INASIKITISHA:DADA AMUUA MTOTO KITATILI NA KUMFICHA CHINI YA UVUNGU

  Рет қаралды 399,047

Geah Habibu

Geah Habibu

Күн бұрын

Пікірлер
@magejoseph9258
@magejoseph9258 4 жыл бұрын
Mabinti au wafanya kazi wa ndani so wote wenye Roho mbaya kiasi icho na uyo alikuwa na ndugu yako nae Ni mdogo wako iweje aamuue mdogo wake hakika dunia imekwisha Bora ata wanyama kuliko binadamu wa Sasa Mungu nisaidie me japo kuwa napita katika changamoto za Maisha na kuwa mfanya kazi wa ndani naamini Mungu utanitetea juu ya hii nipe moyo was upendo, pole dadaangu Mungu akupiganie katika hilii wadada wenzangu wote tunaofanya kazi Kama hizi naomba Mungu atutetee katika magumu na changamoto zote za kwenye mafamilia tulipo tuwe na Moyo wa upendo ukiona umechoka ondoka kwa Amani na Mungu atakubalikia to kuliko kufanya dhambi ambayo itakughalimu ata maisha yako,
@Dalaman10
@Dalaman10 6 жыл бұрын
Allah atakupa subira. Atakuja kuwa muombezi wako siku ya kiama. Huyo mtoto ni mdogo sana hana makosa. Hatokubali kuingia peponi bila mzazi wake. Hasara iko kwa huyo dada aliyemdhulumu bila sababu. Atajibu nini kwa mola wake?. Kakutia dhiki ya maisha na uchungu wa milele. Mungu atakuzawadia watoto wengine in sha Allah. Pole sana sana. Sote tumeguswa na msiba huu. Poleni wazazi. Muachieni mungu kesi yenu atawahukumia kwa haki. Vuteni subira
@winifridamasawe385
@winifridamasawe385 3 жыл бұрын
Inasikitisha San pole sana dd kwa misukosuko
@agneterbujashi8451
@agneterbujashi8451 6 жыл бұрын
pole mm Joshua mwenyezi mungu amulaze mahali pema pepon tuzid kumuombea joshua
@florakawonga7356
@florakawonga7356 5 жыл бұрын
Aisee inauma Sana,pole dada Mungu akutie nguvu katika hilo
@elizabethmwandu9899
@elizabethmwandu9899 6 жыл бұрын
Daaaa pole sana dada Mungu akupe nguvu ya kuvumilia hayo. We dada ni shetani kbs usiye na huruma ila mimi nahisi una kichaa huwezi kumchoma kisu mdogo wako tembea zako gerezani ukafie huko.
@mwajumakweli6753
@mwajumakweli6753 6 жыл бұрын
Subuwana Allah pole sana mama Mungu akutie nguvu kipindi hichi kigumu
@nerfenvestiment3388
@nerfenvestiment3388 6 жыл бұрын
do mungu shuhulika nae dadahuyu
@violethmavika9110
@violethmavika9110 6 жыл бұрын
Pole sana dada ..Mwenyez Mungu akupe nguv..inauma jaman😢😢.
@rukiamshihiri4911
@rukiamshihiri4911 5 жыл бұрын
Daa mungu tulindie watt wetu da mitihan na unyama umekua mwingi
@fatumamohamedi713
@fatumamohamedi713 6 жыл бұрын
Pole sana mama mtoto mungu amuweke mahali Peña peponi
@sumayafissoo7808
@sumayafissoo7808 5 жыл бұрын
Suphanallah Allah atuepushe na mtihani dunia imeisha tena ndugu yake wa damu
@neemabenjamin2176
@neemabenjamin2176 4 жыл бұрын
Mh Mungu atusaidie
@saidasalim6372
@saidasalim6372 6 жыл бұрын
nilikwa ni napenda sana dada wakazi watanzania lakini tangu nione uchawii sitaki tena na roho zao zimebadilika niko kenya mungu Atakupa subra dada
@janethmollel9618
@janethmollel9618 6 жыл бұрын
Pole sana dada.. ...yaan hata aijui nisemeje maana inaumiza inaumiza haswa
@wakatiqueen5701
@wakatiqueen5701 6 жыл бұрын
pole sana mama yangu mungu anamuona uyo binti mtoto wako yupo ahi bado ajafa yuko kwa mungu uyo dada mungu amsamehe tu
@maryamtv2712
@maryamtv2712 6 жыл бұрын
Pole sana mungu akupe subra ktk kipindi kigumu ,inalilah waina illah rajuun
@felisterandrew8741
@felisterandrew8741 3 жыл бұрын
Tobaaaa,poleee Mama Mtu,,, aisee dah yaan cjui ata kimemsib nn had kamuua.
@aidaally4122
@aidaally4122 6 жыл бұрын
subhanallah nimeliaa sana pole sana Dada kwa mtihani
@mamyabdalah885
@mamyabdalah885 6 жыл бұрын
Daaa pole sana dada mungu akupe faraja
@gloryshayo1399
@gloryshayo1399 6 жыл бұрын
jaman mama pole sana mimi, yalinikuta baada yakugundua msichana ana mahusiano na kijana kumuuliza tu ikawa kosa mbona altuekea sumu kwenye karanga familia nzima bahati nzuri mimi tu ndo mlituma zile karanga zilinizuru kwani aliweka dawa ya panya namshukuru Mungu niligundua mapema na nlitibiwa nikapona
@belinamartin9715
@belinamartin9715 4 жыл бұрын
Pole sana mama, mungu akutie ngv
@neemazee1864
@neemazee1864 3 жыл бұрын
Looooooooh... Ata lakusema sina😭😭😭😭😭😭😭😭uyo dada naisi ni mchawi sio bule....!!!!!!!!!
@asmamamakhailat6192
@asmamamakhailat6192 6 жыл бұрын
Dah!! Inauma sana zaidi ya sana mungu awatie nguvu wazazi wa mtoto na mungu atamlaani huyo dah binadam tuna roho za wanyama kushinda wanyama.
@nerrymwakyusa8856
@nerrymwakyusa8856 6 жыл бұрын
Pole sana mungu akusaidie
@alphoncinajohn748
@alphoncinajohn748 6 жыл бұрын
Pole sana dada. inaumaaaaa sanaaaaa uiiiii tumbo linaumaaaa jamani
@josephshaka5558
@josephshaka5558 2 жыл бұрын
Ila man unanguvu wew duh unapata wapi ujasili wa kujieleza hivo
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Жыл бұрын
Kabisa
@shuuathuman9327
@shuuathuman9327 6 жыл бұрын
aise mungu wangu..pole sana dada angu.
@subirapallingyo4476
@subirapallingyo4476 5 жыл бұрын
jaman n roho gan ya kishetan kias hiki mungu tusaidie
@zawadihassani7464
@zawadihassani7464 6 жыл бұрын
Pole sana Dada yangu
@aishaaisha4695
@aishaaisha4695 4 жыл бұрын
ALLAH akumiminie subra
@nasratanzania1690
@nasratanzania1690 4 жыл бұрын
😢😢😢😢😢jmn
@JoyceGeorge-qv4ck
@JoyceGeorge-qv4ck 6 жыл бұрын
daah inahuzunisha sana ! pole mama kwa kupoteza mtoto najua inauma sana naomba tuu Mungu akupe kwa faraja ya kweli
@hassanathumani4777
@hassanathumani4777 6 жыл бұрын
Pole Sana mama mungu akutie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu
@mamumoh1402
@mamumoh1402 6 жыл бұрын
Jamaniii hadi Nimepata tumbo la kuhara yarabb mpe subira Na nguvu mama huyoooo, pole mtoto mungu akulaze Mahali pema peponi! Allah tulindie watoto wetu tuwaachapo majumbani inshallah
@boazmwakisu1602
@boazmwakisu1602 6 жыл бұрын
asly
@jumabunku5250
@jumabunku5250 6 жыл бұрын
Mamu moh
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Kwanini lakini jamani, ujasir gani huu wa ukatili adi umuue mtoto jamani😭😭😭 inauma sana
@nancypeter2483
@nancypeter2483 6 жыл бұрын
Saumu Hassan Yani
@nasirapasical4685
@nasirapasical4685 6 жыл бұрын
pole dada Huyo dada hafai kabisa hat kwa bureeeee no
@tellusmaulid3481
@tellusmaulid3481 Жыл бұрын
Inauma sana toto wa mwenzio kumkatisha uhai daaa
@ovariangusi4473
@ovariangusi4473 6 жыл бұрын
pole sana Dada mungu akupe nguvu
@ashasaid8623
@ashasaid8623 4 жыл бұрын
Mh huyo dada ni katili kiasi gani, pole dada mwenye mtoto. Allah akupe subra na akupe mwengine.
@farhatomar78
@farhatomar78 Жыл бұрын
Subhanallah Laailaha illa Allah Muhammada rrasulullah
@mariammwendakazungu5783
@mariammwendakazungu5783 4 жыл бұрын
Ooh pole sana mama inauma sana lkn mungu akupe nguvu n moyo wa subira damu ya mwanao haitaenda bure
@helenaluwago7553
@helenaluwago7553 6 жыл бұрын
Inauma sana jamani pole sana mama mungu akutie nguvu ila Huyo binti ajue malipo ni hapahapa duniani
@beatriceabel9567
@beatriceabel9567 4 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu
@rahmahussein4019
@rahmahussein4019 6 жыл бұрын
Subhanallah...dah !..inauma sana 😅
@adefunmioluwadamilola605
@adefunmioluwadamilola605 4 жыл бұрын
Unyama sana doooooooo mtoto mdogo hana ata atia uchungu wa mtoto anaujua kweli
@alimbwana4961
@alimbwana4961 6 жыл бұрын
innalillah wainna ilayhi rrajiun wallah mola ni mlinz atalipwa kma alivyotendwa kuwa na subra
@hibaalfarsi7756
@hibaalfarsi7756 4 жыл бұрын
inallh wainailaih rajiun. jmn katto kazir mashallah, Allah awape subra wazazi.
@anifagoodson2531
@anifagoodson2531 6 жыл бұрын
Huyo Dada anyongwe we pole mama wa MTOTO inaumaaa Sana MUNGU akutie nguvu
@ommyacheniujigawakuaribuma8667
@ommyacheniujigawakuaribuma8667 5 жыл бұрын
Mungu amlaze mala pema peponi amina
@rasykizanjbari4996
@rasykizanjbari4996 5 жыл бұрын
Yarabbiy mpe subra mfiwa lakin inauma sana duh pole sana dada angu
@stevekituku6040
@stevekituku6040 6 жыл бұрын
Msichana angekuwa na utu hata kidogo angemuacha mtoto kwa jirani na kuenda zake!jamani inauma Sana!
@kephamalecela4791
@kephamalecela4791 6 жыл бұрын
Pole sana aseee dooohhh... Dunia simama wenye haki washuke
@marytumaini922
@marytumaini922 3 жыл бұрын
Pole Dada duuu jamani Mungu akusaidie na akutei nguvu
@mathaadam2608
@mathaadam2608 5 жыл бұрын
Nilikuwa natafuta msichana wa kubaki na mwanangu nasema hivi ntabeba mpaka kieleweke
@julianagwandu251
@julianagwandu251 5 жыл бұрын
Matha Adam matukio arusha
@salmaismail2363
@salmaismail2363 4 жыл бұрын
Matha Adam mnaweza mkawahukum waschana wa kaz bure kwani huyu aliyeuwa ni msichana wakazi? si mwanae mtoto wa dada yako si sawa na mwanako ni roho ya mtu tu
@المهلهلالحراصي
@المهلهلالحراصي 4 жыл бұрын
Ila ni kweli mbona mnapenda kuwahukum wadada wa kazi hivyo aliemuua mtoto ni mtoto wa dada yake na huyo mama alieuliwa mwanae tatizo lenu wengine hamsikiliza maelezo mpka mwisho mnakimbilia kucomment tu bila kusikiliza mazungumzo kwanza khaaa
@anjerajosephat4638
@anjerajosephat4638 6 жыл бұрын
Amelaniwa na yulemtoto hawezi kupata mwaishan mwake, pole sana wafiwa hasa mama
@wardahhabibyt6801
@wardahhabibyt6801 6 жыл бұрын
Nmeumia sana..uyu bint c mzima...pole Dada ang..pole sana..
@balqisabdullah6200
@balqisabdullah6200 6 жыл бұрын
Pole sanaaa. Dada
@AshaAsha-ng1ug
@AshaAsha-ng1ug 2 жыл бұрын
Unafanya uchafu ndani kwa mtu ,alafu unaaambiwa kama sehem ya kufudhwa ,unafanya ukatil,😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭☝️
@ashazaharan1750
@ashazaharan1750 6 жыл бұрын
Subuhanallah binadamu tumekuwa naroho za kinyama. Pole saana dada yangu daah! roho gani hizi jamani
@tatuta6529
@tatuta6529 5 жыл бұрын
Poleni sana na msiba uo mzito
@thedyseba1587
@thedyseba1587 6 жыл бұрын
Jaman hiv unaanzaje kuua kiumbe kisicho na hatia jaman ,Mungu tupe roho za huruma jaman ,huyu Dada anaroho ya kinyama sana
@zawadipaulo7469
@zawadipaulo7469 6 жыл бұрын
Jamani inauma sana, Mungu akutiye nguvu.
@kwabasimfaume6524
@kwabasimfaume6524 4 жыл бұрын
Duhh mungu ninusuru nahio balaaa
@aminaomari9794
@aminaomari9794 6 жыл бұрын
Daah! pole sana jamani mungu akupenguvu mama wamtoto
@rosemganga6848
@rosemganga6848 6 жыл бұрын
hatari, pole mama, jamani wanawake wenzagu tuache ukatili huo
@neemaezekiel5084
@neemaezekiel5084 6 жыл бұрын
dah inabidi maboss waturuhusu tuwe tunabeba watoto wetu kwenda nao makazini.
@rosemarymashauri8628
@rosemarymashauri8628 6 жыл бұрын
yaani ikibidi iwe hivo aisee
@juniorsmart2483
@juniorsmart2483 6 жыл бұрын
+Rosemary Mashauri Mtawezaaaa!
@irenemwakabanga2533
@irenemwakabanga2533 5 жыл бұрын
Natamani ipitishwe sheria twende naye
@tatuomar4164
@tatuomar4164 6 жыл бұрын
subhanallah mungu yngu weee
@TheSalma1999
@TheSalma1999 6 жыл бұрын
Jamani Jamani dunia imeisha Jamani yani nimeumwa tumbo la uzazi Omg poleni sana wafiwa muwe mnaangalia hawa wasichana
@SophiaKamgunda
@SophiaKamgunda 13 күн бұрын
Huyo bint niMnyama wahatar sana
@asiaahmed4293
@asiaahmed4293 6 жыл бұрын
Allah akupe subra dada
@Royalcakespoint
@Royalcakespoint 6 жыл бұрын
Ukivaa uhusika wa huyu mama huwezi vumilia 😢😢
@witnessmonyo113
@witnessmonyo113 4 жыл бұрын
Jaman pole sana
@lizybayo1021
@lizybayo1021 6 жыл бұрын
pleeh!xanaa mama angu duh!inauma sanaa
@gracejohn886
@gracejohn886 4 жыл бұрын
Pole mwanamke mwenzangu da 😭😭😭😭😭😭
@emachadali2702
@emachadali2702 6 жыл бұрын
polesana mama kwakumpotezamwanao bilakutegemea
@timanyere9052
@timanyere9052 3 жыл бұрын
Geah habibu unaboa mbona mtu yuaongea na haonekanii...hatutaki sauti twataka kumuona mwenye yuaongea...Wacha kirecord kishambaa
@rashidakbari134
@rashidakbari134 6 жыл бұрын
poleni sana wazazi wezangu mu ngu atatuidia tukae makini na wafanyakazi
@edganzombo9061
@edganzombo9061 5 жыл бұрын
asante yesu apandacho MTU ndio atakacho vuna
@juniorsmart2483
@juniorsmart2483 6 жыл бұрын
Aiseee!Ni tabia ya m2tu c wafanyakazi,,mbona huyu alikuwa c mfanya kazi ni mtoto wa Dada akeee!
@hyacinthauwamahoro1424
@hyacinthauwamahoro1424 4 жыл бұрын
Pôle sana dada
@annachuma247
@annachuma247 6 жыл бұрын
Pole sana dada,inasikitisha sana
@milkamugomomugenimgomo6824
@milkamugomomugenimgomo6824 6 жыл бұрын
Jamani dunia kwisha mama mwenyezi mungu akupe nguvu
@upendosanga7500
@upendosanga7500 6 жыл бұрын
pole sana mama mungu akutie nguvu
@Vivi-dx2xv
@Vivi-dx2xv 5 жыл бұрын
Awuwawe nayeye uyo dada
@dorahthomas9159
@dorahthomas9159 6 жыл бұрын
Pole sana mama yangu
@angelmbanga3206
@angelmbanga3206 4 жыл бұрын
Pole xn dada angekuwa ni dada wa kazi kila mtu angeongea lake nitabia too ya mtu au atakuwa mchawi uyo dada
@adyaa8922
@adyaa8922 6 жыл бұрын
Duuuu jamani huu ni ukatili mkubwa Pole sana mama
@swahibamnene5847
@swahibamnene5847 5 жыл бұрын
Mungu akutie.nguvu jmn aiii
@suzanewilliams1453
@suzanewilliams1453 6 жыл бұрын
ndio maana Mimi mwanangu huwa namwacha Kwa bibi yake
@marianajohn360
@marianajohn360 4 жыл бұрын
Kwani wanadamu tumekuaje jmn..mbona Roho zetu zimekuwa zakinyama hivii zaidi ya shetani!!...
@tuzorichard5995
@tuzorichard5995 6 жыл бұрын
pole mama inauma xana
@sophiamtego3534
@sophiamtego3534 5 жыл бұрын
Dahh,Pole sana Dada
@ashuraziadi6565
@ashuraziadi6565 6 жыл бұрын
mungu akupe faraja
@pendomassao3799
@pendomassao3799 6 жыл бұрын
Mimi ni housegirl pia nimeumia sana kwa hili Ee Mungu niondolee roho mbaya kila siku
@collincarlos7433
@collincarlos7433 6 жыл бұрын
PENDO MASAWE Mungu akubarki na kukusimamia,,,
@hafadddhafaddd7619
@hafadddhafaddd7619 6 жыл бұрын
PENDO MASAWE pole sana
@pendomassao3799
@pendomassao3799 6 жыл бұрын
Hafaddd Hafaddd asante sana
@happymoses3485
@happymoses3485 6 жыл бұрын
Kwa kweli ili Jambo linaumiza sana kabisa pole kwa wazazi wa mtoto
@esperansahkafuka9891
@esperansahkafuka9891 6 жыл бұрын
Mungu akutangulie mdada
@shamimumassenga5680
@shamimumassenga5680 6 жыл бұрын
Mungu nisaidie nlindie kizaz changu nileee mwanangu
@jbzephania9846
@jbzephania9846 6 жыл бұрын
Pole
@faithmndeme3909
@faithmndeme3909 6 жыл бұрын
Ka jamani zambi sana mungu akutie nguvu mama
@stellahmichael3415
@stellahmichael3415 4 жыл бұрын
Mungu 2naomba u2pe roho ya hofu
@samiahani5357
@samiahani5357 6 жыл бұрын
Daaaa Hinauma sana Daaaa Aisseh
@ghuzlanswaleh2564
@ghuzlanswaleh2564 5 жыл бұрын
Ukatilii wa aina ganiii jsmaniii heee naskitisha sanaaa wlh nalia mm kama mzazi huyo dada ana roho chafu nimyama haswa yy afa pia auwawe kwann kumwua malaika maskinii
@shanisaidy5033
@shanisaidy5033 6 жыл бұрын
Subhana Allah 😢😢😢
@alfredakomba4666
@alfredakomba4666 6 жыл бұрын
Duuuu Mungu akutie nguvu mwanamke mwenzangu jamani,so sad.
@veronicamerila5323
@veronicamerila5323 6 жыл бұрын
pole sana dada kwayaliyokukuta
@florakweyunga878
@florakweyunga878 6 жыл бұрын
Yesu wangu,jamaniiiii........Eee Mungu wangu,mmmmmh,mmmmmh,mmmmmh.....
@iddatysupergirl6581
@iddatysupergirl6581 6 жыл бұрын
Inatisha binadam wamekua wanyama 😭😭😭
@saumukaisi3996
@saumukaisi3996 5 жыл бұрын
Mungu wng😭😭jmn kamuwa mtt bila hatia jmn uwiiiiiiiii msichana mbaya sn mtt anashida gn hadi amuwe mtt wasichana wabaya sn tena huyo gaidi sn uwiiiiii wazazi sie tutakoma na wasichana watatulia watt kweli
@nduwimanaline4661
@nduwimanaline4661 5 жыл бұрын
Inauma saana
Как Я Брата ОБМАНУЛ (смешное видео, прикол, юмор, поржать)
00:59
I thought one thing and the truth is something else 😂
00:34
عائلة ابو رعد Abo Raad family
Рет қаралды 12 МЛН
INASIKITISHA MUME ALIVYOMUUA MKEWE KIKATILI MBELE YA DADA YAKE
25:43
MAWIFI WAMJIA JUU WIFI YAO BAADA YA KUGUNDUA MTOTO SIO WA KAKA YAO/
19:18