INASIKITISHA, BINTI ALIEFANYA MAPENZI NA MSUKULE, SIMULIZI YA KWELI.

  Рет қаралды 58,874

Ankojay Simulizi

Ankojay Simulizi

Жыл бұрын

Kwa jina naitwa Stella. Ni mtoto wa pili na mwisho kuzaliwa katika familia yetu. Kwa sasa ninapokusimulia mkasa huu nina umri wa miaka ishirini na saba.

Пікірлер: 140
@violetmulya
@violetmulya Жыл бұрын
Inasikitisha sana ni vyema unapoambiwa Jambo na watu zaidi ya mmoja usipuuze, na pia unapo Kodi chumba mtangulize mungu maana haujui kimejengwa kwa njia gani ama aliye tangulia humo alikua MTU wa Aina gani, maombi muhimu nashukuru alipata kuokolewa mwishiwe,
@yohanamagehematictok
@yohanamagehematictok Жыл бұрын
Kabisa dadangu
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Eee kabis mm nae yalinikut ila mm sijuw walishidw vipi mwenzang mpk leo sijuw mzim ama amekufa nyumb za kupang Dar sitosahau
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Eee kabis mm nae yalinikut ila mm sijuw walishidw vipi mwenzang mpk leo sijuw mzim ama amekufa nyumb za kupang Dar sitosahau
@violetmulya
@violetmulya Жыл бұрын
@@aminatanzanya7475 vyumba tunavyopanga ni mungu tw ndo hutufunika mama, pole sana uyo mwingine pia kama bado yupo hai mungu atamuonekania wakati wake ikifika🙏🙏🙏🙏
@user-ij1yh2ur8v
@user-ij1yh2ur8v 6 ай бұрын
Duuu pole saana ster😢😢 Dunia adaa ulimwengu shunjaaa huy mama mweny nyumba hafiz kabisaq ila hukum yake ipo😢😢
@patriciakyalo3454
@patriciakyalo3454 Жыл бұрын
Wakumi 😢 leo Kwa hili Acha nisikize saa
@DalinaSamweli-ji3fc
@DalinaSamweli-ji3fc Жыл бұрын
Hey guys anko jay anatukosha na simulizi anko jay asante mwenyez mungu akulind ❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏 thnk you so much ank jay
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 Жыл бұрын
Anko jay asante kwa kibao hiki achanikae mkao wakula sasa
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
Pole Dada majaribu ni sehemu yamaish mwamin Mungu katk kila jambo
@franciscassian
@franciscassian 11 ай бұрын
Mungu akubariki anko jay kwa simulizi nzuri tena zenye mafunzo 🙏
@hawrashabani2102
@hawrashabani2102 10 ай бұрын
Amiyn nizur simulizi zake
@user-ps1sj8mx7e
@user-ps1sj8mx7e 8 ай бұрын
anko jay piya asante iyo nimafundisha kwe tu
@asharamadhan9573
@asharamadhan9573 Жыл бұрын
Wakwanza Leo jaman❤❤❤❤❤
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Жыл бұрын
Ni kweli kabisa nimepitia huko na bado nipo kwenye mapambano ni Mungu tuu ndio msaada wangu inauma sana ai😢😢😢
@Zikomowiliam4096
@Zikomowiliam4096 Жыл бұрын
Pole 🥺
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Жыл бұрын
@@Zikomowiliam4096 ahsante but kudra yashinda jitihada kikubwa imani
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Жыл бұрын
Wallah nilisahau jina langu kabisaa yaan km move ya kinaigeria ujue
@fatumajumanne5961
@fatumajumanne5961 Жыл бұрын
Ngoja 2one 2naishia wap na hil pcha la kutisha ❤❤❤
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 Жыл бұрын
Congratulations 👏👏👏 tunashukuru sana anko Jay kwa kazi nzuri japo umechelewa kidogo kutusimilia, bado twakupenda tena sana tuko pamoja na wewe mungu akubariki sana
@fatimafoaani2263
@fatimafoaani2263 Жыл бұрын
Jamani naomba niulize vp dada yetu Lisa mwana mbona kimya ivo au kaenda livu si kwa ubaya tumemiss sana ndo mana
@DeboraMwasweba-ij4qf
@DeboraMwasweba-ij4qf Жыл бұрын
0
@zuhurashaif3165
@zuhurashaif3165 9 ай бұрын
Kwani we Stellar hukuwa na wazazi ama ndugu zako ukawaeleza hata kwa njia ya simu au hukuwa ukiwatembelea na kuwaeleza kuwa uko kwenye majanga namna hiyo!?, Inashangaza, ulazimishwe kuishi kwenye nyumba ya kupanga yenye mambo ya ajabu namna hiyo Kama vile huna ndugu!?, Ndio maana sometime story Kama hizi inakuwa ngumu kuaminika.basi hukuwa na akili nzuri may be urirukwa na akili.
@binthassan9191
@binthassan9191 Жыл бұрын
😢😢leo tunasikiliza mambo na msukule ..sai nimetulia naeza kusikiliza simulizi kwa umakini ,,Ahsante Anko jay na juma hiza kwa simulizi yetu nzuri
@hawrashabani2102
@hawrashabani2102 10 ай бұрын
😅
@user-ul8id3ex6u
@user-ul8id3ex6u 9 ай бұрын
Nataman kujua mimba ilikuwaje....na kuhus misukule ilifunguliwa au .....but yapo meng ya kujifunza ..tunakushukr anko jay kwa kaz. Nzur
@linnamapunda2275
@linnamapunda2275 Жыл бұрын
Jaman mbn hii ni bongo move sema hii ni mama mwenye nyumba na bongo move ni baba mwenye nyumba huku umetumia jina la stera kule limetumika jina la eliza ila story n hiyo hiyo
@mediavumbi9243
@mediavumbi9243 Жыл бұрын
Mungu ni Mukubwa
@FURSA-REAL-HERO-VIPODOZI
@FURSA-REAL-HERO-VIPODOZI 9 ай бұрын
Kaali
@user-zm2fi4vu9o
@user-zm2fi4vu9o 10 ай бұрын
En tout cas neema ya Mungu iko ju Yako zingatiya Mungu daima
@BijouxKikwindi
@BijouxKikwindi Жыл бұрын
asatesana anko nimejifuza vigi kwenye hi simulizi yako mungu akubariki sana kwasimulizi hi zuri tunatakiwa tujifuzekabisa🙏🙏
@nurafedrick378
@nurafedrick378 Жыл бұрын
Wachawi mbinguni mtafika kuchelewa sana lkn huezi kushindana na Mungu palipo Mungu kuna usalama halafu sio buni nimeogopa nikafikiri niyakubuni kumbe true sty loo pole mwaya yasikie kwamtuu tuu ila yasikufikie
@elvisboniface9665
@elvisboniface9665 Жыл бұрын
Moto umewakaa 🔥🔥
@sumaiyairakoze1454
@sumaiyairakoze1454 Жыл бұрын
Wakwanza
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 11 ай бұрын
Hivi kwani hawa wachawi wana power gani kiasi cha kushindana na mungu,wakati wao wameumbwa na Mungu pia.mungu tusaidie waja wako sisi tusiojua uchawi tunaonewa sana hapa duniani.
@mudydimoso6559
@mudydimoso6559 6 ай бұрын
Pole sana kwa kuteseka,uchawi upo ila unakutesa kutokana na umani yako ilivyo,kama imani yako inakuwa thabiti hayo mateso utayasikia kwa wenzio kama tunavyoyasikia sisi
@user-lw8yn5lg7f
@user-lw8yn5lg7f 7 ай бұрын
pole Sana kipenzi 😢😢😢😢
@ZombieZombiekille-wf6mo
@ZombieZombiekille-wf6mo 9 ай бұрын
Ila Sister Alikuwa Slow sana yani akiambiwa kitu namtu mgumu sana kuelewa ata mbaya wake pindi anapo jaribu kumpa onyo alikuwa anashindwa kuelewa nini alikuwa ana maanisha
@user-ps1sj8mx7e
@user-ps1sj8mx7e 8 ай бұрын
dada pole sana. ila mungu hawezi kuacha
@christinesifaruwa
@christinesifaruwa Жыл бұрын
Weee pole sna dada ila Mungu ni mwema sana na inatupasa kwimwita yy Kila wakati mahali popote ili atuangazie
@fatmasalumally
@fatmasalumally 9 ай бұрын
Hongera uncle jay😊
@Syviahalex
@Syviahalex Жыл бұрын
Better late than never,acha nitoe strees za warabu sasa😂
@jawahirkahinmadar1459
@jawahirkahinmadar1459 Жыл бұрын
Onko jay huyo binty hana wazazi au ndugu 😂😂
@gladnesskajela7263
@gladnesskajela7263 Жыл бұрын
Nashangaa kuhangaika kote huko alishindwaje kurudi kwa wazazi? Kama alikua na uwezo wa kwenda kazini ama kweny mizunguko mingine why not home?
@winifridatairo6660
@winifridatairo6660 Жыл бұрын
Huyu dalali Mbegu ndio walewale,,,, Usikute wako chama kimoja na mama mwenye nyumba, 😥😥😥😥
@winifridatairo6660
@winifridatairo6660 Жыл бұрын
Madalali hawa baadhi si wema kabisaaaa,,, Anakupeleka mahali ambapo anajua fika kuwa si pema ili miradi ameshapokea pesa yake hahisi hata hatia moyoni. 🥺🥺
@zuenahz5514
@zuenahz5514 Жыл бұрын
Anko Jay Simulizi zako ni nzuri na zinatufunza ila zinatisha usiku hadi naogopa kuzima taa 😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@bakarifatuma5004
@bakarifatuma5004 10 ай бұрын
Anko jay simuliz zako ni nzuri na zinatufunza zinatisha usiku Hadi naogopa kizima taa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@sophiahassan-kn7ov
@sophiahassan-kn7ov Жыл бұрын
Hi guys vipi huku hope sijachelewa wadau twende nalo Anko wetuuu😊
@shadyasalum192
@shadyasalum192 Жыл бұрын
Hafadhali ankojay maana hapa niliboeka hapa bila simulizi hii simulizi sasaivi nasikiliza usiku nitaogopa 😄😄
@mwapendosultan887
@mwapendosultan887 Жыл бұрын
shoga ndio nimeanza apa
@shadyasalum192
@shadyasalum192 Жыл бұрын
​@@mwapendosultan887mieemiee ndiyo nasikiliza muda huu jana sikuweza halafu na lala pekeyangu😂😂😂
@jacklinekwamboka6245
@jacklinekwamboka6245 Жыл бұрын
Pole sana sitera😭😭😭😭 mungu ni mkuu kwa yote
@RaifaMbarouk-wx1kq
@RaifaMbarouk-wx1kq 11 ай бұрын
Mtihan hiii Dunia daaa pol dada sitela 🤲🤲
@mediavumbi9243
@mediavumbi9243 Жыл бұрын
Pole sana dada sitela
@mercykhalayi
@mercykhalayi Жыл бұрын
Nimejifunza mengi kwenye hii simlz ya msukule, na ingine ya mahakama ya wachawi, jaman ankojay bamoja na muandish mubarikiwe Sana...yani sio Siri wanimaliza appetite ya simuliz zaa mapenzi duh!
@wahidaali4494
@wahidaali4494 10 ай бұрын
duh kumbe tupo wengi mm mwenyewe sjaskiliza km miez mi3 😂
@user-yl4zp5qd7t
@user-yl4zp5qd7t 8 ай бұрын
Mahakama ya wachawi ilibamba!!! Tena naomba anko Jay azame ktk simulizi km hizo na ujasusi na inayofanana na Safar ya Mvuvi Ahsante
@loraumuhire4755
@loraumuhire4755 Жыл бұрын
Sawa mbona hamukutwambia kama arizara mutoto mugani?
@user-yv2cg9rd4s
@user-yv2cg9rd4s Жыл бұрын
yaani maisha mengine ni MUNGU ayaingilie kati tuu
@arafatyhussein
@arafatyhussein Жыл бұрын
Anko jay naomba hizi simulizi zenye KUTISHA uwe unazrusha usiku 😂❤ mida ya SAA mbili+
@mwanajumamohammed4356
@mwanajumamohammed4356 Жыл бұрын
Utalala kweli
@madagascar8873
@madagascar8873 Жыл бұрын
Afadhali ungesema awe anatoa onyo 😂😂😂
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 Жыл бұрын
Hahaaa navile hua najiona naota hayo mauza uza baada yakuskiza hizi simulizi zakutisha😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@arafatyhussein
@arafatyhussein Жыл бұрын
@@mwanajumamohammed4356 😁😁
@arafatyhussein
@arafatyhussein Жыл бұрын
@@madagascar8873 😁
@nadrasalum6039
@nadrasalum6039 Жыл бұрын
🤔🤔🤔
@user-bh3of7hu6h
@user-bh3of7hu6h 5 ай бұрын
Mimi namin hayamambo yapo ata mm ilisha nikuta nyumba moja tabata wallah!sinto kuja kusahau
@winifridatairo6660
@winifridatairo6660 Жыл бұрын
Mmhh!! Si kwa ujasiri huu wa kuuliza sauti ninayo isikia bila kumuona mtu 😳
@GradnessJohn-tg2bb
@GradnessJohn-tg2bb Жыл бұрын
Daaaaaaaah😢😢😢
@GradnessJohn-tg2bb
@GradnessJohn-tg2bb Жыл бұрын
🎉🎉🎉
@ruthkavai3453
@ruthkavai3453 11 ай бұрын
pona sana sis mambo ni 🔥🔥🔥🔥🙄🙄🤔🤔🥺🥺🥺
@user-rp7dc6ht1v
@user-rp7dc6ht1v 10 ай бұрын
😂jaman pole sans
@mwapendosultan887
@mwapendosultan887 Жыл бұрын
ikawawaje kalala na msukule ebu twende sasa kusikiliza
@PonchaCastro-ho9wr
@PonchaCastro-ho9wr Жыл бұрын
Kaka kaza unajua san saut yasimuliz ipo bro smuliz nikali mnoo aseee
@mwanamgenimohammed7904
@mwanamgenimohammed7904 Жыл бұрын
😢😢😢😢wachawi siwatu mungu atusaidie
@user-sx8zf9sf8e
@user-sx8zf9sf8e 29 күн бұрын
😢😢😢mmmmh jmn kuna wa2 wanapitia changamoto pole mwaya
@user-wp4sk2hn1f
@user-wp4sk2hn1f 4 ай бұрын
Pole sana 😢
@user-ey3dr3wg5s
@user-ey3dr3wg5s Жыл бұрын
Thanks anko jay for a sweet story umenifanya niweadicted na simulizi zako
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Ahsante sana
@rizmarramadhan1483
@rizmarramadhan1483 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤
@bashiryusuph7109
@bashiryusuph7109 Жыл бұрын
ankojay nimesikiliza story mbili zako , ninacho weza kusema kaza kaka Jamal April ajipange
@mckubo2021
@mckubo2021 Жыл бұрын
wew acha kulinganisha chips na makande huyu ni bora ila jamal ni bora zaidi
@TheleciaMashiku-iu3no
@TheleciaMashiku-iu3no 11 ай бұрын
Mmh 😢😢😢😢
@Pretty22750
@Pretty22750 Жыл бұрын
Shukran ❤️❤️🥰
@IreneSilayo-cy1ih
@IreneSilayo-cy1ih Ай бұрын
Pole sana dada stella
@beatriceonsongo9915
@beatriceonsongo9915 Жыл бұрын
❤❤❤
@jacklinekwamboka6245
@jacklinekwamboka6245 Жыл бұрын
Msukule ni nini niambie sijui😮😮😮😮😮😮
@Syviahalex
@Syviahalex Жыл бұрын
😂😂😂😂
@husnakamana
@husnakamana Жыл бұрын
🤔🙄❤❤❤
@HappynessRobert-p2z
@HappynessRobert-p2z 17 күн бұрын
Daaa pole san dada angu😭😂😂😂
@user-cx2ps9vs1v
@user-cx2ps9vs1v 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@christinasinderema3005
@christinasinderema3005 10 ай бұрын
❤❤
@mayasamayasa1205
@mayasamayasa1205 Жыл бұрын
Pole stella
@user-qx4bj2vc2p
@user-qx4bj2vc2p 9 ай бұрын
Saluti anko JJ
@wilkisteradhiambo3072
@wilkisteradhiambo3072 11 ай бұрын
Aiii inatisha sana
@espererancesudi7600
@espererancesudi7600 Жыл бұрын
To be continued
@tulungetulunge1309
@tulungetulunge1309 Жыл бұрын
Nice story ❤
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Thanks for watching
@IreneSilayo-cy1ih
@IreneSilayo-cy1ih Ай бұрын
Pole sana dada
@SharletAziza
@SharletAziza 11 ай бұрын
🙏🙏🙏
@minahmtaki7119
@minahmtaki7119 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@mansoormannix1753
@mansoormannix1753 Жыл бұрын
Msukule ni majini ama wale watu walitekwa na kufanywa vizuzu na wachawi kwa ajili ya kufanywa utumwa?
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Misukulie Ni watu ambao kwa dunia ya kawaida tunajua wamekufa ila katika ulimwengi wa giza ( wachawi ) wanakuwa hawajafa, wanatumikishwa katika mambo mbalimbali
@ZainabuAlly-wh7th
@ZainabuAlly-wh7th Жыл бұрын
Duuuuhhhh🥺🥺
@AMINAMOHAMED-de7gb
@AMINAMOHAMED-de7gb 6 ай бұрын
Jamani eeh kubalini uchawi uko Tena kwa herufu kubwa tu.
@kanezalyxa5898
@kanezalyxa5898 Жыл бұрын
asanteeee
@user-se7my5px1y
@user-se7my5px1y Жыл бұрын
Anko jay simulizi ni zuri ila inatisha lo
@violetmulya
@violetmulya Жыл бұрын
Better late than never Acha nisikilize simulizi sasa ❤❤❤
@user-do1ky4oc4i
@user-do1ky4oc4i Жыл бұрын
Part 2
@ankojay_
@ankojay_ Жыл бұрын
Haina part 2, Hii ni Full Story
@hamisashabani7884
@hamisashabani7884 10 ай бұрын
Mmmmmmmmmm had naogopa
@estherimbotsi7553
@estherimbotsi7553 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-dc5he7ss6f
@user-dc5he7ss6f 3 ай бұрын
Nyumba za kupanga nomaa😢😢😢
@michaelwafula1576
@michaelwafula1576 Жыл бұрын
bwana yesu apewe sifa
@GraceDavid-nq4zc
@GraceDavid-nq4zc 3 ай бұрын
Anko mbona umetukatisha jaman bint minah party 06 tunaomba muendelezo
@MashaHalfani
@MashaHalfani 4 ай бұрын
Hii mbona movie yake nishawahi kuiyona inaitwa mchawi kijana
@FaridaRajab-ce7ed
@FaridaRajab-ce7ed Жыл бұрын
jamani🙄🙄🙄🙄🙄🙄😟😟😟
@tabiasalum3381
@tabiasalum3381 Жыл бұрын
Kwa kwel
@jawahirkahinmadar1459
@jawahirkahinmadar1459 Жыл бұрын
Katika simumulizi mbovu anko jay 😂😂❤
@user-mx8dr6zt2g
@user-mx8dr6zt2g 2 ай бұрын
Ibada jamani vijana
@agnesagnes5288
@agnesagnes5288 Жыл бұрын
😢😢
@user-mx8dr6zt2g
@user-mx8dr6zt2g 2 ай бұрын
Alikuwa aswali angekuwa anafznya ibada ni dawa kulala na baibo
@sherrykhaly8098
@sherrykhaly8098 4 ай бұрын
Anatubu vipi akati auliwe kauwa wangapi 🙄
@Winniequinepretty-wm7rr
@Winniequinepretty-wm7rr Жыл бұрын
Better late than never mungu atusaidia popote tulipo shukran anko jay
@user-zm2fi4vu9o
@user-zm2fi4vu9o 10 ай бұрын
Ulizalaka?
@zenaathumani8144
@zenaathumani8144 Жыл бұрын
🙏🙏🔥😂🥰
@aminah9557
@aminah9557 Жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔 msukule tena
@nadrasalum6039
@nadrasalum6039 Жыл бұрын
🤔🤔🤔
@shaklamwai7868
@shaklamwai7868 Жыл бұрын
❤❤❤
@user-de1dp8lk5m
@user-de1dp8lk5m 5 ай бұрын
❤❤
USIJARIBU KUMTONGOZA HUYU MWANAMKE - SIMULIZI YA KWELI YENYE KUSISIMUA
2:12:35
SIMULIZI FUPI: KIVURUGE, SIO CHAGUO LANGU.
2:02:15
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 29 М.
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 61 МЛН
MSELA - SIMULIZI YA MAPENZI
2:04:52
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 48 М.
SIMULIZI MPYA - SURA YA MTU, ROHO YA SHETANI - SIMULIZI YA KUSISIMUA
3:00:56
HATA LINI : SIMULIZI TAMU YA SAUTI KUHUSU UAMINIFU
6:56
EKI MEDIA
Рет қаралды 1 М.
NILIVYOSAFIRI NA JINI KUTOA DAR MPAKA MOSHI
1:50:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 174 М.
AMIGERY PART 1 : SIMULIZI FUPI YA SAUTI.
4:11:41
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 25 М.
SIMULIZI FUPI: REHEMA WA TANGA, By Ankojay
2:07:25
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 57 М.
NDOTO NYINGI NI ZAKWELI // SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:05:14
arkas online tv
Рет қаралды 9 М.
Бушмен и бабуин. В поисках воды.
0:42
BERMUDA
Рет қаралды 11 МЛН
我说我不是故意的,你们信吗
0:25
侠客红尘
Рет қаралды 25 МЛН