boys 3 күн бұрын
Mungu ambariki don wema anafanya kazi nzuri sana cz angekua anaongea bila video watu wangemsema vbaya sana video nilazima
@MashakaNgosso-l6s
@MashakaNgosso-l6s 8 күн бұрын
Mimi naamini kuwa lengo la pastor sio baya anafanya na wengine waone wenye mioyo wasaidie
@RoselnyEstua-bj9ri
@RoselnyEstua-bj9ri 9 күн бұрын
KG Kuna family Ina bitiya magumu sana ila tuwe watu wakusahitiya Asante apostle wema Dan kwa kasi musuri anafanya
@godsfavour5665
@godsfavour5665 9 күн бұрын
Bora wa record alafu wamsaidie .lakini jua sio mtu mmoja no funs wana come through so kumbuka wataitisha accountability sioni shida God bless dan wema and the crew.wengi wamesaidika through him🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@kgchippy
@kgchippy 9 күн бұрын
🫡got it
@bahatichenje6224
@bahatichenje6224 4 күн бұрын
Mm nikiwa ni follower wa Dan naona amesaidia wengi na yuko na uwazi Mungu amubariki
@LucyWambui-qr1pw
@LucyWambui-qr1pw 10 күн бұрын
Perfect said bro ❤❤❤❤❤❤
@kgchippy
@kgchippy 9 күн бұрын
❤️🫡
@dhahabukalama2635
@dhahabukalama2635 8 күн бұрын
Dunia ya sai hatuamiani ndo mana tunafanya vitu wazi, mm naona sio vibaya.
@SabraAbuu-f5z
@SabraAbuu-f5z 10 күн бұрын
Ata mungu anasema ukitoa na mkoa wa kulia yaafaa ata mkono wako wa kushoto usijue umetoa nini, hiyo ndo swadaqa, lakini izo zingine huwa ni kuuza sura 😂😂😂
@harrietwale
@harrietwale 10 күн бұрын
Kabisaaa lkn misaada ya kilo imekuwa kama biashara mungu atusaidie❤
@sharifaalgassab5683
@sharifaalgassab5683 10 күн бұрын
Wale waliomuona,huyo mama ndio wanatoanga misahanda, akuna shinda, kwasababu, mbaada ya kuonekana misahanda inapatikana,utaona amenjengewa, na wasamalia wema
@carloskarisaqatar123
@carloskarisaqatar123 3 күн бұрын
Saidia ww kama unauwezo usiangalie je utangaliwa na watu plz
@MejumaaRashid-s8g
@MejumaaRashid-s8g 9 күн бұрын
KG hujaelewa lengo lao lengo ni kunawatu wanadanganya hawapeleki kwa wahusika lengine pia kuonyesha inasaidia hata sisi wasilamu tulio sahau majukumu yetu ya kusaidia tione na tukumbuke tuchangie wasio jiweza huyu uama ubaya kg siyeye pekeyake miwengi wanaochanga akifanya siri hatopata msada wawengine ndio manake waeke hadharani mm nafurahi na anvyo fanya inanigusa kwakweli Mungu azidishie palipo pungua na wote wale wanao toa kwa ajili ya Mungu
@TommyAli-s1b
@TommyAli-s1b 9 күн бұрын
Hiyo n kujionyesha bt c kusaidia... very sad 😭😭
@kgchippy
@kgchippy 9 күн бұрын
😔apo sasa
@Franciscah-ks5zq
@Franciscah-ks5zq 3 күн бұрын
Wacheni kuongea pasipo kuelewa na kutafakari kiroho,, mm mwenyewe ni mfuasi wa apostle Dan na siezi acha kusaidiana naye kuchange life ya wasiojiweza
@marymutavi
@marymutavi 10 күн бұрын
Kg wenye kutoa hela ni fans na wanatoa cz wanaona kazi zinafanya,hawezi saidia peke yake ,hafanyi hio mtu mmoja na suport anasurpot wengi
@CHIPANDE-v6z
@CHIPANDE-v6z 10 күн бұрын
Facts 100% ❤
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 10 күн бұрын
Kheri mtu wa kufanya mema in private than giving someone something in public ask why ata Mungu alijuwa ndio akasema anae muhimidi Mungu mbele ya watu au kuswali mbele ya watu waone ulivo kuwa mtu wa kumtihi Mungu ukiwa peke yako machafu unayo fanya ni mengi kuliko mazuri mbele ya watu Skuhizi a lot of people wanafanya kama biashara yao Mimi nipe bila kunichukua picha watajuwaje umenichukua picha umenipa behind the scene umeenda nacho . Kisha ukitaka kusaidia fanya kwa moyo wako na sio kutegea umaskini wa watu uchumi kwako sio poa . Wafu wengi wanapitia hard time out here hawasaidiwi lakini pia kuna watu wanataka wasaidie watu wengi na bado waogopa juu wengi ni scammer hata pale barabarani wengi ni kuigiza uli wapate sio kuwa ni walemavu no nikwasababu uaminifu ulipotea😢
@CHIPANDE-v6z
@CHIPANDE-v6z 10 күн бұрын
Una point mdada 🫡 thank I have people here who think more MashaAllah ❤
@CateKiminja
@CateKiminja 10 күн бұрын
Chenye unaweza elewa nowadays usipoonyesha evidence hakuna mwenye ata kuamini ....anafanya hivyo juu si pesa yake ya mfuko anasaidia nayo ndio maana ana records ndio apate mwingine wataskikana waweze kusaidia
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 9 күн бұрын
@@CateKiminja yes we know but the point is a lot of people they do for business wanaeka mfukoni lakini pia mbona umkimbie mamako bila kumpa usaidizi na wamwachia mtoto au watoto unapo mwona mamako online anatrend asaidiwa waskiaje ? Sometimes we need to think alittle.
@CateKiminja
@CateKiminja 9 күн бұрын
@zahraabdul9652 hapo kwa kugawa na kutia mfukoni tumwachie Mungu ndiye atamhukumu juu hatuwezi jua kiwango ila tu Mungu anayejua but cha muhimu wacheni tuangalie sana in a positive way
@MaryN-k3e
@MaryN-k3e 9 күн бұрын
Si vizuri hata mm huwa spendi hivyo vitu😢😢
@KhadegaK-g5e
@KhadegaK-g5e 7 күн бұрын
Hapo kwemye vidio wanankera sanaa😢. Ukitoasadaka haitwakiwi mtu yoyote ajue daah😢😢😢
@RutaMsukya
@RutaMsukya 9 күн бұрын
By the way KG , TZ wanafanya hivo sana kama kuanjengea, kuachukua kuapeleka hospital, kuasomesha, so bro wacha wachukue video lakini wafanye kazi nzuri , mungu ndie atawajaji huko,
@AshaKhamis-h5f
@AshaKhamis-h5f 8 күн бұрын
🥹🥹🥹🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@marydzala890
@marydzala890 9 күн бұрын
Kg happ hakuna shida kujaribu mtu imani yake ju watu wengibe wakorofi alafu pastor Dan ako na mafans wake hafanyi io charity pekeyake ndio wale waprove kama anatoa maana watu hawaaminiki
@LLl-p4r3l
@LLl-p4r3l 9 күн бұрын
Warecod ndowatu wawe na uhakika ingawaje inauma ila bila hivo hutoaminika juu huyo pastor huwa anajenga hadi nyumba nayuarudi pale anqonyesha hio nyumba pamoja naiyo family wakitoa shukuran zao so nibora watu watu waone
@RoselnyEstua-bj9ri
@RoselnyEstua-bj9ri 9 күн бұрын
KG mwenye ajahona shita awesi juwa ukweli kabisa Mimi nimeyapitiya tukalal jaa siku tatu pila chocolate paka nikachemusha ovacado
@ImanMm-n8u
@ImanMm-n8u 6 күн бұрын
Kweli
@wamalwapamelapamela5028
@wamalwapamelapamela5028 8 күн бұрын
Mutajuwaje kama wanasaidia ndio mutowe pesa ama mu support yeye aki i don't think that's wrong
@SabraAbuu-f5z
@SabraAbuu-f5z 10 күн бұрын
Sio sahihi kuonyesha chenye umetoa,alafu ni kama huyo anaye pewa msaada ana dhalilishwa,na sio vyema kufanya ivyo.
@MitchellErmina
@MitchellErmina 10 күн бұрын
Sio hivyo heri tuone ndio kama una kitu unaweza tua pia kenya tukiungana tuwe na group yetu yakusaidiana hatuwezi kosa kuishi vinzuri
@SabraAbuu-f5z
@SabraAbuu-f5z 3 күн бұрын
@@MitchellErmina 😂😂😂😂
@ZulfaZulfa-yq1ym
@ZulfaZulfa-yq1ym 9 күн бұрын
Siyo vizuri nikumdalilisha mtu hatakama anakitu siyo kila mtu ajue
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio 9 күн бұрын
Hapo anapoishi kuna watu wanaojua umaskini wake.....kufanya hivi ili wengine tuhamasike haraka kumsaidia.
@LOVELYAggie
@LOVELYAggie 9 күн бұрын
Lazima fans wajue pesa wanatoa zinafanya nini coz pst hatoi pesa mfukoni,,,wale tuko mbali yafaa tione ni nani tunasaidia na ako ali ipi
@kgchippy
@kgchippy 9 күн бұрын
🫡
@JoyMoraa
@JoyMoraa 9 күн бұрын
Sioni ubaya wa dan kufanya video,sasa kama sio video hata wewe ungejua kweli kuna mama ako njia kama hiyo, hizo videos ndio zinafanya naye aweze kupata pia usaidizi yeye peke yake hataweza
@vikimartin9441
@vikimartin9441 10 күн бұрын
Ni mhitaji kweli,na wewe Kama ni mtoto na huyo ni mzazi ulikuwa wapi mpaka familia isaidiwe? Na sisi jamii hatusaidii Wala hatutoi mpaka tuone mazingira ya huyo mtu tumuone mtu,hata akipeleka nusu haijalishi hata hicho anachokifanya si rahisi kuna sehem nyingine anataka kupigwa
@roselineajema3847
@roselineajema3847 9 күн бұрын
Mimi naona n vema kuweka kwa media ndio wale wanaupungufu wawexe kupata misaada kutoka kila kona ya ulimwengu
@TommyAli-s1b
@TommyAli-s1b 9 күн бұрын
Unaeza twaa picha y mazingira bt c video..
@kgchippy
@kgchippy 9 күн бұрын
Na wengine huwaambia wanaowaseidia waongee wakiwarecord
@RehemaCharo-ir6vs
@RehemaCharo-ir6vs 9 күн бұрын
Hapo kwa vidoe ndo huwa wananikera mm
@kgchippy
@kgchippy 9 күн бұрын
Nkudhalilisha
@jamillahmussa3775
@jamillahmussa3775 9 күн бұрын
Nakuelewa KG, but kwa sasa wacha wafanye tu kwa dhahiri, ju nilionaa Zahir wa TZ alijaribu kufanya kwa siri wakasema alikula pesa hadi alianza hadharani, alafu ukifanya kwa siri pia utakosa wakukusaidia ju hayo hutaweza pekee lazima uwe na mikono ya kukusaidia, na bila video watu hawatajuwa, ju pia wewe umeona lile clip kwa kupitia video, so kuna watu wa kusaidia but hawafiki ila kupitia video wengi watashuhudia na watajitokeza, tena wambali, ju kwa siri itabakia ni wewe tu, ata kuna foundation ya uislam pia inasaidia
@loicekhanali-xd5xz
@loicekhanali-xd5xz 10 күн бұрын
Sasa kaa sina uwezo wa kusaidia wazazi wangu afu mtu🎉ajitokeze kusaidia shida n gan KG? Ruto anapoteza ma bilioni za pesa bila kusaidia maskini buana
Team Gulf mmefikiwa kukatalia Uarabuni kwenu utarudi tu 🤣
9:32
KG CHIPANDE 🎙
Рет қаралды 5 М.
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
My unforgettable experience in Saudi Arabia
1:31:53
SEMA YOTE
Рет қаралды 11 М.
Mkenya alie maliza watoto wa mwarabu Oman akanusha madai
9:29
KG CHIPANDE 🎙
Рет қаралды 24 М.
GOVRNOR WA MOMBASA AJIRI WAHUNI
9:17
Alfan Ramak
Рет қаралды 11 М.
HII INA UKWELI? HISIA ZIACHE JKIA MSAFIRI WA UARABUNI😆
7:40
KG CHIPANDE 🎙
Рет қаралды 3,4 М.
WAISLAM ACHENI KUWATUSI WAJIBUNI KWA HEKMA - UKHTYDIDAS
11:57
KG CHIPANDE 🎙
Рет қаралды 2,4 М.
Umkhulu wathi ngimqaphele uShembe
15:35
My Nati
Рет қаралды 345 М.
Ogopa marafiki Dubai visiting visa yamtoa uha! kazi ya kujiuza
15:08
KG CHIPANDE 🎙
Рет қаралды 94 М.