😂😂😂😂mtasubiri sana. Uchambuzi wako uko sahihi lakini title yako imekaa kiumbeya sana ndugu mchambuzi. Nenda kamsikilize tena alichosema Trump, hajasema anafukuza wa Africa. Kasema anafukuza wahamiaji haramu pamoja na waliohamia kihalali Ila chini ya visa ya asylum na walioingia kama patrolled wakati wa utawala wa Biden kuanzia 2023.😂😂😂😂ety kimewaramba na watu wanafurahia kabisa kwenye comments section. Nasema😂hivi, mtasubiri sana na tutaishi huku mpaka tupachoke tu wenyewe😂😂😂😂🤣🤣🚶♂️nimegundua pia watu wanachukia kuona mtu anaishi USA😂😂poleni sana
@zahraabdul965253 минут бұрын
Nyie mna mambo duh 🤐
@LOVELYAggieСағат бұрын
Lazima fans wajue pesa wanatoa zinafanya nini coz pst hatoi pesa mfukoni,,,wale tuko mbali yafaa tione ni nani tunasaidia na ako ali ipi
@kgchippyСағат бұрын
🫡
@Mzawadi2 сағат бұрын
𝑵𝒐𝒎𝒂 𝒔𝒂𝒏𝒂
@fardoshnassor78473 сағат бұрын
🥀
@rosewilliamson21533 сағат бұрын
That’s true running away is the courses of problems a broad. Return and re apply
@flinchclassic15314 сағат бұрын
Na mbona kazi za malls na hotels ni wao mbona sisi hatu complain wa tuache anataka kutrend na sisi
@winfredmundali54414 сағат бұрын
not all africans are doing that , sorry
@winfredmundali54414 сағат бұрын
if that’s your wish , it may not happen in your lifetime
@salimmachila57364 сағат бұрын
But still sisi wakenya twazubaa of which we can change job
@MwanalimaGalgalo5 сағат бұрын
Watu watafuta maisha bwana😂😂😂
@Kassimwekesa-g3d5 сағат бұрын
Ameogopa allah❤❤❤walahi aliona mungu cikitu wakuchezea
@benjaminongera46675 сағат бұрын
Hee wengi mnafurahia waafrica warudi makwao😢😢😢😢
@deeruta98946 сағат бұрын
Good System
@Amira1977-y6 сағат бұрын
COZ ONLY AFRICANS CAN DO THAT JOB, LOW PAYMENT
@rodgerswasike22096 сағат бұрын
Huyo ako na ujinga .Qatar security guards ni Nepal's huyo ni vita anapiga tu blacks cuz Kenyans are needed cuz of their had work .I know those ppl ....ni colour inamusumbua
@bfhgwhdbeh93316 сағат бұрын
😭😭😭😭😭😭😭
@kajinjirashid55907 сағат бұрын
Wakenya si wezi na hawafanyi ukorofi uarabuni .kama nigerians..huuza madawa za kulevya na vita kwa clubs
@Walibright7 сағат бұрын
She is a comedian I now her
@thomasdioffu27187 сағат бұрын
Yeya kazi yake anaeza fanya ni kazi za ndani, security haitaki makurutu wenye hawajui kingereza
@jamesnjiru59287 сағат бұрын
If your there illegally u must be deported.
@saudaumar33547 сағат бұрын
Allah ndie atowae riziki waje nyumbani kwa furaha, nyumbani ni nyumbani ikiwa unamali yako uza ujenge nyumbani karibuni coast ni kwenu
@fatmaali25348 сағат бұрын
subhanallah 😢😢😢
@kingofshorts68248 сағат бұрын
Wakenya wanapendwa juu ya communication skills i have been a security in qatar for 7years sahii and year wafrika ndo wengi also arabs like egyptians wanafanya
@noushaddammam88059 сағат бұрын
ukweli siku zote auna dada usichoke kuwapasha tuko nyuma yako
@TommyAli-s1b9 сағат бұрын
Unaeza twaa picha y mazingira bt c video..
@kgchippyСағат бұрын
Na wengine huwaambia wanaowaseidia waongee wakiwarecord
@TommyAli-s1b9 сағат бұрын
Hiyo n kujionyesha bt c kusaidia... very sad 😭😭
@kgchippyСағат бұрын
😔apo sasa
@MagretAndeka9 сағат бұрын
Waaah...naskia tuh kelele qwa maskio😢
@ErickOmosa-dm7wm9 сағат бұрын
According to my opinions security job inapewa wakenya coz they accept low payments compared to Indians and Filipinos who come as technicians
@roselineajema38479 сағат бұрын
Mimi naona n vema kuweka kwa media ndio wale wanaupungufu wawexe kupata misaada kutoka kila kona ya ulimwengu
@jebokosgeikosgei69919 сағат бұрын
Huyu mama ni content creator no big deal iknow her
@BrianMbuvi-q4k6 сағат бұрын
yeah
@rosedzuya68699 сағат бұрын
Hawa wameharibu Dubai sasa wanataka waharibu pia Qatar,
@marydzala8909 сағат бұрын
Kg happ hakuna shida kujaribu mtu imani yake ju watu wengibe wakorofi alafu pastor Dan ako na mafans wake hafanyi io charity pekeyake ndio wale waprove kama anatoa maana watu hawaaminiki
@Kingpharaoh-r6q10 сағат бұрын
Shida yenu ni nini kwani tukirudi kenya tutakula kwenu? We've invested enough
@BarakaMalande10 сағат бұрын
Acheni ujinga hakuna atakae rudishwa hapa
@felixmoseti257010 сағат бұрын
Nataka ig yake ama tiktok😂😂😂
@SeveriniTemu10 сағат бұрын
Njooni nyumbani na mkifika huku Kuna Kila kitu tatizo kuto jiamini na wastuzuiye walie mfundii kuunda vyetu kianzia bunduki. Magari mjembe tufufue viwanda vyote tulime aridhi yote na tulime sio. Kitengeneza mvua tutengeneze usindikaji vyakula nyanya samaki ngozi za wanyama zisamanishwe madini yasamanishwe Sheria zisimamiwe vizuri watu wa usalama wawe imara tusigombanishwe hao wazungu wasitupangie marafiki tusifungamane na upande wowote jamani mnaofukuzwa huko marikani ondoeni hofu njooni nyumbani tuunde siasa safiii8iiiiiiiiiiiiiii tutafika tuuuuu mbona mwalimu Nyerere alitaka twende hukooooooo kulikoni china Korea nxK walitenda vema asante alikwazika anisamehe bureeeee
@EliezaRichard10 сағат бұрын
Awafukuzwe tu walikuwa wanajiona wapo mbinguni
@bethanyhealingsanctuary5851010 сағат бұрын
May the almighty GOD bless you and show you the way to move on and to maneuver in that Country till you get what you need. What I want you to know is it is NOT the end of the world, and GOD has good plans for you and you will go through by the grace of GOD. Shalom my people.
@EstherOyaro-x2u11 сағат бұрын
Mungu tu awapiganie hao makembo wa 🇺🇸 pia
@pauldadia339411 сағат бұрын
Kenyans are always smart, very dynamic --by the end of the day what matters is what you brought on the table
@barrackzain509211 сағат бұрын
Mbona lakini sisi wakenya hatuna udugu??
@WycliffeMwendwa-b2m11 сағат бұрын
Ushamba ya waTz haiwezi kuwapeleka mahali,mtaishi hiyo tz yenu milele.mwanzo msome mwelewe luga inayounganisha ulimwengu wote.yani english
@hajikhatib88409 сағат бұрын
We mkundu tuu wtz hawatumwi ovyo ivyo broo ...kwa salary ya 1400 or 1500qr ...wengi wa tz wako europe fuatilia utajua wazanzibar ndio kibao enda diaspora ndio uranifaham
@marrymangaro361311 сағат бұрын
Kwani hqkukuwa na camera 📷 [cctv
@EstherOyaro-x2u11 сағат бұрын
It's so sad when the African report others to be deported that's not fair at all
@RastaFaston11 сағат бұрын
Mimi naona nivizuri kulikombeguzetu Zaki Africa zije kugeuzwa mashoga afazali warudi tupambanie africa yetu vizurisana wakuu wa africa wajifunzenawenyewe
@fatumamatano996611 сағат бұрын
Walijisahau kwamba nyumbani ni nyumbani nakundarau watu kimewaramba
@RastaFaston11 сағат бұрын
ASA awa wanafukuza nduguzetu umarekaninahawaja achakutuchonganisha tumalizani kuuwana sasa kama congo yani uyuniuzuni sana
@jamillahmussa377511 сағат бұрын
Nakuelewa KG, but kwa sasa wacha wafanye tu kwa dhahiri, ju nilionaa Zahir wa TZ alijaribu kufanya kwa siri wakasema alikula pesa hadi alianza hadharani, alafu ukifanya kwa siri pia utakosa wakukusaidia ju hayo hutaweza pekee lazima uwe na mikono ya kukusaidia, na bila video watu hawatajuwa, ju pia wewe umeona lile clip kwa kupitia video, so kuna watu wa kusaidia but hawafiki ila kupitia video wengi watashuhudia na watajitokeza, tena wambali, ju kwa siri itabakia ni wewe tu, ata kuna foundation ya uislam pia inasaidia
@blessedggithinji619211 сағат бұрын
Nabii salome alitabiri haya hata kabla itokee nimeheshimu na kutii unabii wa pastor Salome🙋🏼♀️🇰🇪asante Ndugu kutuletea hii habari