MAWIFI WAMJIA JUU WIFI YAO BAADA YA KUGUNDUA MTOTO SIO WA KAKA YAO/

  Рет қаралды 102,076

Geah Habibu

Geah Habibu

Күн бұрын

Пікірлер: 523
@beatricemapunda2519
@beatricemapunda2519 3 жыл бұрын
Mungu atusaidie jaman baadhi ya wanawake tuwe tunawapa watoto baba zao wa kweli na sio kuangalia pesa,
@hassinaalharthi5984
@hassinaalharthi5984 3 жыл бұрын
Makosa makubwa kuingilia nyumba Za watu. Mambo ya ndoa siyo ya kuingilia wa uache kaka yao na maisha yake ipo siku atabainshiwa. Kosa kubwa kwa mawifi kuingilia maisha ya waolewaji wa subiri maisha yao na watoto wao hujafa hujaumbika
@johasaeed391
@johasaeed391 3 жыл бұрын
wala hawana makosa hawo mawifi qanachotaka kjjuwa mtoto wa nani basi wifi mchafu
@tunsumegideonmwamboneke9639
@tunsumegideonmwamboneke9639 Жыл бұрын
Kusema ni rahisi sana, jiweke kwenye viatu vyao hao ndg , je ingekuwa wewe umejua kuwa mke wa kaka yako anapewa matumizi ya mtt na mume mwengine na amekuhakikishia kuwa ni mtoto wake, na ww unajua kuwa huyo ni mke wa kaka yako na mtoto ni damu yenu. Usipoinfilia utakuwa huna upendo na humtakii mema kaka yako. Damu nzito bwana 😂
@BakariKibauri-qh7gf
@BakariKibauri-qh7gf 11 ай бұрын
Ingekuwa ww ndo kaka yako anatombewa nje ungekubali na hapo nyumba ya familia kama anataka asiingiliwe akajenge nyumba yake
@khadijaabdullah6328
@khadijaabdullah6328 2 жыл бұрын
Nyie mnacheza kigoama yy ndani anachezea kitombo cha kaka enu😂😂😂😂😂😂😂😂
@blandinagodfrey9825
@blandinagodfrey9825 3 жыл бұрын
Mbona huyo muimbaj anawaimba hao walomtafutaaa 😂😂😂 wif nimempenda sana kimya ni jibu sahii kabisaaaa inauma uende sehem kumchamba mtu akuzarau hivyo hana mda yumo ndaniii ongea ukimaliz utarud kwako saf sanaaaaa
@roseuwambe893
@roseuwambe893 3 жыл бұрын
Huenda alimkuta na mimba wakaelewana sasa mawifi wanashobo hatar acheni ndoa ya watu🤗🤗🤗
@mauamrope7768
@mauamrope7768 3 жыл бұрын
Uyo kaka yupo kama jose haya yetu masikio da geah
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 жыл бұрын
😂😂😂👌kwakweli
@sharifamohammed6317
@sharifamohammed6317 3 жыл бұрын
Umesema kweli tusije umbuka bure
@bernadetaleopord51
@bernadetaleopord51 3 жыл бұрын
Jose alitufunga midomo atuchangii chochote
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 3 жыл бұрын
Na miss josee
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 3 жыл бұрын
Aki wa tanzania mume ni shinda tabia yani hayo mambo ya familia kukatungwa na wimbo kabisa kazi munayoooo🤣🤣🤣🤣🤣
@fatmalyego7918
@fatmalyego7918 2 жыл бұрын
Wao hayo yanawahusu nini labda mawifi mnataka muolewe na kaka yenu
@Lunati-q6v
@Lunati-q6v 3 жыл бұрын
Hizi kesi ngumu sana dada Geah shida kweli
@Ryoof-qo7if
@Ryoof-qo7if 3 жыл бұрын
Mungu amemuumbuwa huyo wifi Mbaya sana Wallah
@walaaabdallah3236
@walaaabdallah3236 3 жыл бұрын
Hapana wifi yupo sawa kabisa, kwamfano ungekuwa wewe wifi yako unamkuta sehemu ameenda kuchukua ela kwamwanaume mwingine autosema? Sasa wewe fikilia bila uyo wifi kusema uyo mtoto baadae angekuwa na Mababa wawili ndo yaleyale ya diamond na mzee abdul na mzee nyange
@barbiepixie92
@barbiepixie92 Ай бұрын
Hawa wanaotetea naowatakua wadangaji pia
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 3 жыл бұрын
Subhannallah mshenzi huyo mwanamke hafai anaweza hata kutembesa namkwewe huyoo mfukuzeni
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 3 жыл бұрын
Heeeee da geya asante unatuchelewesheya mambo. Unajuwa umbeya mtamu lakini nahisi nyiye ndio mlio na maradhi yeye katuliya. Na mkewake
@مريمراشد-س1ج
@مريمراشد-س1ج 3 жыл бұрын
Bongo sihami😂😂😂
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 3 жыл бұрын
Huyo kaka enu labda anajua huyo mtoto sio wake ila hataki kusema ukweli yy kampenda mwanamke ila inatakiwa awaambie ukweli kama mm najua huyu sio mwanangu na kama alikuwa hajui hayo mambo basi kuna kitu anataka kukifanya huyo mwanamke awe makini pengine huyo mume ana uchungu moyoni asije akalia kilio cha mbwa mdomo juu.
@jessicanchimbi9419
@jessicanchimbi9419 3 жыл бұрын
Labda ana matatizo anamfichia mumewe siri kama hazalishi akaamua kubeba mimba nje kwa makubaliano yao, siri ya ndoa wanaijua wenyewe
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 3 жыл бұрын
@@jessicanchimbi9419 Swadakta pengine.
@neemamayco3238
@neemamayco3238 3 жыл бұрын
Huenda akawa anajua labda hat yy ana matatizo magumu sana
@lailaoman3856
@lailaoman3856 2 жыл бұрын
Kweli
@sylviaquentin9724
@sylviaquentin9724 3 жыл бұрын
Mlivyofanya mawifi kuweka mambo hadharani ni vizuri sana ila kaka yenu pengine anajua km mkrwe anaenda kuchukua mshiko huko mjini pia pengine kaka yenu hajitumi kumtafutia mkewe
@faridaiddi104
@faridaiddi104 3 жыл бұрын
Umeona Eeh Mwanaume anaamka saa nne asubuhi mtoto akale wapi acha audumiwe🤣🤣🤣
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 3 жыл бұрын
Mtihan jaman Mawifi wana gundu😂😂😂wakiwa wazur mtihan, wakina wakorof mtihan, bas nyamazen Maan kaka afanyi maamuz si mnaonekana wanafik ya ngoswe muachie ngoswe
@hijahsaidy1562
@hijahsaidy1562 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rosecruiz4348
@rosecruiz4348 3 жыл бұрын
Hapo sasa
@omarymbalala6224
@omarymbalala6224 3 жыл бұрын
😄😄😄😄
@hadijasaidi7709
@hadijasaidi7709 3 жыл бұрын
Kweli jamani hamumtaki mmemuowa nyie mbona mnakiherhere tulizeni mshono kinawauma nini
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 3 жыл бұрын
Baadhi ya wanawake wenzangu ebu tubadilike mnamuweka mtoto matatani sio sura nzuri mnamualibu kisaikorojia
@jamesmgusu4688
@jamesmgusu4688 3 жыл бұрын
Hamtaki nyie Mme wake anampenda
@queenlinda255
@queenlinda255 3 жыл бұрын
Mawifi kazi mnayo kweli kweli kafanyeni yenu kaka bado anamtaka mkewe poleni
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 жыл бұрын
Ukoroofi uwoooo
@tatotato506
@tatotato506 3 жыл бұрын
Angikuwa kafanyiwa kaka yako ungesema ivyo
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
@@tatotato506 alobeba mimba ndiooo anajua bab wa mtoto na c huyoo tu wanawake wote ndiooo wanajua mtoto baba yake ni yupi
@queenlinda255
@queenlinda255 3 жыл бұрын
@@tatotato506 Sasa kaka mwenyewe hayuko upande na nyinyi mahaba kama yote na mkewe ndowa haingiliwi mimi nilisha mkuta mke wa kaka yangu na bwana kabisa ila nikafunga mdomo wangu mapenzi hayaingiliwi nyinyi kama mlishaona kaka yeye amepoa wala hajashtuka mgefanya. Yenu wataachana wakiamua wao sio ndugu kuingilia. Endeleeni na maisha yenu uyo kaka mumu wache asiesikia la mkuu huvunjika guu
@Siasia209
@Siasia209 3 жыл бұрын
@@queenlinda255 kweli kbs hawa wadada wamekose mpk kumuita gea wange kausha tuu
@kamalissabig6076
@kamalissabig6076 3 жыл бұрын
Jaman alie Muoa Geah Habibi kazi anayo maana Mama Mbea sana
@BINTIwaKITANGA
@BINTIwaKITANGA 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Mliambiwa muangalie hiyo status yake? Mawifi acheni vihele hele Kaka kapewa sukari ya zuchu karamba yooote 🤗🤗🤗
@manka1792
@manka1792 3 жыл бұрын
Si ndio hapo sasa
@dgffydyeu4014
@dgffydyeu4014 3 жыл бұрын
Kabisa Yani ujinga huo mawifi wanashida
@lanlady2504
@lanlady2504 3 жыл бұрын
Hapo changamoto ni kwa mtoto. Wanamuathiri kisaikolojia na kimakuzi. Ustawi wa jamii waingilie kati. Halafu jamani wanawake ukishaamua kuwa na mtu, tulia naye awe nacho au asiwe nacho. Au kama vipi acha kwanza kuzaa, mnawaathiri watoto!
@asilasaid6230
@asilasaid6230 3 жыл бұрын
@sheshi beshi uyomalaya mwanamke tenaamemloga hugo mume uchawi upo
@OfficialA83640
@OfficialA83640 3 жыл бұрын
Mawifi mtulie kaka yenu anakojoa pazuri nyie mkae kwa kutulia baadae kitakachomkuta huyo kaka ndy atajua mie huwa sipendi kuingilia mapenzi ya kaka maana najua maumivu ya mapenzi . Ila wanawake Mungu anatuona sana dah tunadhulumu nafsi ya mtu kwa tamaa ndogo tu Subhannallah
@ramlanassir1559
@ramlanassir1559 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣 kaka anakojoa vizur
@khadijauvuruge9700
@khadijauvuruge9700 3 жыл бұрын
Uyo mwanamke ajiangalie sana maisha ya sasa ukachezee akili ya mtu ndo awa wanauliwaga ujanja mwingi mbele kiza tamaa itamponza
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
Ndio maana matukio ya kikatili hayaishi
@khadijauvuruge9700
@khadijauvuruge9700 Жыл бұрын
@@pendo8082 kabisaaaa
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
@@khadijauvuruge9700 kwanza saikologia ya akili ya mtt wanamvuruga
@khadijauvuruge9700
@khadijauvuruge9700 Жыл бұрын
@@pendo8082 ndiyo ye anaona ujanja kumbe anamuathiri mtoto baadae ashike watu uchawi kumbe yeye ndo kamuharibu saikolojia mwanae
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
@@khadijauvuruge9700 ndio huo ndio ukweli
@fetychina3273
@fetychina3273 3 жыл бұрын
Nyie nyie pale kati Patamu huyo kaka Kesha burugwa🤣🤣
@amishbby8549
@amishbby8549 2 жыл бұрын
Haifai mawifi chefu 😏😏😏😏
@sophierseyyd1162
@sophierseyyd1162 3 жыл бұрын
Wengine mnacomment et ooh ungewaacha mm tu si ndugu yang ila naumia sana kaka ak tumbo moja achezewe mchz huu utacheka aii mm sikubl Huyu dada ni maraya km mm ndo dada napambana mpk atamuacha hp kaka kainamishwaa mwanaume gan ajue mtt si wake alf awe kmy tyu aaha sikwel 👌👌👌 kainanishwa kk huyo dd pmbn umuokoe kk ako si mwanamke huyo
@africanlife2331
@africanlife2331 3 жыл бұрын
Huyu kaka wale wale wa mjini wapenda kulelewa. Labda yeye ndo kamtuma mwanamke akadange.
@morogorodoll397
@morogorodoll397 3 жыл бұрын
Watu wako zao ndani nyny huku mnabweka😂😂😂😂😂
@ramadhantahila9131
@ramadhantahila9131 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@ikrammahonda4566
@ikrammahonda4566 3 жыл бұрын
Achen kuingiia ndoa za watu Malaya nyie nn maana ya ndoa inasili nyingi unaweza kuta kakaaenu alitongoza dem mjamzito naalilizika ndy mana hana shida ajastuka
@nabu.barbim9219
@nabu.barbim9219 3 жыл бұрын
Aiseeee mawifi wapo vizuri sanaaaaaa ilaa wangu msiwe ivyoo 🤣🤣🤣 hongera sanaa ma wifi nimewapenda buree izo nyimbo mm hoi jmn khaaa atal sana mawif mkichoka ndoa msemege 😂😂😂🤣🤣🤣 yn nachek km mwehuu izo nyimbo jmn tukifika mbinguni tupo hoi sana da geha
@mdzainb3722
@mdzainb3722 3 жыл бұрын
Duuuuuh mtihani 😂😂😂😂 ila mungemuonyeshq huyo mwanamke muendelezo dq geah
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 2 жыл бұрын
Kusema kweli wanawake mwenyezi mungu atusame
@embeothman3631
@embeothman3631 3 жыл бұрын
Muangalieni vizuri huyo mume asije akawa ni Jose! ....
@wivinaanatory9554
@wivinaanatory9554 3 жыл бұрын
Haha🤣🤣🤣🤣🤣
@mariamkaaya939
@mariamkaaya939 3 жыл бұрын
😅😅😅
@dinahdianah9653
@dinahdianah9653 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣eti Jose mbona watukumbusha hyo chizi
@embeothman3631
@embeothman3631 3 жыл бұрын
@@dinahdianah9653 😂 😂 naona ujuha wao unafanana japo Jose ni kiboko 😂
@jacklinebrightness4513
@jacklinebrightness4513 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@zainabmohammed6700
@zainabmohammed6700 2 жыл бұрын
Wifi kama wifi chunga mdomo wako 😂😂😂 km hamumtaki kaka enu ashampenda 🤣
@saphaamzee9548
@saphaamzee9548 3 жыл бұрын
Nimempenda kaka yenu
@zayumar2955
@zayumar2955 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 ila inauma jamn weee unagombana na wifi Ako lkn kaka Ako hatii neno🤣🤣🤣😄😄 jmn tuvitulizege mawifi hatuwez jua wifi etu anampa Nini kakaetu
@getrudalufega9770
@getrudalufega9770 3 жыл бұрын
Mungu aliamua kuweka wazi
@blandinagodfrey9825
@blandinagodfrey9825 3 жыл бұрын
Jamani 😂😂Tz ufe tu na shida zako binafsiii ila sio tress nyieeee acheniiii😂😂😂😂
@64aaa
@64aaa 3 жыл бұрын
Mitihani wallahi. Allah atustiri inshaAllah
@ummyhasheem2245
@ummyhasheem2245 3 жыл бұрын
Aya mambo ya jose mm siongei k2 mawifi limewashuka shuu 😂
@najalinanyambo3971
@najalinanyambo3971 3 жыл бұрын
Utakuta wote hao wawili mtoto sio wao haaa
@kreamagdfsa1697
@kreamagdfsa1697 3 жыл бұрын
Inawezekana pia
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 3 жыл бұрын
Mpiga Ngoma Kani chekesha 😀😀😀hata mkipiga Ngoma kaka enu kakolewa hataki kuachia nafasi
@mutalemwa-woerle
@mutalemwa-woerle 3 жыл бұрын
Huyo mpiga ngoma mbona kama kawageuka mawifi 😂😂
@neemamayco3238
@neemamayco3238 3 жыл бұрын
Mpiga ngoma mbn kachoka nasikia tu kelele za hawa madada
@zaykipini4761
@zaykipini4761 Жыл бұрын
😆😆😆😆
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
Safi sana kaka mke wako ndani kimya wanakula mambo yao etiiii mawifi hawamtaki sasa kati ya nyie na kaka yenu anayejua utam wake nani kati yenu 🤣🤣🤣🤣🤣na nyie nenden kwa waume zenu mkae ndani na waume zenu
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 3 жыл бұрын
Innalilahi wainnailaihi rajiun
@mervaille61
@mervaille61 3 жыл бұрын
Innalilahi wainnailaihi rajiun 😭😭😭
@aminamayala8373
@aminamayala8373 3 жыл бұрын
Wanawake sisi mungu atatufanya kuni
@estherwilliam4675
@estherwilliam4675 3 жыл бұрын
Mmmmh uswahilini kuna vituko kweli kweli looh...
@zayanazayana5353
@zayanazayana5353 3 жыл бұрын
😂😂😂 inachekesha stutus zke zinawahusu nn mlitumwa na nan mtizame
@ablahasa1233
@ablahasa1233 3 жыл бұрын
😂😂😂😂ndiyo apo
@shopalareen4303
@shopalareen4303 3 жыл бұрын
Ilo nalo neno
@aishakopose26
@aishakopose26 2 жыл бұрын
Nihamie dar jamani dar raha Sana🥰🥰
@sharinv8864
@sharinv8864 3 жыл бұрын
Natamani kuwa mtanzania yaani vituko haviishi jamani huyo kaka amefunika maradhi hapo ndani.🤣🤣🤣🤣🤣
@nawesulle3566
@nawesulle3566 3 жыл бұрын
Duuuuh waswahili hao😂😂😂
@saraphinajoely7047
@saraphinajoely7047 3 жыл бұрын
Yani Mimi ningetoka njee ninge wamwagia petrol muungue mkaukie apo
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 3 жыл бұрын
Binadamu tumeumbiwa makosa, muamuzi wa mwisho ni kupima damu, na ikionekana mtoto wa kaka yenu sijui mtasemaje maana wifi yenu ndiyo mwenye ukweli wote.
@tatotato506
@tatotato506 3 жыл бұрын
Atakama anaukweli ndo agawemtoto kwawatu2
@semenimohamed8156
@semenimohamed8156 3 жыл бұрын
Mawaf mna kaz huenda kkaenu alimpenda hivy.hivy akiwa na ujauzito
@salmaomari-zf3bv
@salmaomari-zf3bv Жыл бұрын
Mbona geah tusaidie hatumtaki😂😂😂
@bihawahamisi7416
@bihawahamisi7416 3 жыл бұрын
Wananisumbua tu hao hayo maisha yao Kama Kaka kaamua kulea alee wao ndio wataonelana wabaya Sasha mvumbua macho waniache na mkewe aamue lkn sio kumlazimisha watashangaa Kaka akiwageuka mapnz haya ingiliwi
@Ryoof-qo7if
@Ryoof-qo7if 3 жыл бұрын
Kakayenu jose pt2😂🤣🤣😂
@chainbre275
@chainbre275 3 жыл бұрын
Kweli ila Jose alizingua Sanaa aki
@Ryoof-qo7if
@Ryoof-qo7if 3 жыл бұрын
@@chainbre275 jose na yy kiboko wa love ya kijinga😂😂😂
@gaudensiayustini8669
@gaudensiayustini8669 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@minormine4417
@minormine4417 3 жыл бұрын
Umenikumbusho mbali🤣🤣🤣
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
Naon Joseph nying kwan alipatw na nn huy Jose
@umiy1971
@umiy1971 3 жыл бұрын
Akapimwe DNA alipoambiwa ni Lazima mama mtoto anyamaze Nina hakika hamjui hata yeye mwenyewe babaake Nani ?
@khadijahamis9787
@khadijahamis9787 2 жыл бұрын
Wanayo hyo pesa ya DNA sasa
@lilylilian8729
@lilylilian8729 3 жыл бұрын
🇹🇿Tanzania ina raha yake hasa uswazi
@mename6020
@mename6020 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
@asha.mwambamwamba1774
@asha.mwambamwamba1774 3 жыл бұрын
Ndo maana wanaume wanakataaa mimba kwasababu iyiooooo
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 3 жыл бұрын
Daaahhh ebu mwanangu nae azaliwe ndio nianze kuchunguza maana mmhhhh mabinti wa karne hii ni nyoko sana,Bongo raha sana aiseee, sio kwa kigoma hicho jamn jamn nimecheka mpka mbavu ziko ICU mda huu
@nurusalum8259
@nurusalum8259 2 жыл бұрын
Aibuuu ya kwaooo,,yanawausu nini
@neemazee1864
@neemazee1864 3 жыл бұрын
Tatizo kaka enu ashapewa maji ya huku......
@angelageofrey9756
@angelageofrey9756 3 жыл бұрын
🤣😂mawifi viherehere kakaenu katulia bcz analijua May Be Mashine haisagi
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
Ndo kshapendw hata msemaj hachiki Ng'oo
@WardaShebe
@WardaShebe Жыл бұрын
Yaan Huyu mpga ngoma anawachamba ma wifi waliokot ngoma
@dinahdianah9653
@dinahdianah9653 3 жыл бұрын
Hehehe Jose kapata ndugu yake, alaf wimbo gan hyo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ramlanassir1559
@ramlanassir1559 3 жыл бұрын
kaka yenu amekubali kulea mtoto wakambo mawifi kaeni kwa kutulia
@subirasanga5276
@subirasanga5276 2 жыл бұрын
Jaman kma muhusika kanymaza kimya . Mwenye mke wake. Muachenz mapenz n sir huwez jua chin ya kapet ma wf jaman ma wf dah!
@saumuathuman206
@saumuathuman206 3 жыл бұрын
Wanawake bwana tuna kazi 🙆🙆🙆
@kilizajumainn826
@kilizajumainn826 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣Sasa kigoma chanini mke WA kka tamaaa
@juliethajames3043
@juliethajames3043 2 жыл бұрын
Hii familia nkshidaaaaaa
@rahimaan6481
@rahimaan6481 3 жыл бұрын
Wanawake tutafika mbingun mishuz inatutoka 😂😂
@sukariyao6537
@sukariyao6537 3 жыл бұрын
Umeona eeeeeh 😄😄😄😄👌
@khadijakheir9323
@khadijakheir9323 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@barakatabdul3212
@barakatabdul3212 3 жыл бұрын
Hii Karnee" tunako Elekea itafikia wakati Madada watataka kuolewa wao na ndugizao wa kiume" sikwa Wivu huo Mawifii🤣🤣🤣 Inna-Lillahii wainna illahii Rajioon.
@azzizazizion5056
@azzizazizion5056 3 жыл бұрын
oya gea niombee nmb ya uyo alovaa gaun la njano
@angelholsey2484
@angelholsey2484 3 жыл бұрын
Mawifi jaman mkoje mbona mnapenda kudandia mambo yasiyowahusu 😏
@JenifaLazaro
@JenifaLazaro Жыл бұрын
Mwenzenu kampenda mkewake pelekeni uchawi makwenu
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 жыл бұрын
Wanawake sisi 😭
@digna__voice8848
@digna__voice8848 3 жыл бұрын
Me napendaga geah anavyo cheka tu jamani 😅👌🙌
@nellyrehani593
@nellyrehani593 3 жыл бұрын
KAMA kaka yao ahana uzazi inakuaje jamani
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 2 жыл бұрын
Mmmmh atarii jamani mm baba mtt wangu kunamwanamke alizaa nae alinitoa mm kwa vishindo kumbe yule mtt anababa wawili kaudumia toka mimba mpaka mtt kazaliwa kapewa Jonathan lina fanana na mtt wangu mmoja kumbe siyo mwanamke kwaiyo haya mambo yapo tamaa wanawake anataka uduma uku na uku
@aishakopose26
@aishakopose26 2 жыл бұрын
Ila sisi wanawake tuna roho mbaya Sana daah uyo dada Ana ata aibu😅😅😅😅😅😅😅
@hadijaabbas2192
@hadijaabbas2192 Жыл бұрын
Nandomana tunachinjwa siku hizi
@niwemugenimediatrice5640
@niwemugenimediatrice5640 3 жыл бұрын
Kama mama Dangote!
@enterenter1921
@enterenter1921 3 жыл бұрын
Huyo Malaya tuu nendeni mpime
@habibaa9503
@habibaa9503 3 жыл бұрын
Dunia inamitihan kweli Allah atunusu na matamanio ya dunia
@qrrrqtqt9976
@qrrrqtqt9976 3 жыл бұрын
AMEEN
@pilimwanza8117
@pilimwanza8117 3 жыл бұрын
Ila jmn huyo mume km kishakubali vigoma vya nini huwezi jua pengine hana uzazi anashukuru hata kupata wa kusingiziwa. Na kuvunja ndia ni dhambi . Mwacheni aamue mwenyewe yakishamchosha
@neemamayco3238
@neemamayco3238 3 жыл бұрын
Acheni kuingilia ndoa ya kakaenu atawalala nyie kwendeni huko mnamidomo sana mawif unafk tu jeeee kam mwanaum alikua na maisha magumu amekua anamuomba hela tu
@zahratinsaleh1004
@zahratinsaleh1004 3 жыл бұрын
Kwani mnataka mini kwani wao siwako kimya MTU na mumew mnalala nae nyie au mnamtaka Wifi enu
@ruqayaruqaya4283
@ruqayaruqaya4283 3 жыл бұрын
Hiv kwann wanawake cc hatuogopi jmn mambo km hayo mtt hn baba 2 labda baba wa kambo tu daah yn watu hawaogopi ndio chanzo cha kumuathir mtt 😢akapimwe D N A km wana uwezo lkn pia D N A huwa yakosea pia
@ayoublupande3987
@ayoublupande3987 3 жыл бұрын
Hahaha rafiki wa mmewe tena Hahaha huyo sio mke nikibwengo yn sasa kinacho msumbua ni nn sasa
@mapenzisorotanizimbazimba8742
@mapenzisorotanizimbazimba8742 3 жыл бұрын
Mawifi nyie MUNGU anamuona😀😀😀
@katotokazuri7412
@katotokazuri7412 3 жыл бұрын
Mawifi Mungu anawaona
@cecygeorge4443
@cecygeorge4443 Жыл бұрын
Hamumuhitaji kama naniii mawifiiiiii weeee mtajua hamjui umbea utawauwa mfyuuu
@humairaothmn8465
@humairaothmn8465 2 жыл бұрын
Muimbaji yupo siriaz na anachokifanya 🤣🤣🤣
@sarahomary3615
@sarahomary3615 3 жыл бұрын
Wifi maraya yamemkuta mambo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uwiii Hatarii jamani
@tatotato506
@tatotato506 3 жыл бұрын
Wapo wengi mawifi awo wamalaya
@sarahomary3615
@sarahomary3615 3 жыл бұрын
@@tatotato506 umeona eee yani baraa jamani mungu atunusuru
@fatemafatema8581
@fatemafatema8581 3 жыл бұрын
Nyie ndoa zin siri nyingi xna maan hyu kaka yao ht mshipa wa fahamu ht hauumi labda hyu anajua kila kitu na ndio maan ctakagi kufatilia ndoa za kaka zang maan mwisho wa cku unaumbuk ni bor wagombane wao sio mawif ni majng jmn pale kati patamu
@naomisamsoni1040
@naomisamsoni1040 3 жыл бұрын
Mwenye kubambikiwa hana shida,tabu kwa mawifi.
@ciciray5676
@ciciray5676 3 жыл бұрын
simfanye DNA tu kwani mpaka ngoma sijui nn jamni dunia ya sasa ni ya technologia
@hazimamohammed1340
@hazimamohammed1340 3 жыл бұрын
Kwanzaa nnachokiona apoo kikubwaa ilo limwanaume ni boyaa na ni diesel la nguvu na mujuwe kaka lenu ni sifuri mwanamme aliekamilika hakubali kuonekana topee ivoo
@loner_wolf
@loner_wolf 3 жыл бұрын
Huyo wifi yenu malaya, mmefanya vzuri sana kuweka mambo hadharani, mtoto anababa mmoja tu, zaidi ya hapo ni mtihani huo, thats why mtoto wa Muna Love alisababishiwa maneno baada ya kifo chake.
@adelinabaitu3291
@adelinabaitu3291 3 жыл бұрын
Mm Naoma walikuwa na hamu ya ngoma
@elizabethgunni9170
@elizabethgunni9170 3 жыл бұрын
Mnajihangaisga nn wkt Kaka yenu hashtuki
@evalenad6256
@evalenad6256 3 жыл бұрын
Kapigiwa ngoma ya kufukuzwa. Dar raha.😂😂😂
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 6 МЛН
Farmer narrowly escapes tiger attack
00:20
CTV News
Рет қаралды 11 МЛН
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 7 МЛН
Увеличили моцареллу для @Lorenzo.bagnati
00:48
Кушать Хочу
Рет қаралды 8 МЛН
30 June 2024
4:46
Kassim Nguma Msomali
Рет қаралды 676
OGA OBINNA VISITS DANDORA YOUTHS , DONATES CAR WASH MACHINE!!
30:11
NYIEE!! MZEE MTITU AWAPA MAKAVU YANGA, AMUONYA INJINIA HERSI
18:56
WIFI MCHAWI PART 1 || STARLING PILI MABOGA || GUBU LA WIFI
26:41
Dato Ingat Dato Malaikat Ke, Padu Ayob Khan SOUND Golongan Atasan
16:45
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 6 МЛН