Рет қаралды 74,665
nawaomba wanaume hasa wanaoishi na wake huku wakiwa na watoto wa nje ya ndoa, upendo usizidi kipimo kiasi cha kujenga chuki kati ya mama na mtoto. Mwisho nilimshukuru Mungu kunikutanisha tena na familia yangu ambayo sikuwaza kuna siku nitakutana nayo tena.